Amen mchungaji mungu akubaliki umesema yote niliopitia na mwisho wa yote mungu akuniasha kamwe .nafuatilia nikiwa saudi toka kenya unikumbuke tena na tena nipate nguvu ya roho mtakatifu nisidi kusimama imara
Nazidi kuamini mungu maan nilimuamini nilipo kua mdogo nakumbaka nikiwa Sunday school darasan nilipo maliza kufundisha tuliomba ila ombi langu lilijibiwa nami nilianza apo mpka sasa
Nimekuzwa na mafundisho mungu atukuzwe Amen
Asante sana mtumishi wa mungu kwa funzo hili limenisaidia katika imani
Ubarikiwe sana Mwinjiristi kwa kunitia Moyo Mungu akutumie apendavyo
Ubalikiwe sana pastor nimebalikiwa kubitia kwako amen
Tumelemewa na majaribio. Shida kila Kona ambayo inafanya Imani kushuka. Mungu atusaidie.
Tunatamani crusade hapa kisii mara kadhaa manake tunapotea
Wonderful message my brother pastor
Ubalikiwe sana poasta Una nguza moyo wangu
Ameni pastor barikiwa sana kwa somo limenibariki sana
Amen mungu nizaidie
mungu akuzidishie
Ubarikiwe mutumishi
Maneno yako ni matamusana🙏🏿
Amen.pst.
Amen
ubarikiwe
Ameni pastor
Amen 🤝🏼🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Pastor that is true
amen 😢
❤amen pst Imani yangu imerudu jini
Thanks pastor magoti
Amen.
Amina mchungaji ata majaribu iwe ngumu aje kimaisha tudumu kumtegemea mungu nyakati zote juu ipo siku atatukumbuka🙏
Amen 🙌🙌🙏🙏
Amen mchungaji mungu akubaliki umesema yote niliopitia na mwisho wa yote mungu akuniasha kamwe .nafuatilia nikiwa saudi toka kenya unikumbuke tena na tena nipate nguvu ya roho mtakatifu nisidi kusimama imara
Amen 🙏🙏🙏
Very strong word
Nazidi kuamini mungu maan nilimuamini nilipo kua mdogo nakumbaka nikiwa Sunday school darasan nilipo maliza kufundisha tuliomba ila ombi langu lilijibiwa nami nilianza apo mpka sasa
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu,hallelujah Amen
Amen
Amen
Amen