Yani kwa kifupi katika hii tamthilia ni kwamba...Unaemtaka hakutaki..anataka mwenye hamtaki...na anayetakwa anataka mwenye hamtaki🤨....kwa lugha nyingine ***Mtakwa hatakwikwi.... watching from kenya😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wewe Zumba unanichekesha ety unalia kwa sababu ya penzi dah ujafanana kabisaa umependeza kua jamaa la mititi tu kwa sura hyo yako wee nae watoa machoz😂😂😂😂😂😂pole sana mtu wangu yaitwa Mapenzj
Duuh nime kua wa kwnza ktk hii movie ctk like nyingi 500 2 zinatosha❤😂😂😂
Zinakusaidia nn kuma wewe
@@user-cf5sy7lv9l nakula na mama ako 😂😂😂
Pambana na hela yota babu
Bg up
NAMI Leo nakomment nimeipenda bule ata ka mziki adi raha
Hao wanawake wote wanaejipendekeza wapigeni mashine alfu muachane nao 😃😃😃😃
Hiiiii ndo Ile unae mpenda kampenda mwingine na mwingine na kampenda mwingine hhhhhhh 🤣🤣
Dadazangu msijiumize nafsi zenu kwa mtu asiekupenda kwa sababu pia yey Ana wake anae mpenda
Hii inaitwa unaemwita mpenz wako nae ana mpenz wake 😂😂😂
@@Asia-dq3rt kabisaa ila waambiwa mpende akupendae asiyekupenda achana nae
It's true ❤
Nishatokea jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤😂😂😂😂❤❤😢😢😢
Km tulikua sote kwenye big kaka tujuane huku watu wangu🎉😊❤
Wanangu hasa mnajua kaz
Dah! Nimejikuta nalia japo cjui nalia nn!! Mapenzi shikamooo😢😢😢
Mapenz marahaba😂😂😂😂😂
Wakenya tumeipenda❤❤❤
Jongereni movie nzuri❤❤
Kazi saf san
Zumba wampenda kweli sasha kutoka kwa best friend mpaka hapa upo juu brother 🎉
Leta part 2 tamu sana
Huwa ni hvo unaempenda Ana wake anae mpenda sasa mganyane maumivu 2 hpo swahiba
Tajili kazi nzur xn♥️♥️💪💪💪
Mapenzi jamani, unampenda hakupendi anawake anampenda,,,anaye mpenda naye anawake anampenda😢😢😢😢shida tubu
Hii nayo is true life for everyone km ujptia hii bc bado ongeza bidii😂😂
Bwela na zumba nyiye ni mahanagwe tena sana za burundi mnaniangusha sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mapenziiiiiiii shikamooooo hapa
Kazi Moja safii❤❤❤❤❤
😂😂😂 brother njoo huku nami unisaidie kunakadada kanasumbua akili zang 😂😂😂
Nyieeee huku mapenzi yanaliza watu unae mpenda kamupenda mwingine daa mapenzi shikamo😂😂❤
𝕄𝕒𝕡𝕖𝕟𝕫𝕚 𝕤𝕙𝕚𝕜𝕒𝕞𝕠𝕠𝕠❤❤❤❤
😂😂😂😂😂 nibor utangaze 😂😂😂😂 ahasante kaka mbwela
Jamani nyieee njoooooooni huku kumenoga,mapenzi yaliza watu huku😂😂
😂😂😂😂
Big up sasha
Mbwela is a great number
Huu wimbo mliouweka umu syo mzur, ule wimbo wa kwenye series ya BIG KAKA ndo unaofaa umu please
Vizuri
Kweli unajituma bro Zumba
Mbwela vs Mideko 🔥🔥
Duuuh nishida kwelikweli
Mapenzi marahambaa😢😢😢😂😂
Anakupenda mbwela
Wow❤❤🎉
Nzuri saana❤❤
Nice one good work ❤
Maina is best actress atafanya niendelee kupenda hii serias
Imewezaaaa😂❤❤❤
Kwaiyo ata mpenzi wangu anampenzi wake ngoja nikamtimue
wewe
Nzuri sanaaaa❤
Hiii nayo imeenda ❤❤❤
Ingekuwa vizurisana mngeweka nyimboyalody musick Kubaliingependeza sana
Burundi leo nimewahi❤❤❤
Da mmetsha Sana tunasubiri Nafas ya 2 unyama ni mwing sana
😂Greatest feelings n reality @Zumba Vevo n thy whole team 🎉🎉kudos
Ama kweli mapenzi n kitu chengine cha ajabu sana...Kwa hakika Mapenzi n hisia kutoka kwa mtu na mtu MWENGINE...
Hahhaahah dar mapenz Aya yaachen ❤️❤️❤️
N hii nkwel sio series 😂😂😂😂😂😂nyie mapenzi inauwa watu uko nje inabd serikali iinglie kati😂😂😂😂ata mm nanyoroshwa vbya
Nakukubali sana Zumba ❤❤❤
😭naweye turiyako
Huyu zumba c movie tena hiyo yake, 😂😂😂😂
Anampenda kwel Sasha mana tangu kwa best friend adi uku, si rahisi😂😂😂
Korwa Gusii Kenya Niko Ndani
Mapenzi ya sku hizi yako hvo unaempenda ye ye anampenda mwingine
Yani kwa kifupi katika hii tamthilia ni kwamba...Unaemtaka hakutaki..anataka mwenye hamtaki...na anayetakwa anataka mwenye hamtaki🤨....kwa lugha nyingine ***Mtakwa hatakwikwi.... watching from kenya😂
New movie
haka kanaitwa kamnyororo
Nimekimbilia uku
Mmejipanga kbs 🎉🎉🎉 mapenzi niatar kbs 😂😂😂😂
Iko poa ❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wewe Zumba unanichekesha ety unalia kwa sababu ya penzi dah ujafanana kabisaa umependeza kua jamaa la mititi tu kwa sura hyo yako wee nae watoa machoz😂😂😂😂😂😂pole sana mtu wangu yaitwa Mapenzj
Beautiful storytime for me 🎉🎉❤ the Best creative with 1️⃣0️⃣0️⃣✅ percentage
Zumba mm nakupenda 😂😂😂😂😂😂😂
Nakupenda pia
@@ZUMBAVEVO sasa njoo bas
Unaye mpenda hakutaki anaye kupenda humtaki mapenzi balaaa❤❤😅😅😅 takitaki humpa😂😂😂
jamani Sasha Kila sekta nakukubali Yani kucheka kudeka piah
Hii mapenzi ni Moto jamani 😂😂😂😂next
Hii ndo maaana halisi ya unaempend kampenda mwingine na huyo mwingine nae Ana mwingine
Maskini mbwela mi nampenda anavyo igiza ❤❤❤
Mapenz jmn
Mbona umebadilisha nyimbo
Mmepatia sana hadith yenu ktk mahusiano ,, big up sana❤❤❤❤❤❤❤❤
Mbwela mi nakupenda
Sema maina nimempenda nioe. Kabisa mrembo sana
Zumba na kukubali
Nakukubali pia
Safi kaka mbwela
Uyu Zumba Na Mmi Cwezi Mpenda Ata Buree Cjui Uyu Na Kipara Cjui Bora Nani😂😂😂😂
Jaman! Hujamwambia poa😂😂😂
@@aishaomar2287 Pole Yake Ila Ndio Ivo Yani Kwa Mbwela Na Mmi Apo Twa Weza Pigana Ila Zumba Vitu Viwili Tofauti
Mapenzi shikamoo😂😂😂
Zumba brother wampebda kweli sasha kutoka kwa best friend inatakiwa akuelewe wampenda ukweli.
Mapenzi ni matamu sana tena yanauma sana
Nampenda sana bwelaa😂😂😂
Nawakubali san aisee
Movie yenu kali ila mziki wenu mkali naomba muupunguze kidogo
Duuuuh hii movie hatar xan hak pig up all the team
Mapenzi. Jambo. 😮😮❤❤😅😂😂😂😂
Upendwapo hupapendi wapenda asiekupenda jamani ishkua tabu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mapenzi wewe mapenzi shikamooo 😢😢😢
😂😂😂Zumba emepata reo 😂😂😂umenyooka
🤛👌🤙🤝🙏
Huyu bwela anatoka mkowa gani😂😂jamani. Mm hupenda vile anaigiza . Keep going brother bwele
N mkenya ila babake n mjaluo ila mama n mnyamaezi kutoka tz darsalama
@@user-xv9me9lm6g😅😅😅😅mm Ni Mtanzania na Ni mzamo aliechanganya mndengereko acha miyeyusho bn 😂😂 yaan nimecheka Leo km fala
😂😂😂😂Dar es Salaam Tanzania
Brother Zumba nashida Sana nahitaj tuzungumze kdg
0624883215
Zumba mwanamke kauzu con tawa wa clam vevo campany mimi upenda sana swaga zako kishenzi ila kwa uyu nusra umenizengua kishenzi kula nyapu iyo kulalina zako 😂😂😂😂
Zumba kauzu con tawa wa tz naminia tuu wasema umemuoa mia tano na hamsini hhh kulalina zako
Pambee❤
Hayo ndo mapepenz jaman ach niwe single
❤❤❤
❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂 unae mpenda hakupendi Hahaaaaa
Hiii imekaa mkao sana
Mmedizaini ndo Hali ya maisha tunayoishi
Hv wenzangu mnayaelewa mapenz kweli? wacha tugawane maumivu tu duniani apa tutazikuta dhambi zetu uko juu
Nice
Movie tamuu ❤ more
❤madam mahina nakupenda❤😢