TUNDU (FULL MOVIE)
Вставка
- Опубліковано 14 бер 2024
- Special movie to watch
#clamvevo #comedy #filamu #akabenezer #africawedeytv #snakeboy #africawedeytv #mwakatobe #afrakoma #filamu #amaghanatv #comedy #kicheche #kichechecomedy #joti #xxl #freestyle #freshman #judaai #judai #xxi #cache #behindthescenes #wachawi #mlevi #mwizi #malaya #sengomk #directorkakoso #kiparavevo #mrmwanya #diamondplatnumz #harmonize #mariootz #zuchu #utanioa #nampenda #rayvanny #simbasc #yanga #azamtv #sinemazetu #mapenzi #dvoice #nyimbompya#mistake#nampenda#watakufasaa6#leso#snakeboyseasontwo#mkewangu#kiburi#odi
Latest Nigerian Movie This WeeK
Laughter Nation Comedy Club
South Africa New Comedy
Barry Katz Entertainment
Kenyan Comedy Videos
Ujinga za Victor Naman
Comedy Tanzania 2023
Ghanaian Comedians
aKabenezer Comedy
Kenyan Comedians
Nollywood Movies
Pixar Short Films
Zizinga Comedy
African Comedy
Comedy Video
Ghana PranKs
VicheKesho
Short Movie
NEW MOVIE AFRICA WORLD WIDE
#AMAGHANATV
#CRIMINALGHOST
#GhanaMovies
#NewEntertainerMovies #CelebritiesParties
#GhanaEntertainment #LatestGhanaMovies
#GhanaMovies2018 #BestGhanaMovies #AFRICAWEDEYTV #AKABENEZERCOMEDY
#LIKEEVIDEOS
#TRENDING
#APPLE
#LIVE
#RECENTLYUPLOADED #CARDPLAYGAMES#FAUZY
#AFRAKOMA
#BUSTY
#newkumasitv
#AKABENEZER
#KYEKYEKU #comedy
#MISTAKE
#NAMPENDA
#WATAKUFASAA6
#LESO
#BIGKAKA
#UTANIOA - Розваги
Nakubali sana kazi zako kaka
Unajua sana kaka
good movie
Kaka mbwela mbwana ushakorogeka sasa ushakuwa mlevi sio😂😂😂😂😂😂😂
Kaz nzur sana
Ama kweli wanaume wana madharau saa wakijua mtu ni yatima ila mungu anawaona😢😢ila hii movie iko namfunzo mazuri wallah
Asante sana
Leo mbwela Mbona sikuelewi 😢😢
Hongera Zumba lkn ivi visichana mbona vinakaa vya nongo ata awajaendana na hyo muvi huyo mke wa mbwela na mchepuko wake duh fanyeni muwaeke kina Mideko na Kimu ndio wako chonjo visichana vikomaa mili mpka uso 😢😢😢😢😢
Hiyo movie kwanza mwisho inapea mtazamaji tafakari ingetuacha na suspense huyo dame angepelekwa hosi but ni sawa,Namkubali Clam VEVO sana ni venye hajatoa ingine mpya "mistake imeisha" toa ingine noma baba na crew yako namsalti sana from kenya,
Kaka zumba kazi nzuri sana tuko pamoja
Pamoja sana
Balaaa linaendelea
Kumekucha sasa😂😂😂
Mbwela nakukubali sana
Ila hii character sijapendaaa mbwela😂😂😂
Nakukubal kaka mbwela
Uza duka hiilo -mbwela umeua 😂😂😂
Kaka mwenye busara😢kazi nzuri
Sana
Asante sana
AKUNA KUPOA FAMILIA KAZ KAZ
Kazi kaz
Ata siamini bwela
Haifananii bwela kucheza filam kuwa natabia zakishenzi 😢mana tumezowea kukuona kuwa mwema 😂
Huko ndo kukalili msanii hucheza uhusika wowote umewahi kuona Kaz za mbwela zingine mpaka useme umezoea kuona akiwa mwema kaangalie CHANUO
Kumbe Zumba hua unajibu sms za mashabiki wako??safiii,we love you from Burundi 🇧🇮
Nashukuru Sana
Batuli roho mbaya ...Ka mwili kama skeleton
Safi Sanaa
Kaz iendelee ap ni saf san nawakubal
Good work much love from kenya 🇰🇪
huyu dada aongeze bidii bado hajaweza kuvaa uhusika
ila me Nampenda zumba anavyoengea nikama Ana kigugumizi vile ❤❤❤
Sio km ni anacho
Kwa wanawake wapumbavu wasokua na msimamo hapa dunian wanatesek San na mtateseka sanaa mwanamke gan unaperekwa perekwa Tuu nawe unaenda enda tuu na badoo
Kusha nuka tayari
Mnatangazia Unyanyasaji
Hiyo sio mila zetu
Angalia dhamira ya movie mwanzo mpk mwisho usicoment usichokijua au kukiangalia Kwa umakini
Umekurupuka usingizin
❤🎉❤🎉❤
Kaz poa Zumba
Tundu ya nini hino tena😂😂😂mtupe majina mazr ya movies bwana
Mbona umefika mbali sana😂😂😂😂
@@Zeldaommy amba nataka kujua ni tundu ya Aina gani mm Usoma comment kisha ndio nikaangalia movie
Wewe ndo unamaanisha tofauti
@@ZUMBAVEVO au sio
Nimekuelewa baba zumba siwajua lazima watu wachekeshane ndio siku ipite. By the way kazi nzuri sana 🙏 mungu awaongezeee kipaji zaidi
Nakubali uwezo wko
Nakubali kaka unaweza pia
Kazi nzuri sana kaka mbwela
Jamani tunaenda wapi???
Bwela na gang yako siwezi kuangalia kazi zenu tena
I'm going to unsubscribe
Sisi Kazi yetu Ni Sanaa kuelimisha ,kuburudisha pia kukosoa. Tunayoigiza kwenye movie zetu yapo mitaani na maishani mwetu kikubwa angalia elimu na mafunzo ya Kaz sio tu kukosoa na kulaumu kikubwa angalia mwisho wa movie na dhamira na Kisha pia angalia coment za wenzako angalia mlolongo mzima wa Kazi zetu utagundua kitu
Wajuwa siku zote usihukumu moja kwa moja angalia vzr sio kwa ubaya 😂😂😂😂😂😂😂
@@mbwelamedia3469kweli kabisa bro
Kaka zumba naomba title ya lile wimbo aloleta mapenzi ni Nani sijapata jibu
Msanii anaitwa mtiifu
@@ZUMBAVEVO thanks dear
Tundu ni jina mbaya kusema ukweli
Hivi ww ukiambiwa TUNDU unafikilia nn kwenye kichwa chako hapo ww ndo umemaanisha vibaya
Kuna TUNDU la shimo kuna TUNDU la sindano Sasa ww umemaanisha nn ulipoona Hilo jina
@@ZUMBAVEVOndugu yangu uyu anasema kwamba tundu ni jina baya ina wezekana kwasababu ya viswahili tofauti, kwa mfano apa kongo asa apa Lubumbashi 🇨🇩 ukisema tundu ina maana mbaya sana