Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
Kijana wa Kundi la The Tenor's Florence Chalo alivyo Imba Zaburi kwa Sauti Nzuri Jumatatu ya Pasaka.
Вставка
- Опубліковано 12 кві 2023
- THE TENORS NI CHANEL ILIYO ANZISHWA KWA AJILI YA UINJILISHAJI KWA NJIA YA NYIMBO
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpenzi Mtazamaji wa THE TENORS. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Channel Maalum kwa Ajili ya Kukuinjilisha kwa Njia ya Nyimbo Takatifu za Kikatoliki kutoka kwa Vijana wa The Tenors. Mungu Akubariki Daima
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: thetwelvtenors
Facebook: Tenor's Tanzania
Napenda sana zaburi za huyu kijana. Mungu amekujalia sauti nzuri nawe unaitumia vyema. Siku moja naomba Mungu atukutanishe tuimbe pamoja. Mungu azidi kukubariki ndugu🙏🥰❤️
Asantee sana marymondingmimina karibu sana the Black Tenors tuimbe pamojaaa
Great vocals
Hongera sana. Sauti yako kwa kweli ni nzuri. Mtu hachoki kukusikiliza. Nashukuru Mungu kupata fursa ya kusikia sauti yako. Nawe endelea kumwimbia Bwana hakika atakujalia neema zaidi katika kipaji chako alichokupa.
Hongera sana
Barikiwa sana mtumishi
Saf sanaa kaka umeimba vizuri sanaaaa👏👏👏🤝🤝
Kazi nzuri sana kaka. Ubarikiwe.
It's awesome voice. Very proud of you!!!!!!
He sang very wel!. Mungu atukuzwe
Jamani , kijana anaimba vizuri Mungu akikuze kipaji chako
Great great! Utukufu kwa Mungu
Huo ndiyo ukuu wa Mungu, hugawa vipaji kadri ya mapenzi yake! Sifa na utukufu ni kwake yeye atumiminiaye vipaji na kârama tupate kudhihirisha ukuu wake!
Be blessed siku tulipiga kolabo na mm hakika itakuwa njema sana
Wow! incredible.
😂😂Tanzania oye
Amina ubarikiwe sana
Amina baby mwamtemi Mungu akibariki pia kwa kuwa pamoja nasi The Tenor's
Hongera sana kaka
❤
You are blessed with such a unique voice.blessings
Amina Rosina Kithinga God bless you to
Wow, I have been longing to hear the new psalm tunes from this guy, he does it so well. I heard another tune from another person UA-cam. Titled ndipo niliposema, tazama" would love to hear more from him. Am a psalmist too
Am😂
Amina
L
L ❤
Kanisa katoliki lidumu daimaa maana wakatoliki tunajivunia sn