Amina sana huu wimbo hakika unanitoa machozi Kila nisikilizapo naamin mungu ni mwokozi, Sina Cha kukupa maana wewe ni mungu ambaye unastahili sifa Kila wakati Amina Amina kwa utume Bora ⛪⛪
Amina wakirito wezangu Amina Amina nakumbuka mbali sana nikiwa omani ipo siku nitakuja kuungana na kuwa muumini mwema nakuona na raisi wangu Mangu furi musukuma mwenzangu wa mwanza na mimi mtu wa mwanza misungwi
Mungu wangu ndo anipaye vyote na vyote ni vyakwake mbere yake ndo natumaini
Mungu azidi kutuimalishia imani wakatoriki wenzangu maana ndo kila kitu kwetu bila yeye atuwezi kitu
Amina sana huu wimbo hakika unanitoa machozi Kila nisikilizapo naamin mungu ni mwokozi, Sina Cha kukupa maana wewe ni mungu ambaye unastahili sifa Kila wakati Amina Amina kwa utume Bora ⛪⛪
Amina wakirito wezangu Amina Amina nakumbuka mbali sana nikiwa omani ipo siku nitakuja kuungana na kuwa muumini mwema nakuona na raisi wangu Mangu furi musukuma mwenzangu wa mwanza na mimi mtu wa mwanza misungwi
Nahisigi Nipo mbinguni Catholic RAHA sana
Asate sana mungu asindi kuwalinda pia awape nguvu muendee hivo msikate tamaa na msirundi nyuma
Twendeni ndugu tukatoe zawadi zetu Kwa bwana
More grace to the choir
Asante sana mungu kwa upendo wako
DAAAAAAH BEST SONG KWELIIIII ZINANIKUMBUSHA ENZI HIZO NATUMIKIA KANISANI 🤩🤩🤩🤩🤩
Asante Kwa nyimbo.....
Asante sana kwa hizi nyimbo
🎉🎉
Asante sana kwa kufuatilia na kupendezwa na nyimbo. Mungu akubariki sana.
😊😂😂@@ImaniKuu
Asante kwa nyimbo mzuri
Imani zetu ziimarike kwa nyimbo hizi
Nahisi amani ya moyo wangu
Nami ninafurahi sana Kwa nyimbo hizi.Mungu awabariki.
Ee mungu nipe moyo wa ukarimu
Amina🙏🙏
👍👍
Melody nzuri jaman ZA katoliki
Nyumba za baraka sana asanti sana
Asante sana naona nikama ninatoa sadaka yangu kwa kanisani kumbe Niko soud
🤣🤣🤣🤣. Hongera sana, endelea kubarikiwa na nyimbo hizi tamu.
Tunafarijika Sana
Asante kwa kazi nzuri mungu awabariki
Nyimbo nzuri
Asante yesu kunifanya mkatoriki nabarikiwa sanaaa
I really love catholic songs am a catholic
Amen
Nice melodies ❤❤🎉
Tunabalikiwa sana na hiding nyimbo
Nice song
Thank you. Be Blessed.
Emungu nijaze nguvu na baraka zako daima usiniache milele nitakutumikia ee,Mungu wetu wewe ndiye mwingi wa Rehema amen.
Asante Mungu kwa upendo wako
Tumtolee mwenyezi mungu
Thank u God for living
Asante sana tunashukulu kwaizinyimbo zasauti tanu
Asante kwa kutubarikisha na nyimbo nzuri
Amina
R.I.P my president
Asante Bwana kwa wema wako
Utoe kwa moyo munyenyekevu😅
Hadi laha kusikiliza hizi nyimbo
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nyimbo nzuri sana
Nimependa remix ya Mungu Baba pokea
Asnt sn mung wng
Asnt sn
0:51 audio
Ahsant tunabarikiwa Sanaa MUNGU abariki
Nice song
🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏