MUNGU UNIHIFADHI MIMI , KWA MAANA NAKUKIMBILIA WEWE...
Вставка
- Опубліковано 24 лис 2024
- Mungu unihifadhi mimi, unihifadhi mimi,
Kwa maana nakukimbilia wewe
Unihifadhi mimi, unihifadhi mimi,
Kwa maana nakukimbilia wewe...
Picha hizi zinatengenezwa na TUMAINI MEDIA. Matumizi yoyote ya picha hizi ni marufuku bila idhini kutoka TUMAINI MEDIA
Hakimiliki © Tumaini Television - Haki zote zimehifadhiwa.Tafadhali Endelea Ku- Subscribe akaunti hii na bonyeza alama ya Kengele ili kupata taarifa zetu kwa wakati sahihi.
Zaburi tamu sana ikisomwa hivi hallelujah
Zaburi tamu❤
Waooooh wonderful 👏👏👏
Huyu kaka ameimba vizuri sana, Malaika washangilia mbinguni. Alleluyia
Amina
Amina sanasana
Hiyo sauti sasa🔥🔥
Halleluya
Mdau😂😂
Jina la bwana lihimiddiwe
Ni zaburi kifungu gni
Amen
Tuwekeen nota za za izo melod Tami san
Amina