R.i.p mze majuto i realy with ungelikua hai nikuone japo limoja tena nicheke mzewetu duh those guys was very talented makofi tafathal love from burundi we grow up watching this guys till today mama humpenda senga hafikufa 😂😂😂😆
Mzee majuto alikuwa kichaa yaani aliathirika na comedy mpaka ukimuona tu hata kama haongei utacheka, nilishakutana nae hsptl tanga alikuwa anaumwa nilimuuliza vipi mzee majuto kwema lakini hilojibu mpaka manesi na watu wengine walicheka. Anamkiwa na nesi anajibu wengine wanacheka akauliza jamani mbona mnanicheka kila nikiongea mjukuu wake akamjibu babu wewe si unachekesha, ilikuwa ni muda mzuri sana lakini baada ya hapo hakuchukua muda sana kumbe ilikuwa serious nilijisikia vibaya sana mzee wa makorora wadeka kutuacha wakati bado tulimuhitaji, Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi na amsamehe alipokosea.
*Nakupenda ni wimbo maalum kwa wapenzi waliopo kwenye mahaba mazito sana, huu ni wimbo mpya toka kwangu bofya picha pembeni 👈💕💕 kuutazama naamini utaupendaaa*
Mungu amlaze Mahala pema peponi Mzee wetu king majuto natamani angekuwepo hapo kwenye cheka tu.. ila wapo watu wake wa urithi Kma hawa senga na pembe..
Kat ya miamba hao wakali nawakubali sn Senga na Pembe n watu ambao wanatupa nguvu ya kukaza kwny sanaa sisi vjana kumbe kuna sku MUNGU anabariki unaonekana mbali na unapata saport
Hongera Sana cheka 2 kwa kufanikisha hili kwa wazee wetu unajua kauli ya Mzee akisema Asante hata kwa kidogo ulichompatia ni baraka kubwa sana mbele ya MUNGU unapataa muendelee na kuwakumbuka wazee wengine kwenye Taaluma hizo za uchekshaji 🙏🙏
Ni kweli senga na pembe unaweza ukatazama sanaa yao ukiwa na familia bila hofu yeyote si sawa na baadhi ya muziki unaochezwa hapa nchini kwa sasa, ni hatari

Pole ndugu yangu unafikambali kubaliana namatokeo😢

Meshinda kukoment!! I real miss this chemistry, Wali fanya vizurii hamna mtoto ambaye hakuwajua hawa wazee Kwa vituko vyaoo
Nimekuja baada ya kifo cha Pembe... Much love kwa Senga na Pembe ❤. Nategemea kumuona Senga kwenye majukwaa kama haya zaidi
Ndio
SENGA na PEMBE sijawahi kuacha kuwapenda...big up sana kwenu
Koy Mzungu Barikiwa sana big up sana kwako 🙏💪💪💪
Pembe ameshazikwa Jana maskini
Wazee wapo vizuri....si Tanzania tuu pekee hata huku Kenya tunawatambua ,pongez sanaaa
KOY is a good and great Guy, hili jambo ya kuwaalika hawa Maegend ni Baraka tosha, MUNGU akubariki sana KOY MZUNGU.
Key Barikiwa sana aseee 🙏🙏
R.I.P Pembe tuliokuja baada ya kifo cha pembe like hapa😢😊
R.I.P Pembe hakika tutakukumbuka, Raha ya milele umpe Eeh Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike Kwa Amani 🙏⛪😭😭😭😭😭😭😭😭
@@Farhya-d6l amen
Umemjua pembe baada ya kufa?!! Aisee 😂
@@jrluhombo hapana nmesema tulioangalia hii clip kama ukumbusho wa enz za uhai wake siyo nmemjua leo
Nimekuja Leo ila awajamaa walikua atarisana mungu apanguzie azabu mzee pembe
Uongo dhambi jmn Hawa jamaa wapo vizuri aiseee
REST IN PEACE MZEE MAJUTO NIMETAMANI UNGEKUWA HAPA NA HAWA MA LEGEND WENGINE...👏👏👏
Congole senga and pembe big bigg talented yes we can 👏👏👏👏👏👏ilovely all the time my name is emma the boy from mwanz tz
*Nakupenda ni wimbo maalum kwa wapenzi waliopo kwenye mahaba mazito sana, huu ni wimbo mpya toka kwangu bofya picha pembeni 👈💕💕 kuutazama naamini utaupendaaa*
This was amazing dance:
ua-cam.com/video/rDeBbqkwNH8/v-deo.html.
Nawapenda❤❤❤❤😃😃😃😃😃😃😃
Nawapenda sana Mungu azidishe umri kwenu,,baraka za Mungu ziwe juu yenu
I love this one for sure be blessed cheka tu for bring this two icons
Hawa jamaa mungu awape umli mlefu maana dah wanachekesha sana😁😁😁😁😁❤❤❤❤😍
hawa waheshimiwa they are true legend, wanatumia lugha ya kuchekesha na ya kufururahisha, Good might bless you all
Fare thee well legend lala salama mxeee from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu amlaze Mahala pema peponi Mzee wetu king majuto natamani angekuwepo hapo kwenye cheka tu.. ila wapo watu wake wa urithi Kma hawa senga na pembe..
Coy mzungu acha kiingereza kwenye show za kiswahili mdogo wangu
Ukweli chekatuu.! Iko vizuri sana iendelee kuibua vipaji kwa vijana
Senga &Pembe bonge moja la combination
Aseee nimecheka sanaaa nawakubali toka nawajua🤣🤣🤣
always they have good performance...I do appreciate more SENGA ..even though both are better ...
Nakubali Sana Ma Legend 👊👊👊
Mnapendeza sana wa baba zetu mungu awajalie muishi miaka mingi
Daah!!hawa watu ni hatari utacheka tu wataka utaki😅😁😁
Mungu akulaze mahala pema pepon Amina pembe❤❤❤
SENGA na PEMBE Ni balaa saanA aisee 😅😂🤣
Nimecheka kwa sauti jamani duu 🙌🙌nyie wazee kiboko sana 😘😘🔥🔥
Bangaradeshi
Bangali@@HappynessJapheth
Always awa wazee wanajuwa Sana sanaa Yani wapo very unique 🔥🔥
Napenda sana kazi ya Hawa ndugu.
Ixy
Senga na Pembe wananifurahishaga sana hasa hayo matusi ya Senga eti Bangladesh yaani nimecheka sana
Kat ya miamba hao wakali nawakubali sn Senga na Pembe n watu ambao wanatupa nguvu ya kukaza kwny sanaa sisi vjana kumbe kuna sku MUNGU anabariki unaonekana mbali na unapata saport
Bible Study 😂😂😂 may God bless you.
Hongera Sana cheka 2 kwa kufanikisha hili kwa wazee wetu unajua kauli ya Mzee akisema Asante hata kwa kidogo ulichompatia ni baraka kubwa sana mbele ya MUNGU unapataa muendelee na kuwakumbuka wazee wengine kwenye Taaluma hizo za uchekshaji 🙏🙏
Shabiki tuko wengi tunaodaiwa na hawa ndg wawili. How about utaratibu kuwasapoti buku buku waishi vyema?
Wew huna akili vzur mpe hizo zako
Ila senga anavituko sana 😂😂😂
Muelewe nyie watu tunawapenda sana, ilikuwa sio shida kukaa na watoto na wabibi na babu kuangalia TV kipindi hicho bila hofu!BIG UP!
Ni kweli senga na pembe unaweza ukatazama sanaa yao ukiwa na familia bila hofu yeyote si sawa na baadhi ya muziki unaochezwa hapa nchini kwa sasa, ni hatari
Congole xana sennga and pembe i lovely our telent is very nice and fantastic god bless my name is emma the boy from mwanz tz
Congole xana sennga and pembe i lovely our telent is very nice and fantastic god bless my name is emma the boy from mwanz tz
@@georgeshigela3643i
Kweli kabisa 😂😂😂❤❤❤👊🏽👊🏽👊🏽🤝🏽🤝🏽🤝🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Wanyamaaa wa kaziii comedian
This was amazing dance:
ua-cam.com/video/rDeBbqkwNH8/v-deo.html
Mungu awatunze nyie ni watu muhimu saana ktk taifa hili ..pongezi kwa uongozi wa cheka tu ❤
Daah! love Sana nyinyi watu❤❤
Mungu amrehem sana mzee wetu pembe duh! Inasikitisha sana
Non non ils sont whaouuu 😅😅😅😅😅, je m'abonne déjà ❤❤❤❤
Mungu amrehem huko mzee wetu na amsamehe makosa yake amiin 🤲❤❤❤
Allah ampe kauli thabit mzee wetu hanaga baya kbs na mtu yyt
Senga and Pembe in The Cheka Tu house that's awesome 👏👏👏👏👏👏😍😍😍
nice
upo vzr kwa kumkumbka mzee we2
Kweli kbs walituchekesha sanaPembe long live Senga hongera sana nyie ni vioo
They're so funny I really love them
Inna Lillah wainna illah rajiun 😢😢pembe ALLAH akupe kauli thabit
Nawpenda Sana Hawa wazee siku nilipo kaa nao licchimond hoter nilipata furaha Sana alafu mzee senga ,pembe 👏
Nawapenda Sanaa asee Mungu awape maisha marefuu mno❤
Mungu awape maisha malefu
God is good to see amazing things like this 1981
Mungu awaweke wazee wangu nije kuwaona Tena
Ahahaha hatare saaana 😁😅😆😄😃😁😁
Na enjoy sanah, nikiwaonah hawa jamaaa
much respect kwao🙌🙌
😂😂😂😂😂Hawa wazee ni nomaa😂😂😂😂
Nawa penda sana kbx wanaweza❤❤❤❤
broo wasaidie hawa wazee wako sawa sana
This was amazing dance:
ua-cam.com/video/rDeBbqkwNH8/v-deo.html
Hao watu ninavyowapenda, nitahudhuria Cheka 2 daima!
Aisee awa ni ma legend nimecheka sana Bible study 😂😂😂😂
Watu walikuwa wagumu kweli akuna hata alisimama kuwapa hela
Allahumma ghufirlahu warhamhu waaskinahu filjannat 🤲Mzee wetu Pembe
waaaaah aki huyuuu senga ananibamba Sana ety Bible study🤣🤣🤣🤣🤣
This was amazing dance:
ua-cam.com/video/rDeBbqkwNH8/v-deo.html
😂😂😂😂😂😂 senga mizinguoo sanaaa ety bible study, 😂😂😂😂
I like more legendary they perform well
Ma legend ktk ubora wao
Legends wako vizuri saaaana
Mungu awepe umr mref wazee wang
Daah ila kifo aisee 😢😢Mzee pembe katuacha pia ghafla Kweli kifo hakina uruma,Allah akurehemu mzee pembee i will miss u my grandpa
Nimelia sana jana tumemzika mzee pembee😢😢😢
By rapha jr form mwanza cheka tu inanifuraixh xn ata nikiwa na mawazo yanaixhaga kupitia cheka tu bigap xn
Mko vizur hongeren
This is very exciting.. nimekumbuka mbali mno,enzi hizo kwenye tamthilia na deki za matofali 😄😄
Hahahahaha...uuuu..deki za matofali, so fun ..ni muda etty
Hao ndo wanao jua comedy. Sio comedy njaa
Coy barikiwa sana
I really Like To see This legends Here❤❤😂😢
Coy una utu sana we jamaa
Amini yaani
This was amazing dance:
ua-cam.com/video/rDeBbqkwNH8/v-deo.html
Jamaniii mmi nawependa sanaaaaaaa
ua-cam.com/video/oUIqElfnzPA/v-deo.html
This was amazing dance:
ua-cam.com/video/rDeBbqkwNH8/v-deo.html
Nice job senga na pembe
This guy is very talented in nature.
Uwiii😂😂nimecheka. Nawapenda sana
hawa sasa ndio wachekeshaji wengine wote makolo
Absolutely 🎉🎉👊🏽👊🏽🤝🏽🤝🏽👏🏽👏🏽
❤❤❤❤❤❤❤❤ pembe
Awawazee wakalii😂😂😂Sanaa
Hongera coy wachukue tu is so sad imenigusa
😀😀😀😀 nakubal wahunii wa kaleee
Nimecheka kwa voice hili Dari linavuja rest in peace pembeee
Nice to this guy's pull up guys nynyi waTz ni mashemeji wenu
Senga jamaniiii angekua kijana nyakati hizi daaaaah angefika mbalii
Hii imeenda
Is so nice 👍👍👍
Pembe🤣🤣🤣🤣sambaa language 👉"yuhi uyu mhuni? ""
Wamekuwa mfano mzuri wa kuigwa katka sanaa ya ucheshi kiukweli waliaza katika mazingira magumu Kwa kipindi hicho
Kaka ume ua sana kuita hao senga na pembe penda sna mungu uku zidishie
Hahahahaaaaaa..... Bible study🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapa marehem mzee Pemberton kama alikuja kuaga innalilah wa inna ilayh raju-uun
Nawakubali since longtime 😂😂
Wewe
Hawa wazeee watufurahisha sana,Bangladesh,
🙌🙌🙌🙌🙌 here in 2024 October 4 still enjoying the show 🎉🎉❤
Love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kwakweli acha niunguze mboga tuu😂😂😂😂😂👉
Hahahahahaha jamani mbavu zangu mie nawapendaga San nyie jamani