ROASTING LEONARDO, NALIMI(YANGA) VS NDARO,SAID (SIMBA)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 473

  • @raphaelmwombeki4594
    @raphaelmwombeki4594 2 роки тому +78

    standup comedy Tanzania miaka ijayo itakua mbali sanaa. congrats Coy for such genious vision!

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 2 роки тому +38

    Leonard... Yuko Top... Na ndio Unaibeba Cheka Tuh... Wew Ni ⭐... Endeleza Maubunifu Broo...

  • @furthernelly7084
    @furthernelly7084 2 роки тому +18

    🤣🤣 iko poa Sana sema kuwaattack watu directly na majina yao juu sio poa kabisa

  • @abduljuma4330
    @abduljuma4330 2 роки тому +18

    Ndaro all time is the best......umeyaona meno ya yule dogo hahahahhahh

  • @innocentfocus9217
    @innocentfocus9217 2 роки тому +59

    Simba wametafuta msemaji halafu hawajatafuta cha kusema😂😂😂 Leonardo🙌🏾🔥

  • @HOfaza
    @HOfaza 2 роки тому +22

    Daaah😂😂huwaga nikichek cheka tuu huwaga kweli nacheka, ilaa hapa leo nimchekaa vibaya😂oya izi ndio zakutupaa jamani🤣🤣 waongezewe posho hawa waliofanya hii🤣🤣😂🔥

  • @zawadilutufyo231
    @zawadilutufyo231 2 роки тому +35

    Aweeeeeeeeeeeeeeeeeee leonard shidaaaaaaa!! Aisehhhhh tumuache hana mpinzani🤣🤣🤣

  • @elenzianjk5543
    @elenzianjk5543 2 роки тому +58

    timu zimebalansi vibaya mno, wamejiandaa vyema...it takes mental flexibility and thoughtfulness to deliver right jokes..these guys are super geniuses!!!

  • @keshenimagilo8190
    @keshenimagilo8190 2 роки тому +71

    Hahahaha I'm young africans, Leonardo killed it

  • @benjaminsemwenda3152
    @benjaminsemwenda3152 2 роки тому +7

    Nalimi ni best comedian wa muda wote yupo creative sana huyu jamaa....

  • @Lilcfanstv9
    @Lilcfanstv9 2 роки тому +15

    Umeona MENO ya huyoo dogoo..😅🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌟🌟🌟🌟🌟

  • @Tanzania_habari1
    @Tanzania_habari1 2 роки тому +9

    Ndaro mbingu Utaisikua2🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 2 роки тому +15

    Huyu Ndaro ni Moto Sana mixer Leonard... 🔥

  • @zenangongoro574
    @zenangongoro574 2 роки тому +13

    Ndaro unajua mpaka unakera 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @tumkithemr933
    @tumkithemr933 2 роки тому +15

    Ndaro bhaaaana ati forward soap na beki ni mwamnyeto!! 😅😅

  • @fredrickdaudy4798
    @fredrickdaudy4798 2 роки тому +10

    Leonard umetisha kinoma broo😂😂😂😂😂💪💪🙏🏽

  • @nasibyahya9778
    @nasibyahya9778 2 роки тому +8

    Yaan we ndaro huwaga unachukuwa point zote za leonald sijui amekukosea nn 🤣🤣🤣🤣

  • @milezlyon7043
    @milezlyon7043 7 місяців тому +2

    Kutembea na miguu ni maixh ya jangwan dog umetixhaaaaaa we atar xanaaaaa yaani we 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MaaDsoft
    @MaaDsoft 2 роки тому +15

    Cheka tu inatufanya tusahau kama tunamaden yanje nandani😁

  • @georgegivan7124
    @georgegivan7124 2 роки тому +28

    Nalimi and ndaro My favorite 😂🖐️

  • @newgeneration9524
    @newgeneration9524 2 роки тому +8

    Huyu Said Said awe makini kuchagua topic coz huwa mara nyingi ni kama anakiuka maadili

  • @Heal-with-Dodo
    @Heal-with-Dodo 2 роки тому +26

    Aisee leornado alideserve ile milion 10😂😂

  • @directorimmah_vfx3043
    @directorimmah_vfx3043 2 роки тому +15

    ndarooo na NALIMI sio wat wakawaida

  • @Conshamusic
    @Conshamusic 2 роки тому +33

    Ndaro Is Genius 😂😂🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @ndikolanilwechagavalye
      @ndikolanilwechagavalye Місяць тому

      ndaro hajui kama leonardo yanga bwinga msimu huu makombe yote twa chukua🏆🎖🏅

  • @dottocharles9645
    @dottocharles9645 2 роки тому +12

    Leonard na malimi mmeuaaaaaaa

  • @mukasaisaya3221
    @mukasaisaya3221 2 роки тому +2

    umeona meno y uyo dogo atakuw yang uyoooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 atariiii san ndarooooooo

  • @PhilemonRichard-rt7yd
    @PhilemonRichard-rt7yd Рік тому +3

    namkubali Sana Leonardo 😁😁😁😂

  • @bonifacehamis4088
    @bonifacehamis4088 2 роки тому +12

    Leonard anajua sana 🔰🔥

  • @Donrugi
    @Donrugi 2 роки тому +81

    Leonardo and ndaro killed it 😂😂💪📌

  • @browrinah9357
    @browrinah9357 2 роки тому +29

    Wana yanga sisi hatukosagi maneno 😂😂

  • @imaasulle
    @imaasulle Місяць тому

    Ndarooo nakukubali lakn sehm umefeli kuxhabikia simbaaaaa😅😅😅

  • @jacktons8614
    @jacktons8614 2 роки тому +13

    Ndaro we ni Yanga mtupu😂😂😂

  • @mhadajr1122
    @mhadajr1122 2 роки тому +6

    Ndaro bna ety soap na mwamnyeto daah 🔥🔥🔥🔥

  • @Sangaligospel
    @Sangaligospel 9 місяців тому +2

    Hiii kazi naiweza sana nipo geita natamani sikumoja nipige ucheshi hapo naombeni nafasi hata maramojatu

  • @meshack3266
    @meshack3266 2 роки тому +11

    dah ndaroooo 👌👌👌👌👌👌👌

  • @kharidmadanganya
    @kharidmadanganya 8 місяців тому +2

    Mambo yamefana na Leonardo ni genius kweny Cheka tu.

  • @zenangongoro574
    @zenangongoro574 2 роки тому +8

    Ndaro your my rol modal unajua sana kaka

  • @MichaelGarama
    @MichaelGarama 11 місяців тому +1

    Yanga juu hta mm kutka Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 I salute you sana

  • @HenryHenry-z4b
    @HenryHenry-z4b Рік тому +2

    Oaa ndaro atengweeee😂😂

  • @kitunganolw
    @kitunganolw 2 роки тому +28

    Ndaro king of battle ❤️‍🔥

  • @lamackjoh2976
    @lamackjoh2976 2 роки тому +1

    😆😆😆hapo Kwa sopu na mwamnyeto ni 🔥🔥🔥😆😆

  • @ammyskills5588
    @ammyskills5588 2 роки тому +23

    Ndaro question = 13:15 answer = 13:27 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌

  • @adamsiwakwi8691
    @adamsiwakwi8691 2 роки тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wote wameua ila nakwendana NDARO

  • @Maryam-ij9nr
    @Maryam-ij9nr 2 роки тому +5

    Simba piga keleeeeee🤣🤣🤣😆😆😆😆

  • @ammyskills5588
    @ammyskills5588 2 роки тому +26

    Kama umeielewa statement ya daima mbele nyuma mwiko ngonga like twende sambamba 😂😂 10:26

  • @MeimosiGailanga
    @MeimosiGailanga Рік тому +1

    Uongo dhambi nawepanda wote🥰🥰

  • @walterchilumba8302
    @walterchilumba8302 2 роки тому +12

    Soap vs mwamnyeto 🤣🤣

  • @nasirirashidi4350
    @nasirirashidi4350 2 роки тому +12

    Huyo jamaa koti jeupe Ana madini ya hatariii

  • @SalomeMwangoje
    @SalomeMwangoje 9 місяців тому +2

    Mimi ni yangaaaaaaaa timu lonald gonga like hapo 🤣🤣🤣

  • @DianaMalley
    @DianaMalley 5 місяців тому

    Makolo kusajili 2 ila kuchukua kombe ahha😂😂😂😂

  • @joshuatz4616
    @joshuatz4616 2 роки тому +2

    Hapo hapakua na usawa aisee yaaani naalimi na leonard wapo upande mmoja duu

  • @worldfootballer3660
    @worldfootballer3660 2 роки тому +17

    Leonardo the genius✊

  • @esnathabyudy8039
    @esnathabyudy8039 2 роки тому +1

    Side,,,,utanisamehe broo,,,😂,,am yanga leonard killed it.

  • @japharyedward8219
    @japharyedward8219 2 роки тому +11

    Leonard & Nalimi wametisha... 🔥🔥🔥

  • @khadijanjama8721
    @khadijanjama8721 2 роки тому +7

    Nyie punguzeni volume 😃😃😃😃😃

  • @joebevinngombeyiguta4853
    @joebevinngombeyiguta4853 2 роки тому +39

    Leonardo youre so talented bro😂😂

  • @wapole5620
    @wapole5620 2 роки тому +1

    Leonardo na ndaroo combination imekubal wazee🙌🏾🙌🏾

  • @LoydaFundy
    @LoydaFundy 6 місяців тому

    Daima mbele nyuma mwiko ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Stays_Shopping
    @Stays_Shopping 2 роки тому +8

    Ndarooooooooooo😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ifrahashery2289
    @ifrahashery2289 2 роки тому +1

    Hahahahhah ndarooo umenichekesha

  • @iancharles4052
    @iancharles4052 2 роки тому +3

    Naomba @Ndaro@awekewe sanamu juu ya mlima kilimanjaro

  • @shujaashujaaad2
    @shujaashujaaad2 Рік тому

    Ndaro😂😂😂😂 noma sana kaka

  • @pix_1lyrics777
    @pix_1lyrics777 2 роки тому +3

    Ndaro umeua Sana 😂😂😂

  • @hawakinyonge5780
    @hawakinyonge5780 2 роки тому +6

    Ndaro ni balaha😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌

  • @raymullah
    @raymullah 2 роки тому +3

    Daima mbele nyuma mwiko," they didn't get the joke 😂😂

  • @hansmosses9422
    @hansmosses9422 2 роки тому +10

    Nawakubali sana nalim n Leonardo na nmefrah kuw nyie n YANGA 😁😁 mnajua hatar

    • @alakhy9448
      @alakhy9448 4 місяці тому

      NALIMI NA LEONARD WANAFANANA UCHEKESHAJI WAO .
      NI WACHEKESHAJI WANAOTUMIA AKILI SANA..

  • @blessjacob9196
    @blessjacob9196 2 роки тому +9

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mmeuwa 🙌🙌🙌🙌

  • @gutwenganiumutihostmcfurahisha
    @gutwenganiumutihostmcfurahisha 2 роки тому +8

    Nimeirudia kuicheck mala4

  • @israelngapona4225
    @israelngapona4225 2 роки тому +19

    Mi Nadhani Nalimi alipaswa Kuwa Different Team na Leonardo📌

    • @Jijuw
      @Jijuw 2 роки тому +2

      Nalimi ni Yanga

    • @PJaofficial
      @PJaofficial 2 роки тому +1

      Kabisa wangekuwa tofauti ingependeza hata kama wote yanga

  • @danielsunghwa487
    @danielsunghwa487 Рік тому +1

    Leonard umetishaaaaaa kaka love you so much😍😍😍😍😍

  • @adolphriwa3857
    @adolphriwa3857 2 роки тому +5

    Mechi kali aiseeeee safi sn

  • @ibrahimsadick6137
    @ibrahimsadick6137 2 роки тому +36

    Kwangu imekaa ivi leo
    1 Ndaro
    2 leonardo
    3 Nalimi
    4 saidi

  • @bullychandy6509
    @bullychandy6509 2 роки тому +9

    Nalimi amePloud alìchokifanya Leo dak 2:17 🔥🙌😀😀

  • @milezlyon7043
    @milezlyon7043 7 місяців тому

    Ndaro umetixh mpak wanamuuliz mwenzio mmetumia njia zp il wazitumie mxixem kilichobak 😭😭😭tu ndo zao

  • @JimmyMwehutz
    @JimmyMwehutz 27 днів тому +1

    NAAMINI MIMI COMMEDIAN ONEDAY NITA SHIRIKI CHEKA TUU JAPO SIJATOBOA NA VICHEKESHO VYANGU❤❤

  • @templerfx4212
    @templerfx4212 2 роки тому +32

    NALIMI NOUMAAAAAH AM YOUR NUMBER ONE FUN 😅

  • @yyr111
    @yyr111 2 роки тому +8

    Soap vs mwamnyeto😂😂😂😂😂😂

  • @abdulmalkiamasi1115
    @abdulmalkiamasi1115 2 роки тому +1

    Ndaro unajua kiukweli 😂😂😂😂

  • @mussakaswezi1480
    @mussakaswezi1480 11 місяців тому

    me nawakuli sana😂😂😂😂😂

  • @Khavanny
    @Khavanny Рік тому

    😂😂😂cheka tu ni balaaa sana

  • @nafixdeclever5135
    @nafixdeclever5135 2 роки тому +10

    😂😂😂😂😂😂😂😂 yanga bingwa

  • @lwitikomwamasika5608
    @lwitikomwamasika5608 2 роки тому +7

    Ndaro 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @mguliproperty9469
    @mguliproperty9469 2 роки тому +12

    Yanga💛💛💛💚💚💚

  • @budaboy6480
    @budaboy6480 2 роки тому +5

    Ndarooo 💯💯💯👍👍 fundi

  • @innocentmalya9472
    @innocentmalya9472 2 роки тому +3

    Awawatu wawili wapo lec

  • @munashabani7725
    @munashabani7725 2 роки тому +3

    Eti Simba wa yuda 😂😂😂😂💞💞💞

  • @victormartin1696
    @victormartin1696 2 роки тому +21

    Nalimi is the backbone of Cheka Tu

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 роки тому +1

    Leonardo umetishaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💕💕💕💕💕💕

  • @kelvinmazyeta467
    @kelvinmazyeta467 2 роки тому +2

    we jamaah wa yanga co pouwah umetishah.

  • @yudamagesa6544
    @yudamagesa6544 2 роки тому +11

    Yanga oyeeeeeeeeeee oyeeeeeeeeeee

  • @g-luwetv1377
    @g-luwetv1377 2 роки тому +1

    Mnajuaa aise, mwisho wa stress ni hapa sio pombe

  • @official_juju01
    @official_juju01 2 роки тому +7

    Teams young 💚💛 make some noise 🗣️🗣️

  • @BarakaNdulu
    @BarakaNdulu 3 місяці тому

    Aise washikaji mnaweza sio siri

  • @wizmagotv7250
    @wizmagotv7250 2 роки тому +13

    Leonardo 😂😂👊🏾👊🏾 vs ndaro 😂😂😂

  • @JumaHusen-tb4iy
    @JumaHusen-tb4iy 7 місяців тому +1

    Ndoroo umetisha

  • @johnsaidy5356
    @johnsaidy5356 2 роки тому +4

    Ndaro weee Fundiiii aiseee

  • @directorimmah_vfx3043
    @directorimmah_vfx3043 2 роки тому +12

    NDAROOOOOOOOOOOOO😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😆😆

  • @SwaumukoroaSwaumukoroa
    @SwaumukoroaSwaumukoroa 10 місяців тому

    Steve baba umeuwaaaaaaaa😅😅😅😅

  • @erickdioniz8277
    @erickdioniz8277 2 роки тому +5

    Nalimi shida nyingine hapo cheka 2

  • @mimah2498
    @mimah2498 7 місяців тому +2

    Team loanard like here❤❤❤