Maneno mabovu ya Sheikh Swaleh Fawzaan Allah Amuongoze // Ustadh Haji Upepo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 96

  • @abdallahkiwe7737
    @abdallahkiwe7737 2 місяці тому

    Maashallah hajji Allah akuzidishie

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 4 місяці тому

    Jazaaka Allahu khaira ustadh sheikh Haji, hakika tunapata faida kubwa sanaaa kwa channel hii, Allah azidi kuwahifadhini nyote mnaohakikisha mpaka tunapata faida hizi kubwa

  • @darajanida
    @darajanida 12 днів тому

    haya mawahabi kazi kwenu mwamba kaongea uyo sasa mtaamuwa kujibu hoja kumtakasa shekh wenu au kutukana mukamchafuwa zaid ila mimi naamini mtakuja tukana tu mana hamuezikujibu hoja

  • @IbrahimKassim-j8o
    @IbrahimKassim-j8o 27 днів тому

    Fawzan m2 na nimwnzuon Allah amuongoze zaid

  • @IbrahimKassim-j8o
    @IbrahimKassim-j8o 27 днів тому

    Wew huna elimu y kumkoxoa doctor sheikh Saleh fawzn wew

  • @saidmohd2491
    @saidmohd2491 7 місяців тому +1

    Weye mjinga upepo muogope Allah huna unacho jua

  • @IlyasaMakame
    @IlyasaMakame Місяць тому

    Haji upepo haji upepo haji upepooooo tunga angalau vitabu vitatu tu msufi dude weeee

    • @darajanida
      @darajanida 12 днів тому

      tulia sindano ingie zayuni la kiwahabi wewe

  • @salehsuleimansaid1166
    @salehsuleimansaid1166 6 місяців тому

    أنا الله وين أليه رجعون huyu jamaa anahitaji dua

  • @NaziluSaidi
    @NaziluSaidi 8 місяців тому

    Haji UPEPO MCHE ALLAH

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 4 місяці тому

    Wew fala mbn unawaita wenzio wehu hakuna anaekusikiliz na ujinga wako huu mpuuz wew

  • @babanusayba3600
    @babanusayba3600 7 місяців тому

    Na majuha wasio jua hata udhu wao sasaivi wana waparamia mashekh allah akuongoze

  • @mgenikhamis-q5f
    @mgenikhamis-q5f 8 місяців тому

    haji upepo ittaqi llah sheikh fauzan yuko sahihi!!

    • @abdallahkiwe7737
      @abdallahkiwe7737 2 місяці тому

      Hayuko sahihi acheni ushabiki wa kuonaashekhe wa kiarabu hawakosei

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 8 місяців тому

    Mashallah

  • @JosMatty-bq9ii
    @JosMatty-bq9ii Місяць тому

    huu ni upepo kweli eshimu wanavyuoni

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 8 місяців тому

    ماشاء الله أستاذنا الفاضل الله يحفظك

  • @alimwawema9932
    @alimwawema9932 3 місяці тому

    Wewe ni mbabaishaji
    Mzungu wa reli

    • @darajanida
      @darajanida 12 днів тому

      kwa iyo muhammad bachu anailim ya kumkosowa imamu buswir imamu jafar lbarzanji tulia zauni la kiwahabi dozi ingie vizur

  • @salumtakao9828
    @salumtakao9828 8 місяців тому

    Mkikosa cha kupost kaani kimnya. Unawajua hao watu au unawataja kwa ubaya. Unaelimu takuwakosoa hao kijana. Usitafute umaarufu kwa style iyo. Hao watu sio level yako kijana.

  • @alimwawema9932
    @alimwawema9932 3 місяці тому

    Wewe mjinga saaaaaaaaana

    • @abdallahkiwe7737
      @abdallahkiwe7737 2 місяці тому

      Wewe ndo mpuuzi wa mwisho upepo anafafanu ki ilmu sana

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 8 місяців тому +2

    Ustadh Haji piga kazi piga kazi .. hawa wehu hakuna kuwaachia kipindi hiki .. wanaharamu hawa

    • @arafatsaid920
      @arafatsaid920 8 місяців тому

      أستغفرالله العلي العظيم

    • @SaidJangoli-hr7ww
      @SaidJangoli-hr7ww 8 місяців тому

      Chizi haji Allah amuongowe

    • @darajanida
      @darajanida 12 днів тому

      ​@@SaidJangoli-hr7ww na wewe juha mungu akuongoze

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 8 місяців тому +1

    Nakuku bali sana

  • @mugabojanviersulaiman205
    @mugabojanviersulaiman205 8 місяців тому

    Allah akuongoze wewe mgonjwa

  • @salehsuleimansaid1166
    @salehsuleimansaid1166 6 місяців тому

    Ww ndie mkurupukaji namba 1 ww huna elimu ya kumkosoaa Faizan

  • @AbdallahKifundo-t5e
    @AbdallahKifundo-t5e 8 місяців тому

    Sheh haji upupu eee

  • @AmmuSalha
    @AmmuSalha 8 місяців тому

    Allah akuongoze ewe sheikh upepo ndio pale tunaposadikisha kua baadhi ya majina husadikisha sifa zake upepo siku zote huwa ni wenye kupita nawe utapita tuu ila nakusihi kua na adabu na wanawazuoni tushaa

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 8 місяців тому

    Haji upepo Acha uongo

  • @IbrahimKassim-j8o
    @IbrahimKassim-j8o 27 днів тому

    Wew Tunga jp kitabu 1 unjiabixh t

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 8 місяців тому

    Haji upepo Acha ujinga na polojo

  • @rushu1232
    @rushu1232 8 місяців тому +1

    Matatizo ya mawahabi lugha ndio matatizo sababu hawasomeshi sana nahau balagha maani wao niharaka kukosoa tu.

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 8 місяців тому

    Allah akuongoze kama mkweli mbona hiyo record mnacheza kicartoon chezeni vizuri Ili muweze kutambulika wakweli ,,,,,rudini madrasa mkasome mwache kuchafua mtume SAW acheni ujinga ww ata elmu y fawzaan hufiki hata rawdha

  • @ShaibmbaroukHemed-mi5rf
    @ShaibmbaroukHemed-mi5rf 8 місяців тому

    Jamani huyu upepo ndio mushamwita upepo sasa mwategemea upepo siunapepeushatu mm naona chuki yako kwa bachu utakaanayo mwehu niwwe bachu hata mumchafue vipi yupo nasunna hababaishwi kama huna chuki nabachu apo unamtaja kafanyanni nenda kwa mashia wenzakouko bachu sisaiziyako

  • @saidkhamisi9592
    @saidkhamisi9592 8 місяців тому

    Wewe kijana upepo kuwa na inswaaf kwanini hiyo audio anayoulizwa sheikh Fauzan haafudhuhullah unaivuruga ili shekh asifahamike muogope Allah

  • @musatafanassor3360
    @musatafanassor3360 8 місяців тому

    Ww mwenye kuitakidi na kuchungakalmat laailaha illalah.unadirin kumuita nduguyo waimani ndugu ambae niwanguvu zaidi ya ndugu wakuzaliwa .kumuita mwehu vipi yule asiye kuwa na Nuru ya sayydina muhammady.s.a.w. Hana Dini ya hakki Hana khekma,Hana muongozo uliyo sahihi ambaye Yuko ktk kiza kizito cha ujaahir nk.yeye atamuitaje ,huyo nduguyo
    .Muhammad Bachu.ebutujitadhimini kwanza Kisha ndiyo tutokwe na kauli ikiwezekana tutokwe na kaulizenye busara..Allah atuongoze

  • @KombHaji-dr5pd
    @KombHaji-dr5pd 8 місяців тому

    mawahabi wanaemda kinyume naduna za bw.Mtume muhmmad s.a.w walikwisha tabriwa niwafuas wa shetwani dalili zao watanyoa bpara watafuga ndevu watakata nguo zao (vimini) watalazimisha haya ndio muhmad ibn wahabi ndivyobalivyo kuwa pembe ya shetwani

  • @AbuuSumaiya-mj8om
    @AbuuSumaiya-mj8om 8 місяців тому

    Ndugu yangu mm nawaomba waislaam wakuombee dua wewe kwani nahisi hizi sio akili ya mtu aliyo salimika sawa sawa
    Na mm nahisi zile nyama za maulamaa za kuwasema vibaya zimesha kuzuru kilicho baki tusubiri ni kitu gani kitakacho kufika kama hujarekebisha uwadui wako juu ya haqi

  • @ShadhilShaame
    @ShadhilShaame 3 місяці тому

    Unataka umaarufu ww sijui kama unaakili

  • @AmerinhoAmour
    @AmerinhoAmour 8 місяців тому

    ww ruka rukaaa lkn huna hoja za kuangusha sunna. UTAKUFA KINYWA WAZI. tubu mapema kabla pumzi haijakatika

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 4 місяці тому

      Mzee unapata wahay Nini? Naona unajua Hadi kifo Cha mtu kitakuaje....alafu twambie utakufaje utafumba macho au mdomo?

    • @AmerinhoAmour
      @AmerinhoAmour 4 місяці тому

      @@HemedSerious Kw mitusi yk dhiddi y maulamaa. kuhusu kinywa waz soma JINSI YA ROHO ZA WATU WAOVU ZITAKAVYOTOLEWA ROHO

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 8 місяців тому

    Baradhuli huyu haji upapa hana tofauti na yule baradhuli la kishia linalojiita basalim

    • @darajanida
      @darajanida 12 днів тому

      baradhuli ni babayo punda wewe

  • @khamismwadini2169
    @khamismwadini2169 8 місяців тому

    Wee kijibwa mbona unabweka choooni .

  • @IbrahimKassim-j8o
    @IbrahimKassim-j8o 27 днів тому

    Ww hujfkia ht htua y kuitw mwnzuon Hun elimu untk kiki 2

  • @burhanibakari1817
    @burhanibakari1817 8 місяців тому

    Ww vip unaakili lakini?

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 4 місяці тому

      Wewe je? Kwani shida Nini apo

  • @naasibabuu
    @naasibabuu 8 місяців тому

    kuna muda huwa unakaa na kujaribu kusikiliza huu ugoro wako unaozungumzaga

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 8 місяців тому

    Sheikh fauzan yuko sawa ni mwiba kwa washirikina

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 8 місяців тому

      Tena huo mwiba utawachoma mtakwenda nao mpk akhera maana nyny mawahb hmjielewi na nyny ndio washrkna wakubwa na fauzani wenu

    • @darajanida
      @darajanida 12 днів тому

      kwa wewe mwenye akil mgando utaona hivo lakin sisi tunajuwa wahabi ni wahabi tu ta awe vipi

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c 8 місяців тому +1

    MAWAHABI KAMA KIPOFU ALIEWAHI KUONA JOGOO

  • @AbulqassimAshirazy-yd7th
    @AbulqassimAshirazy-yd7th 8 місяців тому +1

    Wewe upepo Huna Nia ya dini. Mbona hujarudisha zile raddi Kama wewe unakusudia dini wala hujafanya taraajui. Unajifanya kupuuza Sio!. Wacha kuwadanganya watu. watu wanakujua Huna athari yeyote hata useme nini Ndio Maana masalafy wanakupuuza. Wala daawa haitosita kwa sababu yako Bali Kama unavyoona dawa inaendelea kukuwa kwa kasi na watu wanaifahamu sunna.

    • @bagalucha
      @bagalucha 8 місяців тому

      Hana anachokijua huyu,matusi ndio kanuni zake.

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 8 місяців тому

      Kumbe Ndio kwanza mnaifahamu Sunna kweli nyie majahil wa juhhaaalll

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 8 місяців тому

      @@MuhidiniNassor Ndio watu wingi walikua wamezama katika bidaa za maulid, khitma, halili arunaini, talkin, kukohoa kwa itikadi ya kudhikiri. Mambo ambayo hayana asili katika sunna. Uslam aliokujanayo Mtume saw haukua na bidaa hizi Bali watu wamezusha Ndio Maana tumesema kurudi katika sunna na kuacha kuzua kwani Mtume saw amesema katika Hadithi ya aisha من أحدث في أمرنا هذا ماليس منه فهو رد. Yoyote atakaezua katika dini jambo ambalo halimo atarudishiwa mwenyewe. (muttafaku alaih)
      Allah akuongoze.

  • @abubakarymaulidy5681
    @abubakarymaulidy5681 8 місяців тому

    Amaa kwel hili kundi lina aqida chafu sanaaa

  • @AsiaJuma-q3u
    @AsiaJuma-q3u 8 місяців тому

    Yan ww haumju shkhe acha kujiti ujuwaji tuwachie shekhe wetu ww hata nusu ya elimu yake haumfiki

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 8 місяців тому

      Lakini akikosea ni lazima akosolewe

    • @Ahmed-l7k7k
      @Ahmed-l7k7k 8 місяців тому

      Wenu hawakosei lakini wawezenu wakoseya mcheni mungu

  • @zuheirtammam5532
    @zuheirtammam5532 8 місяців тому

    Wewe ni upepo wa shuzi,
    Uongo uko kwa Barzanji na sio kwa Sheikh Fauzan.
    Wewe mwenyewe huna uthibitisho wa Sanad ya maneno hayo, kisha walaumu.
    Wajua maana ya dhuluu?

    • @darajanida
      @darajanida 12 днів тому

      jibuni hoja mlitakase ilo fauzan kama mnaweza au matusi tu ndo mlio somea

  • @hassanhussen3596
    @hassanhussen3596 8 місяців тому

    Wewe unahangaika sana hii dini unaifanya kama ushabiki wa mpira kaa utulie elimu Huna wewe kenge pori wewe

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 4 місяці тому

      Wewe elimu yako tunaiona ya kuwaita watu ni KENGE PORI
      Badala ya kujibu hoja .. eti anawaita watu ni kenge!!
      DAAAH yaa RABBI nieke mbali na MAWAHABI kama ulivyoeka mbali baina ya mashariki na magharibi.
      Unadhani kejeli zako zitasaidia chochote katika kumsafisha Fauzani ???
      Bali kila mwenye akili ndo anazidi kubaini kiwa kiwa MAWAHABI hawana hoja kazi yao ni matusi tu na kejeli ..

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 8 місяців тому

    Wewe na Sheikh Alfawzan anajua kiarabu zaidi

    • @hamismaulid270
      @hamismaulid270 8 місяців тому

      Amekosea kujibu, hakukosea kuongea kiarabu. Haina maana eti mwarabu akikosea kujibu basi ni sawa tu, la hasha.
      Hajakosolewa kiarabu - amekosolewa jibu alilolijibu.

    • @emanuelkyomo3772
      @emanuelkyomo3772 8 місяців тому

      ​@@hamismaulid270si unaona hapo anakosoa kiarabu yani mtu Anaitwa Upepo sijui ndio aelewe tafsiri ya kiarabu kuliko Mwanazuoni mkubwa ambaye kazaliwa muarabu mpaka anazeeka anaongea kiarabu? Na ni muaminifu katika kutoa dalili aisee afala taaqiluni

    • @mgenikhamis-q5f
      @mgenikhamis-q5f 8 місяців тому

      unaelimu gani ya kumshinda fauzaani wacha kuropoka haji upepo usitake umaarufu

    • @SaidiOmy
      @SaidiOmy 4 місяці тому

      ​@@hamismaulid270
      Hata WALIDI BNIL MUGHIIRAH Alikuwa ni mwarabu na anajua kiarabu kuliko Fauzan .
      LAKINI ALIPOACHA MUONGOZO SAHIHI. KIARABU CHAKE HAKI KUMSAIDIA CHOCHOTE ..
      JIBUNI HOJA ACHENI KUTAFUTA MANUSURA .. MAWAHABI KAZI YAO NI MATUSI NA KEJELI TU
      HAWANA HOJA WALA AKH-LAAKI.
      YAA RABBI TUEKE MBALI NA MAWAHABI KAMA BAINA YA MASHARIKI NA MAGHARIBI.
      AMIIIN

    • @darajanida
      @darajanida 12 днів тому

      ​@@emanuelkyomo3772 wewe boro hunyamaze sasa kama ni hivo mbona warabu wanasoma kanuni za za lungha ya kiyarabu au hujui hivo

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo 8 місяців тому +2

    Wee jamaa ni jaahili mkubwa. Hivi muhuni wewe haji upape utakuwa sawa na wanazuoni wengine. Hem kuwa na haya utafichuliwa khabari zako zote chafu. Nyamaza kimya wewe huana hadhi ya kukaa mstari wa kumi katika darsa ya sheikh swalih fauzan ALLAAHU amuhufadhi. Kma husikii endelea

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 8 місяців тому

      Wenu ndo masheikh wa wenzenu ni takataka c ndio?ost haji upepo endlea mpaka wataelew

    • @Ibrahim-st3uo
      @Ibrahim-st3uo 6 місяців тому

      ​@@taurehassan7399Huwajuwi hao anaowatukana ALLAAHU akusamehe

    • @Ibrahim-st3uo
      @Ibrahim-st3uo 6 місяців тому

    • @Ibrahim-st3uo
      @Ibrahim-st3uo 6 місяців тому

      ​@@taurehassan7399Huwajuwi anaowatukana ALLAAHU akurehemu

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 4 місяці тому

      Umemjuaje kama muhuni au wewe ni mse?

  • @rahimmkongwa4292
    @rahimmkongwa4292 8 місяців тому

    Ujinga mnaoufanya mkumbuke Kuna siku ya mwisho we upepo una elim gani yakujiffananisha na hao unao beza we umesoma wapi na upi mustawaa wa elimu yako

  • @Bardizbah-nr9qi
    @Bardizbah-nr9qi 8 місяців тому

    Wew upepo akili yako ina upepo kweli mshenzi wew kwanza audio ya shekh umeikata haskiki vizur
    Kingine ukitaka kuelew kwanin shekh alisema hivo inakutosha tu kukumbuka yakua mtume s.w alikua na mapengo na mapengo bila shaka ni Aibu kenge wew jaribu kua na adabu mashekh

  • @A.a.m-b4y
    @A.a.m-b4y 8 місяців тому

    Jee iblisi na shehe fauzani nani ajua kiarabu zaidi mijiwahabi wateni chuki zenu za upuzi