Hongera sana jamaaangu Nimeitazama mpaka mwisho iko safi sana basi tu huna trending mimi nataka iwe kwa kipindi kabsa hivi hawa hawaioni hii @uswege kaka tuko Mwanza
Its time to appreciate creativity ya huyu jamaa ,kwa long video km hii na compilation ya content ilivoendana na story hii inafaaa kabisa kua program pale wasafi TV
hey uswege murderer ni willy kimz toka kenya n kazi zako huwa nazifuatilia kwa sana,ningependa nikupee challange hivi mbona usifanye moja kuhusu wasani wa kenya chukua boy wetu kama otile brown ako na ngoma nyingi unaweza chambua,msanii kama bahati tayari ana ep yake inafanya vizuri sana,willy pozee ngoma zake kali,kaligraph jones,masauti,trio mio,genge pia za kenya fanya kitu moja safi uchambuzi kama ulioufanyia defination of luv by mboso, air weusi by weusi ama zingine nyingi jitambulishe pia kwenye game ya wakenya,hope utanijibu hii n ulitilie hili pia hehehe kumbuka naeza ringa pia ukinimention willy kimz toka murungaru kinangop kenya.salute
Nilichogundua bro hua unasikiliza nyimbo nyingi sana za kibongo kutengeneza hii kitu kubwa mzee wangu its an amazing support kwenye Bongo flava keep it up big fella
Katika watu wana support mziki uyu jamaa #1 coz anasikiliza ngoma zooote 🙌🙌🙌
Tisha sana kk uwezo mkubwa
Anajitahd
Sana broo
Live 🔥🔥🔥
Anaweza sana
Sana kakaaaaa
Hongera sana jamaaangu
Nimeitazama mpaka mwisho iko safi sana basi tu huna trending mimi nataka iwe kwa kipindi kabsa hivi hawa hawaioni hii @uswege kaka tuko Mwanza
Yan we mkaka nnakupenda hatar me nishabiki wako namb moja kifupi ur genius 🙈😍
Kaka kaka wewe bhana dah, hongera sana sana kaka, jamaa genious sana wewe dah, huu uwezo hapana dah.
Respect sana kaka
Super grand frère, vraiment tu es le champion 😂🇨🇩🇨🇩
Toka Burundi 🇧🇮 nampenda huu jamaa hadi nafikilia kuja Tz very soon, I hope I will meet him
Karibu tuliho tutawakalibisha
Daaaa najikuta nachek pekee yangu geto mwamba unakipaje cha kipekee ngoj tuongee na boss mond na jamal tukusajili cham la wan🤣🤣🤣🤣👍👍
Ndindindiii ndiii jaman hodariiiii🔥
USWEGE UNAFUATILIA NYIMBO ZA BONGO FLAVOUR KULIKO HATA WALIOZIANDIKA, NIMEKUKUBALI SANA
He is intelligent, and good teacher + great storyteller.
Awesome🤯🔥🔥
Bro upo vizuri sana😂😂😂😂
Creativity 🔥🔥🔥💯🐯
uyu kijana anafanya kazi ngumu kweli hongera kwake
Jamaa apewe heshima anatumia muda mwingi kuskiliza ngoma za bongo
😁😁😁 nakubal kaka upo vzr sana hongera jaman!
Dah, sjui ata nielezeeje ban👍👍👍👍👍👍
Diamond mzee wa totoz 😂😂🤣🤣🤣🤣haya bana hii hatari sana njoo na uchambuzi wa album nyingine asee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Braza noma sana
Its time to appreciate creativity ya huyu jamaa ,kwa long video km hii na compilation ya content ilivoendana na story hii inafaaa kabisa kua program pale wasafi TV
📌📌📌
ukweli mtupu kaka
Ukweli
Kabisa aiseee jamaa yuko vizuri
Kweli kabisa
Kaka unatish xanaa💣💣💣💣💣💣💥💥
Jamani #diamondplatnumz huyu umpe kipindi kitanoga sana
Cjui mond anafel wap huy n dilli kabsa😂😂😂
Aiseee we Jamaaa nomaaa
So crazy I do enjoy watching video za huyu bro so amazing. Tz are🇹🇿 so talented ✊🏾
Kamseleleko umeuwa kaka😀😀
Yaaan weweee boyyyy ni mnyamwez 😂😂😂😂
Keep going bro 💪💪💪 Kali saana🔥🔥
Umetisha mtaaram we jamaaaaaa mond akuchukue tuu
You are genius Tabora boy
Ila uswege unafanana kama nuh mziwanda yan😂😂
Ushaona kumbe
Sahihiiiii
Watching from Kenya +254 🇰🇪usweng 🔥🔥🔥 we love your creativity 👊
Aweeee🎉🎉🎉🎉
na nimoto 👍👍👍💗💗💗🌟🌟🔥🔥🔥🔥💥💥💥
Hhh
We ndo comedian sasa maana utumii nguvu nyingi wala kuvaa manguo yakike bali unatumia cleativity
Go Uswege ✊
Bro we hatariii🔥🔥🔥🔥
Niko Mozambique, nizipenda kazi zako sana
MashAllah, Kumbe nyie pia kiswahili ni lugha yenu kule😍👏
Daa hatar saaana
Umeniua ety 😍😍😍😍 we ni noma ety
Umenifurahisha uliposema ni last born "mbosso: I go tell my mama"
A five star 🌟 comedian
Yaani mzee baba uko juu sana kazi yako safi yaani uko juu sana mwamba enderea hivyo mambo matamu hayo
Nimekuwa wa kwanza jaman naomben hata like 5
Dah wee ninoma sana
#Overthinking big up brother
Unatisha bro we ni noma
Una akili nyingi sana kaka
Uko vizuri kaka ni me,😂😂😂😂😂Hadi nikalia
Yani very creative 👏👏
Mwalim aliekufundisha akikuangalia saiv nadhan anajichekea tuuh sipat picha
Kweli kipaji anacho....mpeni like zake💪💪💪
Nakukubal kichizi uswege kz iendelee fundi wa izi Mambo🔥🔥🔥
The Energy in creating the content hopefully si ya kitoto Congrats 5star
So creative
Uko vyema Sana Kaka wa mie
Creativity on another level.
Oyaaaaaaaa imenibid ni subscribe kabisaaa😂👋🏽
Mwana anatisha
Ni kwerekweche madara,
Umetish san kak nitakupa dadaang
Daaaah Bai koko niatari brother 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daaàaah so poa we ni fundi naomba upewe ulinzi🔥🔥
Underated commedian 🙌🙌
Dah kweli
Sio comedian huyu ila ni mbunifu mzuri tu
Kaka wew nikiboko nizaid ya ubunifu
Ungepewa kazi wasafi ,daaah
Big up broo upo vzr kwa bongo flavor
blood we noma🔥🔥🔥🔥
Kamseleleko🤣🤣🤣 unatisha I enjoy it
Duuuh kaka wew huwa unanicekesha kupita maelezo nakukubali Sana yani Ile kinoma
mmmj kaka. unajw bwana
Mm nakuita CRITICAL THINKER 💪💪
Uswege msenge sana kenge blue nimesheka paka basi
🔥 on 🔥 mzee wangu
Unatumia akili ndogo kufanya kaz kubwa na nzuri
Sizani kama ni kazi rahisi kuchanganya hiizo nyimbo zote, inabidi utuliye nakuelewe nyimbo za wasanii wote
Aliye ona anataka kunyooxha mpk boxer 😂🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
😹😹😹😹😹😹 meona piah
😅😅
I always love this creativity, big up man
Yani nakukubali sana sana tu
hey uswege murderer ni willy kimz toka kenya n kazi zako huwa nazifuatilia kwa sana,ningependa nikupee challange hivi mbona usifanye moja kuhusu wasani wa kenya chukua boy wetu kama otile brown ako na ngoma nyingi unaweza chambua,msanii kama bahati tayari ana ep yake inafanya vizuri sana,willy pozee ngoma zake kali,kaligraph jones,masauti,trio mio,genge pia za kenya fanya kitu moja safi uchambuzi kama ulioufanyia defination of luv by mboso, air weusi by weusi ama zingine nyingi jitambulishe pia kwenye game ya wakenya,hope utanijibu hii n ulitilie hili pia hehehe kumbuka naeza ringa pia ukinimention willy kimz toka murungaru kinangop kenya.salute
Nilijua tu lazima uchomwe na huyo Pasi🤣🤣🤣🤣 watching from 🇰🇪 Kenya 😂😂
Nmependa hii broo
Ts different from how u used to perform. Different location and muonekano pia. Congrats broo am proud of u❤️❤️
My brother u known everything good job..
Nilichogundua bro hua unasikiliza nyimbo nyingi sana za kibongo kutengeneza hii kitu kubwa mzee wangu its an amazing support kwenye Bongo flava keep it up big fella
Uwezo binafsi
Yup good
Dar brother hongela moja yawaskilizizaji bora wa bongofleva pia unasapoti kwao starts all Tanzania 🇹🇿 I joy and love you so much ❤😘💖♥
Yani bro nakupa 💯💯💯kwa kutumia muda wako kusikiliza .nyimbo za #bongotanzania🇹🇿
Mwamba ni creative saaana ww @uswege murderer
Hiyo pasi pitisha vidonge basi 😂 creativity is high 🔥 on this one 🔥🙌
Hata stiliwanya inatosha
Uxwenge nomaaaaaaaaaaaaaah
Uko vizuri jombaa, so amazing creativity, big up bro
Umetisha adi nimecheka kwa saut🤣🤣🤣🤣🤣 et mboss hayamsumbui
Uyu jamaa anajua sana uswegee da one love br
Upo vizuri kaka nakukubali
Unajuaaaa kaka
Dah!!!!!! Kk
Hhhh jmn eti machawa kwakupend supu 🤣🤣🤣🤣🤣
Nakukubali sana bro kaz zuri
Kwel mzeee
Wewe uswege ni mbunifu sana halafu ni fundi hatari, nakupenda bure
Weweee NaKUPENDA bro
Dah kaka nakubali sana
Ubunifu wa kiwango cha juu kabisa uyu jamaa ni akili kubwa aisee
Hatari sanaaa kak 💥💯💯
Hahahaha last born kanifrahisha leo hatar dah big up sana bro 🤜🤛
Kaka umetisha kinyama ase 😅🤣 Eti Acha uongoo 😂 Kama unmuelewa jamaa pita na like hapo ndichi 🤙