Nakubaligi sana watu wabunifu kma ww mzee keep it up bro.media nying saiv zmekosa ubunifu wanaigana contents ila kwa ubunifu wako you will grow up in success path.
Kaka stori stori ni nzur ila ningependa upokee ushaur wangu fanya kubadili mavaz yako bas kila siku ofisini una nguo hio fanya kubadili ili mtu ajue kama hii ni mpya na muonekano mwengne kwa kila stor ni ushauri tu kaka nakupenda sana na napenda stor zako
Kwel watu wanavipaji umenifundisha zaidi kujua namna diamond anavyo imba music kila mistal huwa inamaana kubwa kwenye maisha yake kwel ww unakipaji Sana...
The Best Ever💪👏👌 #Diamond Platnumz Hehe ety Tasinia ya Mapenzi. Kaka u kill it kip it up naqubali sana Story Story. Uswege Murderer @vßç.çømtz.255 ni🔥🔥🔥👊
Amkeniiiiiiiii kashaposti uku 🤣🤣🤣🤣!!!
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
oyy
Yusuph hamis naona umekua mpiga debe 😄 😄 😄
@@eliaselieza2459 li8iylilii88
Unatisha babaaa🤣🤣🤣
Hata ww
Hahahaaa huyuu mzee nomaaa
Na ww upo
Hata ww nkbl
Stive me nakukubalii sana
NI yeyeeeeeeeee💪🤙 ,,😂😂😂😂
Mi wa Kwanzaaaa leo,
Naombeni like🇹🇿🇹🇿,,, Raj farm vevo😎
😅😅😅 we fala unamoto
@@rajpharmog5646 hatariiii sanaaa😎
Like tuu ucjal
Diamond Platnumz is always on top in each and everything trust me story story nimeangalia nyingi ila hii ni lit
Wa kwanza wapi like zenu watanzania love from Florida
Hahaaaa!! Kama unamkubalii huyuuu jamaa dondosha hizo like zake hapa
ua-cam.com/video/wOFGVcFoasU/v-deo.html
@ben Official oke
Nan
Namuerewaa sanaa
Aisee huyu jamaa noma
Ndio maana demu wake wana mnaniii my favorite part 😀😀😀
Jamani hii interview sana nahisi uswege umeelewa ukubwa wa mondi🤣🤣
Kwanz kabsa ukiangalia ndo interview ya kwnz yeng dk nyng
Jaman nani kapenda sana kipande Cha mwisho kuanzia kwa rayvanny pale maana ni🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂
Daaaah unazidi kutisha broo nakubal sana on 🔥 🔥
Kali sanaaaaa nimeielewa
Kali sanaaaaa nimeielewa
This guy deserves GRAMMY For musical comedy
Aya wale wa MONDI tukutane apa 🥰🥰🥰
Hahaha imeisha hiyoooo 🔥🔥🔥
Nilijua tuu lazima diamond apigwe kofii🙌🙇
Nakubaligi sana watu wabunifu kma ww mzee keep it up bro.media nying saiv zmekosa ubunifu wanaigana contents ila kwa ubunifu wako you will grow up in success path.
Good idea uswege, keep it up na kuwa mbunifu zaid. Nimefurahi sana kwanza wewe ni great thinker na pia ni mdau kindaki ndaki wa mziki wa nyumbani
Kaka stori stori ni nzur ila ningependa upokee ushaur wangu fanya kubadili mavaz yako bas kila siku ofisini una nguo hio fanya kubadili ili mtu ajue kama hii ni mpya na muonekano mwengne kwa kila stor ni ushauri tu kaka nakupenda sana na napenda stor zako
Huyo ni comedian so akivaa hiyo kila siku si kama hana ila ni njia ya kuchekesha
😂 Boss sina hela ya kubadilisha nguo kila kipindi, ndio maana nimekuwekea kanamba ka M-Pesa apo ili ukiguswa unisapoti. Asante
@@uswege 😂😂
@@uswege 🤣🤣🤣
Iyo ni ID mkuu
😂😂😂😂😂 kajipeleka mwenyewe ajatongozwa
Fresh sana 🙌🙌🙌
Nimeangalia kote nilipocheka nipal mwishoni mondi alivoomba msamaha bora ninyamaze usinipige mbata nimecheka waliocheka hapo like zenu jmn
This one is the best out of all them Murderer 💯💥🤞
Kamaaaa kajamaaa katishaaa dondoshaaaa like hap
it's more dan blue flame 🔥🔥 he skilled it
Oyaaa uyu jamaa apewe cheo maalumu daaaah🔥🔥
Kwelii tulikua tunamsubir kwahamu baba tifah
Wakwanza au najiweka🤣🤣💯
Bruh always unafnya good bruh me mdogo wake patrick kaka 💪💪
Waooo nimeipenda Sana 💞💞
Uswege unajua kaka yan nahix me ndo top mshabiki wako 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍kak
Naona mwamba kachezea mkofi kabisaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌 we jamaa unatupa burudani sanaaa
number one view
Hii Kali more love MR.MURDERER.🇰🇪kimenuka
Kwel watu wanavipaji umenifundisha zaidi kujua namna diamond anavyo imba music kila mistal huwa inamaana kubwa kwenye maisha yake kwel ww unakipaji Sana...
Leo zamu y Simba kweny story story!!!
Nakubali bhana
Uyu jamaa ni noma aisee gonga like kwa uswege ake
Dah!!,🙆 Nimecherewa sana hapa
Japo nimeichek kaz iko poa sana #uswegemurderer
Kaka duh unatisha kwelii tuna mtaka lunyaa au whozu
Hvi Kwan kujenga Sanam la diamond platnumz simbaaaa ni Bei gn jmn 😀😀
Likishajengwa.?
Hahahaaaaaaa😂😂😂😂 nimecheka mpaka basi story ya raivan na Paula eti hajatongozwa kajipeleka mwenyewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Oyaaa too much creativity🙌🏽🙌🏽. Bless up
Yaleo nikali kuliko zote hahahaha 😁😁😁😁💥💥💥💥💥💥💯💯🤸🤸🤸 uswege on fire
Uswege Murderer you've killed it 😂😂😂🎉🎉you are a true creativity and a good talent for sure. I'm enjoying so, so so so much 😊😊
Bro you are always the best ngoja niachane na lugha za watu unatisha kaka mkubwa hujawai tuangusha mashabiki zako
Ebhana hii story imenibamba kinoma nimeenjoy, alafu nimejifunza mengi, good Luck brother
namukuli Harmanz
Oi wadauu mnaonaje tukafanya mpango uswege Apate Tuzo asee maana Sio kwa kutuvunja mbavu kias hikii
Sahii 🤝
sa
sahihi
wakwanza gonga like twende sawa
Kweli kabisa
Dah apo mwisho kaogopa mbata lakn mpaka amekula mbata umetisha kaka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 kaka kati ya story ulizoumiza ni pamoja na hii,,ila nikataka nishangae kweli story iishe bila mondi kuchezea kofii hapaaaanaaa,,,umeuaaa bro
😀😀😀😀😀
@@kidotz3756 ncuur6gh
😂😂😂
Nakuona mbali sana kaka ,ubunifu Wa hali ya juu.
Nice xna brooo kaz nzur endeleah ku2buludxha💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
Broh hii ni noma hata volcano 🌋 hailipuki ivi... 🔥🔥🔥
😃😃😃
Niache kula bata et Simba uoe
☺️☺️
akili zako unazijua mwenyew 😜👌👌
Nilijua kofi lazma limuhusu😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Daaah mzee mtafutie mondi akupe kipindi pale wasafi maana Mana made it so bright Ni ubunifu wa hali ya juu Ila mzeee badilisha pamba
The Best Ever💪👏👌 #Diamond Platnumz
Hehe ety Tasinia ya Mapenzi.
Kaka u kill it kip it up naqubali sana Story Story.
Uswege Murderer
@vßç.çømtz.255 ni🔥🔥🔥👊
Diamond kafanya kazi nyingi Sana daaah
Ndo nyimbo zote zile
Nilijua diamond asipigwe kofi kwann😁
😂😂😂 nljua tyu huezi muacha salama bila kumpga kofi👏👏👏
Daaah, Bando langu.........
We Jamaa mrisho mpoto.......
Dah nimekuwa makini sana kwa Diamond p1 sana mkali
Woooooooooh🔥🔥🔥🔥🔥!!!!
This guy knows how to dig in for really 😂😂
Exactly 💯
Safy ndugu umetsha kabla cjaangalia hukoseagi
Kama umefika kwenye mbata au mizigo dondosha like😀
Ku Sema kweli uswegwe kipaji ni kali 🔥🔥🇿🇦🇿🇦
😂😂😂😂😂Ilo kofu la mondi limenichekesha sana
First view on 16 sec 🥰🖤
Brother unatisha, comment kutoka Msumbiji ninawapenda Tanzânia 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Daaaa unakuwa bwan👀😁😆 good like
Am first
Kaka nakukubali sana na hii ndo Tofauti ya uswege na jaymondy
Nlitaka kushangaa story iishe hajapata kibao..🤣🤣🤣🤣🤣
😳😳😳😳 Ilo Kofi 😂😂😂😂😂 nimependa
🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆😆😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣 narudia kusema.
#uswegemurderer weeee n shda aseee.
Umenifanya nirudie kuichek ya leo na #diamondp
Nlitaka kushangaa umalize story bila kumpa mbata hyo kiumbe🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 kmmmkkk unawezaa unachekaaa mwenyewee respect ✊🏻 bruh your so talented 😂😂
Uswege ume murder 🇦🇪🇦🇪🇦🇪 we appreciate you
🤣🤣🤣🤣🤣broo hi yaleo ungeweka nusu saa kabisaaaaa Kaka
Dakika ya 17 sekunde ya 19 nimecheka kwanguvu Aiiiii😂😂😂😂😂
Dah 🤣🤣🤣🤣 *WHAT A TALENT!* 🥰🙌 🦁 💎
Wakwanza leo like hata 5
Dah we noma sana kaka
Kwa kweli hii stori ni tamu kinoma. Big up 😂😂😂all the way from the UK 🇬🇧
Kama unahisi hii story yamondi ilikua na views m1 lakin nikama imeshuka like🤔🤔
So creativity uswege respect
Ww noma sana bro
The best interview 🔥🔥🔥🔥🔥
Hapa mwsho mwsho hapa xx,😆😆😆😆
"Tumsubri princess TIFA akue kue " 😅😅😅😅👉👉👉
We n shda🖖
Video mboso
Nimekuwa wa kwanza leo😀😀😀😀😀😀
Eh bane niatari uku, uswege nakukubali bro unajuwa Sana, ungaliki number one
Very nice yani naangalia kila siku sichoki uswege umetisha sana
Uswege you're the killer my Broo Big up 💪💪💪💪
Uswege uwa uko vzry sana mzee
Tunaoangaria uku tunasoma comment tujuane
Nipo
Vp mizigo umeshaweka tayari 😀😀😀
Ambao waliokuwa wanapenda iendelee gonga like
Amkeeeni Mkeeeeni Mkeeeeni kumenoga uku tiktok haitoshi kujeni u2b
You killed it bro big up
😀😀😀😀 uswege ujawai kosea mzaz, kiufup huna bay
Unajua sana kkk
arudi tena huyooo..mnyama ametisha sana ndani ya story story...uswege muandalie mshkaji nyingine+kakofi
Hahahahahahahahah n kweli 👍🏾