ANAPOISHI BABU WA TIK TOK/ NAISHI KWETU NA MMBWA/NINA MIAKA 60

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 січ 2025
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" UA-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi

КОМЕНТАРІ • 117

  • @NeemaMpika
    @NeemaMpika 3 місяці тому +18

    Nyi mnaosema Mkorogo acheni roho ya mbaya afu suala la yeye kumrudia mola ni kumuombea na sio kumnyooshea vidole kifo hakina umrii anaweza akafa kijana anaona Muda wake bado akaamuacha mzee ni suala la kuombeana tu na kutakiana heri Mungu ni wetu sote

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 місяці тому +4

    Kila mja ana njia zake za kutafuta ugali jamn tusitoe hukum mzito jamn allah akuepushe mzee wangu kwa kila husda mzee kisauji

  • @tofatofali9803
    @tofatofali9803 3 місяці тому +11

    mzee analogic sana kila mtu aishi maisha yake

  • @DOREENCHACHA-n3v
    @DOREENCHACHA-n3v 3 місяці тому +2

    ❤anaishi atakavyo sio waja wanavyotaka😂safi

  • @AgathaPhilips-w4j
    @AgathaPhilips-w4j 3 місяці тому +6

    Nakupenda kisauji nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe ❤

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 3 місяці тому +2

    Kwani babu unaishi na nani? Naishi na mmbwa wangu wanne😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 3 місяці тому +10

    Kweli babu amezeheka Kwakweli ifkiye mahali aache hizo mambo 😮myaka 60 Mungu bado anakuazima pumzi babu tubu sas

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 3 місяці тому +2

    Hafananii kbsaaa na miaka 60.mashalaah

  • @caltum5000
    @caltum5000 3 місяці тому +5

    He is generous ma Sha Allah

  • @Doreenesphor
    @Doreenesphor 3 місяці тому +1

    Very wise

  • @sabrinasabrina8395
    @sabrinasabrina8395 3 місяці тому +4

    Umebabuka mpaka umekosa confidence salehe

  • @jrm9448
    @jrm9448 3 місяці тому +7

    Mtangazaji ni kama vile hajitaarishi na maswali. Maana inafikia wakati anakuwa lost for words. Mtu anakwambia alichukua band ya baba yake ikiwa amefariki halafu baadae anamuuliza wazazi wapo hai😂😂

  • @emmanuelmsafi9581
    @emmanuelmsafi9581 3 місяці тому +2

    Kwaiyooo akisali adi atangazeee sioooo
    Acheni upimbavuu

  • @r9ayyansaid652
    @r9ayyansaid652 3 місяці тому +6

    Sasa nyie mnamchuguza saleh au yeye kaja kukujulisheni maisha ya babu wa tiktok 😢😢 he binadam mara kawa mweupe mara kaficha sugu he

  • @felistaantoni5446
    @felistaantoni5446 3 місяці тому +6

    Mnamkosoa Sana huyu babu hivi hamuoni Kama kajitunza Sana nyie hapo mlipo hamjui hata kesho yenu

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 3 місяці тому +1

    Mzeeee kamzaba mtu kofiiiiii😂😂😂😂😂

  • @valentineevarist
    @valentineevarist 3 місяці тому +2

    MUNGU ame mjaalia babu ana miaka 60 ila bado mdogo sana na ana pendeza

  • @mariamgadaffe7986
    @mariamgadaffe7986 2 місяці тому

    Babu mcheshi😊

  • @MuniraMziray-de5sd
    @MuniraMziray-de5sd 3 місяці тому +1

    ❤❤

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 3 місяці тому +3

    Mzee ungetulia unapotosha vijana

  • @rukiaabdul7191
    @rukiaabdul7191 2 місяці тому

    Babu wa tictok ana hekima katika kuongea kwake..anajibu kila swali kwa hekma sana.

  • @charming389
    @charming389 3 місяці тому +2

    hiyo kahawa inatengenezwa mda wote uo 😂😂😂

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 3 місяці тому +1

    Rokesheni😂😂

  • @Zainabuabdalah-vw1xw
    @Zainabuabdalah-vw1xw 3 місяці тому +1

    Salehe unapenda kula wewe balaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂unanifurahishaga unavo ogopa mbwa😂😂😂😂

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 3 місяці тому +1

    Huyo p itakuwa pidid 😂😂

  • @hawangunge8104
    @hawangunge8104 3 місяці тому +2

    That slap was very cruel. Tuwe na ubinadam jaman.

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 3 місяці тому +18

    Huna unalofanya kwa jamii zaidi ya kuipoteza na kujifhalilisha mtu mzima ovyoo. Allah akuongoze na akupe mwisho mwema, amiin

    • @AgathaPhilips-w4j
      @AgathaPhilips-w4j 3 місяці тому +5

      Wewe kwenye jamii una faidisha nini? Mbona mnapenda kutukana watu msiowajua kwani nyi mlelewaje au maisha yako ya chumba kimoja na umaskin umekupanda kichwan makasiriko kama yote… mwachen mzee wa watu na mjifunze kuwa heshima km unavyoheshim wazee wako. Kisauji ana maisha mazuri kuliko hata baba ako mzazi mbwa wewe

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 3 місяці тому +3

      Saana , mungu amuongoze ya Rabb

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 3 місяці тому +3

      Mtafute babubyako nayeye tuwe tunamuona mpumabavu wewe

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 3 місяці тому +5

      Wacha roho mbaya hata babaako Hajui kujitunza 🫵🏾Wacheni Wivu Bro anajipenda Na kujitunza mfundishe mzee wako ajipende Na kujitunza kama mr kassim🫵🏾

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 3 місяці тому +4

      @@JoalAlma-ci1hi wee vipi? Unalipwa kwa kutukana watu? Mijitu ya bara utaijua tu kwa ujinga

  • @NiceWatson-y7e
    @NiceWatson-y7e 3 місяці тому +6

    Dunian Kuna mambo 😂😂😂😂 jaman tusivuke stages za ukuaj mwisho wake ndo kama hiv

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 3 місяці тому +4

      .ie mbona sielew kwan uyu baba anakasorogani et alitajiwa awe anatembea kashika fimbo akae nyumb ya udongo avute ugoro mie mbona sielew anashida ipi kwenu

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 3 місяці тому +2

      @@JoalAlma-ci1hi🤣😂🤣hawa ndio maisha wazazi zao wanawaweka huko Bara . Huyu Brother anajipenda Na miaka yake bado inadai yeye nienjoy maisha. Watu wanaroho mbaya Na wanawaweka wazazi wao upweke wangefata mfano wa huyu Bro 🤝🥁🎤

    • @NaemaSulieman
      @NaemaSulieman 3 місяці тому +2

      ETI KABURINI HUWEZI KUZIPATA RABDA USIWE MCHAMUNGU😢😢😢ILA HAKUNA RAHA ZAIDI KAMA AKHRA

  • @AnnaJayden-k4m
    @AnnaJayden-k4m 3 місяці тому +11

    Ivi Hii kujifanya mtu Kama umemshitukiza ilihali mmepanga mpaka anajua umefika mpaka anakukaribisha akiwa na mike tayari inakaa vip wenzangu au mm ndo sielew😂

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂Ila 😂😂😂babu 😂😂

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 3 місяці тому +1

    Wee salehee sijazaliwa miee mama Ako mkubwaa ije uzaliwe ww

  • @kajaymopao1672
    @kajaymopao1672 3 місяці тому +3

    Mbona ukumuuliza kwanini amempiga kofi uyo jama akufanya vizuri laukweli

  • @fkhalfan31
    @fkhalfan31 3 місяці тому +1

    Babu kumbe umepita na wengi😊😊😅

  • @fkhalfan31
    @fkhalfan31 3 місяці тому +2

    Bibi yetu babu 😅😅

  • @aminavunde6307
    @aminavunde6307 3 місяці тому +1

    Huyu Seif kisauji?

  • @biommy6700
    @biommy6700 3 місяці тому +3

    Ati vilingia tu vijiustadh rudi kwa Mola astarifullah... Yani babu wee

  • @selemanikabeya8020
    @selemanikabeya8020 3 місяці тому +1

    Apo babu umemfikisha salehe kwenye maswala ya kula tena Ajivungi mwana

  • @CalliamKayechikwindi
    @CalliamKayechikwindi 2 місяці тому

    Babu hataki ma stress usimulizi beyi yavitu anenunuwa

  • @ashminaabdulla8946
    @ashminaabdulla8946 3 місяці тому +1

    Uyo Babu ukimuona tu unajua c wa kua na mke

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 3 місяці тому +1

    mmhh !

  • @deboranicoraus4866
    @deboranicoraus4866 3 місяці тому +1

    Salehe upunguze urohoo kwn kinachokupelekg kwa watu ni kula tuu hujui kukataa we kiboko😂😂😂

    • @Focasnyari
      @Focasnyari 2 місяці тому

      😢😢😢😂😂😂😂😮😮😮😅😅😊 Ila watanzania

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 3 місяці тому +1

    Leo umepata msosi😂 mashaallah ❤️

  • @mirnababy5012
    @mirnababy5012 3 місяці тому +2

    Kumbe last born 😂

  • @irenendega3114
    @irenendega3114 3 місяці тому +1

    Babu mtu na nusu hana shida

  • @IsmailHabimana-ct9hv
    @IsmailHabimana-ct9hv 3 місяці тому +1

    Umbwa WE 4 anayitwa pimbi ? Hhhhh

  • @NaemaSulieman
    @NaemaSulieman 3 місяці тому +3

    Huyu babu HASWALI KSBBU KWA MAELEZO YKE YA KUAMKA HAJATA KBSA IBADA YA SWALA NA NI MUISLAMU..😢

    • @biommy6700
      @biommy6700 3 місяці тому +3

      Allah amuongoze

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga 3 місяці тому +3

      Allah amuongoze kwa kweli

    • @jonnycash7682
      @jonnycash7682 3 місяці тому +1

      Ni kweli agetaja swalaa anga tungefurahi alafu kurambwA na mbwa nagisi

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 3 місяці тому

      Amezoea kuamka mapema kama mazoea, Subhanallah mungu atamhidi na sote inshaallah 🤲🤲

  • @deodatusmwacha719
    @deodatusmwacha719 3 місяці тому +1

    Huyu jamaa anapenda kuuliza jikoni palipo yaani anawaza tu kula

    • @Focasnyari
      @Focasnyari 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😢😅😊

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 3 місяці тому

    Babu si urudie mke wako muzeeke pamoja?

  • @NeemaMpika
    @NeemaMpika 3 місяці тому +1

    😂😂😂ata mi ningemkata kibao😃😃😃😃

  • @UmmyBeauty
    @UmmyBeauty 3 місяці тому +2

    Saleh kwanini unajichubua????

  • @hassankatana7772
    @hassankatana7772 3 місяці тому +4

    jike shupa amekuuzia mkorogo uso umeanza kuharibka sasa kama unakubaliana na mimi achia like hapa

    • @salehcllassic2325
      @salehcllassic2325 3 місяці тому +2

      Hapan nimekula kitu kimeniharibu

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 3 місяці тому

      Wapi uko kwa jike shupa😅😅​@@salehcllassic2325

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 3 місяці тому

      ​@@salehcllassic2325pole sana kacheck allergies, ujue nini umekula sio kizuri kwa mwili wako

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 3 місяці тому +1

      Wacheni Wivu Bro bado anajua kujitunzaaaa🫵🏾

    • @annaphi2427
      @annaphi2427 3 місяці тому +1

      ​@@AfricaQueen Sana wabongo Kaz yao ku diss tuu

  • @newzon5300
    @newzon5300 3 місяці тому

    SALEH UNAPAKAJE IYO LIPSTICK MTOTO WA KIUME

  • @newgwaragiver9jatz
    @newgwaragiver9jatz 3 місяці тому

    Nangero paliwaka sanaaa

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 3 місяці тому +2

    Kwenye adhabu ya Basata shukuru wamekupooza ulikua unatoka nje ya mstari, ulivuka mipaka baikoko uliyochezewa ungezima kamera, pamoja na kujitolea kazi zako Serikalini haina maana ukivuka mipaka uachiwe, yamepita tuendelee na yanayofata

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 3 місяці тому +1

      U talking shit

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 3 місяці тому +1

      Wacheni uzushi Bro anajua kujiweka fit na wewe tuonueshe mzee wako 😏funga Domo lako🫵🏾

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 3 місяці тому

      @@JoalAlma-ci1hitell us the real true then ! Stop be poison to other human Bro 🫵🏾

  • @jrm9448
    @jrm9448 3 місяці тому

    Mwamba mtangazaji anaanza kuaga mashindano mapema. Kaanza mkorogo na lipstick. Soon ataanza kuvaa na magauni.

  • @mchambikisupi9204
    @mchambikisupi9204 3 місяці тому +1

    Mbona umpige mtu kwwnye kamera yaani nimependa hii interview ila nimeudhika mwishoni

  • @SharifAbdallah-bu9hm
    @SharifAbdallah-bu9hm 3 місяці тому +1

    Salehe umejichubua bwana salehe

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 3 місяці тому

    babu watiktok amevuka 60

  • @CathyMichael-o7b
    @CathyMichael-o7b 3 місяці тому +1

    Kwenye sugu hapo waongo hana sugu 😏

    • @shaelshael2191
      @shaelshael2191 3 місяці тому +1

      Anaongelew saleh sio babu

    • @CathyMichael-o7b
      @CathyMichael-o7b 3 місяці тому

      @@shaelshael2191 me mwenyew namjibia salehe nd mikono yake ilivyo kama unamfuatilia mda mref utaona kua nd ilivo

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 3 місяці тому +5

    Kumbe ana watoto wakubwa mbn anafanya vitu vya ovyo ovyo

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 3 місяці тому

      Kama vip amewakumbaka mtu azalani anakesi ya kubaka anavutaga bange mtaani

    • @safiaothman5175
      @safiaothman5175 3 місяці тому +2

      Jamani huyu ni Seif Babloon wa modern taarab.

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 3 місяці тому +2

      Ni moja ya kula maisha isiwe sababu eti unawatoto huwezi kula maisha 😏wewe ndio unaishi maisha ya kale 🤣😂🤣🫵🏾Karibu mjini mtoto kuzeheka sio mwisho wa nienjoy maisha bweha wewee karibu mjini 🥁🥁🎤🪇🎺

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 3 місяці тому +1

      @@safiaothman5175ndio yeyeeeeeee Tanga lineeeee🤣😂🪇🪇🥁🎺🥁

  • @beatricedickson-d3b
    @beatricedickson-d3b 3 місяці тому

    Umepaka lipstick 💄💋🤣🤣🤣ilaa sarehe

  • @CamillahAdam
    @CamillahAdam 3 місяці тому +2

    Sare unajichubua

  • @ZuuRashid
    @ZuuRashid 3 місяці тому +2

    Mikono mfukoni anaficha sugu😀

    • @salehcllassic2325
      @salehcllassic2325 3 місяці тому +4

      Sio sugu ndio nimeumbwa ivyo 🥹

    • @SuleimanKhdija
      @SuleimanKhdija 3 місяці тому

      ​@@salehcllassic2325badili mafuta Saleh huoni kama yanakuharibu??

    • @ZuuRashid
      @ZuuRashid 3 місяці тому +1

      @@salehcllassic2325 🤣🤣

    • @shaelshael2191
      @shaelshael2191 3 місяці тому

      😂​@@salehcllassic2325

    • @jrm9448
      @jrm9448 3 місяці тому +1

      😂😂