Oo what a wonderful God we serve! Nimefurahi Sana kusikiza story yako na Mungu anakupenda Sana amekuchagua kuwa chombo Cha kazi yake . Asante kwa ujumbe wako wa msamaha , kwamba tukawasamehe wazazi wetu na mandugu na majirani pia. Mungu akuzidishie baraka zake na kibali chake kiwe juu yako amen🙏
Ache Mungu aitwe Mungu. Hakunajambo asilolijua Mungu vyote ni kwa makusudi yake hata unywele kichwani haudondoki bure hivyo tumtumaini yeye tu ndo amebeba hatima yetu ameen. Pole sana ndg na hongera kwa kusamehe wazazi wako
Huyo baba mbaya sana kakutupwa ushaokotwa nabadotu anakutafuta kukutemea mate ya tumbaku😭😭😭 mtoto wake anamfanya hivyo je watoto wawatuje. Mungu akulinde polesana kaka
It's now three years tangu nkosane na wazazi wenye wanetusimamia harusi na ilitokea wakati mme wangu alifariki kutokana na ajali ya barabara sku ya mazishi walisena wameachiwa mzigo na wakawa awaniongeleshi na watoi wangu nifanye nn ili niwasamehe
Baada ya mama kufaliki nilitelekezwa na baba na nimeteseka maisha magumu sana sana baada ya miaka 25 mzee wangu alinifuata amepigika hana maisha alinifuata nami nilimsamehe na kumsaidia uchungu wote moyoni umeisha na nimemwachia mungu yote hivyo kaka nakuomba samehe na mungu atakubaliki na mwachie mungu yote utaishi salama
I passed the same path.Took some yrs to forgive.I'm healed now.Keep moving sarvant of God 🙏🙏
God is the only and real father who will never betray you,leave you,frustrate you,the best dad ever is Almighty God
pole sana...Mungu ni mwema siku zote ....
Oo what a wonderful God we serve! Nimefurahi Sana kusikiza story yako na Mungu anakupenda Sana amekuchagua kuwa chombo Cha kazi yake . Asante kwa ujumbe wako wa msamaha , kwamba tukawasamehe wazazi wetu na mandugu na majirani pia. Mungu akuzidishie baraka zake na kibali chake kiwe juu yako amen🙏
The fact that you speak like a learned person humbles me and i thank God for you
Ache Mungu aitwe Mungu. Hakunajambo asilolijua Mungu vyote ni kwa makusudi yake hata unywele kichwani haudondoki bure hivyo tumtumaini yeye tu ndo amebeba hatima yetu ameen. Pole sana ndg na hongera kwa kusamehe wazazi wako
Mungu alikupenda ndio maana mungu akatuma mutu akuokote so mm nakwambia bb musamehe babako na mamako il mungu akupe baraka .achililia kwa mungu
Who else is from TikTok like my comment please
Ata mimi Niko na shida kama hiyo don't give up bro
Pole kwa mateso na maumivu uliyoyapitia,namuomba Mungu akupe faraja na furaha ya kudumu moyoni mwako
Pole sana mtumishi,kwa yote,mti wenye matunda urushiwa mawe
Oooh 😢😢😢😢pole mwanangu umepitia mengi kabisaaa,lakini Mungu ni mwema.
Huyo baba mbaya sana kakutupwa ushaokotwa nabadotu anakutafuta kukutemea mate ya tumbaku😭😭😭 mtoto wake anamfanya hivyo je watoto wawatuje. Mungu akulinde polesana kaka
Mungu ni Mungu. Mkikuyu kasema " haria iikagio too iguaga" Yesu atukuzwe kwa huo ushuhuda.
Wah, the way he is speaking like a very learned person? Kweli wacha Mungu aitwe Mungu
It's now three years tangu nkosane na wazazi wenye wanetusimamia harusi na ilitokea wakati mme wangu alifariki kutokana na ajali ya barabara sku ya mazishi walisena wameachiwa mzigo na wakawa awaniongeleshi na watoi wangu nifanye nn ili niwasamehe
Baada ya mama kufaliki nilitelekezwa na baba na nimeteseka maisha magumu sana sana baada ya miaka 25 mzee wangu alinifuata amepigika hana maisha alinifuata nami nilimsamehe na kumsaidia uchungu wote moyoni umeisha na nimemwachia mungu yote hivyo kaka nakuomba samehe na mungu atakubaliki na mwachie mungu yote utaishi salama
Mungu akubariki pastor John
Usilie ukiona uklmepitia hayo,ku na mwangaza mbeleni ,mungu haachi mja wake
Pole sana kaka mungu ni mwema 🙏🙏🙏😭
Pole , mungu mwema shukuru hata kwa uzima ulioupata baada ya kutupwa
samehe kabisa hao wazazi walitumikishwa na shetani shetani alijua kilicho ndani yako alikitafuta hicho kwahiyo samehe na mungu akusaidie.
Your seating position also means that I’m the boss and you’ aren’t welcome here.. it shouldn’t be that way! Unclose your hands. Welcome your visitors.
Wooii wanadamu jamani aki
POLE SANA KIJANA HAO WAZAZI KWANN WANAWATUPA WATOTO?
Passed the same route, though not completely healed but i am accepting and healing slowly. Mungu ni mungu sio mwanadamu.
amina kwa ushunda mzuri❤❤❤
Kamiti ulienda wapi?
Yataka moyo kumtupa mtoto wako jamani. Subuhanallah. Munguatunusuru kwa hiyoroho
Mungu nimwema uko uhai
waaa ss huyo baba madhumuni yake ilikua ni nn kukufanya kipofu ama nn dooh niuchungu sana wallah
Brother John munge akupe amani
this thing ni ukweli but most fathers dont know how to speak with there male children
Mshukuru Mungu uliokotwa
Mm nilikataliwa na Baba yangu niliishi kama yatima BT sai ananiitaji ila siezimsamehe kabisa
Usikubali dear wanakuaga hivyo bora watunze walio kulea
Thats why i always say, God is my only true father. i rejected to call any person my spiritual father/mum. God is my all in all, my everythi
Ameen nashukuru kwa ushuda nimejifunza kitu
God have mercy upon our parents
Nko na mjinga mahali,alilelewa vizuri,akapelekwa shule ,akapata job na sasa anaona baba yake kama matako yake😢
Wah, lazima utumie luggage chafu😮😢
🎉
Haujui ya ndani. Wachana Na maisha ya mwenzako
Nimejifunza kutokana naushuhuda mungu akubalik
Nilishamsamehe mama yngu
Mmmmmmmmh kibinafamu ngumu Mungu hapo ndo ahusike uchungu moyoni hauwezi kiyoka
Wil uyo ni kakako aki muko na kufana sura sana ujue!
Kwanzia sasa nimemsamehe baba yangu n Sina kinyongo naye tena❤
Kuna watu wamepitia maisha magumu jmn
Ee Mungu 😢😢 story zingine huwa zinanihuzunisha Kwa kweli
Mungu akubariki bro
That is slave trade, kai tunasemanga wazungu pekee, iko slave trade sie wenye black skin
Eeeeeee duniani kuna mazito jamani
Never loose hope
Mhukumu Ni yeye aliye juu
Amazing
Pole sana baba, Mungu nimwaminifu kwa uzima ulio nao, na nikisudi la Kwenyezi Mungu we kuwepo mpaka saizi.
Congrats bro
Asiyesamehe naye hatasamewa Na MUNGU , samehe tu majukumu Ni yeye aliye juu
aAkili zakipumbavu hizo
Mambo mengine Yani,.Aki just forgive and forget 😢Mungu atakulipia Kwa njia nyengine
Pole
❤❤❤❤❤❤ Ameeeni
Yakukute utajua ugumu
So sad story 😭😭😭😭
Kusamehee ni dawa
Bro pole xana
Hongera kwa kusamehe
😢😢😢
Nikweli Msamaha lazima,