Balaa alilolifanya Mbunge Msigwa Bungeni “SIWEZI KUMPIGIA MAGOTI”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 286

  • @alikhalfan9551
    @alikhalfan9551 5 років тому +10

    Msigwa kwakweli wewe ni hazina kwa taifa na ni mmoja wa wabunge adimu Sana hapa Tanzania wenye kipaji Kama cha kwako mungu akulinde usije kupitishiwa bakuli LA hela na ma ccm tukakosa mbunge mwenye kujiamini na kuusema ukweli ulivyo

  • @erickpallangyo1325
    @erickpallangyo1325 5 років тому +3

    msigwa oyeee mungu akubarki 💪💪💪💪💪💪💪💪💪✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌✌

  • @gabrielchangina2601
    @gabrielchangina2601 5 років тому +4

    School of thought.
    Una kila sifa ya kuwa hapo ulipo.🙏🙏🙏

  • @manfredymahinya9511
    @manfredymahinya9511 5 років тому +18

    jamani embu tuweke ushabiki wa vyama pembeni huyu mtu anaongea ukweli mtupuu mambo mengine haya hitaji ushabiki.asante sana msigwa

  • @sulleygasto487
    @sulleygasto487 5 років тому +3

    Kwa kweli Mh.Msigwa uko juuu sanaaa
    Sijawahi kuccoment ila kwa hili mzeee Nimekupenda Bure Baba Your fire ,unjua nini unanena

  • @fubanjenjele9855
    @fubanjenjele9855 6 років тому +12

    Daaaaa, nakuelewa sn MCH P msigwa , Much love

    • @hezronpeterhongoli8531
      @hezronpeterhongoli8531 5 років тому

      uongozi ni dhamana, hata Msigwa ana mapungufu yake, fikiri kabla ya kutuma maoni yako.

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 5 років тому +3

    2020! KURA YANGU NIMESHA KUWEKEA MAPEMAAA!!!! HONGERA SANA! WEWE HUSTAHILI KUWA MBUNGE! UNA STAHILI KUWA RAIS!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @majaliwampika5417
    @majaliwampika5417 5 років тому +2

    Hn.Peter msigwa is among of gifted person.

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 5 років тому +14

    Sijawahipo kumuona Jenister Mhagama akichangia kitu kwa faida ya watanzania ispokuwa yy kila cku ni waziri wa kutoa taarifa na miongozo sijui kazi yke niipi humo bungeni hata aende nyumbani ampikie mumewe tu kama yuko nae maana bungeni hana kazi ingine zaidi ya kuitetea ccm yke

  • @gastomsamgamsanga356
    @gastomsamgamsanga356 6 років тому +21

    Safi sana kamanda

  • @yusuphsimon4656
    @yusuphsimon4656 6 років тому +47

    Msigwa ni aina ya wabunge wenye akili kubwa.
    Hahahahahahahaaha safi sana

    • @lilianamosi3644
      @lilianamosi3644 5 років тому

      mungu akutunze mh kazi mzuri msigwa

    • @kulwaswetu4457
      @kulwaswetu4457 5 років тому

      Uklaza wako mbulula ww

    • @kulwaswetu4457
      @kulwaswetu4457 5 років тому

      Ukilaza wko kwalipi hs lamaanaanaloliongea mbunge Hugo?

    • @adamumuki1242
      @adamumuki1242 3 роки тому

      Tunakuwaa wanafkii tunamkosa mtu WA mungu uyu msema kweli kabisa daa jamaaa kichwa

    • @adamumuki1242
      @adamumuki1242 3 роки тому

      Uyu ni malema wa tanzania God bless

  • @watuwawili5168
    @watuwawili5168 5 років тому +23

    heshima kwako msigwa

  • @raymondpaul1089
    @raymondpaul1089 5 років тому +4

    nice msigwa tell him black &white

  • @edsonsamwel1434
    @edsonsamwel1434 5 років тому +11

    safii sanaa Mkuu nchi inahitaji watu wenye msimamo kama wako Mungu akupiganie

  • @prosperamlima86
    @prosperamlima86 6 років тому +18

    Msigwa upo sawa nimekuelewa

  • @moikiyeyeu7919
    @moikiyeyeu7919 5 років тому

    Nakupenda sana mbunge Wangu wa iringa mjini, sijutagi unapohitaji kuongea ukweli, hawa wanaotoa taarifa sijajua, kupongezana siyo hoja, kikubwa inatakiwa kusikiliza hoja zake nzuri anazozitaka

  • @kimenyakimario5047
    @kimenyakimario5047 6 років тому +13

    msigwa nakuelewa sana mpango yeye ana kwenda nawakati anacho jali nikulinda nafasi yake namasilai yake posho hata useme vp

  • @rasmatthew6995
    @rasmatthew6995 5 років тому +30

    Hivi vichwa ni hatari tupu, hongera sana mheshimiwa msigwa

  • @mkombozikiratv.9733
    @mkombozikiratv.9733 5 років тому +1

    Msigwaaaaaaaaa hahahaaaa jamn Mungu awabariki sana wapinzani wote

  • @chessmikausho5048
    @chessmikausho5048 5 років тому +9

    Wewe ni Master wa spich

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 років тому +1

    Mh.msigwa nimekuelewa sana

  • @wahisiatv2871
    @wahisiatv2871 6 років тому +8

    msigwa we mbabe WA speech

  • @gabystoney4652
    @gabystoney4652 5 років тому

    Mimi nakupa big up,utii ukuzidi ni unafiki mwisho huleta mauti wape vindonge vyao mungu akuongoze

  • @jacobmakono389
    @jacobmakono389 6 років тому +34

    Hii ndo aina ya wabunge wanaotakiwa Tz hii!!mchakamchaka was Msigwa lazima ccm wakae tyuuu!

    • @chonelamakono5083
      @chonelamakono5083 5 років тому

      Jacob Makono Uncle nimekubali, hawa wakipotezwa raia wataumia sana kwa miswada wanayoipitisha ccm

  • @farajaluvanda1242
    @farajaluvanda1242 5 років тому +8

    Hata rais mzee magu amefanya vitu vingi lakini yaliyo mengi anayapata kupitia hivi vichwa. Tuko pamoja mbunge wetu piga kazi.

  • @musabombo6798
    @musabombo6798 5 років тому

    haya n majinius wa Tz big up mhe. msigwa

  • @charlesmurimi592
    @charlesmurimi592 5 років тому

    This is the truth mr.msigwa congraturation men

  • @riklzibosi8268
    @riklzibosi8268 6 років тому +24

    Safi sana jembe

  • @sholamila4435
    @sholamila4435 5 років тому +3

    Ongera mchunhaji kwa kuwapigania watanzania na sio wana iringa safii baba mchungaji

  • @zahabujoseph6584
    @zahabujoseph6584 6 років тому +32

    msigwa umewabomoa kweli, mi nimekuelewa ulivyompiga #jenistamhagama analeta siasa maji taka hapa,cc tushawachoka Pesa hakuna mambo magumu kazi hakuna kila kitu hovyo hovyo2.

    • @oliverenock278
      @oliverenock278 5 років тому

      zahabu joseph ok

    • @kulwaswetu4457
      @kulwaswetu4457 5 років тому

      Kbomowa kwako hebu jitazame nyuma

    • @charlesmakuri792
      @charlesmakuri792 5 років тому

      Kazi gani unataka njoo nikupe kazi ninaya ya kulima nyanya jinga tu kulalamika

  • @erasmusnzibonela5151
    @erasmusnzibonela5151 5 років тому +11

    Sasaivi wawekezaji wenyewe wanatekwa kwa mazingaombwe wanaludishwa kwamazingaombwe

  • @verdianabanabi5943
    @verdianabanabi5943 5 років тому +1

    Saluti mch Msigwa

  • @mwlyohana4058
    @mwlyohana4058 5 років тому +11

    Kwa sasa mbunge limeanza kukaa sawa.

  • @masrergaudens3967
    @masrergaudens3967 5 років тому +15

    Kuna baadhi ya wtz hata ikija sheria ya kuchinjwa watu wataipitisha kwa shangwe

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 років тому

      Masrer Gaudens yani hao wabunge ni kama popo wanasema anamnyea Mungu kumbe anajinyea

  • @kenedykemikimba6546
    @kenedykemikimba6546 5 років тому +2

    Turudi nyuma mnyonge mnyongeni hakiyake mpe msigwa nijembe! Mpango akijibu iloswali kwaudasaha naamia Zimbabwe

  • @zubedaramadhani5777
    @zubedaramadhani5777 5 років тому +6

    This is fact

  • @brownenas2779
    @brownenas2779 5 років тому +11

    ndio maana nawapenda wapinzani hawanaga kupaka mafuta,,msigwa ww ni sawa na wabunge 50,,,wa ccm ambao kazii yao kubwa ni kupiga makofii tuu hatakama Nchii inaingia kwenye matatizo??

  • @charznyamaresa5571
    @charznyamaresa5571 5 років тому +2

    mbunge anaongeahaditunatamanimdausiishe tarifa hovyooooooo mama kaa uelekezwe

  • @josemagasha5158
    @josemagasha5158 5 років тому +11

    ivi wabunge wa CCM kwann wao hawana hoja bungeni .

    • @victorernest7702
      @victorernest7702 5 років тому

      Jose Magasha unataka wafutwe uanachana

    • @bruceten3386
      @bruceten3386 5 років тому

      Hao wamepigwa pini za mdomo

    • @bruceten3386
      @bruceten3386 5 років тому

      Huyu mhagama huyu!

    • @jahamgeni4869
      @jahamgeni4869 5 років тому +1

      Jose Magasha Mabunge ya ccm huwa yanang'ata na kupuliza mahoga mnoo

  • @barakanitwa8433
    @barakanitwa8433 5 років тому +1

    Msigwa nimekukubali xna kamanda hakuna kusifia mtu hapa lazima wajue kuwa maendeleo ni kwa wananchi kwanza then ndo mengine yafate!

  • @josemagasha5158
    @josemagasha5158 5 років тому +9

    heshima kwako

  • @manfredymahinya9511
    @manfredymahinya9511 5 років тому +5

    kama inawezekana viongozi wa bunge embu jaribuni kukataa taarifa toka kwa wabunge wa chama tawala unapo mtuu mchangiaji kwenye mstali akiwa anachangia hoja yenye mashiko ni bora ukawasubilisha kidogo wasikutoe kwenye umakini wakusikiliza hoja zenye mashiko.tena Madam jenister hatutendei haki sijui anatatizo gani amekuwa ni kikwazo kikubwa ktk kutibua hoja wakati wabunge wanachangia.

  • @alikhalfan9551
    @alikhalfan9551 5 років тому

    Dah msigwa wewe ni noma sema baba hakuna uchumi hapa tunapelekeshana Tu watu wanalia njaa halafu eti wanasema uchumi unakua labda kwenye mifuko yao ccm ni adui namba moja kwa maisha tulonayo sasa

  • @elizabethmkali5782
    @elizabethmkali5782 5 років тому +3

    Duh msigwa unaogea kwa machungu sana

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 5 років тому +8

    asante

  • @ricksonmrema1693
    @ricksonmrema1693 4 роки тому

    Msigwa hupo sawa point

  • @lamsmwahalende2901
    @lamsmwahalende2901 5 років тому +1

    Msigwa kweli ww wananchi walipatia sana kukuchagua

  • @sophymsae8023
    @sophymsae8023 5 років тому +2

    Wengi wao sio wazalendo wanajali familia zao tu ssi wapiga kura mkafie mbali.

  • @royalsecuritysolutions5610
    @royalsecuritysolutions5610 5 років тому

    Daah. Bunge linatakiwa liwe na wabunge watano tu wa aina hii inatosha. Hata spika asiwepo watajiongoza wenyewe

  • @benedictsanga2560
    @benedictsanga2560 6 років тому +1

    Katika Mawaziri wenye uwezo mdogo wa kujibu hoja ni Stella Manyanya ni tofauti sana alipokuwa Kenywe kamati ya Bunge kuchunguza sakata la Richmond

  • @actwazalendo2784
    @actwazalendo2784 5 років тому

    Wabunge ni dhaifu sanaaa haswaaa wa ccm

  • @georgepondelo4845
    @georgepondelo4845 5 років тому

    The God is within your heart that's why you talk the truth..

  • @fredymwaya6418
    @fredymwaya6418 5 років тому +1

    Nampendaga huyu jamaa we acha tu

  • @cloudjest5268
    @cloudjest5268 6 років тому +9

    Mchungaji kweli roho wa Mungu anakuongoza. Waambie wabunge wa CCM waache unafiki na itikadi za vyama, walitetee taifa #WAFANYE KAZI ZA KIBUNGE.

  • @ramangore1470
    @ramangore1470 5 років тому +6

    nomaaa

  • @polloz77
    @polloz77 5 років тому

    Leo hii Kikwete ni mzuri mlisema Kikwete ni mpole

    • @kinyagajr2399
      @kinyagajr2399 2 місяці тому

      Issue ya investment kwa foreigners ukwel kikwete alijitahid ila ufisadi tu kwa watumishi ulikithiri sana

  • @emmanuelnyove8292
    @emmanuelnyove8292 5 років тому

    We mama kwa taarifa hujambo ubarikiwe na taarifa zako

  • @ahmedchuchu389
    @ahmedchuchu389 5 років тому +1

    Hali mbaya sana mtaani pesa hakuna ongela msingwa .

  • @tegemeanyunza7948
    @tegemeanyunza7948 5 років тому

    Safi sana Msigwa mmi nakupongeza

  • @edsondeus9525
    @edsondeus9525 6 років тому +4

    Wastaafu kilio, tupu

  • @jafarijafari231
    @jafarijafari231 5 років тому +3

    Hili la uchumi ambalo mh. Msigwa alizungumza karibu mwaka mmoja uliopita leo hii IMF imetoe report kuwa uchumi unakuwa kwa asilimia 4.5, maana yake hali ya uchumi ni ngum sana.
    Aidha mbunge mmoja wa upinzani sawa na wabunge 100 wa ccm.

  • @abubakaryomary3985
    @abubakaryomary3985 4 роки тому

    Safi sana msigwa

  • @moshimipene4101
    @moshimipene4101 5 років тому

    Nimekuelewa sana mchungaji msigwa ni kweli kabisa matumizi ya fedha nyingi lazima zijadiliwe bungeni

  • @davidst8951
    @davidst8951 5 років тому +5

    Naogopa kukoment...ILA Huo ni ukweli mtupu

  • @immawhite2621
    @immawhite2621 5 років тому +1

    Nimekwelewa Msigwa

  • @suleimanhamdan7048
    @suleimanhamdan7048 4 роки тому

    Respect

  • @dr.johnsonnyamohanga6147
    @dr.johnsonnyamohanga6147 5 років тому

    Hon.peter msigwa why are you still delaying Tanzanian ?? Please Think twice about contesting on Presidential position in United Republic of Tanzania please! I believe on you and will lead us better! If possible take it soon on 2020 🚶🚶🚶

  • @anatorygabriel7091
    @anatorygabriel7091 5 років тому

    Safi sana pastor

  • @revocatussanka7757
    @revocatussanka7757 5 років тому

    Inasikitisha sana kuona Wabunge wa sisiem wanawasaliti wananchi kwa kiasi kikubwa kiasi hicho.
    Wananchi walio wengi wanafahamu kwamba KATIBA ndiyo suluhisho la kuweka sawa mambo ya nchi yetu,lakini walizima rasimu ya katiba ya Mhe.Jaji Warioba kwa makusudi kabisa huku wakijua wazi kwamba katiba tuliyonayo haiko vizuri kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu.
    Wabunge wa sisiem kwa makusudi wameamua hawawezi kuisimamia Serikali!!! wamejifanya wao ni mawaziri kujibu hoja za Serikali .Hapo ndipo tulipofika hii ni hatari kabisa.

  • @kelvinalex5644
    @kelvinalex5644 5 років тому +2

    Wabunge wa ccm kwa tarifa mnaongoza

  • @princesstyner3118
    @princesstyner3118 5 років тому

    Duh asante baba pasua🤣🤟

  • @dominickericktesha4725
    @dominickericktesha4725 5 років тому

    tungepata wabunge Kama hawa kumi tu tungekuwa mbali sana

  • @barakanitwa8433
    @barakanitwa8433 5 років тому

    Safi xna mkuu umeongea point nzuri xna

  • @denicefriedrich3443
    @denicefriedrich3443 5 років тому

    Chapeni kazi chadema tunakuja vijana 2020 kuiindoa selikali y'all mapinduzi

  • @kfastak
    @kfastak 5 років тому +8

    Huyu dada Ni ziro sana

  • @zainaburamadhani3430
    @zainaburamadhani3430 5 років тому

    Mh Jenist kilichokupeleke bungeni hatujakielewa kwani alichokiongea msigwa ndiyo uzalendo, nakushangaa sn kila anaposimama mzalendo ww ni wa kwanza kutaka mongozo pls badilika (mimi binafsi hoja za msigwa nazikubali sana japo yy km yy simkubali kwkua aliposimama hapalingani na itikadi yake bora akafanye kaxi yake ya kiroho.

  • @kfastak
    @kfastak 5 років тому

    Good job msigwa..

  • @justingeorge2008
    @justingeorge2008 5 років тому

    Well grasped Sir

  • @ashymsigwa8380
    @ashymsigwa8380 5 років тому

    Safi brother

  • @faikomahenge2029
    @faikomahenge2029 5 років тому

    Gud gud kiongozi bora kwa kutetea watanzania

  • @geradelias8215
    @geradelias8215 5 років тому

    umeonge vizuri sana daka yakwanza hadi 5 kutoka hapo umeanza kukoroga mzee huwezi kutuaminisha ujinga juu yawez wataifa letu wananchi wame elimika , toa siasa kwenye kujenga nchi , subili wakati wakampen

  • @dottoabel3455
    @dottoabel3455 5 років тому

    uko vizuri Sana hakili ya juu unaitumia

  • @charlesemmanuel9434
    @charlesemmanuel9434 5 років тому

    Duuu eee kweli!
    Kweli jagwa wa Kenya alisema wanasiasa vigeugeu nimeamini! Huyu mpango kigeugeu

  • @wardakweka547
    @wardakweka547 5 років тому +9

    Awezi kukwambia maana atakapo sema ukweli kesho hana kazi

  • @matuase6167
    @matuase6167 5 років тому

    Ukiwa na wabunge kama kina msingw hata bunge linachangamka make akiximama bungen anatoa hoja xio vihoja

  • @brianjonathan5516
    @brianjonathan5516 5 років тому +6

    MAJIMBO MENGI NI MASIKINI HAYANA MAENDELEO, HASA MAJIMBO AMABYO YAPO CHINI YA WAPINZANI NO PREORITY FOR THEM

  • @kessynamilembo2864
    @kessynamilembo2864 5 років тому

    Kweli we mbunge aisee mungu akubariki

  • @malilisilutongwe9682
    @malilisilutongwe9682 5 років тому

    Mwakajoka

  • @mohammedmtile1788
    @mohammedmtile1788 5 років тому

    msigwa we noma unatsha mze baba

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 років тому

    Naona wana ccm wanakazana tu kudislike hahaha

  • @amaniocheni4
    @amaniocheni4 5 років тому

    Nampnda sna uyu Mzee

  • @kobelochamanga9757
    @kobelochamanga9757 5 років тому

    Bunge la safari hii mmeenda tembea

  • @yusuphmbilinyi612
    @yusuphmbilinyi612 5 років тому

    Pesa ngumuuuu daaa msigwaaaa

  • @justinemwisho8707
    @justinemwisho8707 5 років тому

    Upo sahihi mweshimiwa

  • @oswardmwaipaja9469
    @oswardmwaipaja9469 5 років тому

    msigwaaaaaaaaaaaaa tema cheche MZEE baba

  • @abuuyusra3819
    @abuuyusra3819 5 років тому

    Fact

  • @kallahjumakallah3845
    @kallahjumakallah3845 5 років тому

    Unaona raha sana kusikia haya mamb mpka raha yaani huwez kuchok kuskia

  • @brysonsabun4657
    @brysonsabun4657 5 років тому +4

    'Akili kubwa'

  • @charlesnyakolema3801
    @charlesnyakolema3801 5 років тому +3

    Jenister tunakuamini kwa kutoa miongozo na taarifa hakuna hata siku moja umetoa hoja ya kutetea wapiga kura wako na bado wanakuchagua

  • @boscojohn4120
    @boscojohn4120 5 років тому

    Well done msigwa