Balaa alilolifanya John Heche Bungeni, “mnakichaka cha ufisadi”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 93

  • @johnbruno1043
    @johnbruno1043 6 років тому +89

    Umoja wa wasoma koment Tanzania uwakota,kama na wewe ni mfuasi gonga like.

  • @millarnassibu7070
    @millarnassibu7070 5 років тому +3

    I always appreciate you guy.... Heche the Great

  • @musaedward9152
    @musaedward9152 6 років тому +13

    Aya ukitoka hapo mbunge mtetez wa wanyonge kapumzke mungu akubarki

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 6 років тому +17

    Safi saaana John Heche, Mimi nawambia Wameze hata kama ni chungu! Huo ndio ukweli

  • @shamsirutaihwa8378
    @shamsirutaihwa8378 6 років тому +2

    Mungu akutie nguvu zaidi Mh Heche kwa kuwaambia ukweli maccm.

  • @princeriwa4000
    @princeriwa4000 Рік тому

    Wise man with wise words.
    Nakukubali sana kaka. Umetisha kaka

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 років тому +3

    Yaan Heche jmn, Heche, ulikuwa wap??? Hakika unanifanya nilie, ww ndo unayejua hiyo nchi vizuri sana, hata kama utakufa bac ufe na ukweli daima, ww ni mchungaji, mtumishi wa MUNGU daima, nimekupenda bure.. Tetea nchi had kufa.. Nami nitakuombea daima siku zote, amen.

  • @chinaliviga7366
    @chinaliviga7366 5 років тому +2

    Mungu akulinde kiongoz wetu kila laheli ongea makavu mkuu

  • @oscarwandera8129
    @oscarwandera8129 5 років тому +2

    Very eloquent... Loving his debating prowess...

  • @dicksonjonas1799
    @dicksonjonas1799 День тому

    Huba baya yan kiongozi,,safii kabisaa

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 6 років тому +7

    Wabunge wanaojua dhamani ya WanaNchi.
    Mungu ibariki Africa

  • @santibaniusabdy8857
    @santibaniusabdy8857 6 років тому +4

    Very proud of Mr HECHE

  • @nelsonnmwaipaja6980
    @nelsonnmwaipaja6980 5 років тому

    mwamba lazima urud 2020 mpinzan unaeinyoosha serikali

  • @abdalomari5912
    @abdalomari5912 6 років тому +36

    kama mtanzania ukweli sisi wenyewe watanzania tunashindwa kujuwa waogo na wakweli hawa wapinzani ndiyo watetezi wakweli

  • @nurumohamed1606
    @nurumohamed1606 5 років тому +2

    This man is also genius as Lema and others

  • @KevMacha
    @KevMacha 9 місяців тому

    Allah ukufungulie 😢😢

  • @jumannekizewe3115
    @jumannekizewe3115 6 років тому +8

    weeww. Mpaka. Laha waambie ukweli

  • @marrionnkungu1626
    @marrionnkungu1626 6 років тому +4

    Upinzani wako vizuri sana

  • @atiliogisanganga3964
    @atiliogisanganga3964 5 років тому

    Asante mzee

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 6 років тому +3

    kazi kweli kweli...
    mura kacharuka jameni...

  • @kfastak
    @kfastak 6 років тому +4

    Very true

  • @charlesmurimi592
    @charlesmurimi592 5 років тому

    Big up Mr. heche, the man of the people. The the government's of Jpm all the truth

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 6 років тому +27

    Upinzani una wabunge wanajua kuitetea nchi hii, mbiba wabunge wa ccm hawaongei kitu? Msaidieni Rais jamani

  • @mohamedshabani2263
    @mohamedshabani2263 5 років тому +4

    wabunge wa ccm mngekuwa nasera kama zawapinzani wenu bas inch mngeifikisha mbali sana

    • @boniphaceamosy7739
      @boniphaceamosy7739 5 років тому

      Mkoa wa mara tuna wabunge mahili sana kasolo mwita ngetera

  • @kayeesbelewa4819
    @kayeesbelewa4819 2 роки тому

    This guy is vividly and lucidity.

  • @damasmaleo4845
    @damasmaleo4845 6 років тому +3

    Uyo anaosema nanshndwakuvumilia siazae

  • @perfectwildtrips3396
    @perfectwildtrips3396 5 років тому +1

    Safi sana

  • @davidkaguru9511
    @davidkaguru9511 5 років тому

    Bravooop bravooooo jonh heche

  • @philipongilini8604
    @philipongilini8604 5 років тому

    🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @salmaabdillah1617
    @salmaabdillah1617 6 років тому +2

    Mr M P you talking sense .will u do so if u put on Mr mpango's shoes!

  • @eliudykaimu
    @eliudykaimu Рік тому

    Mwamba huwaga nakukubali sana point tupu

  • @paulpaul5594
    @paulpaul5594 5 років тому +1

    Heche ni mbunge

  • @rickboni3625
    @rickboni3625 5 років тому +4

    Kama watanzania tungekuwa makini na mambo haya hasa kinachoendelea bungeni naamini watanzania wote tungeshaamka usingizini

    • @sarahwalles2607
      @sarahwalles2607 4 роки тому +1

      Tena sana tena sana ila Mungu atusaidie sana kwa ilo tuamke maana misukule imejaa adi kichefu chefu

  • @ramadhanmanko4614
    @ramadhanmanko4614 6 років тому +1

    Heche hoyeee

  • @mussahaji4598
    @mussahaji4598 5 років тому

    Good

  • @loishiyemollel8071
    @loishiyemollel8071 5 років тому

    Pole rafiki

  • @jemakhalifa6807
    @jemakhalifa6807 5 років тому +1

    heche nakuelewaga mnooooo,tatizo wanakop kusiko kopika

  • @happyfiverickaldo4662
    @happyfiverickaldo4662 5 років тому +1

    Huyuuuu jama namkubaleeee

  • @sarahwalles2607
    @sarahwalles2607 4 роки тому +2

    Yaan kabla ya yoooote kwanza nawapongeza wadau wa channel hii endeleeni kutulushia hizi clip aisee maana sasaivi hakutakua na bunge bali uchafu mtupu kbs kichefu chefu tu

  • @jumannembamba8026
    @jumannembamba8026 2 роки тому

    Kumbe waziri mpango alikuwa mzigo kiasi hiki?

  • @kibwanaramadhani5987
    @kibwanaramadhani5987 5 років тому

    Dr ndlozi of Tanzania Parliament "

  • @farajisureman9925
    @farajisureman9925 6 років тому +6

    Ila ase mimi nashangaa kwanini mambo mengine yanatokea. Kuna kampuni ya kizungu ilitaka kuzalisha umeme ktk mlango wa upepo Singida-Eyasi wakakuta etiii ni ukanda nyeti wa kimazingira na kiutalii hasa utalii wa ndege na popo. Well;mbona na Stgilers Goji nayo mnasema ni eneo nyeti litaharibu na kuharibu mazingira na mbuga lakini badoooo mkasema lazima pajegwe

  • @josephmasonga8714
    @josephmasonga8714 5 років тому

    Hard truth

  • @jumaaausi4436
    @jumaaausi4436 5 років тому +2

    wabunge makini chama makini ccm lazima tuwafundishe

  • @everever2807
    @everever2807 2 роки тому

    hao wabunge wote ambao wananchi wanapata tabu wao hawaoni uchaguzi ukija Wana honga wajumbe wanaanza kutaperi wengine mjipange Trip hii mtawaponza wajumbe wataondoka naakofii

  • @fundikirantabo746
    @fundikirantabo746 5 років тому +1

    Tunahitaji wanaume kama hawa 10 bungeni

  • @michaelmathew8309
    @michaelmathew8309 6 років тому +1

    Umezungumza ukweli

  • @oscarmanase1768
    @oscarmanase1768 5 років тому

    Heche baba tunaokuelewa ni wachache ila piga kazi MUNGU yupo anatuona wanyonge ipo siku atamdhihirisha mwamuzi wetu

  • @salumjabir813
    @salumjabir813 11 місяців тому

    Ivi watanzania tuna nini hatuoni?kwann tunashndwa kufkir.

  • @frankshop289
    @frankshop289 6 років тому +3

    huyu mama ni kama vile bunge linamshimda kuendesha!!

    • @tumainimwaifunga3884
      @tumainimwaifunga3884 6 років тому

      frank shop kivipi

    • @frankshop289
      @frankshop289 6 років тому

      Tumaini mwaifunga ukifuatilia vkao vyote anavyoviongoza utagundua. sikiliza hata clip hii mwishon utaskia

  • @yusuphmlekwa4645
    @yusuphmlekwa4645 5 років тому

    Huyu john n noumaaa!!

  • @oscarmanase1768
    @oscarmanase1768 5 років тому

    Heche viwanda vya tofali hahahaaaaa!!!!

  • @gaspermassawe7397
    @gaspermassawe7397 6 років тому

    Huyu mbunge is 1 cdm#90 sisiem member of Parliament, stupidity

  • @davidkatunge2835
    @davidkatunge2835 5 років тому +1

    Hivi unaongea unawajua wakurugenzi wa wilaya nchi hii acha hela za wananchi madiwani huwafanya wakurugenzi waibe hella wagane na wabunge na madiwani

  • @oscarmanase1768
    @oscarmanase1768 5 років тому +1

    Muraaa mm ninakuelewa sanaaaa watu wote Tanzania wanaounga mkono CCM hata wakichanganya akili zao hazikufikii. acha tujilipue tu!!

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 Рік тому

    Wewe huna akili kabisa yani unufaishe kenya kuliko Tanzania yani ulipotea

  • @kongaclaudy1263
    @kongaclaudy1263 5 років тому

    Uko poa sana

  • @RONALDOTRUCKDRIVER
    @RONALDOTRUCKDRIVER 2 роки тому

    Huyu anafaa kbs kuwa raisi au waziri mkuu

  • @hezekiamwavika7851
    @hezekiamwavika7851 5 років тому

    Naqubal💪

  • @ulimwengu5599
    @ulimwengu5599 5 років тому +1

    watoa taarifa na kanun wako wap?🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abisolomonuyokachaguliwaac4048
    @abisolomonuyokachaguliwaac4048 4 роки тому

    Wabunge kama hawa wapo ccm

  • @williamwilifred6482
    @williamwilifred6482 5 років тому +1

    Nchiniyetu sote ukweliubak palepale

  • @emmanuelkapyela7027
    @emmanuelkapyela7027 7 днів тому

    Kumbukumbu zipo na zitabaki

  • @utaliiwandani9267
    @utaliiwandani9267 6 років тому +2

    watu wanaangamia kwa kukosa maarifa

  • @tryphonetimotheo3043
    @tryphonetimotheo3043 5 років тому +1

    Nikweli mnayoyasema Jana niliona watumishi wa zahanati ya bubale wakipeleka chanjo ktk hospital jilani ya kagera sugar baada ya kushindwa kutoa fedha kwenye account ya kituo(mfumo mbaya) wambie.

  • @mariamsingano7376
    @mariamsingano7376 5 років тому

    Hakuna kuficha nikuchana live

  • @davidkaguru9511
    @davidkaguru9511 5 років тому

    Wabunge wa ccm mafalala sana

  • @gracetitus9963
    @gracetitus9963 6 років тому

    Mutuhumiwa wa Richmond alitemwa na CCM mukamudaka mkifilini mutapata madaraka.

    • @hangimasunga5959
      @hangimasunga5959 5 років тому

      Kasharudi nyumbani, mtieni hatiani sasa kama nyie ni wakweli

    • @brownmwantolwa4786
      @brownmwantolwa4786 5 років тому

      Hakuna mtuhuhumiwa wa richimon ccm hawakumkata mbona wengine wawili wamekamatwa?

  • @mwambarockmwambarock739
    @mwambarockmwambarock739 6 років тому +1

    duuuuu watapata tabusana

  • @gracetitus9963
    @gracetitus9963 6 років тому +1

    Wezi vyuma vimekaza. Serikali mpya. Kama wewe ulizowea kuvuna kwenye shamba la bibi Magufuli kuweka kufuli.