Jussa atuma salamu nzito kwa ZEC na Rais Mwinyi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 37

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 4 місяці тому +12

    Mkombozi uyoo ❤anatema Cheche 🔥🔥🔥za Ukweli Mtupu hana Unafiki 👍uyo!

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 4 місяці тому +6

    Umemalizaa maneno Proffesor Jussa 💯👍
    Tupo pamoja Sana
    Safari iendelee!!!🪽💯🔥🔥🔥

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 4 місяці тому +1

    Mr, mbungo hii ni hazina yetu hapa Zanzibar twajuvunia uwepo wako Allah akuzidishie afya njema na umri mrefu mwanakwetu wee❤

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 4 місяці тому +5

    Mwinyi,ametumwa,,awamalize,wazanzibar,lakino,atatangulia,yeye,kwa,uwezo,wa,m,mungu

  • @HarithMbaruk
    @HarithMbaruk 4 місяці тому +2

    Allah akulipe kher udumu kwenye ukweli

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 4 місяці тому +5

    Zanzibar haina tofauti na Palestinian people!😢
    Kiukweli inatia Uchungu Sana!

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 4 місяці тому +2

      Iko siku inshaallahu tutaipata nchi na kuirejesha furaha tena kwa mara ya pili

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 4 місяці тому

      @@MohdIkra-d7s Aamin Yaarab 🤲

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 місяці тому

      ​@@MohdIkra-d7s Ya kwanza ilikuwa ipi?

  • @abdillahmohd4317
    @abdillahmohd4317 4 місяці тому +7

    MH JUSSU miongoni mwa hazina ya Zanzibar

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 4 місяці тому

      Nikweli kweli kabbisaa huyu mtu ni muhimu sana hajawahii kusimama na kusimania popote ikawa hajaacha alama juu ya kuitetea zanzibar na sio kuitetea t balu hata kuilinda ili ibaki salama na manlska yakee

  • @MuhammadGharib-x5h
    @MuhammadGharib-x5h 4 місяці тому

    Mhe Jussa ni kweli tushaamua Zanzibar Kwanzatuuweni sote lkn nchi yetu tunataka tujiendeshe wenyewe

  • @eddynaeem6708
    @eddynaeem6708 4 місяці тому +3

    mjomba baloteli Seif Ali Liddy pesa zetu za mapinduzi 2 utazitapika kama unajidai kufanyia birthday ya mkeo
    pesa zetu sisi tunalala
    njaa
    t
    a

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 4 місяці тому +3

    Maneno Kuntu 🎉😊❤

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 4 місяці тому

    sio kweli hiyo Hiyo Nafasi kila mmoja wenu alikuwa anaitaka na kuitamani

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 4 місяці тому +6

    Unajua ukiiskia tu saut ya Jusa unajua kuwa kuna mtetea wanyonge tena mzalendo anaongea sio wale wasaka tonge walotumwa.

    • @salyali7807
      @salyali7807 4 місяці тому +1

      Kabisa kabisa.. May Allah amhifadhi.. Allahumma ameen

  • @harithmohd6318
    @harithmohd6318 4 місяці тому

    From Oman 🇴🇲 allah awalinde na shari vitimbwi vya ccm na serekali yak ya kiharamu tupo pamoj mm na zanzibar na zanzibar namm PBE and UGJ iloveyou

  • @salyali7807
    @salyali7807 4 місяці тому +2

    Mh Jussa tupo pamoja

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 4 місяці тому +1

    Ni ngumu sana mtu kuwa muadilifu kwenye mambo hayo

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 4 місяці тому

    Nyerere aliifisidi ZANZIBAR. WAENGEREZA ndio wahusika wakubwa. A.C.T mkichukuwa nchi. Fanyeni Sultan jemshid aje kuishi ZANZIBAR kama vile HISTORIYA na kupata BARKA. Za ZANZIBAR.

  • @hajiali7
    @hajiali7 4 місяці тому

    ❤❤❤❤❤

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 4 місяці тому +1

    Ile CUF ya Maalim Seif imerudi katika ubora wake !!

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 4 місяці тому

      A.C.T Wazalendo Kweli
      CUF ni Mhariifu Professor Ibrahim Lipumba what's ever you called 💯 maana hainyanyuki tena imepigwa na Maradhi laaana!!!

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 4 місяці тому

      M/Mungu amlaze mahala pema peponi Maalim Seif 🤲 Aamin Yaarab!!!
      Hao ni watoto wa Maalim
      Washapikika
      Hio Kambi ni Moto 🔥🔥
      Vijana nguvu Kazi 💪
      Moto Moto twende Kazi 💪💪💯

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 4 місяці тому +1

    😂😂😂😂❤❤❤

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 4 місяці тому +1

    Jusa ni mtaalamu wa kupika taarifa za uongo.
    Ni wapi mafuta yapo chini KULIKO Zanzibar ENEO hili la Africa mashariki?

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 4 місяці тому

      Kamueleze ili akisema aseme ukweli

    • @kassim1262
      @kassim1262 4 місяці тому +1

      Hkuna wtu waongo km ccm nandio maana tngu enzi za mabibi namababu mpk leo hii bdo znzb hii unguja na pemb bdo tunajengew barabra na itaendelea mpk kiama maana ccm hwpo kwaniaba yznzbar wpo kujinufaisha ss jussa kakudanganya nini

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 4 місяці тому

      Ukweli hamna namna yakujitetea Ukweli utabaki Ukweli tu!!!😜
      Na Uongo ni wale Wanafik waliozoea Utumwa ya Hewallah Bwana!!!😜😂😂

  • @saidrashid5972
    @saidrashid5972 4 місяці тому +1

    Haya maneno tumeshayazoea sana kwa sisi wenye maono tunajua kua hmn kitu just munatafuta kula tu

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 4 місяці тому

    Kuna tofauti kubwa sana ya siasa za Tanganyika na Zanzibar kwamba viongozi wa vyama vya upinzani Zanzibar ni viongozi wa Serikali kwa awamu tofauti huwa najiuliza sana Serikali inayotafutwa ili iwe je.

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 4 місяці тому

      Haji Hassan wakati mwingine unachekesha sana,hawa akina jussa na wenzake hawajawahi kuongoza Zanzibar kupitia tiketi ya chama chao iwe CUF au kw sasa Act wazalendo,usiwape lawama sana hawa hata wakitaka Zanzibar ile iendeshwe kwa namna hii au ile hawawezi kufanya hivyo kwa sababu hawawezi kufanya mabadiliko kwa sababu wao sio chama tawala mfano ,Zanzibar kupiga kura siku mbili ( 2),haiingiliki akilini watu laki tano kupiga kura siku mbili wakati Tanganyika kupiga kura siku moja wapiga kura milioni 20.yote hayo ni mazingira ya kuleta vurugu tu na wizi katika chaguzi .kama ni uwezo wao wangebadilisha huo upuuzi wa kupiga kura siku mbili watu laki tano.na mambo mengine juu ya masilahi ya Zanzibar hasa katika mambo ya Muungano .

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 4 місяці тому

      Ebu funguka au mkono umeteleza ulichokiandika?