Rais Samia Afunguka Panga Pangua Mawaziri, 'Madaraka ni Nguo ya Kuazima'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 34

  • @ShijaMpanya
    @ShijaMpanya 2 місяці тому +3

    Hongera sana Mh. SSH. Nguo ya kuazima sio ya kutambia pole Yao Wenye majigambo koti letu tutalichukuwa

  • @MariamWiliam-z8k
    @MariamWiliam-z8k 2 місяці тому

    Mungu akurinde mama

  • @AllyDaudiNgoyeji
    @AllyDaudiNgoyeji 2 місяці тому

    Ni kweli,hata Uraisi ni hivyohivyo!

  • @NassoroKulondwa
    @NassoroKulondwa 2 місяці тому

    Mwenyezi MUNGU akulinde mweshimiwa raisi wetu wa jamuhuli ya muungano wa tanzania.Wapo wanaokuchukia kwa sababu ya dini yko,wengine kwa sababu ni mzanzibar,wengine kwa sababu ni mwanamke.Yote ya puuze fanya kazi kuleta maendeleo ya nchi.Mungu akulinde

  • @samwelmasunga8293
    @samwelmasunga8293 2 місяці тому

    Mitano tena 5🎉🎉🎉🎉❤

  • @sospeterodhiambo6869
    @sospeterodhiambo6869 2 місяці тому +5

    Huyu Rais wangu kwa lugha na maneno namkubali sana Tatizo ilija kwenye matendo wateule wake hao wanawasemea mbovu wananchi tena kwa dharau

  • @ruthkyambila397
    @ruthkyambila397 2 місяці тому

    Mama SSH,Mwenyezi Mungu akutangulie na awe pamoja nawe akusimamie kwa kila jambo ufanyalo ktkt hii Dunia iwe maaamuzi,,magumu au mepesi wewe fanya cha MSINGI msikilize Roho wako Mtakatifu anasema nini na wewe anakuagiza nini na anakuepusha nini kazi yako ni Kumtii maagizo yake ktkt maisha yako,kwa Watanzania Afirka na Dunia nzima kwa ujumla nakutakia kila kheri ktkt utendaji wako wa kazi

  • @AbdallahYanga
    @AbdallahYanga 2 місяці тому

    Safi mama nakukubali sana

  • @MzeeKagambo
    @MzeeKagambo 2 місяці тому

    Ahsante sana Mama kwa hotuba yako yenye maelekezo MAKINI

  • @salumuakili
    @salumuakili 2 місяці тому

    Kazi iendelee

  • @emmamaingu9270
    @emmamaingu9270 2 місяці тому +4

    Simpendi mwigulu mmi bas

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 2 місяці тому

    🤲🙏

  • @erastombise3966
    @erastombise3966 2 місяці тому

    Tuliambiwa anapangiwa kazi nyingine mpaka leo

  • @wilsonyeza8202
    @wilsonyeza8202 2 місяці тому

    Charamila,silinde,mwigulu ni nguo za kuazima,

  • @AbdallaJuma-tx5ck
    @AbdallaJuma-tx5ck 2 місяці тому

    Mama katiba ya serikali tatu ndio chaguo la wazanzibar.kama unataka tukushukuru wazanzibar tupe serikali tatu.hatokakusahu milele

  • @OscarKasalile-u4k
    @OscarKasalile-u4k 2 місяці тому

    Mheshimiwa Rais nimekupenda bure kwa kuwatengua Nape na January, bado mmoja anaetunza fedha huyu nae ni tatizo ndani ya Taifa letu.

  • @paulshija7632
    @paulshija7632 2 місяці тому

    Kwangu mimi hii ni hotuba ya Mwaka, Mungu aendelee kukulinda na kukupa nguvu na Afya njema Mama #2025 mie mpiga debe wako

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 2 місяці тому

    Chakuazima hakistiri mambo
    Kiswahili ukikijua nikitamu
    Lugha ya watu wa pwani

  • @SamDan-hl1zf
    @SamDan-hl1zf 2 місяці тому

    20:09 Kweli madaraka ni nguo ya kuazima

  • @Petermunema-p1m
    @Petermunema-p1m 2 місяці тому

    Mama bado mwigulu nchemba

  • @AdamuAthumani-c3d
    @AdamuAthumani-c3d 2 місяці тому

    Nilichojifunza ni kwamba kuna aina ya viongoz Wana akili Sana ya darasan lakini hawana skills za uongoz , busara na hekima katika kutatua majambo ya wananchi ,hii inatupa sababu ya kusema hawafai kuwa viongoz wakasimamie biashara zao na akili za darasani na hizo GPA zao ,kiongoz hauwezi kutukana wananchi au mwajiri wako hata kama wameshindwa kujieleza eti sijaia hapa Kwa bahati mbaya,ww unamuwakilisha Mhe Raisi wetu mpendwa Dkt Samia suluh Hasan,matusi yako wananchi itawapa tafsiri kuwa Rais wao ndio anawatukana coz unamuwakilisha ,eti Leo ni weekend,kama hukupenda kwenda kutatua mgogoro wa wananchi siku ambayo SI ya kazi ungemwambia Raisi akulipe overtime basi uridhike sio kutukana wananchi, yaan jaman huyu Rais mwanamama ni mzuri Sana tu lakin watu wanaomuakilisha ndio tatizo ,

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 2 місяці тому +1

    Charamira nguo tumekuazima chunga ulimi wako umemsikia rais uropokaji na matusi acha jua kuishi na watu

  • @albartdastani3412
    @albartdastani3412 2 місяці тому

    HIVI LUKUVI YUPO WAPI??

  • @richardhoseni2643
    @richardhoseni2643 2 місяці тому

    wote ni wale wale hizi kauli zinazotolewa hazina uhalisia hata kidogo mwenye macho haambiwi tazama hapa kunya anye kuku akinya Bata kaharisha

  • @emmamaingu9270
    @emmamaingu9270 2 місяці тому

    Uwapereke mahakaman hao

  • @PitelChristopher-k7b
    @PitelChristopher-k7b 2 місяці тому

    Nguo ya kuazima ole wakoukiichana utasemaje ka mwenye nguo

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 місяці тому

    kama kweli weka uchaguzi huru tukunyooshe uchaguz wa serekali za mitaa na uchaguz mkuu

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 місяці тому +1

    Ni kiti cha kinyozi ukimaliza kazi yako utaondoka tuu….

  • @Edger-bn2mt
    @Edger-bn2mt 2 місяці тому

    Kwa hyoooo???

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 2 місяці тому

    Samia tumekuazimia nguo nguo ..hizo nguo tutakupokonya na utalina hilo uchaguzi wa serikali za mitaa...

    • @IsmailLoi
      @IsmailLoi 2 місяці тому

      Hongera mamaangu ila Kuna mhimili mwingine ni kama mlima ndani ya mawaziri ukihamisha huo mlima seriksli Yako imepons hakiks

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 2 місяці тому

      @@IsmailLoi watu mliozika mama zenu , mnajitafutia mama wa kambo mitandaoni!
      Hongera lsmail Jusa..😜

  • @albartdastani3412
    @albartdastani3412 2 місяці тому

    HIVI LUKUVI YUPO WAPI??