What a song to bring you closer to your Heavenly Father 🙏it brought tears to my eyes, it has filled me with gratitude for how God loves us infinity no matter how far we’ve drifted away from him, his love and mercies are eternal 🔥🙏👏🏻👏🏻God bless you minister
Mungu aendelee kuku tumiya mtumishi, Wimbo huu ulikuwa una nibariki hata nilikuwa sijuwi maana yake sasa ume tafsiri kwa kweli nabarikiwa sijuwi niseme nini Mungu ali tutowa mbali kabisa thank you so much servant of God .
Asante mtumishi wa mungu kwakutuelewesha wimbo huu maana tulkuwa nasikia bila hata kuelewa lakini sasa tunaelewa
What a song to bring you closer to your Heavenly Father 🙏it brought tears to my eyes, it has filled me with gratitude for how God loves us infinity no matter how far we’ve drifted away from him, his love and mercies are eternal 🔥🙏👏🏻👏🏻God bless you minister
Kwa kweli kinyakyusa ni kilingala Cha Tanzania kiheshimiwe sanaaaa👏👏👏👏👏👏👏
Asante
Nasobhile fijooo mmatengelee nyambelela mwikemo
Isagha we mpoki 🙏
Nasobhile fijo mmatengele Kyala, nyambilila kangi 🙌🙏
What language is that
@@John_officialmsc nyakyusa language
Waaaaaaaoh Mtumishi ,Unyakyusa mwingi mwaisa
NAKUSHUKURU MUNGU KWA BARAKA HII YA MTUMISHI WAKO. JINA LA BWANA LIBALIKIWE
Amen amen ingamu jha kyala jhimikigheghwe🔥🔥🔥🔥🔥💓💓💓❣️
Kazi njemaaa,kuunganisha nasfi za watu na uwepo wa Mungu,Mbeya mlishabarikiwaaa
Mungu aendelee kuku tumiya mtumishi, Wimbo huu ulikuwa una nibariki hata nilikuwa sijuwi maana yake sasa ume tafsiri kwa kweli nabarikiwa sijuwi niseme nini Mungu ali tutowa mbali kabisa thank you so much servant of God .
Nasowile fijho imgwisa kumyako nyambilila isagha ghwempoki.
kuna raha ya ajabu ndani ya Yesu ingia uone.
Barikiwa sana mpendwa.
Waiting
Hakika umeitendea vyema lugha yetu karibu mwokozi nilipotea saana saana porini wimbo mzuri umeimba kwa hisia barikiwa kaka@ambwene.O. Mwamlenga
Ameen Barikiwa sana
Mungu akubariki sana baba,napenda jinsi unavyompenda mwenyezi Mungu Sana
Wimbo mzuri Sana 💯
Bwana azidi kukutumia kwa utukufu wake mtumishi wa Mungu.
Mungu akutunze sanaaaa Ulwimbo lununu fijoo
Amen amen Mungu wa Mbinguni akubariki sana Endelea kuhudumia Roho za watu kupitia iyo huduma Yesu ana haja na wewe
Kazi nzuri hongera sana mtumishi
Nyambilia ningisa kumyako kyala gwangu. Tumebarikiwa saaana na mamaangu ., .
Hii hapa video yetu Kali yetu ya mwaka ,dash na nanine na sobhile mmatengele mwe ,kyala gwetu atwambililege itolo mwee.
Hongera kaka yangu
Sijuhi hii lugha lakini nimebarikiwa sana na Riho Mtakatifu azidi kukutmia mtumishi wa Mungu wa kweli ajuae kutupenda upeo siku zote za maisha yetu.
Soma kwenye screen wametafsiri kwa kiingereza na Kiswahili
Soma alors jini wana translate kwa kigereza na swahili, aksanti
Kinyaksusa ndugu yangu!
Lugha ya kinyakyusa hiyo
Mungu Aendelee Kukutumia Nimebarikiwa Sana
Amina.Nzumbe akumilijiwe 4ever.
Ameeeen Ameeeen.. huduma yenu ni njemaa sana Mtumishi, mzidi kubarikiwa... 🙌🙌
Hatarii🎉
Isaga gwe Mpoki🙌
Nakupenda sana bro Ambwene
😭😭😭 karibu mwokozi huu wimbo unagusa Sana 🙏🏼
Aisee. Amen Amen. Nipokee tena Bwana
Waooo ! Huo wimbo wa mbilika nilikua siuelewi Sasa nimeelewa na nimebarikiwa.MUNGU akuinue mtumishi .
Hadi. Mimi nilikua siuelewi lakini nimeuelewa sasa
Nasabhile fijo, nasobhile mmatengele
Nyambilila ningisya ku myako , isaga Gwe umpoki.
Amen Mtumishi wa MUNGU Nabarikiwa sana🙏
😭🙏🙏 Mungu akubariki sana. Nasikia kubarikiwa.
Touch Song , blessed man of God .
Top 20 viewers
Bwana YESU azidi kuinua na kukubariki
Woooooow hongera sana
Karibu kwangu msaada wangu Mungu
Amina 🙏🙏
Safiii
Ndagha mpoki🙏🙏🙏😭
Am blessed
Asante sana mtumishi
Ameeen ameeen
Amen amen.
Asangwire
Ameeen🙌🙌🙌
Isaghaaaa gwempoki
AMEN KUBWA 🙏🙏🙏
Ndagha ndagha
Ndagha fijo
Amen
AMEEEEN AMEEEEN🙇🙏
Ndagha tata
Ameen ameen
💥💥💥💥💥💥
Good music
🔥🔥🔥
AMEN 🇧🇮
🙏🙏