Hongera DIAMOND, Pole BONGO FLEVA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Follow us on Social Media Platforms
    Instagram:
    Crown FM - / crownfmtz
    Crown TV - / crowntvtz
    Twitter (X):
    CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
    CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
    Facebook:
    CROWN MEDIA: www.facebook.c...
    TIKTOK:
    - www.tiktok.com...
    SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

КОМЕНТАРІ • 70

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl 3 місяці тому +15

    Hamna jipya wasafi weshafanya yote hayo wanapiga ngoma za kiba kila ck pale ila tatizo lenu ushabiki nyinyi wanafiki sana

  • @OMARKOMBO.9984
    @OMARKOMBO.9984 3 місяці тому +3

    Good work no discriminations#crown media

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 3 місяці тому +4

    Yule Mmakonde yupo wap😂😂😂😂😂😂😂

  • @jacksondamian4347
    @jacksondamian4347 3 місяці тому +19

    Midia za tz zijifunze kwa crown midia kutoa ubaguzi

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 3 місяці тому

      Baada ya. Watu kuandamana kwenye account yao walikuwa kimyaaaa

  • @masoudjuma8169
    @masoudjuma8169 3 місяці тому +9

    Good support for diamond PLATNUMZ ❤ congratulation crown media

  • @73chengosaro4
    @73chengosaro4 2 місяці тому +1

    HUYU M'MAKONDE ni tajiri wa Wivu na utovu wahisani !!!!---------------- HEBU natumiw lebo yake ainue masanii kutoka chini hadi ainuke tumuone --- wivu NI UJINGA

  • @mbeguclassic3387
    @mbeguclassic3387 3 місяці тому +13

    Duh namiona mbali Sana nyie watu crown 👑 nimoja Tu nyingine mapama😂😂😂

  • @stevenckanumba7
    @stevenckanumba7 3 місяці тому +12

    Crown media kazi nzuri sana

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 3 місяці тому +14

    Mr pimbi alikuwa sahihi watu wakamtukana bure kipimbi cha watu😂

  • @J4mohamedi01
    @J4mohamedi01 3 місяці тому +10

    ❤❤❤❤poa sana

  • @Assab3167-j3d
    @Assab3167-j3d 3 місяці тому +3

    Kweli msanii mkubwa

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 3 місяці тому +1

    Unafiki mwingi mno kuliko uelewa,bongo flavor ni nini kwani hebu atuimbie tusikie kwake?!

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 3 місяці тому +4

    😂😂😂😂😂bongo bhana wacha nicheke 😂😂😂😂😂😂

  • @DanfordBinonde
    @DanfordBinonde 3 місяці тому +7

    What going on 😢

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 3 місяці тому +7

    About what

  • @JulesDior-zl6rq
    @JulesDior-zl6rq 3 місяці тому +2

    Crown Media 👑🎉🎉🎉❤❤

  • @MisalabaDotto
    @MisalabaDotto 3 місяці тому +3

    kawaida tu hiyo msiwe washamba

  • @RamadhaniBendera-j1s
    @RamadhaniBendera-j1s 3 місяці тому +13

    big up crown media

  • @omarymtotela3751
    @omarymtotela3751 3 місяці тому +5

    Nakubali

  • @abiankriz6596
    @abiankriz6596 3 місяці тому

    hapo kwenye kupata identity ya bongofleva.
    kwanin isitaftwe sound kali kutoka kwenye makabilaya ki tz ili ichambuliwe moja ambayo ipewe mkakati wa kuiwekea nguvu, ipushiwe ili kuleta utofaut dunian?
    zeze lilopigwa kwene sensema ni pendekezo langu la kwanza.

  • @MbongoBoy-yg9tq
    @MbongoBoy-yg9tq 3 місяці тому +3

    Tunamuonambaaaaaaaaali

  • @HeriRamadan-qx2hk
    @HeriRamadan-qx2hk 3 місяці тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NdayundaFreddy
    @NdayundaFreddy 3 місяці тому +3

    I love that promotion is going down guys mondi on 💥💥🌎🌎

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 3 місяці тому +1

    Craun ni ya kupongezwa sana

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 місяці тому

    Challenges not live concert😂😂😂😂😂

  • @JumaMakenga-t2o
    @JumaMakenga-t2o 3 місяці тому +9

    Master Jay kaongea ukweli, hapo hajapromote bongo fleva

    • @abdulwaheedsheikh8015
      @abdulwaheedsheikh8015 3 місяці тому +2

      Bongo flava ndo ipi? Zile Ngoma za kisukuma, ao kihaya ao kigogo? Sababu naongea hivo ni kwamba hamna mziki wa bongo flava labda kama lugha ikitumika ni kiswahili basi ni bongo flava lakini beat zote ,guitar, piano , ni vyombo vyote vinatumika vina fata beat za nje, kala Jeremiah aliimba regaae sio bongo flava, kina fid q, chid Benz, sugu Wana omba hipap ,sio bongo flava, wasani wa bongo flava kama jay melody ,rayvanny wanatumia mtindo wa zouk nayo sio bongo flava, unakuta ukiangalia hamna pure bongo flava, hata beat za kina TID, so music ni international kwa sasa ,

  • @LukasKagurane-ps6dt
    @LukasKagurane-ps6dt 3 місяці тому +1

    Crown media munakosha sana

  • @RolaHassani-c8b
    @RolaHassani-c8b 3 місяці тому +3

    😢😢😢

  • @Kakajambazitv..
    @Kakajambazitv.. 3 місяці тому +12

    Kwani ARIKIBA KAPOTEREA WAPI TANGU SEDUCEME😂😂

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 3 місяці тому +4

      Yupo kw MAMAAKO MZAZ😂

    • @selemanifaikii1276
      @selemanifaikii1276 3 місяці тому +1

      Wewe umefika wapi kenge wewe

    • @TalentMapenzi-ie1dr
      @TalentMapenzi-ie1dr 3 місяці тому +1

      Acha mambo ya kingese

    • @AbiTech96
      @AbiTech96 3 місяці тому +1

      Arikiba ndio nani tena huyo?😂😂😂
      Jua kutafatisha R na L 😅
      Huyo Arikiba niwako na familia yako lakini sisi tuna ALIKIBA mfalme.
      From🇨🇩✌️✌️

    • @TalentMapenzi-ie1dr
      @TalentMapenzi-ie1dr 3 місяці тому

      Ludi shule kwanza ukafundishwe kuandka ndio uje uandke huo utumbo wako

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 3 місяці тому +3

  • @kennedymatiko6830
    @kennedymatiko6830 3 місяці тому +3

    ❤❤❤

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 3 місяці тому +1

    Crown mpo kitofauti sana

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 3 місяці тому

    Mond ukipata callable na Chris Brown acha mziki kaa nyumbani ugoje pepo kaka

  • @Fantastic.-gm1eo
    @Fantastic.-gm1eo 3 місяці тому

    Mbona nyimbo ni kawaida sana ila promo kubwa au mimi ndio sielewi

  • @kiatu
    @kiatu 3 місяці тому

    Kwa hiyo walioko TikTok ni younger than huyo jamaa?

  • @ibrahimamri5704
    @ibrahimamri5704 3 місяці тому

    Sasa jaman mziki wa bongo atakuwa endapo uwalisia utatumika maana 😂

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 3 місяці тому

    Mafundi wa unafiki mnatumia sifa kumponda lukuga

  • @princemesha9611
    @princemesha9611 3 місяці тому

    Sasa kwanini msitoa maua2 bila dosali

  • @minginhoathuman3361
    @minginhoathuman3361 3 місяці тому

    Badoo cr7 tumalize kazi🎉

  • @AlmasEassy-ek9et
    @AlmasEassy-ek9et 3 місяці тому

    Bongo fleva nn??

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 3 місяці тому +3

    Mnasifia kinafiki😂😂

  • @kitwangu
    @kitwangu 3 місяці тому +1

    *watakubali tu*

  • @mohamedkhatib5526
    @mohamedkhatib5526 3 місяці тому +2

    Misomisondo naye mbona hakuzungumzwa hivi maana naye alipostiwa na crisbrown

    • @abdulwaheedsheikh8015
      @abdulwaheedsheikh8015 3 місяці тому +1

      Miso misondo alitumia beat ya wimbo wa chriss ndo maana Ali post

  • @HeriRamadan-qx2hk
    @HeriRamadan-qx2hk 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MsalabaniReko
    @MsalabaniReko 3 місяці тому +2

    Kiukweli mond yuko mbali sana

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 3 місяці тому +1

    Chri anacheza kwa mkono wa kushoto kweli zarau 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.konde boy coming number one

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 3 місяці тому

    Nomaaa saana

  • @afritanzatourist1
    @afritanzatourist1 3 місяці тому +2

    Sio sifaa kufurahi msaanii Ngoma yake ikichezwa inje Ila nifa msaanii kukuza kitu cha kwao ili wengine waige...mana kwenye tuzo wimbo wa COMASAVA hauna sifa ya kuingia kwasababu Sio muziki WA kitanzania tunadumisha Mila za wengine kuliko zetu..Leo hii tunawaiga wanaijeria na South Africa kila kukicha Kwa ubunifu wao bhasi nasisi ifike Maali tuingwe Basi..how is bongo frevaaaaa...

    • @abdulwaheedsheikh8015
      @abdulwaheedsheikh8015 3 місяці тому +2

      Naomba unielimishe kwa kunipa mfano wa nyimbo ya bongo flava. Maana navo jua Kuna hipap za kina fid q, sugu ...hizo sio , Kuna nyimbo Zina mahadhi ya zouk nazo sizo, Kuna reggae kama Justin kalikawe, nazo sizo, sasa bongo flava ni marimbe ? Ao nyimbo za kienyeji za kisukuma ao kihaya? Sababu midundo yote tangu zamani iliiga kwa ki congo, bolingo, ama salsa , zouk , rap hipap, r n b, reggae, ragga, Arabic mix na indian kama taarabu. Because hata singeli Ina sound za beat za nje

  • @SandreAlhlwah-bv1cx
    @SandreAlhlwah-bv1cx 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤

  • @KhamisLilos
    @KhamisLilos 3 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @ahmedronga7583
    @ahmedronga7583 3 місяці тому +1

    Na missondo je