Rayvanny afanye namna ya kufanya international songs pia asisahau soko landanj Ili heshima yake isishuke kitaifa....tatizo ni Hilo ....big three ni sababu utoi nyimbo local
The reason is Utaifa. Tanzania yenyewe haipo huko kimataifa bro,ili artist upenye ni lazima utumie pesa ndefu kiasi kwamba achieves zake zinakuwa hafifu alwys. Ujue Mondi hapo anafika na ninyi aliwakuza mnamfuata ni kimungu mungu mno..Yatupasa kwanza tuikatae sera ya serikali ya ccm tusijipendekeze kwa akili ndogo ambazo hazitupeleki kule. Bongo kuna kila kitu lkn Taifa halijulikani na halieleweki. Wasanii wote mnakuwa machawa wa serikali hatakama inavurunda sio sawa!
Lil ommy appload video moja yenye dakika zote ivyo vipande vipande vina kela vinachanganya iki appload video moja yenye DKK zote inapendeza vipande vipande vinakela
speaking of Romania niko huu mji ni ngoma za chui hasa mama tetema inapigwa sana club za huku Romania kwa wasanii wa East africa...Club nyingi zinagonga ngoma za chui
@@raphaelmwaura1648 Anglia statistics kutoka Diamond anafata rayvanny then hao wasanii wenu wengine Aya tukija kw hit song zilo tusua kimatia mwamba Hana rayvanny kafanya collabo na malumer ikahit dunia nzima asaivi komasava nayo inatikisa dunia asa KW ukumbwa gani mnaozungumzia nyinyi km si apa tz atukai nmkumbwa ila kibongobongo tu
Umezaliwa elfu mbili na ngapi mana hizi nipigoo za watoto 😂kujibiza watu mitandaoni kwenye koment kama vile ni ndugu na mastar ww kama unamkubali ni kivi ako ila jomba uyo n chawa wa diamond
Kwenye muziki africa nzima mwenye follow nyingi youtube ni diamond plat peke yake fatiliyeni mtagunduwa anamshinda fally ipupa anawashinda wa nigeria wote simba la masimba sio wamchezo anamashabiki wengi.inakuja siku ataitwa micheal jackson in africa.
@@ben-lc8nw ndiyo vanny boy na fally,davido,wizkid,rude boy,wapo kwenye number moja.wacho zidiyana ni ufundi ni staili za kuimba tu.anaye fatiya ni hamo.ila simba yupo juu yao sana tena sana.yaani kawaacha mbali sana kwenye follow us wengi.labda misri juu niliambawa kwamba kule kuna wana haramu ambao hawashikiki.
Rayvanny akona global hit nyingi Sana kushinda msanii WA Tanzania yoyote akona pepeta x Nora fatehi, señorita x gims,mamatetema x maluma, manmerijan x king, chuchuma, tetema x diamond platnumz, happy birthday, Christmas, vocation alo alo X noizy, nabado ziko nyingi siezi maliza
ommy nakubal xana master unaweza but jarbu kuweka kle kimdundo ambacho ulkuaga unaktumia kwenye kuhoj raia knanoga sana alafu dizain fulan klikua kama imeshakua identity yko yan ulkua ukikasklza unajua lil ommy anafany interview mfano fatilia zile interview ulizokua unafany zaman before ujaingia wasaf kweny vle vpnd vyako
TATIZO NI ENGLISH SONGS KUTOBOA INTERNATIONAL INAITAJI KUIIMBA NGELI ILIWATU WA NJE WAKUSIKILIZE mziki wako Sio rahisi kiivyoo VANNY BOY TATIZO TENA KUBWA HAPA TANZANIA 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 BABA INI MOJA TU UWEZI KUFUA DAFUU NA DIAMOND PLANTINUMZ LABDA AFEEE MZEEE 😂😂😂😂
Kumbuka uliko toka kijana.tukikua hatukujuiyote hayo ni diamond mafanikio yako yote ni diamond.weka heshima kaka sikio halizidi kuchwa ktk nyimbo zakozote naipenda kwetu. Hebu jaribu kurudi nyuma zingine kama sizielewi kabisa.na hamoniz nae tangu katoka wasafi manyimbo sauti mbaya. Kuweni na heshima mashairi unayajuasana hata hamaoniz lkn nyimbo zenu hazina ladha kama vile mboga isiokua na chumvi.lkn diamond kiukwelimashairi mmemzidi lkn nyimbo zake zinaladha sana utapnda kuzisikia.nifundisana raha ya nyimbo ni ladha mnaimba manyimbo hayana ladhakucheza hamjui vidio mbaya sikuhizi TV nikifungua nakosa raha.bora baraka the princi mavoko.kidigo Alikiba amebadilika diamond kambadilisha alikua anabana pua kucheza hajui vidio mbaya kaendelea simba mpeni heshima. Mmebadilika sana
Oya harmo ana levo ya bongo ndo anaeongoza kwa strim zaidi ya milion Mia 300 bumpuley wa pili domo we rei harmo kakurudisha mjini acha mdomo alafu umetoa nyimbo zaidi ya kumi akuna itsong zaidi ya ulioimba na konde. lafu kwa kubushi roboti ujambo
i love you so vanny boy gwa kukaja 💕💞❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥💪👌💯 Endelea kupambana mzee wa maplain Mungu akuinue Zaidi 💯💯💯
Big S/o to Rayvanny this guy is smart, the voice of the tiger.
Ray una roho yako kaka 🙏🙏🙏Dua sana
From rwanda rayvanny is big musician
He’s is
Best in Africa,,,,Soon Rayvanny gonna be one of the best in world
The king of interviews🔥🔥
King 👑 of interview
you talking to the MVP right here ...... 🔥🔥🔥
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 lil ommy tunakubali sana burundi
waburundi bhan kila mutu munamukubal kuogaaaa aaaaah😊😊
Izo zote ni ishara ya ukuu.Na siku ziko mbele atakuwa msanii wa Duniya TAI Anahongeya from USA 🇺🇲
Harmonize❤❤❤
Nakukubali san Chui from Zanzibar
Nataman nwe kwenye team y rayvanny mn nakubal talent yke
Força irmão rayvanny, apa ndo Mozambique na ukitaka omba tena collabo na konde au mond
Lil king of interviews
Mwnangu Sana ❤❤
Rayvanny afanye namna ya kufanya international songs pia asisahau soko landanj Ili heshima yake isishuke kitaifa....tatizo ni Hilo ....big three ni sababu utoi nyimbo local
East Africa got Only two international artists Diamond platnumz & Rayvanny no back up
Ukona shida ya kichwa wewe
Rayvanny afanye ngoma na Fally Ipupa please 💥💥💥💥
I like U men U cool
Napenda song za rayvanny natoka DRC Congo
CHUI NI CHUI TU IS ADIFFERENT NAWASANII WENGI SANA
MBEYA CITY🎉
Chui 👑🤴🐯🐅🔥🌎🔥
Safi sana Tena sana
Rayvanny Global💯🤝
Mwana ........big up
Lil_Ommy👌♥️🇧🇮
Vanny Boy 🧠 kubwa 🙏
sema Baba angu anaongeaga point tuu
Big sema njo kweli yote man❤❤❤
Ndio brother mipango njo yakwanza kabisa
Vanny anajua sanaa but usijisahau mond jini sanaa omba collaboration tena ili usongee mbelee
nakubali chui
Great
Jeshi humuwez kaka 🇶🇦
Vanny bwoe 🔥🔥
❤❤❤❤ gwakukaja
vanyboy una hechimu saaana boss wako iyo inatusababisha sisi mashabiki tukupende
Au sio wanetuu, munatuweza sana au, kubababake ankoo it is over 😅
Oa xheriaaàaaàaaa
editor azingatie katika kuunga short kat ya wide na closeup or mid short kuna kajigiza kanaingia...kaz nzur lakini
❤❤❤❤
Big 3 bongo No.1 Mond,No.2 Rayvvany afu ndio wanafata wengine hapa Bongo ila media nyingi mnazingua kinyama
Mwambino kakuiga kwenye Fashion show Ray
Wewe umeanza kumiliki simu juzi diamond kaanza kufanya fashion show aliwai panda stejini na joketi miaka hiyo
Tafta hela usife masikini wee nguchiro huyo Simba hata umuchukie vep ataendelea kukuweka kwny maden yakukopa vocha il umfatilie 😂😂😂😂
Hakualikwa
Lil ommy nakunali kaka sanaa
Vanny bway
Komasava inawapelekeshaa Sanaa kanywenii panadol
wapili ku comment likes zenu
Rayvanny anapigana Sana Kwa Nguvu nyingi ila hanaga idea wala talent.
Harmonize wa kwanza
Mfano iko na damu nzuri yakupendwa nawatu wakuu kam Diamond Maluma Davido Jason Derule etc...Iyo.natuzo kubwa Beat award tetema song yakudumu...
❤
The reason is Utaifa. Tanzania yenyewe haipo huko kimataifa bro,ili artist upenye ni lazima utumie pesa ndefu kiasi kwamba achieves zake zinakuwa hafifu alwys. Ujue Mondi hapo anafika na ninyi aliwakuza mnamfuata ni kimungu mungu mno..Yatupasa kwanza tuikatae sera ya serikali ya ccm tusijipendekeze kwa akili ndogo ambazo hazitupeleki kule. Bongo kuna kila kitu lkn Taifa halijulikani na halieleweki. Wasanii wote mnakuwa machawa wa serikali hatakama inavurunda sio sawa!
Tumieni kiingereza tutawaelewa zaidi
Kweli kabisa Huyo dogo ni mkubwa Kuliko mond na hamo
Mmmmh😂😂😂😂😂umevitia wap leo??
Music is not all about numbers bro😊
Lil ommy appload video moja yenye dakika zote ivyo vipande vipande vina kela vinachanganya iki appload video moja yenye DKK zote inapendeza vipande vipande vinakela
The m VP and chui
Sema mziki wa Tanzania
speaking of Romania niko huu mji ni ngoma za chui hasa mama tetema inapigwa sana club za huku Romania kwa wasanii wa East africa...Club nyingi zinagonga ngoma za chui
What you mean your better than your former boss bro cheza chini it's us who are supposed to say that not you to judge for own 😊😊😊
Tunashukuru ku toka Congo DRC 🇨🇩
😅😅 uko yuma weye
Not they know, they knows
Aaaaah kumbe na wew Chris brown kashafanya challenge ya ngoma yako….😅😅😅
Lil ommy 🙌🙌🙌😅
Hata mimi ni mwanae rayvany hajanitangaza tu
Msanii wa dunia wappy mara yake ya mwisho kuingia trending no 1 UA-cam ilikua lini?
Harmonize n sawasawa na wasanii 400 wakitanzania
Harmonize anaukubwa gani ata Rayvanny anamshinda kwa numbers acha kujizima data ww...
Kwa ndoto zako lakini
Uyu ray east african nzima only one king na sio tz ,wew ni shabiki sikushangai.😂ujui mzik@@NoName-pp4lo
@@NoName-pp4lo amka kwa ndoto cje ukajikojolea
@@raphaelmwaura1648 Anglia statistics kutoka Diamond anafata rayvanny then hao wasanii wenu wengine Aya tukija kw hit song zilo tusua kimatia mwamba Hana rayvanny kafanya collabo na malumer ikahit dunia nzima asaivi komasava nayo inatikisa dunia asa KW ukumbwa gani mnaozungumzia nyinyi km si apa tz atukai nmkumbwa ila kibongobongo tu
Kutoka kuwa mtangazaji bora mpaka kuwa chawa😂😂
Ungetulia ukamnyonyesha mtoto kwanza akue you don't know anything 😢
Ungemlea mtoto kwanza you don't know anything 😂😢
Umezaliwa elfu mbili na ngapi mana hizi nipigoo za watoto 😂kujibiza watu mitandaoni kwenye koment kama vile ni ndugu na mastar ww kama unamkubali ni kivi ako ila jomba uyo n chawa wa diamond
@@jimmylordbeats7611 SAWA HIYO INAUBAYA GANI😂
CHUI uyo
Unajuw Kupang sentence kk
Msisahau ommy huwa apendezi
Mziki ukiwa mzur wenyewe unajiuza
Laka
Kwenye muziki africa nzima mwenye follow nyingi youtube ni diamond plat peke yake fatiliyeni mtagunduwa anamshinda fally ipupa anawashinda wa nigeria wote simba la masimba sio wamchezo anamashabiki wengi.inakuja siku ataitwa micheal jackson in africa.
Sio Africa Yote ni Sub Saharan Africa maana Misri kuna wana haramu hawakamatiki, mtafute Saad Lamjared
Bc km falii pupa anaongoza Nigeria bc na rayvanny pia kw xabab rayvany anamzid falii pupa
😂Hhh ushuzi
@@ben-lc8nw ndiyo vanny boy na fally,davido,wizkid,rude boy,wapo kwenye number moja.wacho zidiyana ni ufundi ni staili za kuimba tu.anaye fatiya ni hamo.ila simba yupo juu yao sana tena sana.yaani kawaacha mbali sana kwenye follow us wengi.labda misri juu niliambawa kwamba kule kuna wana haramu ambao hawashikiki.
We Acha bangi na Davido asemaje
Una juwa
Kuku na wwe ushakuwa unajishindanisha na Simba kubababake
Chui global away
wanajizma data
🫡
Nilichogundua ni kwamba Hawa machawa ndo wanawagombanisha wasanii Layvanny alikuwa hana bifu kabisa na Mond Ila machawa kudadadeki zao
Ww bado kwanza harmonize na diamond plantumz. Ma bingwa wa mjini ww naye ni msanii mzuri sana ila sio kama wale Kaka
Wewe acha zarau, ivi diamond Leo unakuwa
Munajisifu tenda wema wendezako
Yaani wasaniiii wanapenda kuvaaaaa mavituuuuu makubwamakubwa koti kubwa buti kubwa kofiaaaa kubwa kila kitu kubwa 😂😂😂
Chui ana ukubwa ule sema ndio basi tunafelishwa na government yetu
Hyu jmaa anijikweza ila bdo sana jpo n mkali ila apunguze majivuno.
Tafta kwanza sehemu yakulala mwache raivyany wetu mchawi wewe
Rayvanny akona global hit nyingi Sana kushinda msanii WA Tanzania yoyote akona pepeta x Nora fatehi, señorita x gims,mamatetema x maluma, manmerijan x king, chuchuma, tetema x diamond platnumz, happy birthday, Christmas, vocation alo alo X noizy, nabado ziko nyingi siezi maliza
Jamani sikuzote muna kua muki ongelea Nigeria na South African kwani Congo vipi ? Sisi hatu ongelewe uko inje ?
😂😂😂😂pole
ommy nakubal xana master unaweza but jarbu kuweka kle kimdundo ambacho ulkuaga unaktumia kwenye kuhoj raia knanoga sana alafu dizain fulan klikua kama imeshakua identity yko yan ulkua ukikasklza unajua lil ommy anafany interview mfano fatilia zile interview ulizokua unafany zaman before ujaingia wasaf kweny vle vpnd vyako
TATIZO NI ENGLISH SONGS KUTOBOA INTERNATIONAL INAITAJI KUIIMBA NGELI ILIWATU WA NJE WAKUSIKILIZE mziki wako Sio rahisi kiivyoo VANNY BOY TATIZO TENA KUBWA HAPA TANZANIA 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 BABA INI MOJA TU UWEZI KUFUA DAFUU NA DIAMOND PLANTINUMZ LABDA AFEEE MZEEE 😂😂😂😂
Ray vany iko na nyota kubwa saana Anayemshinda nyota ni Diamond peke yake tu
Aaaaa sasa Rey apo ndio unafel
Yan ili tujue aiitaji ww usem ngoma inpgwa wap intkiw ije atimatiki
Salm kutoka kahama Tanzania
Kumbuka uliko toka kijana.tukikua hatukujuiyote hayo ni diamond mafanikio yako yote ni diamond.weka heshima kaka sikio halizidi kuchwa ktk nyimbo zakozote naipenda kwetu. Hebu jaribu kurudi nyuma zingine kama sizielewi kabisa.na hamoniz nae tangu katoka wasafi manyimbo sauti mbaya. Kuweni na heshima mashairi unayajuasana hata hamaoniz lkn nyimbo zenu hazina ladha kama vile mboga isiokua na chumvi.lkn diamond kiukwelimashairi mmemzidi lkn nyimbo zake zinaladha sana utapnda kuzisikia.nifundisana raha ya nyimbo ni ladha mnaimba manyimbo hayana ladhakucheza hamjui vidio mbaya sikuhizi TV nikifungua nakosa raha.bora baraka the princi mavoko.kidigo Alikiba amebadilika diamond kambadilisha alikua anabana pua kucheza hajui vidio mbaya kaendelea simba mpeni heshima. Mmebadilika sana
Bro si uwache fake accent 😂 kizungu hujui hujui simple
chui kachanganyikiwa sana aisee
Vitu vako 😂😂😂😂
Oya harmo ana levo ya bongo ndo anaeongoza kwa strim zaidi ya milion Mia 300 bumpuley wa pili domo we rei harmo kakurudisha mjini acha mdomo alafu umetoa nyimbo zaidi ya kumi akuna itsong zaidi ya ulioimba na konde. lafu kwa kubushi roboti ujambo
Boom play no 1 simba not harmo
Don't cheat us
@@EmmanuelMagaye-v3x nlkosea ni spotfai
Kajifunze uandishi kwanza 😂😂
Utakua hujielewi 😂😂
@@sulleymernmannarah7930 ILA harmonize
Vanny bwoe 🔥🔥
❤