Namtaka mwny range wkt baba yako anapaki ndala, hata nyoka mwny sumu unaweza kumuua kwa maziwa, kifo hata nisipomwomba Mungu hawezi kuninyima, chupi ni singilendi ya miguu, mnafiki sio yule anayepangua ninayopanga bali ni yule asiyeamini katika uchawi wakati mama yake ni mwanga, we fala ni nomaaa sana. Kuna fee style na free style
Hizi ndio freestyle Sasa ,kudadadeki mapafu ya fisi mwanzo mwisho mpaka anakatiwa beat,hakulazimishi corus unaimba mwenyewe kilaaiiiniii,asee utaipenda hiphop bana kumbe Kuna wanayoiharibu asee,mbona Sasa wakongwe wajiandae asee na huu mchakamchaka!!!
You can tell this is freestyle the way he engages those presenters like kumguza na kumtaja jina huyo presenter. This is fire, best freestyle by far have ever seen from Tanzania. Love from Kenya
Like kama umemfeel Ngwair, King zilla, Stereo, Bill Nass na Nikki Mbishi...ndani ya #toxic Jamaa amenipa ladha zote za muziki..all in one package... #temeke
Enzi hizo ndama mutoto ya ng'ombe ila siku hizi john mutoto ya pombe...kama umeusikia huo mstari pita na like hapa
🎉
Ebanaa eeh!.. kama ushaangalia hii video zaidi ya mara5 tujuane 👍... #Toxic unabalaa ww mtoto 👑
Kaka
Me naikubali kinyama
Unajua kmnd sikupingi ata kidg
Namtaka mwny range wkt baba yako anapaki ndala, hata nyoka mwny sumu unaweza kumuua kwa maziwa, kifo hata nisipomwomba Mungu hawezi kuninyima, chupi ni singilendi ya miguu, mnafiki sio yule anayepangua ninayopanga bali ni yule asiyeamini katika uchawi wakati mama yake ni mwanga, we fala ni nomaaa sana. Kuna fee style na free style
Toxic fundiiiii mazee kwa anayemkubaliii atupie like
Kaka unajua jina analotumia insta?
Nooomaaa 💥💥💥
Hamjawah nipa like aiseee...nipeni likes mia tuu Ila huyu MwaNa ni kisanGa
Hizi ndio freestyle Sasa ,kudadadeki mapafu ya fisi mwanzo mwisho mpaka anakatiwa beat,hakulazimishi corus unaimba mwenyewe kilaaiiiniii,asee utaipenda hiphop bana kumbe Kuna wanayoiharibu asee,mbona Sasa wakongwe wajiandae asee na huu mchakamchaka!!!
We shoga nini, yaani achane Toxic likes tukupe wewe
Caliii
@@dottodavid1935 ukizeeka lazima utakuwa mchawi ww😎
Toxic umeuwa man hhm 72 from 254 kenya
uyu ndo mtu niliekua namsubiria aje kuangamiza na ameua kabisa! sasa ata nikiacha kufatilia dk kumi za maangamizi amna shida.
Daaah toxic fuvu unyama kama wote na kukubali sana mwamba Never disappoint Love from Drc Congo Lubumbashi ❤❤❤❤ mistari yako unasomeka unyama ni mwengi
Toxic anajuaa bn ila asiwadharau wenziee anajuaaa bn ambay hampend mchawi
Moja kati ya dakika 10 zilizofanyiwa maajabu, Toxic kills it🍻
Daa yani katika top freestyle Toxic wewe ni noma sio wale. Wanaoimba nyimbo zao ..hii ni next level.
Nafasi ya Mangwair imepata mtu wa kuiziba nice brother!!
You can tell this is freestyle the way he engages those presenters like kumguza na kumtaja jina huyo presenter. This is fire, best freestyle by far have ever seen from Tanzania. Love from Kenya
Weweeeeeeeee jamaaaaa Big up sanaaaa #Toxic Rapp Kali, Flow, style kaliii💥💥💥💥
Best freestyler of all time
Ngwear kazaliwa temeke🔥🔥🔥
Duuuuuuh Mr toxic ni fireeeeeeee🔥🔥🔥 Tisha Sana jeshi God blessed you ufanyikiwe
Nyiiiieee wajanja kama mmnamkubaliii toxic ile mbaya gonga like kama 2000 twende xawa
This is by far the best freestyle I ever heard from Africa. Real bars of the dome and so organic. Keeping it EastAfricaRadio for more entertainment!
Kweli man
Bring for us Jini kujua he is one of the best upcoming rappers fanyeni aje kuangamiza🔥🔥
Hakuna Cha bongo bahati mbaya aiseee..tungezaliwa China wowowo tungeiona wapi🤭😂😂😂 Toxic you on another level bruh💥🙌🙌
Hahahaa umechinja mwanangu Sana TOXIC...FreestyLe master 💪
Natural talent, hakuna kulazimisha , yaani flow inabuniwa hapo studio😄
Dah tokea dk 10 zianzishwe,this is my best session of all the time,ma mcs wa siku hz sijaona wa kumzima huyu jamaa,Salut sana toxic
Hujayiona ya chuma mbeya boy ndo wakwanza alinikubalisha kwli
Bando Mc nae yuko vzur
Dizaster Vina
cypher realist 254 mob love toxic,,,wapi likes toka nyumbani kenya
One love here 254
Now this is real freestyle off the top.....
New cowbamaaa..... freestyle killer🔥🔥🔥🔥🔥
@Cheka na Samjela ziko wapi...
@Cheka na Samjela bac anafanana na wewe...😜😜
Dah! Uyu jamaa n balaaaa yani yupo freshi kwa uandishi yupo fiti pia kwa freestyle... Ubarikiwe sn mzee toxic...
tatizo hilo ni hatar
Deadly freestyle! 255 MCs are on fire meeeen! Kama hela nishapay! Mad love from 254
Huyu SUMU fala na nusu dadeq zake, kila beat anazunguka nayo kama anafagia uwanja😅 salute mia sama asee👐👐👐
😄😄😄
Nadiriki kusema kuwa huyu mwamba ni freestyle killer#Toxic🔥🔥🔥
Mzeee flow Kali Kali Noma sana
Till today 2024 fellas lets gather here bdo hakujatokea freestyle kali kuizidi hii yan mwamba anashuka tu like a cassette 🙌☝️sijawah choka kuisikiliza
Kachek ya were mura
Au ya dunga mawe
best freestyl rapper ever in tz
Mad love from +254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tushakubali🙌🔥
Salute bro 🔥💪🏾 kazikazi
Huyu jamaa ndio the best so far, salute!
Toxic mnyama kabisaaaaaa💥💥💥💥💥👏👏👏👏👏👏👊👊👊
Hii ndo maana ya freestyle 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Uyu jamaaa so poa
Anaweza💥💥💥🤟🤟🤟🔥🔥🔥
NIKITOKA HAPA NAMTAFUTA IMSTAR UYU BWANAA OG...
Uyu mchizi daaah katengwa
After almost two years i never hear freestyle like this he is freeestyle killer💥
Huyu jamaa ni mchafu best rapper cjawahi ona kwenye hizi dakika 10 za maangamizi yan anafanya anachotaka kwenye beat dah qummke huyu kweli sumu
Yaan ogopa hiphop inachwana bila kukunjwa sura halafu inapenya,jamaa sijawahi shuhudia hiphop kiwango Kama ya toxic
Yuko vizuri sana aisee
kibasilaaa boy
Tumeumbwa na mishipa tumewekewa na misuli ndo maana ukiumwa mshipa unavaa msuli 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
4:26 Nani kasikia huo mstari "Hata mkipiga wimbo wa taifa...ila shoga hasimami" 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
Zamani Utasikia mimi ni ndama mutoto ya ng'ombe sasa hiv shida ni magufuli mutoto ya pombe duh hatari
Nakubali Sn Umetsha Mwng
Kama upo hapa 2024, gonga like tukisonga mbele
Hhhh uyu jamaa me skueza kumskiza mara moja yaani 🔥
Kama mm mwanang anajuaaaaa sanaaa
babuu hatar mazee nimekubal big up brooh noma sana
Wanaomkubali toxic wa gonge like hapa twende sawa 💯💯🔥🔥🔥💥
Toxic I love your job,, this is more wonderful, keep it up.. Mistari kinoma
Real freestyle...no pre-written bars here
etibongo bahati mbaya wakati bongo tunabahati beeg up TOXC fuvu
Mzee cjamaliza naona ushauwa unajua sana you nailed it
Bigger thinker freestyle toxic 2020
Oy mwanangu uyu toxic si aludiswe au sio mwanangu
Oy mwanangu uyu toxic si aludiswe au sio mwanangu
This guy is an alien 🙌🏿🙌🏿🙌🏿 🔥🔥🔥🔥
Kali cana kaka
Huyu ni sumu na yeye kaandika historia ya pekee Leo his the best rapper in this earth. Keep it up John.
Best freestyle of all time
Moto pasi
Huyu jamaaa apate mtu wa kumshika mkono tu ni bonge la rapa ,hii ndio Kali yang 2020 naitabiria
Huyu dogo anajua mimi namkubali mno @ mungu amjalie afike mbali
Dislike za nini sasa mlitaka aimbee na mama zenu 💥🔫
Daaaah asee🔥🔥🔥🔥🔥 noma sanaa naraumu kuchelewa asee
Nasema ukweli jamaa kamfunika boshoo ninja yani dah
Here 2023, still the best💦
Freestyle 💥💥
Best freestyler
The freestyle is on point, 🔥
Huyu jamaa picha yake iwekwe hapo studioo
2023 listening at this hatar sana
Wewe mukali from Zambia
Battle la Toxic vs Mbeya Boy Chuma Tuleteeni Planet Bongo
Apatiwe soda 🥤 kwa bill 💵 yangu, moto 🔥 sana
Mwaaana anajuaaaaaaaa balaaaaa
😂😂😂 zaman ukiona X alama ya kubomoa, sasa ukiona X alama ya kubong'oa
Toxic freestyle ✌✌ tisha mbaya
So toxic boy...the best ❤
Toxic ni mmoja tu u kill it bro🔥🙌
Muregeshe tena huyu bingwa bana ni sumu kweli kaua show🔥🔥
Mkali sana
Toxic amepuliza sumu ya kweli, unatisha mtu mzima 🇰🇪
Wale tunaosikiliza hadi leo tujuane, huyu jamaa noma
Duuh this one Toxic ameuaa
Jah bless 🙏🙏🙏🙏
Daaah.. this is the best free style.. ever
Jamaa ni sumu mwana anabuni mistari kwenye mic....toxiiiiiiic
Dulla jamaa mlete tena kwenye maic
Big up toxic
Toxic is the toughest rapper in Tz karibu 🇰🇪
Ooohh my God.....!!you killed it....shit umeuwaa bhabha🙌🙌
Big up sana mzee umefanya kitu kubwa mzeee una bonge la talent afu una nonge la vibe mnigaa kazaaa
Ww Jamaa n mbwaaaaaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥
Toxc anajua sana
Jamaa mwenye Tshat nyeupe haimini anachokisikia na kukiona ...!!
Anashangaa shangaa kama fala 😆😆😆
😅😅😅 sio poa
Amini kwamba
Qmmke sio poaa ww😂😂
Toxic Fuvu
Damn Ume-Murder sana👏👏💪
Hip hop never big up tixic
Like kama umemfeel Ngwair, King zilla, Stereo, Bill Nass na Nikki Mbishi...ndani ya #toxic
Jamaa amenipa ladha zote za muziki..all in one package...
#temeke
Kenya representing 🇰🇪 💯 🙏
Huyu Buda , He is the Best One Kwa Wale Wote Mc's Waliopitaga kwa 10 Dakika za Maangamiz
Toxic simalizi kumcheki yaani daily ni fundi sana.big up bro.