Zaburi ni nomaaaa... mie sio nzuri wa kujua kuomba ila zaburi zimeniinua na mijuza nimeona, kama ujui kusali soma zaburi kutokana na shida zako, mungu ni mwema kwa kila kitu amen
Pastor Mbaga..you always preach what I go through on that moment. God bless you more than the word it self. Am blessed. I can feel that, and not too long from now I'll come with a testimony. Thank you
Surely pastor, each day i watch your sermons and teachings , i learn many new things. May GOD bless you abundantly and continue using you for this wonderful work of GOD.
Amen, pastor kwa kweli haya yamewai ni kuta kuitwa nchawi,kwa kweli mimi ninaamimi mungu wangu alie hai, Asante pastor kwa kunitiya nguvu ubarikiwe sana
Asante Pastor mungu azidi kukubari akika Nina edelea kubarikiwa kupitiya mahuburi TV kutoka RDC likini swahili ngumu Ku andika lakini una unani elewa mungu azidi kubarikiwa kupitiya wa tumichi wakubwa kama nyinyi .
Hakika Mungu amenibariki katika siku ya leo. Kwa kweli leo nimefurahi kwa kufunuliwa na Yesu katika kunionesha upendo Wake. Jina la Yesu li heri. Amina!
Amen Amen Amen Mungu Atukuzwe kwa Mambo Makuu Ambayo Amenena Nami, napokea Ahadi Zote za Mungu na ushindi katika Nyanja zoote kwa Neema ya Yesu Napokea kwa Imani kwa Mungu Wangu. Mungu Akubariki Mchungaji David Mmbaga.
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa bwana Mahubiri yako yananijenga sana kiroho, nimepitiya mambo mengi katika miaka tano hiliyo pita, kwa kweli bila msahada wa mungu sijuwi ningelikuwa wapi. Mungu azidi kukujaza nguvu na hekima. Ubarikiwe sana mtumishi wa bwana.
I love your wisdom in preaching and everyday when i have a conection i love More to follow jesus Christ in mmbaga David mahuburi TV our fod be with you forever!!! so in tha i gets many things: the salvation miracle,blessed,and i recover a good health and tha make my knowledge very super...
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu. Huwa na barikiwa sana napokuwa nakusikiliza. Mungu akulinde na akuongezee siku za kuishi ili uwafungue/uwaokoe wengi.
Pr.mahubiri yako yamekomboa watu wengi sanaaaa,sichoki kusikiliza masomo yako,na nmeshajiwekea kwny ratiba zangu,siwezi kuingia kulala bila kusikiliza somo lako 1kila siku, umenibadilisha Sana ktk maisha yangu kwa ujumla,barikiwa sana sana PR.Mmbaga.
Nikweli mutumishi wa mungu umetuongezea imani kabisa nilikuwa na mupangai wangu alisha ama lakini kule alieda akakutana mutu mmoja sijui kama nimutumishi aka mwabia asema kule ulitoka ulifunikwa kwa neema ya mwenye nyumba ni mutu wa mungu akarudi kutu pasha tukashukuru mungu 🙏🙏
Pr umeongea ukweli wote. Niko na ushuhuda nilikuwa na ugonjwa wa ziwa ulionisumbua kwa muda mrefu lilikuwa linatoa damu na usaha nilipokea uponyaji siku ya meza ya Bwana kwa Imani nilijisemea moyoni leo ndo siku yangu ya uponyaji ninaposhiki damu na mwili wa Yesu nitapokea uponyaji na kurudi nyumbani msiba wa ugonjwa ukiwa haupo mwilini mwangu.
Pastor when I watch your sermons ninafutwa sana na kubarikiwa...Mungu azidi kukupa neema na hekima..uzidi kutuelimisha kiroho...
Thank you Pastorr Mbaga for the wonderful preaching it gives me strength. Halleluyah. Continue preaching
Nimemuona Yesu kupitia wewe 🙌🙌🙌😭😭😭😭😭 nakufatilia kutoka Indonesia 🇮🇩 Pastor Mbaga Mungu akubark sana
Nime like hili usikilise tena ❤
Am so blessed pastor may God bless u with ur family for powerful msg,u make me read scripture @time$listen to your msg from gulf.barikiwa saana🙏
Zaburi ni nomaaaa... mie sio nzuri wa kujua kuomba ila zaburi zimeniinua na mijuza nimeona, kama ujui kusali soma zaburi kutokana na shida zako, mungu ni mwema kwa kila kitu amen
Ubarikiwe sana pasita kwa mafundisho manzur ❤❤
Pastor Mbaga..you always preach what I go through on that moment. God bless you more than the word it self. Am blessed. I can feel that, and not too long from now I'll come with a testimony. Thank you
Amen. Praise the Lord
Amina pastor, God is using you in amight way .
AMEN be blessed pastor nice message indeed ,nimesonga atua kumbwa tangu nianze kusikiliza mahubiri yko,
Thank you for your teaching. Dickens from Kenya
Surely pastor, each day i watch your sermons and teachings , i learn many new things. May GOD bless you abundantly and continue using you for this wonderful work of GOD.
Kusema kweli, naanza kuona majibu ya maombi yangu yanajibiwa mda si mrefu, nashukuru sana mchungaji kwa kunijenga katika imani kuu
Ameeeen
Ubarikiwe sana pastor.Mungu azidi kukutumia
You are a blessing to me
Pastor mungu akubariki sana maana nimeshukuru sana kwa mafunzo mazuri hallelujah AMEN
GOD bless u pr mbaga
Amen, pastor kwa kweli haya yamewai ni kuta kuitwa nchawi,kwa kweli mimi ninaamimi mungu wangu alie hai, Asante pastor kwa kunitiya nguvu ubarikiwe sana
Amen 🙏Amen
Asante Pastor mungu azidi kukubari akika Nina edelea kubarikiwa kupitiya mahuburi TV kutoka RDC likini swahili ngumu Ku andika lakini una unani elewa mungu azidi kubarikiwa kupitiya wa tumichi wakubwa kama nyinyi .
Hakika Mungu amenibariki katika siku ya leo. Kwa kweli leo nimefurahi kwa kufunuliwa na Yesu katika kunionesha upendo Wake. Jina la Yesu li heri. Amina!
Wonderful teachings man of God Pr Mmbaga. Blessings 💯✔️✔️✔️👏👏👏
Asante sana Pastor Mmbaga umenibariki sana na somo hili. Ubarikiwe sana
Asante Umen ielewesha mtumishi
Mungu akubariki sanasana unisamehe giswwhiri kinanishinda kwandika
Amina pastor hakika nabarikiwa mno Mungu akubariki sana
Mungu apewe sifa kwa maneno makubwa ya wokovu unayo ya tamka, mubarikiwe mchungaji
Ubarikiwe pastor
Amen nimebarikiwa na somo hiri.Mungu apewe sifa kwa kutufunulia
Mchungaji barikiwa kwa huduma nzuri ya kuokoa mioyo iliyoumizwa na mwovu
Amen Amen Amen Mungu Atukuzwe kwa Mambo Makuu Ambayo Amenena Nami, napokea Ahadi Zote za Mungu na ushindi katika Nyanja zoote kwa Neema ya Yesu Napokea kwa Imani kwa Mungu Wangu. Mungu Akubariki Mchungaji David Mmbaga.
Mungu ashukuriwe Kwa kujibu maombi yetu ,tushangilie kwasababu ametenda tayari ,Amina
Asante pst kwa mafundisho mazuri mungu akutie nguvu uendelee kueneza habari yesu
Your teaching are amazing,
pr i am blessed this morning my spirit is revived!
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa bwana
Mahubiri yako yananijenga sana kiroho, nimepitiya mambo mengi katika miaka tano hiliyo pita, kwa kweli bila msahada wa mungu sijuwi ningelikuwa wapi. Mungu azidi kukujaza nguvu na hekima.
Ubarikiwe sana mtumishi wa bwana.
Mchungaji umeniongezea Imani kubwana Sana nilikata tamaa Ila kwasababu ya hubil lako imemuona bwana ubarikiwe sana
Barikiwa sana pastor somo zuri Sana nimejifunza kuomba ahadi
I love your wisdom in preaching and everyday when i have a conection i love More to follow jesus Christ in mmbaga David mahuburi TV our fod be with you forever!!! so in tha i gets many things: the salvation miracle,blessed,and i recover a good health and tha make my knowledge very super...
Baba maubiri haya yamekuwa zaidi ya baraka kwangu
Barikiwa na wewe piya
Be blessed Mtumishi wa Mungu
Asante kwa mafundisho mazuri
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu. Huwa na barikiwa sana napokuwa nakusikiliza. Mungu akulinde na akuongezee siku za kuishi ili uwafungue/uwaokoe wengi.
Nmebarikiwa sana Pr, Mungu aendelee kukutumia… maana nmemuona bwana kupitia hili hubiri🙏🏾
Ni kweli barikiwa sana
Mungu atukuzwe kwa mafundisho haya Mungu anifundishe kunyamaza kwa kila nipitiacho
Pastor you are so blessed ata mm nataka nyumba sikuwa najua Kuna kushangilia lakini kuanzia Leo nitashangilia
Nimebarikiwa na somo hili,Mungu anisikie na Mimi.
I love your wisdom in preaching and everyday I listen to to your preaching am blessed and my understanding goes higher.
Mchungaji Mmbaga, ubarikiwe kwa utumishi wako ktk huduma hii. I'm blessed by your practical preaching.
Mungu akubariki sana!Nimeamka sasa
Pr.mahubiri yako yamekomboa watu wengi sanaaaa,sichoki kusikiliza masomo yako,na nmeshajiwekea kwny ratiba zangu,siwezi kuingia kulala bila kusikiliza somo lako 1kila siku, umenibadilisha Sana ktk maisha yangu kwa ujumla,barikiwa sana sana PR.Mmbaga.
Your teachings really bless me nd gives me hope, I never say sina in my life 🤣🤣 I'm happy with that thanks pastor
Amen. Nasikia raha kuendelea kusikia mafundisho yako mungu nisaindie nipe uelewa zaidi. Mlinde mtumishii wako amen.
Amina mawazo ambayo no mazuri...... Amen
Cool 🔥🔥🔥
Umenifunzasana kwamini mugu endereya kutufundisha maneno yamungu mungu atakuripa
Amina pastor
Natamani kukipata icho kitabu hata cha hahina moja maana sina hata moja zaidi mchristu awezavyo kuishi hata kuishi ki imani. Amen.
what a gift from God to listen to you man of God
Yesu nisaidie nibatizwe na mm
Im not a Baptist..but your preachings are Bible truth! True servant of God. Be blessed!
Amina. Mungu akubariki
Nimeongezea imani barikiwa sana
Amina Pastor nafurahia sana Ma Somo yako
Be blessed Pastor 🙏🏾
Pastor asante kwa somo la Jumanne kwa kweli nimebarikiwa sana sa somo hilo. Limenikumbusha kurudia mazoea yangu ya kuomba kwa kutumia Zaburi!
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Amina ubarikiwe sana ila mzae tena watoto wengi sio wawili hao
Aminaa barikiwa sana pastor Mmbaga
Barikiwa mtumizi kwa jina kuu la Yesu Amen 🙏🙏 Amen
Nimebarikiwa Sana mchungaji
Amen 🙏🙏
Mungu azidi kubariki pamoja ma Familia yako na waumini wore Amina
Ubarikiwe mchungaji
God bless you man of God
Amen ckujua nimemiss mazuri humu hiviii
Barikiwa xana mchungaji nimejifunza mengi
Barikiwa pr
Amen God bless you too
Nikweli mutumishi wa mungu umetuongezea imani kabisa nilikuwa na mupangai wangu alisha ama lakini kule alieda akakutana mutu mmoja sijui kama nimutumishi aka mwabia asema kule ulitoka ulifunikwa kwa neema ya mwenye nyumba ni mutu wa mungu akarudi kutu pasha tukashukuru mungu 🙏🙏
Amina barikiwa
12:55 mtoto hakupata mtu wa kumshika mkono. Mtoto anamsikiliza Mch. Mmbaga kwa umakini sana. Get her feel the warmth of the kingdom of God
Kweli hii fundisho siyo ya kawaida, Mungu ahimidiwe sana kwa kukutayarisha ili utuhudumie kupitia hubiri hii.
Mahubiri yako iko n baraka .unahubiri kwa hekima na utaratibu
Amen ukiamini.....
Muchungaji ubarikiwe sana, mimi naku Fata toka DRC, mafudisho yako ina niongoza kiroho sana, ubarikiwe
Somo hili nkama nlangu asante nmeinuliwa sana
Hallelujah!
Mwenye no ya pr mbaga anisaidie
Pastor naomba uuniombee
Nasyhua nasumbuliwa na nguvu za Giza
Pr umeongea ukweli wote. Niko na ushuhuda nilikuwa na ugonjwa wa ziwa ulionisumbua kwa muda mrefu lilikuwa linatoa damu na usaha nilipokea uponyaji siku ya meza ya Bwana kwa Imani nilijisemea moyoni leo ndo siku yangu ya uponyaji ninaposhiki damu na mwili wa Yesu nitapokea uponyaji na kurudi nyumbani msiba wa ugonjwa ukiwa haupo mwilini mwangu.
Nimebarikiwa sana mungu anishike mkono niwe wake siku sote
AMINA
So God loves me that's why I have been crying for a child and He's not saying anything 😭😭
Have faith my sister
May God hear your prayer and bless you with a child.
Hapa sijatoka bure..🙏
God bless you pastor
Kwa hakika mahubiri yako yanajenga , ninapokuskia napata amani katika mawazo yangu
🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe Pastor. Ninawezaje kupata vitabu hivyo? Tafafhali ninaviitaji. Asante
Uko wapi
Nimetumia andiko kutoka kitabu cha Isaya 41 kstika maombi yangu, hakika nimeona mabadilliko makubwa sana.
Amen
Ma
Maubiri yame nisaidia sana asante sana
MUNGU Akupe siku yingi umbalikiwe sana
Kwakweli mimi mchungaji nime helewa lkn bado niko mbali sana na roho mtakatifu
Namimi ninge itaji kitabu hicho cha imani lkn niko mbali niko marecani
Hata huko kipo. Nenda kwenye maduka ya vitabu ya wasabato uliza kitabu kinachoitwa LIVING BY FAITH by Wagoner
@@MahubiriPrMmbaga pastor nipo dar es salaam nitapata wapi vitabu vyako?
Amina Amina Amina