MWAMPOSA ASHANGAZWA NA LUGUMI, “ANAMCHA MUNGU, WIMBO WA RAYVANNY NIMEUSIKIA”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @angelishika6054
    @angelishika6054 2 години тому +3

    Nashindwa kusema neno juu yako mtumishi wa Mungu Mwamposa Ila Mungu akupe maisha marefu kwa ajili ya sisi umeletwa na Mungu kwa ajili ya watu wengi tunakupenda sana

  • @ApostleElisha-u2m
    @ApostleElisha-u2m 2 години тому +3

    I love you Apostle Mwamposa

  • @MagretCharles-g6m
    @MagretCharles-g6m 2 години тому +1

    Mtumishi mungu akupe maisha malefu

  • @matildamushi1741
    @matildamushi1741 2 години тому +1

    Mungu ni mwema sana.

  • @EmanuelMbandi
    @EmanuelMbandi 48 хвилин тому +1

    Hapo hamna mtumishi hapo kunakiini macho uchawi noma😅😅😅😅😅😅😅

  • @husenahusena2660
    @husenahusena2660 2 години тому +1

    Subhanallah wabihamdih subhanallah llaadhiim ❤❤❤

  • @NiceWatson-y7e
    @NiceWatson-y7e 2 години тому +1

    Arise and shine 🎉🎉 usiogope amini tu

  • @KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy
    @KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy 3 години тому +3

    Mwamposa mm nakuelewa Sana

  • @evelynetitus974
    @evelynetitus974 42 хвилини тому +2

    Hamjui mlisemalo mnaomtukana mwamposa endeeleni kujichanganya sisi upako tunapokea na mwaka huu tunamiliki na kutawala

  • @MeckyMwesika
    @MeckyMwesika 11 годин тому +2

    I love mwampo speach.

  • @MagretCharles-g6m
    @MagretCharles-g6m 2 години тому +1

    Nakuamini Sana mtumishi amee

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 22 хвилини тому +1

    Hakuna mtumishi hapo

  • @DeogratiusZella
    @DeogratiusZella Годину тому +1

    🔥🔥🔥🔥💞

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 2 години тому +1

    Mtumishi ungesema mgeni rasmi wa kwanza ni yesuu wengine protoco za dunia zitafataaa

  • @x7hia
    @x7hia 2 години тому +2

    Huyu ni shetani waumimi wake kazi mnayo

    • @kuchimillionaire6683
      @kuchimillionaire6683 Годину тому +1

      Unaanzaje kumuita mwanadamu mwenzio shetani? Kw kosa gani?

    • @tom4dj
      @tom4dj 39 хвилин тому +1

      @@x7hia nadhani wewe ndo shetani unaeweza muita mtumishi wa Mungu hivyo, Mungu akusaidie sana hata hujui unalolifanya

  • @EmilyTembo-k7e
    @EmilyTembo-k7e 3 години тому +2

    Kwanza Reyvan kutumia sauti na maneno ya mwaposa bila kumjulisha lilikuwa kosa
    Lakini kwenda kanisani nakueleza alitumia akili kubwa

  • @KiringoMtemi
    @KiringoMtemi Годину тому +1

    Amani itatoka wapi wakati njaa kali pesa zote wanakula pesa bila huruma mpaka wananchi wanadata wakipata pesa kidogo wanakimbilia kukuletea radhi wafe na njaa pesa akuletee wewe na ankuja kwa miguu kwakweli wamedata

    • @MeshackBenjamin-f8k
      @MeshackBenjamin-f8k 16 хвилин тому

      @@KiringoMtemi Amani haitokani na wanadamu ndugu yangu moja ya vitu tunavyokosea ni kuweka matumaini kwa watumishi wa Mungu kuliko Mungu Neno linasema "mjue sana Mungu ili uwe na amani" kule unaposali wewe jitoe kwa ajili ya kristo Yesu na matokeo utayaona tu changamoto yetu ni wavivu wa kumtafuta Mungu ila tunataka matokeo tu

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 години тому +2

    Unataka ukamchome na lugumi? Tapeli

  • @draxelr-vc9wr
    @draxelr-vc9wr 3 години тому +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @Sam-Lasco
    @Sam-Lasco 2 години тому +1

  • @HamisiMbatyani
    @HamisiMbatyani 11 годин тому +2

    Mbona post haina sauti miladi hapa sjakuelewa.

  • @nyandamisana3630
    @nyandamisana3630 3 години тому +2

    Baba wangu wakiroho

  • @Nickvenas
    @Nickvenas 11 годин тому +1

    Millard ayo daima maishan

  • @IsaacKalenge
    @IsaacKalenge 5 годин тому +1

    Kinacho ondoa Amani katika nchi ni kutotendeana haki?

  • @arique5962
    @arique5962 4 години тому +4

    Sijui ni kwanini, lakini huwa simwamini huyu jamaa,,hata kdg

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 4 години тому +6

    Hakuna nabii zama hizi Kuna ufunuo kama wewe ni nabii tuambie ya kesho au utakufa lini

    • @CHAMSATV
      @CHAMSATV 4 години тому +4

      nipe video au sauti maali anasema mm ni nabii

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 4 години тому +3

      Mtafute Mungu wewe mwenyewe hakuna lifti period

    • @importancetv3196
      @importancetv3196 3 години тому +1

      Mbona mam yak nabii kwenye ukoo wak ndo hakun nabii

    • @MATIKO9640
      @MATIKO9640 3 години тому +2

      Huna utofauti kabisa na mharifu aliyemwambia YESU kama kweli wewe ni mwana wa MUNGU jiokoe kutoka msalabani kisha utuokoe na sisi.

    • @AyzalRicco-mi6iu
      @AyzalRicco-mi6iu 3 години тому +6

      Huyu ni mwizi tuu kama waizi wengine ukimuona unafikiri ni mtu kumbe anawarubuni wajinga waliorukwa na Akili ..nchi hii Ina watu wapumbavu sana.

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile 4 години тому +3

    Huyu ni tapeli

    • @tom4dj
      @tom4dj 4 години тому +1

      kua na hofu na Mungu wako, usihukumu kihivyo ........

    • @AgustaZaile
      @AgustaZaile 3 години тому +1

      @tom4dj peleka upuuzi huko

    • @donking-d4t
      @donking-d4t 3 години тому +2

      Amekutapeli bei gani?

    • @tom4dj
      @tom4dj 3 години тому +1

      @@AgustaZaile mpuuzi ni wewe unaemuita mtumishi wa Mungu ni tapeli, pengine hata humjui wala hujawahi kufika kanisani kwake unabaki kumuita tapeli, Binadamu wengine aiseee, Mungu akusaidie

    • @MagretCharles-g6m
      @MagretCharles-g6m 2 години тому +1

      Sasa kama humuamininkwanini unamfatilia

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 4 години тому +1

    Hawa Jamaa wanaojiita Manabii Inatakiwa Waziri Mkuu awe anapeleka wagonjwa wakapone Ili wasibitishwe na nchi kwamba kweli wanaponya Maana watu wanatoa helazao wanakua masikini na Hawa Jamaa wanatajirika Hawalipi Hata Kodi wanahinga viongozi wanakaa kimya

    • @donking-d4t
      @donking-d4t 3 години тому +1

      Ulishaa wahi toa bei gani ukawa maskini? Acha kupingana na kazi ya Mungu utapata laana isiyo kuhusu

    • @tom4dj
      @tom4dj 3 години тому +1

      @@nichoojr.6747 Je huyu umewahi ona anafanya unabii? usichokijua ni bora ukae kimya unajiingiza kwenye dhambi ya kutukana watumishi wa Mungu bureee

    • @RemyDuma-db5fd
      @RemyDuma-db5fd 2 години тому

      @@nichoojr.6747 angalia unavyojiziirisha kuwa Mpumbavu kwa komenti yako ya Kipumbavu, Kwani nani aliyekwambia Mambo ya kimungu yanakwenda kwa kulazimishwa? Mambo ya Kimungu yanakwenda kwa Imani ndio Utapokea Miujiza Kama hauna Imani ni Sawa na Bure 😳

    • @MeshackBenjamin-f8k
      @MeshackBenjamin-f8k 35 хвилин тому +1

      Uponyaji wa kwanza unaanza na ww kuamini watumishi wa Mungu kujaribu watumishi wa Mungu ni kumjaribu Mungu mwenyewe ni vzr sana kuchunga kinywa chako kabla hujanena Mungu hajaribiwi ndugu yangu

    • @SMEDIA298
      @SMEDIA298 21 хвилина тому +1

      Kasome biblia utapata majihu ya maswali au ushauri wako wa kijinga wewe hapo ulipo ni mgonjwa yani kauli zako tu ni ugonjwa wewe huwezi pokea hata wakuwekee Miguu Husda ni ugonjwa mbaya sana SOMA BIBLIA utaacha kulopoka katika mitandao