MRISHO GAMBO ANAHUSIKA KUMPA SUMU RC MAKONDA? - HAJAITWA KUHOJIWA POPOTE - UKWELI UPO HIVI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 111

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  5 місяців тому +10

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @simonkaaya1220
    @simonkaaya1220 5 місяців тому +6

    Naomba tuombe kila mtu kwa IMANI yake amuombee kwa MWENYEZI MUNGU AMPONYE. Bado Taifa linamuitaji. Mapungufu yapo kwa kila binadamu ata YESU alituhumiwa na Kusalitiwa.

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat 5 місяців тому +2

    Kila jambo lina mwisho wake kama rizki yetu kwa makonda imeisha tutashukuru mungu na kama bado pia tutashukuru mungu akuna atakae ishi milele cha msingi ni kwamba kama kiongozi wetu yuko likizo apumzike vema arudi kwa nguvu kutumikia wana arusha mungu akubariki mdogo wangu makonda

  • @RACHAELMALALE
    @RACHAELMALALE 5 місяців тому

    Mungu atakuponya boldozer makonda
    0:00

  • @nickb3289
    @nickb3289 5 місяців тому +8

    Mwenyez Mungu amponye 🙏

  • @ZainaJuma-t5g
    @ZainaJuma-t5g 5 місяців тому

    Ee mungu amnusuru makonda wetu na mabalaa hayo, amjaalie awe kiongozi mkubwa zaidi ya hapo❤❤

  • @RACHAELMALALE
    @RACHAELMALALE 5 місяців тому

    Pole rc makonda

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 5 місяців тому +22

    Unatuletea story!!! Tunamtaka Makonda!!!

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 5 місяців тому

    Mungu mnusuru Makonda. Maelezo yako ni pumba tu. Rafiki wa karibu ananafasi ya kukufanyia chochote kuliko hata adui. Makonda akidhurika, wanaotuhumiwa wachunguzwe

  • @RACHAELMALALE
    @RACHAELMALALE 5 місяців тому

    Mungu atakuponya boldozer makonda
    0:00

  • @SesiliaYustini
    @SesiliaYustini 5 місяців тому

    Eee mungu Kwa nn tukipata chapa kazi Wana yeyuka Kuna nn? Kwani tusadie tuu mungu wambingu na araz 🙏🙏🙏

  • @bmajesky63
    @bmajesky63 5 місяців тому +3

    Makonda will not die watakufa wapuuzi wengine mpaka Mungu atakaporuhusu Makonda kufa

  • @Pixxmoleli
    @Pixxmoleli 5 місяців тому

    Mungu husika

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 5 місяців тому +16

    Wachunguzeni hao wote waliousika kumpa sumu Makonda kama ni Watanzania wa kweli na kama sio wafukuze wote

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 5 місяців тому

      Wafukuzwe Nanani usinichekeshe

  • @Mutako-ig1ik
    @Mutako-ig1ik 5 місяців тому +8

    Huyo baba wawatu makonda akifa aiseee watanzania mutakuwa watu wa ajabu sana nitawachukia milele japo wanaangu pia ni wa Tanzania iweje kila kiongozi imala na mwenyekujali masirahi ya nchi na mupambaniq haki tzd anadhulikq

    • @FadhiliMgalla
      @FadhiliMgalla 5 місяців тому

      Nduguyangu mimi kila ninavyo angalia hizi kilipu nazidi kuto kuelewa kabisa Yani ngoja tusiongee kwanza

    • @Mutako-ig1ik
      @Mutako-ig1ik 5 місяців тому

      @@FadhiliMgalla Mungu amulinde huyo baba wawatu namupenda sana jamanii mie siyo mutanzania ila wanaangu ni wa Tanzania wakipataga kiongozi mzuri najikuta namupenda sana kuliko maelezo nilimupenda Magufuri wakamuondoa nikamupenda Majaliwa wakamukalisha kimya saa hivi hana kauri amekuja Makonda wanataka kumupoteza aiseee sjui wana Mashetani gani ila kabla Kikwete na Mwiguru hawajaondoka duniani hii nchi haitakaa ipate kiongozi bola ata siku moja

  • @ALBERTMWEMEZIBATAMUZI
    @ALBERTMWEMEZIBATAMUZI 5 місяців тому +2

    hao ni marafiki mungu awabariki

  • @DAVIDJOSEPH-u8r
    @DAVIDJOSEPH-u8r 5 місяців тому +1

    Hii inch imewekwa . kwaajiri ya watu wachche. Ndiomaana akiwepo kiongoz mwenyewe haiba na uchungu wawatu wachin..anapotezwa.

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 5 місяців тому +1

    Jamani hii ni Inchi ya ajabu kwanini wasituambie tujue yupo wapi kuliko hizi taharuki Mungu Mwenyezi tunaomba utusaidie ili mja wako arudi kutupambania

  • @VailethVee
    @VailethVee 5 місяців тому +9

    Hatutaki maneno mengi kaka waambie tunamtaka makondaa wetu akiwa na afya

  • @novatusmakunga3030
    @novatusmakunga3030 5 місяців тому

    Superb 👍👍👍

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 5 місяців тому

    Sema alipo Makonda acha Mboyoyo 😂😂🎉🎉

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 5 місяців тому

    😢😢😢😢😢😢

  • @MatidoniFasitini
    @MatidoniFasitini 5 місяців тому

    Hii mitandao na yenyewe inachangia kuvuruga aman ya nchi yetu mamlaka ya mawasiliano ifanye kaz yake tunataka taarifa zinazoeleweka

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 5 місяців тому +1

    Na ole wenu iwe kweli tunamtaka Makondaaaa😢

  • @Nandymsophe
    @Nandymsophe 5 місяців тому

    Kaka hatutak maneno meng sis tunamtaka makond. Wet tu akiwa mzim wa afya

  • @ashakomba8034
    @ashakomba8034 5 місяців тому

    Mnachokitafta mtakipata 😢😢

  • @mazongeshomari8032
    @mazongeshomari8032 5 місяців тому

    Hatamimi naamini maneno yamsimuliaji

  • @philomenastephen3364
    @philomenastephen3364 5 місяців тому

    YUDA ISKARIOTE HAKUWA MBALI NA YESU. NAYE ANGEPEWA NGUVU ZA KIROHO ANGEJUA ATAKAYE MSALITI.

  • @Richforever66
    @Richforever66 5 місяців тому

    Yani Rais jamaniii amsaidie makonda coz daaaa

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 5 місяців тому

    Sasa hii story ndo ya kuichunguza why global ndo mnamsafisha?amewatuma au?

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 5 місяців тому +4

    Ninyi mbwa wakubwa mrisho Gambo atahusikaji wakati makonda na mrisho Gambi nimarafiki wa siku nyingi

  • @nickb3289
    @nickb3289 5 місяців тому +1

    Waiting

  • @bnztechnologies2676
    @bnztechnologies2676 5 місяців тому +1

    Mmmhhhh gambo huyuuuu sio

  • @emmanuelqaday6949
    @emmanuelqaday6949 5 місяців тому +11

    Wahuni wanataka kumchonganisha gambo na makonda

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 5 місяців тому

      WATU WANAONGEA UJINGA SANA KITU KAMA HIPO HAKIPO

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 5 місяців тому +6

    Ila wabongo tuache uzushi jamani

  • @AmosSija
    @AmosSija 5 місяців тому

    Haya mambo yanasikitisha kusikia viongozi wanawekewa sumu ukweli si jambo jema

  • @prospermsemwa1433
    @prospermsemwa1433 5 місяців тому +1

    akiludi aachane na hio kazi

  • @edrickniwamanya5665
    @edrickniwamanya5665 5 місяців тому +1

    😢😢😢😢😢😢😢

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz 5 місяців тому +6

    Huo ni uwongo gambo na makonda ni marafiki sana tangu enzi za magufuli na ni marafiki sana hawana shida hao wawili hizo ni mbinu za watu wachache kumtengenezea gambo ubaya but gambo yuko vzur hanashida

    • @Sweetnaah
      @Sweetnaah 5 місяців тому +3

      Je wajua kwamba kikulacho kinguoni mwako?

    • @salmaalimusa6809
      @salmaalimusa6809 5 місяців тому +1

      ​@@Sweetnaahhajui mtu wakwanza mwenye kukudhuru ni mtu wako wa karibu

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 5 місяців тому +1

    Makonda mzima bwana mnataka kusema kikulacho au nini😮

  • @EdwardYohana-nj9ky
    @EdwardYohana-nj9ky 5 місяців тому

    Acheni kuchafua jina la gambo nnacho taka kujua mkonda yuko wapi basi

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 5 місяців тому +3

    Ni zaid ya upuuzi kabisa

  • @linusmmassy9730
    @linusmmassy9730 5 місяців тому

    Siasa za Arusha ni ngumu MNO mno

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 5 місяців тому +1

    Hivi jamani wanao toa taharifa za uongo c, wachukuliwe hatua

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 5 місяців тому +2

    Uzushi kila kukicha! Mnamzulia Makonda kupewa sumu, mbona hamji na ushahidi na uthibutisho? Mnamzulia Gambo kumpa sumu makonda, tupe ushahidi na uthibitisho. Tunachoka na waandishi makasuku na makanjanja wasitofanya juhudi utafiti kutafuta facts wanabaki kuwaaminisha watu uvumi na uzushi! Acheni uhasidi!

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 5 місяців тому

      Wanaozusha wanataka wasidhaniwe ni wao😣😣

  • @SirajiAbdalah
    @SirajiAbdalah 5 місяців тому +1

    Raha na shida vinalingana

  • @AyubuMsindo
    @AyubuMsindo 5 місяців тому

    Daaaaaaaa jamani 1:31

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg 5 місяців тому +1

    😢

  • @luckygmdegela8477
    @luckygmdegela8477 5 місяців тому

    Tunamtaka mtoa uzushi ,huyo ndio anajua alipo makonda , sisi tunamtka makonda kamata huyo aje aseme ukweli.

  • @gilbertmchai2490
    @gilbertmchai2490 5 місяців тому

    Akujuae ndio akumalizae

  • @BarakaRwegoshora
    @BarakaRwegoshora 5 місяців тому

    Tuombe subira kwa kila mtu tusitaarukishe taarifa na lawama. Tuamini lile tunalolipokea kutoka kwa serikali ndo kuna taarifa sahihi

  • @SelijusMalambo
    @SelijusMalambo 5 місяців тому

    Tunaomba mtuambie amelazwa hospital gani 2 inchi gani alikopelekwa ,leo siku yangapi tangu amelishwa sumu na niaina gani ya sumu ,3 chakula alichokula kikiwa na sumu nichakula gani

  • @RukiaTanzania
    @RukiaTanzania 5 місяців тому

    UNaesema hawezi ndie rahis kuweza

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 5 місяців тому +2

    Ole wako gambo awe ndio yeye maana rafiki anaweza kuwa adui mkubwa

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p 5 місяців тому

    Kama mke anaweza muwekea sumu mumewe itakuwa rafiki ?

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 5 місяців тому

    😁😁😁😁me nachekaga tu na siasa za tz

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 5 місяців тому

    Mbona mnaleta makelele msituletee izo habari mlizusha kuhusu makamu wa rais kafa ikawa uzushi msituletee uzushi wenu mmeshajibiwa kuwa yupo likizo

  • @jumanyanda9740
    @jumanyanda9740 5 місяців тому

    Nani mwenye ushaidi wa hilo na je ni nani mwenye ushaidi kuhusu makonda alipo na je nani mwenye ushaidi wa kweli makonda kapewa sumu?

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 5 місяців тому

    Never trust anyone.Tena mtu wako wa Karibu ndo anakudhuru kirahisi kabisa.

  • @ClementMmuru
    @ClementMmuru 5 місяців тому +5

    Jamani watanzania ninani aliewaloga?kila kiongozi shupavu anatafutiwa mauti je hiiitakua ninchi ya kidicteta au huo ndio uzalendo watanzania? Duh hii Sasa ningumu kumeza jamani

  • @emmanuelmasatu
    @emmanuelmasatu 5 місяців тому

    Hawa watu wanao waua viongozi vipenzi vya Watanzania ni kinanani.? Na wanatuchukuliaje watanzania.!

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 5 місяців тому

    Makondakana watamuuwa kama magufuri nitahama nchi hii

  • @margarethsolomon9823
    @margarethsolomon9823 5 місяців тому +1

    Yuko WAPI mkuu wa mkoa Paulo Christian Makonda4

  • @jonasimwanzi
    @jonasimwanzi 5 місяців тому

    Kinana kajiuzuru CCM kuna kitu kinaendelea jamani vijana 2000 tuamuke maana awa wasitucheze

    • @gigoyrn4394
      @gigoyrn4394 5 місяців тому

      😂😂 Sasa kujiuzulu Kwa kinana sisi tuingie mtaani

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 5 місяців тому

    Heeee

  • @ramadhanchonya9497
    @ramadhanchonya9497 5 місяців тому +1

    Tunamtaka makonda

  • @jameskilasi5131
    @jameskilasi5131 5 місяців тому

    Hujatoa jibu bdo yupo wapi makonda

  • @AmenMushi-j2j
    @AmenMushi-j2j 5 місяців тому

    Mmm

  • @adolftimanywa2709
    @adolftimanywa2709 5 місяців тому

    Ameñ

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 5 місяців тому

    Leteni majibu sahihi yuko wapi Makonda acha maneno mengi

  • @kibemassao6478
    @kibemassao6478 5 місяців тому

    Acha mbwembwe

  • @jacklinakinabo6479
    @jacklinakinabo6479 5 місяців тому

    Trust nobody

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 5 місяців тому

    Lisemwalo lipo mbona atajwe yeye tu

  • @IssaMsangi-ro7qr
    @IssaMsangi-ro7qr 5 місяців тому

    Jmn

  • @OmaryRamadan-m8v
    @OmaryRamadan-m8v 5 місяців тому

    Shida yetu sisi so maelezo shida yetu ni makonda tumuone basi😢😢😢😢

  • @JustinMkumbwa
    @JustinMkumbwa 5 місяців тому

    Tunakuoma kama mmbeatu watu wanatakakujua Hali ya MAKONDA na alipo acha kutuletea mboyoyo kwani gambo hawezikuongea mpaka wewe

  • @jennifersirikwa7449
    @jennifersirikwa7449 5 місяців тому

    BIASHARA ya kuamini rafiki inatoka wapi. Rafiki Ndio snitch mkubwa

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 5 місяців тому

    MBONA NI KAMA UNARUSHA UTETEZI?

  • @WilfredKuyonza-jz2nj
    @WilfredKuyonza-jz2nj 5 місяців тому

    Tunachotaka sisi ni kumuona makonda akipiga kazi basi

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 5 місяців тому

    Sawa, umejitahidi kukanusha kwa niaba ya mtuhumiwa labda kakutuma.

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np 5 місяців тому

    Kikulacho kiko nguoni mwako. Wajuwakwamba. Baba ana weza kuwua mwanae wakumuzaa. Atashindwaje. Kwarafiki yake. Lisemwalo lipo fanya ucunguzi

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri 5 місяців тому

    Tutampa ubunge Arusha anatufaa

  • @naqiahmad26
    @naqiahmad26 5 місяців тому

    kikulacho...

  • @RukiaTanzania
    @RukiaTanzania 5 місяців тому

    Anekudhuru ni wako

  • @MiriamJoel-z2w
    @MiriamJoel-z2w 5 місяців тому

    Acheni uongo kumchuria mtiu kifo shindwa

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 5 місяців тому

    Yote ni yote tuombe Mungu ampe uponyaji popote alipo arudi akiwa hai bado tunamhitaji sana sana.

  • @WilfredKuyonza-jz2nj
    @WilfredKuyonza-jz2nj 5 місяців тому +1

    Sikuhuzi watu wanaweza kufanya jambo kisha wakakaa kimya na kuziacha media walizozilipa pesa ziwasemee ili wao waendelee kubakia kwenye safe zone. Ni mtazamo wangu kwa uelewa wangu wa mambo tumia akili kulitafakari jambo linaloongelewa au uvumi wa namna yoyote ile.

  • @athanaswilliam6940
    @athanaswilliam6940 5 місяців тому

    Hamna akili nyie,... Mnaleta taharuki kwa kivuli Cha uzushi.... Kama uzushi kwanini muiweke tusikie. Mbaafu

  • @nickb3289
    @nickb3289 5 місяців тому +1

    Kama n kwel

  • @MastarKuntuabaharia
    @MastarKuntuabaharia 5 місяців тому +2

    Rafiki yako mkubwa ndio adui wako mkubwa chukua hiyo usiwe bwege

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 5 місяців тому

      Kumbe nyinyi macha-demu ndiyo mlioandika uzushi huo...

    • @section8ight174
      @section8ight174 5 місяців тому

      Huwezi kuwa panda zote mbili, haiwezekani! Ni eidha rafiki ama adui

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 5 місяців тому +1

    AENDEE TU...KAMA ALIUAWA KINA BEN SAANANE HIYO SUMU ITAMUONDOA...

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 5 місяців тому

      Mhmhmhm 😮😮😮😮

    • @SelijusMalambo
      @SelijusMalambo 5 місяців тому

      Ok ukiitwa ushahidi unao au nimkurupukaji

  • @GeorgeJusto-y4v
    @GeorgeJusto-y4v 5 місяців тому +1

    Unaongea vitu vya uongo wewe umelewa nini

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 5 місяців тому

    Mbona mnaleta makelele msituletee izo habari mlizusha kuhusu makamu wa rais kafa ikawa uzushi msituletee uzushi wenu mmeshajibiwa kuwa yupo likizo

  • @SirajiAbdalah
    @SirajiAbdalah 5 місяців тому

    Raha na shida vinalingana