BARNABA NA YAMMI WAFIKA BASATA/BARAZA LA SANAA LATOA TAMKO WIMBO WA NIBUSU/AOMBA MSAMAHA KWA FAMILIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 89

  • @halimahussein6792
    @halimahussein6792 8 місяців тому +7

    Hilo ndiyo nilitegemea, Safi Sana, wakiachiwa hata chupi wataziona nzito

  • @noraazan9124
    @noraazan9124 8 місяців тому +1

    Kaongea vizuri Barnaba hongera sana.

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 8 місяців тому +4

    Barnaba mtoto mwema Mungu akubariki. Mbona Nandi na Ally Kina walikuwa wanaogolea mkewe alielewesha akaelewa.

  • @jokhamohammed976
    @jokhamohammed976 8 місяців тому +11

    Duh damu ya mtu zuchu mara ngapi anavaa hivyo mbona hamjamwita😅😂🤣umasikini nao shida😅😂🤣mondi anaogopewa

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 8 місяців тому

      Sio zuchu tu wasanii wa kike woote huvaa uchi hakuna anaevaa vizur stara

  • @RashidaAbdallah-gb6pk
    @RashidaAbdallah-gb6pk 7 місяців тому

    Umekosea Jamani Barnaba Omba Msamaha

  • @theresiamwacha7845
    @theresiamwacha7845 8 місяців тому +7

    Akanywe uyo mwanamke alievunja ndoa uchi kabisa nabado mnamtetea akanywe

  • @EverlyneSamuel
    @EverlyneSamuel 8 місяців тому +8

    Apo mnamuonea barnaba..mbn kina gigy wanavaa vibaya na hamuongei😢😢

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 8 місяців тому +1

      Itakuwa mama mkwe wake kaenda basata kuwashtaki😅

    • @HawaSwaleheh
      @HawaSwaleheh 8 місяців тому +1

      Hapo sasa ubaguzi

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 8 місяців тому +20

    Wapuuzi ndy watatetea lkn Yammy yupo uchi sana yy na Phina wamezidi kupiga picha uchi ukweli ndy huo

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 8 місяців тому

      Ni kweli kabisa

    • @sakinamohamed5518
      @sakinamohamed5518 8 місяців тому

      Tatizo wapo wengine wanaovaa vibaya lakini mbona wasiitwe kukanywa pia hao. Diamond Kuna nyimbo video vixen alikuwa uchi kabisa na hawakumkanya hao basata waache ubaguzi.

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 8 місяців тому

      😢😢😢😢 WANAUME WAKITAZANIA KIUKWELI
      HANAGA ADABU AND NOT RESPECT 😢😢😢

    • @HawaSwaleheh
      @HawaSwaleheh 8 місяців тому +1

      Tumekubali lakin tuna complain mbona wanao vaa hivyo ni wengi mbona hawakanywi wanamuonea barnaba

    • @jamilahali-jg8er
      @jamilahali-jg8er 8 місяців тому

      Mm ntka yami afungwe kabsa mziki

  • @RashidaAbdallah-gb6pk
    @RashidaAbdallah-gb6pk 7 місяців тому

    Huyo Ammy Ne Pia Sio kwa Vazi Lile Jamani

  • @AishayoutubeMoosa-zn1co
    @AishayoutubeMoosa-zn1co 8 місяців тому +1

    Sasa nyie wapumbavu mnatetea ñn kwa yammy

  • @HamidaOmar-ub4kb
    @HamidaOmar-ub4kb 8 місяців тому

    Mi nashangaa kweni amupigi picha lazima muwoneshe mwili wandani😂😂😂

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 8 місяців тому +6

    Tanzania ya hovyo sana huo ni uonevu tu hatujaona kosa la barnaba na yammy

  • @PhinaGeorge-o5m
    @PhinaGeorge-o5m 8 місяців тому

    Basata mnamuonea Barnaba mtamkondesha mala ma Kimbo mala Raya muacheni bhana

  • @pendochimammy5013
    @pendochimammy5013 8 місяців тому

    Ubaguzi watu wanavaa uchi nahawaitiwe lakini Barrnamba na Yammy wawaonea tuu

  • @HappystarMotto
    @HappystarMotto 8 місяців тому

    Mbona wasanii wengi tu wanavaa uchi tu Basi muwapangie nguo za kuvaa

  • @NusraHozza-qp8yy
    @NusraHozza-qp8yy 8 місяців тому +4

    Halafu najiuliza bila kuonyesha linguo lake la ndan anaona hapendezi au anajiamini nini mtt wa kike mwenye wazazi wa2 mbona jide kaimba miaka mingi na hajawah kukaa uchi.

    • @MsNajma-e6e
      @MsNajma-e6e 8 місяців тому

      Memuona yamm tu mbon zuchu anavah nguo na chup rake rinaonekana na gigy anakaha uchi mbon hawamuiti na wenginewe wengi hu ni uwonevu wasani wengine wavae ila memuona barnaba tu na yamm kwa kuwa mkwe kaongea ndio basata wakamua ivyo wanashindwa kuwaita wanaokosea wanamkataza barnaba na yamm kisa chup mbon miziki ya nje mnangaria kenge nyie

    • @NusraHozza-qp8yy
      @NusraHozza-qp8yy 8 місяців тому

      hii video ni kuhusu yammi na tunacoment mada iliyopo mda huu na kila mtu anacoment anachojisikia

  • @radhinamedi8301
    @radhinamedi8301 8 місяців тому +1

    Ivi mumeelewa musisahau mimi ni MUHAMMED

  • @theantara8931
    @theantara8931 8 місяців тому +1

    Hao ni WA kuwapa Elimu? Yaani hawakujua baya na nzuri!

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 8 місяців тому

    Huyu jamaa ni mwanamke au mwanaume

  • @Ayuminchasi
    @Ayuminchasi 8 місяців тому

    Wasanii woote wanavaa uchi sijawahi kuona msanii kavaa stara basata wanafiki msaan gani aliyewahi kuvaa stara unafiki mwingi wanataka pesa Tu

  • @julianavicent4845
    @julianavicent4845 8 місяців тому

    Mbona hamaangalii ya zuchu

  • @franciskajessy4468
    @franciskajessy4468 8 місяців тому +7

    Mbona Daimond na Zuchu uwa amuwaiti kuwaonya ndugu zetu

    • @radhinamedi8301
      @radhinamedi8301 8 місяців тому

      Hawana ndowa na hawavai utupu vile kama uyu mikojo yummy

    • @noraazan9124
      @noraazan9124 8 місяців тому

      Et na chupi Yake Kama gunia la mashine huenda wao Wapo marekani

  • @MbeyuSauko
    @MbeyuSauko 8 місяців тому

    Ila wamekosea bwana co sawa mme wa mtu kufanya vile. Hata kama ndo kaz. Ushamba tu. barnaba, yammy wote washamba tu.

  • @nikelaJimson
    @nikelaJimson 8 місяців тому

    Ahahah vido why bilnas lakini😂😂😂😂😂

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 8 місяців тому

    Ndio Kaz za Sanaa Iyo lazima uwende nyumban kusalimia Ila nyimbo hatar Na nusu

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 8 місяців тому

    Wanaki wakumbwa nyinyi mmemuona huyotu mbona wangine mbona hamuwaite wateni wote

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 8 місяців тому +1

    Nyie basata muna upendeleo mbona hua wengine hamuwaiti

  • @asyawaamidu2968
    @asyawaamidu2968 8 місяців тому

    Uyo yamm mwanzo alijifanya mtu wa dini na nilimpenda lkn kaona aidhalilishe nchi kwa kuvaa uchi huu sio uungwana

  • @ZainabothmanZainabothman
    @ZainabothmanZainabothman 8 місяців тому

    Kilasiku wao tu hawaon wezawao wanacho katazwa

  • @sophykivuyo
    @sophykivuyo 8 місяців тому

    Why between the interviw you say bilnass😂😂😂😂😂

  • @ZainabYakoub-u5s
    @ZainabYakoub-u5s 8 місяців тому

    Alafu anajiita mumin wa kiaslam ...utumbo ndio kma uo iv kweli

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 8 місяців тому

    Barnaba mmmmh,

  • @lucypius4414
    @lucypius4414 8 місяців тому +1

    Doh.... Pole sana mdogo wangu... Mbona kama wana visa sana

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 8 місяців тому +1

    Ila mboni tunaona watu wapo uchi hamuwaiti kazen but wabadilike wote

  • @sisifaty9183
    @sisifaty9183 8 місяців тому

    Msimuonei Barnaba na Yamy mbona kuna zuchunpia aliwahi kuvaa kama Yamy

  • @benjaminmartin4548
    @benjaminmartin4548 8 місяців тому

    Mambo mengine tuwaachie wazungu. Wao kutembea uchi ni kawaida. Si tunaiga kila kitu.kwani. Miziki zamani haikuwepo?

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 8 місяців тому +3

    Barnaba wimbo ni mzuri ila yule mwanamke siyupo uchi pala sio vizuri usiwasikilize hao wanaokwambia eti mme bweke jitabuwe mwenyewe ww ni baba watoto wako wanakuwa kwani sanaa ndio inataka mtu akae uchi leo unawatoto wa kiume kesho utazaa wa kike nje akivyaa hivo utafurahi waallaahh hao wanao tetea waweke dd zao vile

    • @Veni584
      @Veni584 8 місяців тому

      Na coco beach mkawakumbushe

    • @radhinamedi8301
      @radhinamedi8301 8 місяців тому

      Yumy kamuharibia mwenziwe ndio ajifunze na pia hiari yake atafungiwa ndio kwanza kindege kidogo

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 8 місяців тому

      Wasanii wote wanakaa uchi sijawahi kuona msanii kavaa stara hao bassata ni wanafiki tu wanataka pesa maana woote wasanii wanavaa uchi uchi​@@radhinamedi8301

  • @bdvc7107
    @bdvc7107 8 місяців тому +1

    Tatizo yami yuko uchi mchupi uwo alimuiga pina

  • @noraazan9124
    @noraazan9124 8 місяців тому

    Sasa basata tuwaulize swali kuhusu maadili ya Tanzania je wanaume wanapaswa kusuka nywele?

  • @joycemtaita6418
    @joycemtaita6418 8 місяців тому

    Sidhan Kama mkewe atasurvive

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 8 місяців тому

    Mama mkwe oyeee

  • @RemmyTuva
    @RemmyTuva 8 місяців тому

    Ila Wana habari wambea

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad7692 8 місяців тому

    Barnaba anaongea kwa huruma maskini

  • @lavendaadhiambo
    @lavendaadhiambo 8 місяців тому

    maokoto

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw 8 місяців тому

    Wasanii wote wanamuakilisha rusifa

  • @meshacksamwel3887
    @meshacksamwel3887 8 місяців тому

    musanii unatakiwa kufanya kiti chenye maana uhalisia ndo unahitajika hujakosea kaka

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 8 місяців тому

    Hiyo nyimbo ni baraha hatari

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 8 місяців тому

    Hi iwe kwa wasani wote zuchu anakuwa uchi chup nje mbon hamuwaiti au kwakua mondi anawapa maokoto

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 8 місяців тому

    mnamuonea tu barnaba mbona dai na zuchu wananyonyana ulimi na hamuwaiti mnamuonea tu zuchu chupi pia ipo nje mbona hamumpi elimu uonevu tu basata mtupu

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 8 місяців тому

    Maajabu huyo anayeacha matiti nje

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 8 місяців тому

    Dogo uku mke anazingua uko baraza .usijali dogo kutoboa sio raisi sana pambana

  • @matridamakange7286
    @matridamakange7286 8 місяців тому

    Usingekuwa mme wa mtu hizi taharuki zisingekuwepo

  • @radhinamedi8301
    @radhinamedi8301 8 місяців тому

    Barnaba anahema chezea wananchi wewe

  • @YacintaJames
    @YacintaJames 8 місяців тому +5

    Nyie Basata na wale wanaoimba nyimbo za matusi huwa hamzisikii au?

    • @Lulucut
      @Lulucut 8 місяців тому

      Wananjaa skuiz

    • @HusnaSalum-p1q
      @HusnaSalum-p1q 8 місяців тому

      Wanazingua licha ya nyimbo wapo wanaovaa uchi zaidi ya yami

    • @shuweikhasalum9836
      @shuweikhasalum9836 8 місяців тому

      Ndio hapo xaxa 😂😂

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 8 місяців тому

    Comments za watu ndizo zilizo mtia barnaba kwenye shida mbona wengi tu wanatuonesha utupu na hawaitwi basata

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy 8 місяців тому

    hakuna geni kwa wasanii, wengi wa wasanii inamaana hamuwaoni, tuachieni barnaba wetu afanye kazi

  • @BJM-j2t
    @BJM-j2t 8 місяців тому +2

    Banaba ni bwege mume chupi

  • @MwanajemaPharmacy
    @MwanajemaPharmacy 8 місяців тому +7

    Heshima gani na nyie.. watu kutwa wanapiga na bra na bikini wanajipost akina gigy ila hapo ndio vya ajabu 😏 Tanzania nchi yangu embu dilini na mashoga mkimalize tuendelee na mavazi. Vido unamaswali mazuri sana umembana mpaka anashindwa kujielezea🤝

  • @DidaRashidi-dz1ll
    @DidaRashidi-dz1ll 8 місяців тому

    M

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn 8 місяців тому

    Kuna nguo fupi ni muhimu waonyeshe kabla hawajatoa sio wawape adhabu waonywe hata sisi tunapenda music lkn waache kuvaa nguo za uchi baadhi wanaonyesha mpak makalio hawatakiwi kuadhibiwa il elimu ndio wapewe wakipinga ndio nyimbo hawataipiga acheni mkiendelea hivyo watakao zaliwa wataimba nyimbo uchi kabisa

  • @lavendaadhiambo
    @lavendaadhiambo 8 місяців тому

    wafute izo nyimbo

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 8 місяців тому

    Yamm kavaha uchi sana chup njee kiuno nje makario njee ndio nn ssi atupo marekan jmn tupo tz bado tupo nyuma sana

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 8 місяців тому

    Hivi kweli upuuzi km huu ndiyo Tanzania pekee wanaufanya. Lol mnataka nini haswa‼️⁉️ Yaani Barnaba wala usikubali KUKALIWA NA MKE NA MAMA YK. WEWE UMEOWA NA UMELIPIA MAHARI 💯 Achana na huyo mke hana maono ona ameshaanza kukutilia Nuksi kwenye KAZI YK. Mpe talaka kaowe mwanamke mwenye kujielewa na mwenye MAONO🙌🙌

  • @mariyamumadebari4296
    @mariyamumadebari4296 8 місяців тому

    Huyu mama mkwe mbuzi tu kampinza