Lkn kiukweli raya kwauzuri sioo saaaanaa. Uwakawaidaa sanaaa,. Halafu kingine nawewe hapo ulipo upo uchi kwanza makwapa yapo wazi pili kichwa kipo wazi kiujumlaa upo uchiiiiiii. Weweeee na yammy wote mpoaa uchiiiiiii,. Sio mimi ni dini yetu ya kiislam,. Halafu kama kweliiiii umefundwaa Mambo yamumeo usiyatoee kwenye mtandao dada angu nivibaya,.👏👏👏👏👏. Halafu talaka usiiitamkeee,. Tatu umekubali kuolewaa na msaniii kubaliana nayotee,. Mwanzo alikua hafanyi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏.
Acha uwongo kwanini kaolewa na msanii na wanajulikana kabisa wanavyo fyatua akili zao na kuzitupa mbali sababu kazi tao ni ivyo inaomba Angelina basi na mchungaji wawe navaa suti wote
kwa jina hilo la raya herufi hiyo hupitia magumi sana kwenye mahusiano so inawezekana kuachwa usiachwe ila chamoto ukakiona kwa hiyo herufi yako allah akufanyie wepesi
Upo vizuri sema nilichokipenda tu msimamo wako awa wanaume wanatunyanyasa sana kisa pesa zao wanafanya kitu bila kujua ata ss tunamioyo inayouma ndan yake bora tutafute pesa kuliko kumtegemea mwanaume
Eti watu wengi wanamtongoza. Hio ndio unaona sifa… au unaji dhalilisha..? Wakati unasema hujaachwa. Ucwe mshamba. Hakuna mwanamke asie tongozwa. Ht mwenda wazimu nae anatongoza. Punguza majicfu km kweli unalinda ndoa yako. Na pia jistiri kwa kua ni mke wa mtu. Hizo sufa utakuja kushikwa sikio na kukumbushwa.
Huyu dada ni mpuuzi sana sasa even mume amekosea lazima umkosoe kwenye mitandao kwani alijua ameolewa na mchungaji kuwa acha utoto na huo uzuri huna ni wakawaida mno ww dada .
Kaa kwa mama barnaba yupo kazini na hayo ndio maisha yake na PESA ndio anaipatia hapo na wewe ulimpendea hapo acha shobo, huna kitu ungejioa kama unauwezo, na kwa staili hiyo utaolewa sanaaaaa!
Anaweza sana kukuacha isipokuwa nimwanaume anayejielewa hivi weye raya unaakili kwetu unajuwa hicho unachokiongea hapo ujuwe km mwehu fulan hiv kweli dem hujielewi hat kidog du kumbe nyinyi niurisi wamachizi kwenu
Big up on what you do raya haijalsh unampendaje huyo mwanaume wako unatakiwa kulinda mipeka na heshima huyo n mume jaman na sio hawara yey akiona unashikwa kiuno na mwanaum mwengine atakubal, huyo yammi n kahabaaa
Kwanza ungejistiri na kujiheshim halafu ni bint wa kiislam huna llte eti hawezi kuniacha km alimuacha wa mwanzo na kazaa nae asikuache ww mama ake ww au umemzaa lione kazi kuongea pumba tu jitambue kwanza mambo yenu ya ndoa kuyaanika kwenye mitandao na huo ni usungo hukufundwa ww bi kizee ww
@@MishiPapalanyes ni mke. Ila asijiamini saaana. Wanaume wakiamua. Ht ukiwa mzuri vipi. Na hakuna binadamu mbaya. Wewe ukipewa hiki, mwenzio kapewa kile. Na hakuna aliekamilika. Kl mmoja ana kasoro zake. Alie kamilika ni ALLAH peke yake.
wamama wa kiislamu unampokea mke wa mtu bila kutafakari alafu heshma hamna mke huyu hana adabu wala sheria ya ndoa huijui kiufupi hujafudwa kama unanidhamu na mama yako angekua na nidhamu angekurudisha nenda kwamumeo mkayaongelee huko
Kwakweli Apo umekosea mhhhh apana dada ulimi una barnaba Oa mke mwingine tuu kumbe pesa ndio kigezo apana kwakweli mhhh kazi ya mmeo hiyo mpuuz huyo bhana
Mmh sjapenda maneno yako be dada kama mmeo kaomba msamaha yanini kuyasema mtandaoni, mweee kwamba wee ni mwema saana ujawaikosea umeona makosa ya yammy , tunamkosea MUNGU na anatusamehe sirini wew wataka hadharani really 😢😢 ama kwelii MUNGU atusaidie ila kama alimwacha mke wa kwanza ata we unaezakuachwa labda kama kuna kitu nyuma ya pazia😔😊
Wewe Raya huna maaduli ya din ww unaheshima ulivo vaa huna heshima mtoto wakiislam umeweka chuchu nje humuogopi Mungu hata kidogo acha ya kukute maana hueleweki muislam au kristo koma wewe unataka Barnaba unataka awe na heshima na ww unaheshima gani umekaa uchi mbele ya mwanaume sio mahram ww mwenzio kaka uchi unaona wivu na Barnaba hana wivu ukiwa umevaa hivo mbele ya mwanaume
Kwa mfumo huo ndoa itakushinda, halafu unajiamini kupitiliza, ww ni nani wapo wazuri zaidi Yako huyo ni mwanaume ww jidanganye tu eti oooh! Mm mzuri hata ulivyoongea vya Siri na mumeo unavitoa hadharani.
@@happyalicko8571Na nyiye kila mtu hana uzuri. Lakini nafkiri kwa uzuri wa Raya huwezi kumfikiya nusu yake. Wa Bongo mmezoweya uhuni nyiye. Hamna heshima na Waume za watu. Kila kitu kibaya kwenu mnakifanya ni cha kawaida.
@@chany9950Ana sura nzuri tuu hata hamumpati. Mmeiyona hiyo rangi kwanza. ????? Wenye wivu wakanywe maji ya bahari. MTanzania lakini kutoka wapi??? Tangaaaaa
Kwa heshima gani hio unayotafuta ww na matiti yako yanaonekana ndo wale waĺe dada angu acha ujinga na udunduwazi wa maisha maisha hayaigwi..jistili na ww kwanza ndo uongee ya mwenzio saw 😂😂😂😂
sasa Nikwanini usinge msubiri mkaliongelea hilo swala wewe ulijua ndoa ni rahisi urahisi wandoa ni uvumilivu alafu tatizo lenu mabinti pamoja na mama zenu hamna hekma mambo ya ndoa hayawekwi kwenye mitandao Duh poleni sana huu nimtihani mlo nao nyinyi mabinti pamoja na mama zenu
Ni kweli kabisa. Hao waandishi wa habari wanapokuuliza sio km wanakuhurumia. Wapo kazini wanatafuta pesa. Wewe una bwabwaja mpaka ya ndani. Na wao wanazidi kukuuliza. Basi ht mtu hujushtukii???
Raya ur beautiful,ur strong and powerful keep that mindset ,boundaries must 👌
Lkn kiukweli raya kwauzuri sioo saaaanaa. Uwakawaidaa sanaaa,. Halafu kingine nawewe hapo ulipo upo uchi kwanza makwapa yapo wazi pili kichwa kipo wazi kiujumlaa upo uchiiiiiii. Weweeee na yammy wote mpoaa uchiiiiiii,. Sio mimi ni dini yetu ya kiislam,. Halafu kama kweliiiii umefundwaa Mambo yamumeo usiyatoee kwenye mtandao dada angu nivibaya,.👏👏👏👏👏. Halafu talaka usiiitamkeee,. Tatu umekubali kuolewaa na msaniii kubaliana nayotee,. Mwanzo alikua hafanyi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏.
Ni kweli raya mume anauma tetea ndo yako ila wanaume ndo wanaanzaga hivyo,nimependa msimamo wako
Mmh msanii ni msanii Tu aachike akaolewe na mkulima Ila msanii watu watasema Sana..atatetea Kwa style hiyo mwisho anaachika
Unahaki mama nakupenda dadangu
Nimependa confidence yako dada Raya
Wewee mbn unavaaaga uchiii na ni mke wa mtu😂😂😂😂
Umeona eeeeh? Hapo kalianika kwapa lake. Mimi huku najiskia aibu na namuogopa Mungu.
Uchiunavaliwa mmh makubwaaya
Pole mungu akusaidie kiukwer hat ningekuw mim kam cjamuzoea mme wangu akiwa hivo nitaumia sanaaa mapenz yanauma
Wewe cyo mke ni chuma ulete,eti uletewe gar dhahabu😭😅😅😅😅😅
Raya upo sawa mume anauma anaekukalia kooni hajaolewa Wala hajaoa muda ukifika nao watapambana kwenye ndoa zao.
Acha uwongo kwanini kaolewa na msanii na wanajulikana kabisa wanavyo fyatua akili zao na kuzitupa mbali sababu kazi tao ni ivyo inaomba Angelina basi na mchungaji wawe navaa suti wote
Mchungaji tena 🤣🤣
@@svt3😂😂😂😂
Nakuelewa sana
@@svt3😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakubali sana sawa daa sawa pole ucjnli 👏👏👍👍
Mashallah daa ❤❤❤❤🎉🎉🎉
kwa jina hilo la raya herufi hiyo hupitia magumi sana kwenye mahusiano so inawezekana kuachwa usiachwe ila chamoto ukakiona kwa hiyo herufi yako allah akufanyie wepesi
mi nimeona kitambi hahahahhaha yani kama ningekua ni mimi nachukua flat yammi
Huyu anajiblandi san hawezi kufika mbali nishaon kwa macho ya roho 😅😂😂
Pole Barnaba, mwana kulitafuta mwana kulipata.
😂😂😂😂
Ndoa inaendeshwa na mama mkwe
washamroga wanajikuta mafundi
Kazi ipo lakin dawa ishaisha ndo maan mume wake kaaza kuamka tena mpka waseme yaan iyo pt 1😂😂😂😂
Wewe kwa sababu una hela oa mwanaume achana na barnaba 😂😂😂😂
Upo vizuri sema nilichokipenda tu msimamo wako awa wanaume wanatunyanyasa sana kisa pesa zao wanafanya kitu bila kujua ata ss tunamioyo inayouma ndan yake bora tutafute pesa kuliko kumtegemea mwanaume
Mwenyew huna akir yammi mutot mudog rakin amefany unakibia nyumban kuwa mupol bwan😅😅😅😅
Jaman dada unasema huwez kuachwa? muombe Mungu wazur nao wapo weng na wanaachwa mwombe Mungu amutetee Mume wako na shetan nae Yuko kazin pia
Tanga haachwi mtu ila Banaba asipoangalia pesa itamshinda kutafuta. Kwa mdomo huu
Na amuombe sana2😂
@@minaelnathanael1846😂😂😂😂😂
Labda ye anaahadi na mwenyezi mungu
Na wafitinishajii wapooo teleeee,yaniii Wanawake Kwa kutaka Kubomkaa weeee,haifai kuongea kubwaga mdomooo hivii,tuseme tukipima maneno
Huna mke hapo pole sana
Sanaa HIYO wewe wimbo umehit mpe uyumba mzee.YAMMI KAUTENDEA HAKI.
Yani unataka akuombee musamaha akupe gar jaman sasa wew nimke au kaka ameyatimbaaa 😂😂😂😂😂😂duuh
😂😂😂😂huyo dada nage kuwa muzur ige kuwaje jamani
Eti watu wengi wanamtongoza. Hio ndio unaona sifa… au unaji dhalilisha..? Wakati unasema hujaachwa. Ucwe mshamba. Hakuna mwanamke asie tongozwa. Ht mwenda wazimu nae anatongoza. Punguza majicfu km kweli unalinda ndoa yako. Na pia jistiri kwa kua ni mke wa mtu. Hizo sufa utakuja kushikwa sikio na kukumbushwa.
Huyu dada ni mpuuzi sana sasa even mume amekosea lazima umkosoe kwenye mitandao kwani alijua ameolewa na mchungaji kuwa acha utoto na huo uzuri huna ni wakawaida mno ww dada .
Ila Yammy ni mzuri bwana😂 mi siwezi kuingilia ugomvi wa watu wanaovuliana chupi😂 mutajuwana wenyewe😅
mh ana uzuri gani jamani
Kiukweli.Namuonea huruma sana Barnaba ! Hana bahati na ndoa ,yaani picha tuu kasemwa na Mkwee vipi akikutwa ana do! Si watamuua😢
😂😂😂😂😂afe tu kwann alioa km yy baba ku do do ovyooo
Maskini huyu kijana ni mpole saana inavyo elekea.
Utaachwa mdomo mwingi kazi umemkuta nayo vumilia❤
Umemuweka kwenye nsumpu labda😂😂 au kwenye vipeyu😂😂 au umemlisha kale kanyama kamnuno!!😂😂
I like your smile 😊
Wewe dada punguza ukali wa maneno khaaa... Mume aje akuangukie mbele za mtandao.. watu waone.. aiseee aibu naona mm..😎😎
Umenichekesha sana
Sawa sana daa 👏👏👍👍
Hujatolewa nyongo safi sana.
Barnaba pole
Raya jina la mwanangu❤❤
Kaa kwa mama barnaba yupo kazini na hayo ndio maisha yake na PESA ndio anaipatia hapo na wewe ulimpendea hapo acha shobo, huna kitu ungejioa kama unauwezo, na kwa staili hiyo utaolewa sanaaaaa!
😅😅😅😅😅😅😅haswaaaaaa ataolewaaaaa mpaka ataolewaaaaa tena
@@ZenaMsumagilonimecheka mpka nimecheka Tena 😂😂😂😂😂😂
Anaweza sana kukuacha isipokuwa nimwanaume anayejielewa hivi weye raya unaakili kwetu unajuwa hicho unachokiongea hapo ujuwe km mwehu fulan hiv kweli dem hujielewi hat kidog du kumbe nyinyi niurisi wamachizi kwenu
Siku yakufundwa we Dada sijui ulikalia michongoma ukawa umsikilizi vizuri kungwi,mambo yandani namumeo unayaanika mtandaon usungo huo!
😂😂😂😂😂𝐓𝐫𝐮𝐞𝐞
😁😁😁
Honestly so asifanye kazi wueeeeh huyu naye ana mambo😅😅😅 Yammy mama najuwa una haja na mme wake😅😅😅
Umeanza vzl huku mwisho umelikologa my dear unapo ongea we ni mke wa mtu uwe na akiba ya maneno
Jaman wanawake mmeona kwapa tu😂😂😂😂🙌🙌
Kwapa jeusi looo Una Aya wewe Raya mkono Umeutanua panu😅😅😅😅😅😅😅
I coment ndo nilikuwa naitafuta 🤣🤣 lo binadamu 😅
@@ShaniJohn-qh3cm🤣🤣🤣🤣🤣😘
Big up on what you do raya haijalsh unampendaje huyo mwanaume wako unatakiwa kulinda mipeka na heshima huyo n mume jaman na sio hawara yey akiona unashikwa kiuno na mwanaum mwengine atakubal, huyo yammi n kahabaaa
Ana utoto sana she needs to grow up
Raya dada mie nakupenda tu ukweli ni huo huo
Mwanamke kujiamini. Jeuri ya kukuacha hana mwaya
Kweli dada...respect is a must...don't negotiate
Kwanza ungejistiri na kujiheshim halafu ni bint wa kiislam huna llte eti hawezi kuniacha km alimuacha wa mwanzo na kazaa nae asikuache ww mama ake ww au umemzaa lione kazi kuongea pumba tu jitambue kwanza mambo yenu ya ndoa kuyaanika kwenye mitandao na huo ni usungo hukufundwa ww bi kizee ww
Hawajui wanaume huyu Kwa lipi asiachike Kwa uzuri gan aliokuwa Nao kamuacha mama Steve itakuwa yy
Jamani awe mzuli awe mbaya ndio kesha kua mkewe tena
@@MishiPapalanyes ni mke. Ila asijiamini saaana. Wanaume wakiamua. Ht ukiwa mzuri vipi. Na hakuna binadamu mbaya. Wewe ukipewa hiki, mwenzio kapewa kile. Na hakuna aliekamilika. Kl mmoja ana kasoro zake. Alie kamilika ni ALLAH peke yake.
mbona umepaniki sasa. nyie mnapenda mtu ajitilie huruma kwa mtu. na ao wasanii jaman tuwaacheni tu
Ama kweli mzuri 😭😭😭😭😭toa hyo mecapu
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwa Barnaba bint utahama sanaaa ukiolewa na Msanii Shika moyoo Sanaa,Utapigwa matukio mpk uachie ngazi mwenyewe
wamama wa kiislamu unampokea mke wa mtu bila kutafakari alafu heshma hamna mke huyu hana adabu wala sheria ya ndoa huijui kiufupi hujafudwa kama unanidhamu na mama yako angekua na nidhamu angekurudisha nenda kwamumeo mkayaongelee huko
Sheria unaijua wewe kisheria anaruhusiwa kwenda kwa mzazi wake
Haruhusiwi bila sheria ya mumewe au awe amepewa talaka yake.Wewe ndiyo hujui sheria@@MohammedSaleh-t5h
Sahihi❤🎉
@@MohammedSaleh-t5hnisawa lkn sio kukaa mda bila ridhaa ya mumewe angemsihi arudi kwake ugomvi wa mke na mume umalizwa wao kwa wao
Jamani
Kwakweli Apo umekosea mhhhh apana dada ulimi una barnaba Oa mke mwingine tuu kumbe pesa ndio kigezo apana kwakweli mhhh kazi ya mmeo hiyo mpuuz huyo bhana
Dada unajikuta nani ww ati me mzuri😂😂😂
Mmh sjapenda maneno yako be dada kama mmeo kaomba msamaha yanini kuyasema mtandaoni, mweee kwamba wee ni mwema saana ujawaikosea umeona makosa ya yammy , tunamkosea MUNGU na anatusamehe sirini wew wataka hadharani really 😢😢 ama kwelii MUNGU atusaidie ila kama alimwacha mke wa kwanza ata we unaezakuachwa labda kama kuna kitu nyuma ya pazia😔😊
Hahahahaha
Kwa hio kuotajana tuu unapesaa ndio ukatae sheria za mungu
Aniangukiee hazarani 😂😂😂😂nimetekaa rayaa
Rudi kwa somo shoga unakaba na sili ya ndoa alafu usijiamini sana dada wapo wazuliy zaid yako ww sema unataka mali sema
Kwanza yee xo mzuri nimrembo it means anajiremba au kujipodoa
Mopao hana power hapo 😂😂😂
Nyie msimuige huyu mshenzi yatawakuta 😂😂😂 waachieni hao hao
Raya you are a good actress dahhh
Wewe Raya huna maaduli ya din ww unaheshima ulivo vaa huna heshima mtoto wakiislam umeweka chuchu nje humuogopi Mungu hata kidogo acha ya kukute maana hueleweki muislam au kristo koma wewe unataka Barnaba unataka awe na heshima na ww unaheshima gani umekaa uchi mbele ya mwanaume sio mahram ww mwenzio kaka uchi unaona wivu na Barnaba hana wivu ukiwa umevaa hivo mbele ya mwanaume
Kuwa na msimamo na ajue msimamo wako mbona wapo wengi wanamuzi na wanajiheshimu sana kabisa. Aache utoto Barnaba
Nimependa maneno ya mke bar
naba
Hao ndio Wanaume shoga hawajawai kulizika😂😂
Yammi sikatai lkn wewe ni mke huoni umevunja shart za ndoa .istoshe chuchu zote zinaonekana kiooni ....
Walai hata haoni aibu
Kakaa uchi na yy ajiheshimu kwa mavazi gani kavaa matiti yanaonekana muislamu gani mh😢
Watu wanatunza hizi video siku ukiachwa watazipost...Niko hapa na hii comment itakumbukwa.
Ukiona mtu anapa panik sana ujue kaona mwenzie kamzidi huyoo na mama yake anavyo mkandia yammy Yami ana miuno nyieeeeeeee😂😂😂😂😂😂
Anasema wtu watamuonaje na mungu yy anavyo vaa yuamuonaje 😂😂😂😂
5:29 Wewe mwenyewe upo uchi kabisa tena mtoto wa kiislam mwakwapa nnje upo uchi kabisa
Kama huwezi kuachwa mbona mapovu yanakutoka
Mmmmh maajabu halafu hana uhakika anatapatapa tuuuu ajua katoto ka 2000 kanaweza mpiga chin
Kumbe unataka nyumba gari. Na akuombe msamaa mbele ya watu mhmmm. Hujafundwa wewe.
😂😂😂😂😂 masifa hayo.
Apewe gari, nyumba, dhahabu. Na aimbwe msamaha hadharani. Ili iweje?
Et mzur,mrembo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Upo sahih wAtu wanaongea tuu at mam kimbo yup saw cz yey n mzazi lzim aumie
Akikataaa kufanya hivyo,sasa anatakiwa akuache kabisaa,hakutaki ndo maana aliamua kujinoma na yammy.Yammy kamata usiachie,umepedwaaa.
Kwauzuri gani unao mpaka usiachwi 😂😂😂
Mueke ibilisi pembeni yalopita yamepita
Umeongea point shoga mume anauma dear
Wenye makasiriko kajambeni mbele 💕💕💕💕❤️❤️❤️❤️
Hahahahahah😂
Huyu c alikua anaongea sana na mshauri mkuu kuhusu ndoa 😂😂😂
DUNIA NI NJIA TU.JIANGALIE ULIVYOVAAA
Anajiamin mpaka kaniboa😅😅😅
Kwa mfumo huo ndoa itakushinda, halafu unajiamini kupitiliza, ww ni nani wapo wazuri zaidi Yako huyo ni mwanaume ww jidanganye tu eti oooh! Mm mzuri hata ulivyoongea vya Siri na mumeo unavitoa hadharani.
Kwa uzuri gani labda saut yenyewe mbaya msyuuu
Anajiamini sana duuuh nasura yake sasa🤣
@@happyalicko8571Na nyiye kila mtu hana uzuri. Lakini nafkiri kwa uzuri wa Raya huwezi kumfikiya nusu yake. Wa Bongo mmezoweya uhuni nyiye. Hamna heshima na Waume za watu. Kila kitu kibaya kwenu mnakifanya ni cha kawaida.
@@chany9950Ana sura nzuri tuu hata hamumpati. Mmeiyona hiyo rangi kwanza. ????? Wenye wivu wakanywe maji ya bahari. MTanzania lakini kutoka wapi??? Tangaaaaa
@@happyalicko8571 7
Mume atakuchoka maana hiyo ndoa si yako ni ya familia maana mpaka mamamkwe povu inahusi😂😂😂😂
Anajikaza anaumia mpaka kanatia huruma😂😂
Kwa Mimi ni iyo kauli ya kujisifia tu. Mrembo unahela kwa ivo una mapenzi apo ni hela tu. Tumia lugha nzuri
Weee 😂😂😂😂kina wema kina zari kina hamisa wanaachwa wee ninani 😂😂😂😂😂
Yy mwenyewe yupo uchi Nguo gni hii 😂😂
Eti nguo Gani hiyo 😂😂😂
Uzuri Kwa Namna Gani Ulonaho Kwanz😂😂😂
Tuache unafiki barnaba na yammi wanamake perfect couple sema tuu kashaoa
Wanapendezan sana ilo raya me ata silikubali kama linambemenda ivi
@gracej😢ulius691
Nyooooooooo fyuuuuu kwa kip usiachwe wameachwa wangap sema unajua mlipomrogea Kaka wa watu Barnaba sio wa kubadilisha din kisa ktuko ww hahahahaha
Kwa heshima gani hio unayotafuta ww na matiti yako yanaonekana ndo wale waĺe dada angu acha ujinga na udunduwazi wa maisha maisha hayaigwi..jistili na ww kwanza ndo uongee ya mwenzio saw 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 sijaona pekeangu
Umenena ni wale wale kweli eti mke wa mtu na jina sasa eti Raya bure tu😂😂😂😂
Nikajua mie tu ndo nimeona anathema Yami hali ya kuwa yeye sitara haijui kichwa wazi kifua wazi et mke
Si mke wa msanii jamn
Sema wanajisahau
Ndoa siyokuvumilia , ndoa nifuraha . Furahaikikosekana kwenyendowa . Hakunandowa balinindowano ❤
Kaa kwenu na mamako coz it's like mamako ndio ana run your home
Mshambaa wewe Kwa uzur gan 😁 utaachwaa kweuuupee hutaamin😅
N kazi tu jamani usimchukulie hvyo mwenzio😅
sasa Nikwanini usinge msubiri mkaliongelea hilo swala wewe ulijua ndoa ni rahisi urahisi wandoa ni uvumilivu alafu tatizo lenu mabinti pamoja na mama zenu hamna hekma mambo ya ndoa hayawekwi kwenye mitandao Duh poleni sana huu nimtihani mlo nao nyinyi mabinti pamoja na mama zenu
Ni kweli kabisa. Hao waandishi wa habari wanapokuuliza sio km wanakuhurumia. Wapo kazini wanatafuta pesa. Wewe una bwabwaja mpaka ya ndani. Na wao wanazidi kukuuliza. Basi ht mtu hujushtukii???
Ile ni kazi mengine mbwembwe sio kweli unajidanganya
Huyu mwanamke hata hajielewi kwani alipoolewa na msanii hakujua kama mambo haya yapo na yeye mwenyewe kujistiri pia hajui chefuuuuuuuuu
Nakuunga mkono my mumeanauma