MUME WA HAPPY AJITOKEZA |AJIBU YOTE KWA ZAHIR |KUMBE ALIKUWA ANATUFATILIA TUSIMPATE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

КОМЕНТАРІ • 421

  • @maximumtvonline
    @maximumtvonline  2 роки тому +22

    chat.whatsapp.com/FCA6SAgkoMrEGkjCjJupI8
    JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 2 роки тому +1

      Kaka zahiri tunakuomba mwambi hep na kili uzazi wa mpango muhimu sana.

    • @aminaraisa8893
      @aminaraisa8893 2 роки тому +1

      So happy to wote Wai wili happy Na Christina wapigwe shindano Za mpago ili waleye ao wa ndogo zao Na watoto wao

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 роки тому

      Zahiri ushauri wangu nyumba iishe happy NA daake wakakae walee wadogo zao NA watoto zao kwa sababu wakianza kufarakana kila mtuakaekwake familiiy ita sambaratika wao ndio mama ndio dada ndio kila kitu.. Nanyumba ikiisha watafutiwe biashara watulie basi waendeleze jahazi

    • @entie-re23be
      @entie-re23be 2 роки тому +1

      Mm ni mkenya na hua nafatilia saaaana maxmum tangia 2014 na npo mbali iraq napenda sana kuchangia kidogo ila prblm ni upande wa kutuma pesa huku ni tafash mm ninawasaidia tuu kwa maombi yaani kikubwa maombi tuu ndio ngao letu sote . Mungu aisimamie familia hii hawa madada wawe na akili ya kulea wadogozao kwa kweli maisha ni magum sahiv watulie wasipate mimba kwa sasa tena though watoto ni baraka ..

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 2 роки тому

      @@entie-re23be unaweza tuma MANEYGRAMU

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 2 роки тому +38

    Kaka zahir pole kwa uchovu.na pongezi kwa kazi unayoifanya

  • @marialuhela8549
    @marialuhela8549 2 роки тому +45

    Kaka zahiri mshauri heppy arudi nyumbani wakae na dada ake walee wadogo zao hapo hakuna mwanaume ni macharii wa mitaani tu wanaharibu watoto wa watu wanawatia mimba afu anamuacha kaka zahiri poleni sana na team yako kwa kazi nzuri mnayoifanya na Mungu awabariki mubarikiwe sana

    • @eyabdimaha3698
      @eyabdimaha3698 2 роки тому +13

      Usimdharau mtu huyu kijana bado mdogo sana akili za kitoto bado na pia kajitahidi kafika hapo msibani

    • @husnaally6776
      @husnaally6776 2 роки тому +3

      Waungane na dada ake walee watt wao na wadogo zao na wakimsikiliza kaka zahiri wataishi kwa amani tu ....zipo familia kama hzo lamsingi wao wakubwa wawe wamoja tu ...

    • @felisterjames5859
      @felisterjames5859 2 роки тому +2

      Waache happy na mzazi mwenzie aishi nae walee mtoto wao tu huwez ukawatenganisha sababu hata ukawatenganisha bado wanapendana

    • @husnaally6776
      @husnaally6776 2 роки тому

      @@felisterjames5859 atujasema kuwatenganisha kwani ata kili nae si alikuwa kwa bwana ake alirud sbb ya mama ...kwanza ajamuoa wakae kwao walee familia zao ...wakiolewa wataenda mbilini kwao ...msihalalishe haram ...wakaendelee kuzini eeh ...

    • @hassinaalharthi5984
      @hassinaalharthi5984 2 роки тому

      Kweli kabisa warudi wote wawili nyumbani walee wadogo zao na watoto wao pamoja

  • @gladysrodrick3228
    @gladysrodrick3228 2 роки тому +8

    Jamani mm kwa ushauri wng christian ange bk tu na wadogo zake kwa mtazamo wangu kama nakosea mnisamehe niwazo langu ila pole sana wanafamilia na timu nzima ya maximam tv r.i.p mama happy 🕯️

    • @husnaally6776
      @husnaally6776 2 роки тому

      Sio kili tu adi happy arud ashirikiane na dada ake walee familia yao

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 роки тому +18

    Mimi ningependa sana hawa watoto wangebaki na Tina maana yy ndo yuwaelewa ss pia mama yetu alipofariki tulienda kwa dada yetu mkubwa alihangaika na ss..so watoto wapewe Tina awalee si hata Christine yy amekubali...

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 2 роки тому +12

    Mashallah ni kijana mdogo sana mwenyezi mungu awajaze upendo mdumu mulee mtoto wenu na ndugu zenu 😭😭

  • @estherjustine5266
    @estherjustine5266 2 роки тому +1

    Mkaka mzuri mashallah ,, makosa yote alioyafanya ni kwasababu ya akili yake maskin Bado haijakomaa, ila napenda anapambana kumlisha mkewake,

  • @mayaproducts5294
    @mayaproducts5294 2 роки тому +3

    Mume wa happy ni mdogo ila naamini atamlea mwanae kwasababu chaga wanaupendo sana na watoto wao

  • @fatumayusuphu989
    @fatumayusuphu989 2 роки тому +17

    Mdogo sanaa,wachaga wajanja sana MTT akiwa mkubwa anamchukuwa,jitaidi usije kubeba mzigo mwengine maisha magumu sanaa

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому +1

      Sio kweli

    • @mwanakhatib5825
      @mwanakhatib5825 2 роки тому

      Hawa wachaga wajanja Sana sijuwi Kama hawata mchukua kwao akikukua

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому +4

      @@mwanakhatib5825 Acha kuhukumu na ukabila kuna wachagga wangapi wameoa na kuolewa na makabila mengine Tanzania hakuna ukabila ni uelewano wa watu tu .

  • @dorahpeter6542
    @dorahpeter6542 2 роки тому +7

    Zahir huyu mzazi mwenzake na happy kama alishindwa hata kuja kumuona mama akiwa anaumwa kweli atamlea happy

  • @samiahmlimanzila6406
    @samiahmlimanzila6406 2 роки тому +17

    Kijana bado mdogo pia kwa makosa aliyoyafanya nivile hakupata ushaur kutoka kwa watu wazima Nini afanye pia na uoga kwamba ataingiaje pale kwa mama msameheni tu Ila nimpambanaji akitulia wataishi na atambue kabisa Safari ya maisha ndio inaanza

    • @peterfania1005
      @peterfania1005 2 роки тому

      Ni kweli Kabisa ukiangalia wachaga watafutaji siku zote so watalehana Tu

    • @sweetluc2660
      @sweetluc2660 2 роки тому

      Kweli kabisa ni kijana mdogo Sana na kweli alikosa ushauli wa Wakubwa masikini Mungu awaongoze kwa kila jambo

  • @jellynesssemu9406
    @jellynesssemu9406 2 роки тому +5

    Kwanza pole kwa uchovu timu nzima ya maximum tv. Mungu awatie nguvu. Kwa upande wa happy kukaa na huyu kaka Hapana. Bora akae na dada yake Tina walee wadogo wake

  • @fatmaon4000
    @fatmaon4000 2 роки тому +7

    Lipa deni ulichukua kamili lipa kamili huna uruma mamaaumwa anaitaji msaada na ww unachukua pesa yamatumizi ya mama wee mwema kweli toa elaa . Uyo HAPPY anampenda sana uyo kijana ndio maana akamwambia sina pakwenda ili tuu awe karibu na uyoo my wake

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 2 роки тому +17

    Mashallah maskini wote wadogo wamekutana 😔 Mungu awaongoze mlee mtoto wenu 👏

    • @credo7837
      @credo7837 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣nimecheka

    • @waheedahtanzania4912
      @waheedahtanzania4912 2 роки тому

      @@credo7837 unacheka tena Mmhu 🚶🚶🚶

    • @credo7837
      @credo7837 2 роки тому

      @@waheedahtanzania4912 siwew unachekesha et wadogo

    • @waheedahtanzania4912
      @waheedahtanzania4912 2 роки тому

      @@credo7837 ndiyo wadogo 😂😂😂

    • @credo7837
      @credo7837 2 роки тому

      @@waheedahtanzania4912 washakua mdogo hawez kuw namtoto

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 роки тому +2

    Kupenda sana kubaya ,unajuta uzeeni,, ningerudi ujana ninge soma mie nikaachana na mijidume.

  • @entie-re23be
    @entie-re23be 2 роки тому +11

    Vijanja janja vya mtaani kusumbua watoto wa wenyewe na vishilingi mm nasema hivi Happy akae na dadake mkubwa huyu jamaa awe akipeleka matumizi ya mtoto kila week au kila mwezi ahakikishe amepeana pesa hapa kuishi na happy sioni kana kaa mjanja sana happy ajizuie asijepata mkmba ingine maisha magum mjuee

  • @maryamsalim79salim41
    @maryamsalim79salim41 2 роки тому +1

    Shukran sana zahir malipo yko utapata kwa Allah coz duh hakuna binadamu yoyote kwamaisha ya sasa awezai kuchukua jukumu la mtu ni wa chache sana una pambana sana zahir mungu akutangulie kila hatua umepambana sana sasa cha msingi maoni yngu mm naona nyumba ulio ijenga kwa ajili ya mma happy naomba umuachie Cristina na wadogo zake washi hapo🇰🇪 watching from kenya

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 2 роки тому +16

    Mm kwa ushauri wng kaka zahri. Hao mabint na wadogo zao wakakae tu kule wanaume Hawa wadg mmmh watawasumbua tu hkn mtu sahihi hapo jmn. Watateseka tu nawajuwa wavulana Wa Rika Hilo mmmh 😭😭na mtoto mdg akibaki na yule shangazi sio damu yke mmmh hpn jmn wakakae tu kule wale tembele kisamvu ni kwao

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 2 роки тому +12

    Happy unamume hb Mungu awaongoze muishi vizuri mulee mtoto wenu

    • @lovvy854
      @lovvy854 2 роки тому

      Aminn

    • @husnaally6776
      @husnaally6776 2 роки тому +1

      Mume hawara tu tusihalalishe haram ...bdo kuwa mume ...

  • @florencembone4513
    @florencembone4513 2 роки тому +1

    Huyu kijana nikama KAZI anafanya ni ya mapato .kidogo .mungu amujalie apate KAZI ambayo anaweza saidia wadogo wa happy

  • @janemugoya1316
    @janemugoya1316 2 роки тому +13

    Kaka Zahir...Cristina awachunge wadogozake, happy arudi nyumbani, watulize mawazo Kwanza. Alafu kama huyu kaka anamtaka happy aje rasmi amchumbishe, kwa heshima sote tujue happy yuko salama, huyu kaka wanaendana na happy

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому +2

      Happy arudi vipi wakati kijana atalea mtoto.

    • @janemugoya1316
      @janemugoya1316 2 роки тому +1

      @@leokamil6284 hatuwatenganishi Ila aje rasmi nyumbani amchumbishe sote tujue happy yuko salama.

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 2 роки тому

      Hali ya nyumbani unaijuwa , na tayari wameshazaa ,cha muhimu ni kuja na kumwomba mama msamaha waende kuishi .

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому

      @@janemugoya1316 Baba yake amemjua na ndugu wengine na sisi pia tumemuona, usalama huo unaoutaka ni upi zaidi ya hayo yaliyopo anampa lishe ya uzazi kitu ambacho ni nafuu kubwa sana mengine ni taratibu.Kuchumbiwa kuolewa majaaliwa. Wangapi waliolewa leo wakaachika kesho ndoa sio Garantie ya kuwa ati haivunjiki.Maadamu tumemuona ambao sisi watazamaji na wazazi familia ya Happy wamemuona sidhani kama kuna uhakika zaidi ya huo.Tusiwe wahukumu na marefa tuwe wavumilivu na kuomba mema bila kulazimishwa kila jambo na wakati Roma haikujengwa siku moja .Au kila anaezaa na mtu humuoa hapo hapo?Tuwape mda angekuwa hamtaki asingemchukua kabisa tena angemruka

  • @kassimukipingu5343
    @kassimukipingu5343 2 роки тому +8

    Zahri umempiga huyo dogo maswali mpaka natoka jasho piga kazi kaka mungu ndio atakae jua malipo yako kwangu nakuona kama malaika👍

  • @rahmahassan1157
    @rahmahassan1157 2 роки тому +1

    Ila mume waheppy msheshi sana Mashallaah mungu awabariki kaka zahir pole sana Allah atakupa kher

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 роки тому +17

    Hivi kwa nini wengi mnapenda kuhukumu kama huyo kijana kasema atamuoa Happy na kakubali kubeba mzigo wake vipi mnasema Happy arudi nyumbani ?.Siku hizi hakuna ukabila huyo kijana anamjua Happy kuliko sisi sote kuanzia tabia na ndio maana kampenda Happy maana anajua ni mschana wa aina gani. Kama kaamua wataoana basi tuwaombee heri tu,Dada wa Happy abaki na wadogo zake huo ndio ushauri wangu. Tunaweza kungangania Happy arudi nyumbani mda tu akakutana na mtu mwengine akapewa mimba nyingine. Tuwaombee heri wakaishi kwa amani tu.

    • @roseatieno6691
      @roseatieno6691 2 роки тому +1

      Umesikia huyo kijana amesema etc baada ya miezi sita Happy atarudi kwao? Huyo kijana bado hayupo ready kuowa happy. Msikize vizuri.

    • @ellenmbota1241
      @ellenmbota1241 2 роки тому +1

      amen

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому +3

      @@roseatieno6691 Nimemsikiliza hadi mwisho kabisa,kasema anampenda maadamu anampenda na anamchukua hata tuseme kwa mwezi ili akalee uzazi shida ipo wapi si afadhali ya yeye anaejulikana sasa hata na Baba Happy kwa sasa na kwetu kesho na kesho kutwa likitokea jambo kuna ushahidi. Je angekimbia mimba ?tusiangalie upate wa Positive tu ivi kuna waschana wa kike wangapi majumbani wamepewa mimba na kukimbiwa ?hawamuoni hata aliyewapa ujauzito ni jambo la kushukuru ikiwa mlegwa kajitokeza ni changamoto za maisha na bado mdogo hajui kujieleza .Kwa kuwa Dada mkubwa yupo yeye ndio Mama kwa sasa asaidie wadogo zake na Happy atawatembelea maana familia haijavunjika kwa Kifo cha Mama yao .Mungu awajaalie moyo wa Upendo

    • @faridaabdallah2213
      @faridaabdallah2213 2 роки тому +2

      kweli

  • @asiaq1938
    @asiaq1938 2 роки тому +2

    Kaka Zahir mshauli happy arudi nyumbani waungane na dada yake walee wadogo zao la sivyo hao watoto ukimpa mtu mwengine awalee watateseka Sana kwasababu kila mtu hapo anavutia kwake ukitaka hao watoto waishi kwa amani mkabizi Tina na happy

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 2 роки тому +6

    Kwa mtizamo wangu nyumba ikiisha Cristina akae na wadogo zake afanye na biashara ili kuwasaidia na awo baba zao wanachokipa wawahudumie watoto kuliko kulelewa na shangazi maana kulea kazi jamani na vizazi vyetu hivi vya sasa bora akae nao Cristina

    • @saumumushi417
      @saumumushi417 2 роки тому

      Ni kweli kabisa ndugu, sitaki kusikia hiyo habari ya shangazi, bora wabaki na dada yao anajua uchungu wa wadogo zake.

  • @doreengomes3489
    @doreengomes3489 2 роки тому +17

    Attention Zahir, please give/find these youngsters employment...STOP GIVING THEM CASH/FOOD HAND OUTS...they will never understand how hard it is to earn money.
    🙏Please forgive me if i may hurt some of you with this truth...
    Zahir, also please STOP building homes for the old, sick and dying. You are inviting problems for yourself...now the family will be fighting with you and among themselves for this house.
    I suggest something for the sake of your beautiful heart Zahir.
    Get government approval and support...start by building just 2 wards/dormitories with toilets/bathrooms...one for Female and one for Male. Have just 5 beds in each..this house should have a common living room, kitchen and a garden...maybe even a little shamba (the sick can keep busy). Thereafter employ trained caretakers and cooks.
    This way the sick/old will be cared for 24/7. All donations must go to you...you than supply this home with all necessities.
    You'll not have to deal with extended family issues...such as in the case of Happy and Zabibu.
    Thank you for being here for the less privileged...i do appreciate everything you have been doing...but your approach has to change so as to be able to help and reach out to many others.
    May God be your strength and bless you in abundance 💕

    • @lovvy854
      @lovvy854 2 роки тому

      That's a fact

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 2 роки тому

      Fact

    • @sweetie6934
      @sweetie6934 2 роки тому +1

      Tatizo la Zahir ni mkaidi hataki kusikia

    • @musokedios8162
      @musokedios8162 2 роки тому

      Its good to teach a parson to dive and catch fish 🐠 than to teach him to eat fish

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 2 роки тому +9

    Poleni sana team Muxmum Mungu azidi kuwatia nguvu, mimi binafsi najivunia kuwa nanyi.

  • @zahoorz2915
    @zahoorz2915 2 роки тому +6

    Angalau bwana ake happy japo mdg lkn anawez kua sahihi kuliko kwazabibu

  • @azizamvungi6409
    @azizamvungi6409 2 роки тому +1

    zahlir ni mnyaturu sio mchaga anabusara sana kaka zahir Allah akulinde na akuongoze sana na maxmo tv oyee!!!!akikuwa tu wanamchukuwa huyo

  • @eastafricaqualitychickenfa9916
    @eastafricaqualitychickenfa9916 2 роки тому +6

    Huyu ni sharobaro ila ndugu zetu wakike muda mwengine wanakiranga hapa hapana mume mwanaume havai shanga mkononi

  • @gracelee61
    @gracelee61 2 роки тому +2

    ile nyumba ya mama happy, wapewe watoto wabaki na christina, hata kama huyo mume wa christina aka kaa nao kwenye hiyo nyumba sawa tu, ila christina abaki na wadogo zake

  • @ednajeremiah928
    @ednajeremiah928 2 роки тому +5

    Happy toa miwani uliyovaa futa macho nakuomba ukahae hapo nyumbani uwalee wadogo zako hapo hakuna kitu mpk mnachukuwa pesa ya mama ya kula mnaenda kununulia dawa take care hapo hakuna mume

  • @mikemunishi7254
    @mikemunishi7254 2 роки тому +4

    Duh huyu Dogo. SIO mchagga aisee....🤭🤭Hakuna mchaga anaekopaga hela ukweni..daah ....
    Anayo hela zahir atoe..halafu..huyo angetakiwa ashugulike na mimba tangu mwanzo...ametuachia peke yetu...

    • @ruthmariki6462
      @ruthmariki6462 2 роки тому +1

      Atukopagi kbsa yanii ten kwa wakwe 😥😥

  • @aminashango8005
    @aminashango8005 2 роки тому +3

    Pongezi kwenu kaka zahiri kwa kazi mnazofanya mwenyez mungu awape nguvu ili mzidi kupambania maisha ya watu! Nawapenda sanaaa

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 2 роки тому +12

    huyu kaka ni mpambanaji saan kwa ninavyo muona sio kama wa Zabibuu Allah akupee nguvu ya kumlea mtoto wenu

  • @lovenessmaulidi1461
    @lovenessmaulidi1461 2 роки тому +1

    😥😭😭😭😭🤦siamin Kama mama happy Amefark Ee Mungu tujaalie mwisho mwema 🤲

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 2 роки тому +1

    Kumbe kijana mdogo hawa tunawaombea mema Mungu awasaidie

  • @christinammassy1550
    @christinammassy1550 2 роки тому

    Kijana yuko vizuri, anapambana ni swala la muda tu. Happy pia hana shida anafaa kuwa mke. Wanaendana.

  • @rehemahramadhani3428
    @rehemahramadhani3428 2 роки тому +13

    mungu wangu kumbe mwanaume mwenyew ndio huy tobaaa happy afanye buashara na asijiachie kwa hut bwan maan janja janja nyingi

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 роки тому +1

      Mmh wee acha tu

    • @anasana8093
      @anasana8093 2 роки тому +1

      Usiseme hivo kusema kweli anajituma

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 2 роки тому +1

      Yani mmy namuhurumia happy

    • @mwajumashabaninakupendasan5265
      @mwajumashabaninakupendasan5265 2 роки тому +1

      Dogoulikosea sanakumchukua hepibila lizaayamamaake aukwavile mamaake alikua anaumwa niliumia sana nilipomuona mamahepi analia

    • @mammam4701
      @mammam4701 2 роки тому

      Wavhaga unawajua wanafokas hao

  • @leyla-uu5ke
    @leyla-uu5ke 2 роки тому +2

    Mwez wa pili Kunazaliwa watoto weupe zabibu Kazaa mtoto mweupe na happy mtto mweupe

  • @habtyaminasadala1943
    @habtyaminasadala1943 2 роки тому +4

    Mchaga kakutana na mchaga mwenzie kaka zahir hahahaaaaa nipependa kaka zahir na team nzima mungu awabariki sana na awape maisha marefu tunaipenda san kz yako

  • @user-pr8pv2du2x
    @user-pr8pv2du2x 2 роки тому +33

    Wazo langu mimi Kristina ndio wakubaki na hao watoto kwa sababu hao ni wadogo zake anao uwezo wa kuwalea lakin wengine watalea kwa sababu wanajuwa kuna msaada isitoshe tuangalie toka tumeanza kumjuwa mama Happy kupitia maximum ni muda mrefu hakuna aliyekuwa akija hapo wala kusikia kuna mtu kamchukua mtoto hata mmoja akakae nae leo kafa mtu mwingine alee watoto isitoshe hao watoto kila mmoja ana baba yake mama Happy alipokuwa hai hakuna huduma sasa hivi kafa huduma itakuwepo tuliangalie lakin KILI anaweza kukaa na wadogo zake hata kama siku akikosa anajuwa ndugu zangu lakin tofauti na
    KILI NA HAPPY HAKUNA

    • @hawahabibu661
      @hawahabibu661 2 роки тому +2

      Kweli kabisa

    • @iddykaombwe1336
      @iddykaombwe1336 2 роки тому +2

      Haswa umenena. Kili na Happy wanatosha kuwalea wadogo zao.

    • @hassinaalharthi5984
      @hassinaalharthi5984 2 роки тому +3

      Kweli kabisa maneno yako watoto waishi pamoja na Happy kwenye nyumba yao ikiisha watu wanafata msaada lakini watoto watateseka bora waishi ndugu wote pamoja.

    • @zamzamhaji1229
      @zamzamhaji1229 2 роки тому

      Umeongea Cha maana kabisa Kili awalee wadogo zake damu nzito kuliko maji atawatazama kwa moyo 1 wengine watafata nyumba na Masada tu

    • @asiaq1938
      @asiaq1938 2 роки тому

      Upo sahihi kabisa

  • @devothadonathi8438
    @devothadonathi8438 2 роки тому

    Kijana wa kichagga huwa wanapenda Sana watoto.. Labda shetani aingilie Kati tuu.

  • @lunyungucathy4301
    @lunyungucathy4301 2 роки тому +1

    Kaka zahir ongera kwa kazi nzur mungu akubariki Happy asiende uko kwa uyo mwanaume wapate biashara yy na kili wawatunze watoto

  • @mashaally3287
    @mashaally3287 2 роки тому +13

    Huyu bwana hawezi kumlea happy happy mumpe mtaji alee ndugu zake happy mlezi mzuri wa watoto alikuwa akiwalea tangia mama happy yupo hai hapo Christina na happy jukumu walichukue tu kulea wadogo zao kule kwenye nyumba yao

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 2 роки тому +1

      Umefikiria kama mimi

    • @moanamohammed1406
      @moanamohammed1406 2 роки тому

      Mie Pia.. jaman wanatia huruma Zahir bora hao mabinti wakakae kwenye nyumba yao ili walee wadogo zao huo ni mtihana mzito sana wasiache watoto kwa ndug jaman..Allah awape subra

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 2 роки тому

      Sasa simbaka wakubali wenyewe

    • @marythomas1816
      @marythomas1816 2 роки тому

      Wacha kumdharau wachagga watafutaji sana usimchukulie poa Kisha hawezi kumchezea amuwache wachagga hawako hivyo

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 2 роки тому +1

    Pole sana kaka zahir na timu yako na watoto wote wa mama Happy! Ila mi binafc naona hyu dogo ni mjanja mno na syo kweli et ooh nilikuwa najipanga, Ktk jambo hili ilibidi aende tu japo kujitambulisha yani mama kafariki hata hamtambui hyu kijana. Na mkazie kaka zahir atoe pesa hzo zilikuwa za mama Happy jmn.

  • @thumnathumna5946
    @thumnathumna5946 2 роки тому +6

    Kilistina ndio mama wa family. Apo wakakae kwao wanaume wakiwataka watawafuata...bila ivyo family hii itapata tabu sana..

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 2 роки тому +1

      Kristina mwenyewe hazimo kichwani

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 2 роки тому

      @@happynelson1136 shida ndio iyo.lkn hana udogo wa kushindwa kuwamudu wadogo zake.

    • @sylviermuhonjah8411
      @sylviermuhonjah8411 2 роки тому

      Sijui yaani itakuwaje maana Kristina akaondoka huwa haagi

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 2 роки тому

      @@sylviermuhonjah8411 wale watoto wadogo watateseka nawaonea huruma sijui nani atawalea lakini sio kristina hatumuamini na happy pesa za michango ya mama yake alimpa jamaa aliyezaa nae inaonekana jamaa anampenda happy sababu ya pesa za michango

    • @thumnathumna5946
      @thumnathumna5946 2 роки тому

      @@sylviermuhonjah8411 majukumu yatamtuliza..

  • @ireneflorence2232
    @ireneflorence2232 2 роки тому +3

    Jmn Zahir msituwekee picha ya mama happy inaumiza eti😭

  • @asdasd9253
    @asdasd9253 2 роки тому +4

    Jamani shemeji huyo😀😀wafungisheni ndoa hao watoto wasiendekeze zinaa duniani tunapita

  • @imanidaraja8275
    @imanidaraja8275 2 роки тому +2

    Jamani wote ni vijana tu wazuri mungu atawajalia wataendelea kuwapigania, ila zahiri hapo unamwahibisha huyo kijana, mambo mengine kidogo yawe ya faragha.

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 2 роки тому

    Poleni kwa uchovu maximum tv nyote kka zahir mashaallah vswali vikali lkn aowe awache kusema miyaka ataka ajaze dunia na wtto wainje ya ndowa tujaribuni kumuomgopa mungu hapendi uzinifu

  • @asiaamohd4077
    @asiaamohd4077 2 роки тому +4

    Happy na kili hawahitaji msaada awo wtoto wadogo ndio wanahiji msaada

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 2 роки тому +1

    Kijana janja janja nyingi happy kaa na dada uyu kijana apeleke matumizi

  • @lucylucy3678
    @lucylucy3678 2 роки тому +2

    Jamaa siyo mdogo alee tu family hiyo za mwiz arobain😃😃😃

  • @lovvy854
    @lovvy854 2 роки тому +15

    Yaani machozi yanani toka jinsi munavo irejesha picha mama happy akiliya😭 uchungu wakufiwa na mama huezi ufananisha na Jambo lolote duniani

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 2 роки тому

      nimemkumbuka mama yangu nilkuta maiti mochwari duniani kuna mengi sijui alifanyaje aliwaza nink Mungu mrehemu mama yangu

    • @lovvy854
      @lovvy854 2 роки тому

      @@agnesspaul1866 ati ulipata mwili wake mochwari na hujui alikufaaje aje dahhh pole na Mungu awarehemu Waze wetu wote waliotangulia mbelea hakki

  • @rehemshehoz8704
    @rehemshehoz8704 2 роки тому

    Hap hakun muoaji happy kaaa n dad ako n wadg zak muwalee n watt wak atakapojipng ndy ach akuchimbie 😢😢😢

  • @christinamsuya5492
    @christinamsuya5492 2 роки тому +2

    Zahiri mimi kwa ushauri wangu happy na tinah wao ndo walee wadogo zao,ile nyumba tujitahidi kuchangia had nyumba iishe ili watoto wahamie...ikifkia watoto wakikua wakijua kujitegemea bc nyumba itapangishwa na izo hela zitawasaidia watoto wote

  • @zabiyafahmikhamis4873
    @zabiyafahmikhamis4873 2 роки тому +6

    Huyu kijana janja janja na hapana ndoa hapo na happy achunge sana kuzalishwa tena mtoto mwengine

  • @asiacruiz5165
    @asiacruiz5165 2 роки тому +1

    Wa llahi ni mcheshi na kijana mdogo,mungu amsimamiye kwenye maisha yake

  • @asiaq1938
    @asiaq1938 2 роки тому +3

    Kaka Zahir ushauli wangu happy na Tina ndio wakabiziwe watoto kwasababu wamewazoea pia damu mzito kuliko maji hao wengine hakuna cha kulea bali wanafata mtelemko wameshajua nyie mtawabeba ndio wanasema watawalea ni uwongo hao ndugu sindo waliwaalimbia kina happy wahame hapo panauzwa kwahio hakuna ndugu wa kulea watoto zaidi ya Christina na happy basi

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 роки тому +1

    Kijana machachari sana. Hawezi kumulea happy.

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 роки тому

    Daaaaa shemeji bony uko vizul japo umri mdogo mno Lakin umejieleza vizul sana inshallah m/mungu awaendeleze pendo lenu inshallah 🙏🙏💋💕❤️💖 maximum for forever body 👏👏

  • @munamuu9703
    @munamuu9703 2 роки тому +3

    Hao n watoto sn hawaize kuka kama mke n mume km tayari kashaanza kuchukua pesa z kina mm happy

  • @Mamy49
    @Mamy49 2 роки тому +3

    Masikini nikijana mdogo lakin hodari isipokua anataka muda tu yote aliyo yafanya niutoto tu anaonesha kutafuta anajua

  • @divavlog2764
    @divavlog2764 2 роки тому +4

    Aw!!! They look good!!! And there bundle of joy she's also an angel!!! May the lord guide you in this journey

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 роки тому +4

    Si mdogo kashazalisha apambane

  • @zabiyafahmikhamis4873
    @zabiyafahmikhamis4873 2 роки тому +4

    Yani zahir anamaswali ya uchokozi 😂😂

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 роки тому +2

    Hppy na mwanamumew mungu hawap nguv muwalee watt wenu

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому +10

    Ina chekesha 😀sana ila. 😭Wamefanana sana! kumbe wote wadogo 😇Inshalllha Ikwer muwe na masikilizano basi!?

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 роки тому +3

    Na yeye kajitokeza baada ya marehemu kufariki maana Zahir alikuwa anamtafuta lakini hakufanikiwa kumjua lakini sasa kajitokeza mwenyewe bila kutafutwa dah

  • @ummutaswaufi3980
    @ummutaswaufi3980 2 роки тому +2

    Hapo hakuna ndoa kijana mjanja

  • @shameemrashid5219
    @shameemrashid5219 2 роки тому +1

    Kumbe wa happy ni huyu mtoto mwenzake jamn .. dahhh mtihan

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 2 роки тому +1

    Kweli kijana umemkosea Mama mkwe ila kwa mtazamo wangu hukupata ushauli wa Wakubwa

  • @zakhianzuki9348
    @zakhianzuki9348 2 роки тому +3

    Uyo mume jamani kumbe ndio maana alikoswa hata ela ya dawa mungu awape imani mumlee mtoto wenu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому

      Amen

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 роки тому +1

      Kiri afunge mkanda alee wadogo zake tu ndio ushauri wangu uwo asimame kama mama ndio ingependeza zaidi

    • @zakhianzuki9348
      @zakhianzuki9348 2 роки тому

      @@kiehbhzh7044 na ndivyo itakavyokua maana ata uyo bado anaitaji malezi ukizingatia na baba mtoto wake ndo shida tupu yani apo shida imeogeza na matatizo

  • @everlinekemunto267
    @everlinekemunto267 2 роки тому

    Bado wote watoto,alafu tangu nianze kufuatilia tangu mwaka jana,sijasikia mkitaja kanisa,wala msikiti,sasa si Hao watoto wajiunge na kanisa la karibu na Mungu awalinde.

  • @hannanommy9678
    @hannanommy9678 2 роки тому

    Mtihani yarab mungu wasimamie tu hawa watoto wasiadhirike,wanaume wenyewe ni mtihani mkubwa sanaaa,halafu sisi wanawake mwalimu wetu ni kipofu tunapenda mpk basi

  • @khadijakdj8640
    @khadijakdj8640 2 роки тому

    Bora mnalingana kuliko wengine wanapalamia tu😂😂nawaombea 🤲🏾🙏muishi pamoja muongeze family

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 2 роки тому +4

    Huyo ni mpumavu, kibaka alimpa Happy mimba halafu akajificha mpaka mama alipokufa ndo ameonekana jua umamchango mkubwa kwa kifo cha mama Happy mwa weye!

    • @carenalphonce5013
      @carenalphonce5013 2 роки тому +1

      Mungu ndie aliepanga acha ayo maneno 😏

    • @imanidaraja8275
      @imanidaraja8275 2 роки тому +1

      Usimtukane kijana wa watu kibaka alikuibia nini acha ujinga mpumbavu no weee usiyejua kitu juu6yake

  • @devothaqueen2674
    @devothaqueen2674 2 роки тому +3

    Happy wamueekee jiti huyuu KIJANA ni mjanja Sana hawezi kukaa na mtoto wa mtu

  • @lumierenkumunya7962
    @lumierenkumunya7962 2 роки тому

    Kaka vraiment que Dieu vous bénisse beaucoup unafanyaka kazi Sana nakufwataka Sana tena sana

  • @aminaraisa8893
    @aminaraisa8893 2 роки тому

    Mashaallh happy mwanaume wako bado mdogo saana nyote mgali wadogo kuhileya iyo famil tunaomba maximum TV happy arudi nyumbani akaye Na dada yake pamoja Na wadogo zake ili washikamane pamoja kuleya wadogo zao Na nitakacho usiya kaka Zahir usikosi kuwa unawafatiliya happy Na dada yake wote kwajubla kuona wanaendeleyaje

    • @rukaiyaahmadsuleiman3951
      @rukaiyaahmadsuleiman3951 2 роки тому

      Umeongea maneno mazima kristina na hapy wakae walee wadogo zao hakuna shangazi wala bamdogo hapo anaetaka mtoto wa mtu

    • @aminaraisa8893
      @aminaraisa8893 2 роки тому

      Ndio kabisaa Maan tukitizama wote ao atukuwaona kipid mama Yao yupo mzima basi wajitoleye Sasa ivi ndo wataweza Kweli kabx kaka zahri acha happy Na Christina waleye wandogo zao musiwagaishe watoto uku Wala kule

  • @kabintmpase1544
    @kabintmpase1544 2 роки тому

    MashaAllah kaka Zahri simamia hii familia awa watt pekeyao awawez Allah awaongoze inshaAllah

  • @neemaedward8101
    @neemaedward8101 2 роки тому

    Baba 24 mama 17 jmniii mungu awatunze tuu mleee mtt wenu

  • @zenorinalyimo4556
    @zenorinalyimo4556 2 роки тому

    Jaman bon mdogo wangu

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 2 роки тому

    Tmeksameeeeeee ahsante kaka Zahir

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 роки тому +2

    Wape hiyo nyumba wakae na dada yake zaher wasaidie usiwatupe brother watia imani wallahi 😭😭😭

  • @hasnashakiz4442
    @hasnashakiz4442 2 роки тому +1

    Kaka zahir hao watoto wangebaki na Christina kadri siku zinasonga hao watoto watateseka sana mm mamangu alifariki niliteseka kwa mikono ya mjomba ndugu wa mama haswa shangazi

  • @katotokazuri7412
    @katotokazuri7412 2 роки тому

    Duh 🙆‍♀️ 😭 😭 😭 duniani tunapita jaman uwiiii Mwenyezi Mungu atupe Mwisho mwema

  • @kuruthumumkalawa763
    @kuruthumumkalawa763 2 роки тому +2

    Ongereni kwa kikao

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 2 роки тому

    Vijana wengine wa hivyo Sana mtu anauguza huku ana Mimba tena bado unachukua pesa huna akili rejesha hiyo pesa haraka Sana Zahir pole Sana huo ni mtihani😭😭🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @estheradriel9829
    @estheradriel9829 2 роки тому +1

    Mi nasubiri baada ya mwezi ndiyo tutajua tabia za kila moja..

  • @omarhome2260
    @omarhome2260 2 роки тому

    Poleni sanaa

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 2 роки тому

    Mtihani wallah

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 2 роки тому +2

    Harjificha Sana ss tumekupata mumlee mtoto wenu

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 2 роки тому

    Mmh...sina la kusema Alhmdulilah Yaarab

  • @mwajumakabesha5662
    @mwajumakabesha5662 2 роки тому +1

    Yani heppy Akajielew Mtu Ajakuudumia mimba kisha Ana kuchukuwa kirahisi hivyo. Jameni watoto tunao zaa Allah Atuongozeye

  • @faridaabdallah2213
    @faridaabdallah2213 2 роки тому

    KAKA ZAHIR MVUMILIE ATAKUPA KAKA,
    YANI MZAZ HUWAGA, ANA MAMBO MENGI SANA, HONGERA SANA ZAHIR MUNGU AWAPE MAISHA MAREFU NA TIM YAKO YOTE🤲🤲

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 2 роки тому

    Mmmmmh kazi kweli kweli hii pesa sijui kma atalipa na hawa ndugu wa mwanaume wapo wapi je inamaana hata kumsaidia

  • @neemakessy4469
    @neemakessy4469 2 роки тому

    Mchagga mwenzangu sehemu moja