UWII!! HAPPY AMEACHIKA |BABA ALINILAZIMISHA NIOLEWE |HALI YAO INASIKITISHA SANA |NIMEPIGWA SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • KWA MATANGAZO..HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036

КОМЕНТАРІ • 203

  • @estertiffa-ew5id
    @estertiffa-ew5id Рік тому +9

    Jmniii eeeeh ebu punguzen makasiliko Kwan Kuna mtu kalazimishwa kuwap msaad CK zote hzo walivyokuw wanaish.mlikuw mnawachngia nyieee jmniii hya maish tu mweny kuguswa atachng asie guswa mkae kimyaaaa jmniiii 🙌🙌🙌

  • @saidaal1679
    @saidaal1679 Рік тому +13

    Pole sana mdogo wangu Happy maisha yanamitihani sana kwa sasa pambana achana na mambo ya wanaume tazama muelekeo wako kwanza

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 Рік тому +8

    Mkipata pesa fungueni biashara za mboga kama banda hivi ama chakula mtatoboa inshaallah kwa uwezo wake Allah

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Рік тому +7

    Nani km mama jmn hata mimi cna mama kwaiyo tuwatiliye duwa kila tunapo swali munqu awarehemu wote

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 Рік тому +3

    Na hivi anajua ulitolokea kwake na mama huna,lazima akufanyie vitimbi, pole mdogo wangu ,tafuta biashara ufanye

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому +21

    Mtihani ninaona wale wanao msimanga mtu kwenye maisha yake sio suluhisho unaweza msaidiye huwezi muwache tuu kwani duniya inazunguka leto wao kesho kwako muwache ujinga

    • @AbcMosshi
      @AbcMosshi Рік тому +1

      Umeongea pent kubwa mno

    • @omanoman4313
      @omanoman4313 Рік тому

      Udugu. Umeongea. Pwenti

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 Рік тому +4

      Ukwe kuongea wapo wakusaidiwa lakn so hawa wapo wagonjwa kama halivyokua mama yao na nilichangia lakn ...hao wananguvu kama sis wafanye kaz mim niko uarabun miak 8 yote kusaidia famili sio kuwa ombaomba 😢😢

    • @pillyseleman8090
      @pillyseleman8090 Рік тому +1

      Sio kila sk watu watawasaidia Tu ,kama mume sijui ni beans maana aitwae mume kaoa .napia ni ushaur Tu mmoja atoke mmoja abak na familia watatoboa wanaume SK HV wako wapi.nina wazazi wawili na kama wao ñdio waneaniazalia familia yao maana ñdio nimeisimamia mwaka wa 17 huu ,,sita saudia 11 Dubai .kubwa Nia hawana Nia hawa wapo wa kuwasaidia wagonjwa unamuona has huyu msaada wangu utanipa dhawabu unachangia MTU Usk anazini

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому +2

      Haya mambo ya kujitia watu wanasimangwa wkt wanafahishwa maisha yalivyo usidhani km ndio upendo bali ni kuzidi kuipumbaza jamii na haswa kizazi kipya.

  • @janeongala6684
    @janeongala6684 Рік тому +4

    Pole heppy umekuwa kama mmama kwel maisha jamani pole mdogo wangu

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 10 місяців тому

    Hoo pole,madam wanakibanda kile basi kushukru mungu ataendelea kwenda kuishi na dada yake.

  • @sakinaamani1486
    @sakinaamani1486 Рік тому +8

    Mtu kama hujazoweya kutoa hebu acha wenye kutaka baraka za kutoa wenyewe watoe usivunje mwengine moyo

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 11 місяців тому

    Jamna baba ake Rose Mungu ambariki sana anamoyo anaipenda sana na kuijar iyo familia...Pole sana Happy usikate tamaa Changamoto tumeumbiwa wanaadamu 🥰❤️

  • @singleparent7483
    @singleparent7483 Рік тому +6

    Hebu angalia story ya maisha yao happy ndo alokuwa akikaa na mama yake tena alikuwa mdogo akomshughulikia mama yake na ndugu zake kama unaweza kuwasaidia saidia usimjurge mtu si kasema anafanyakazi yeye na wote hawawezi kuondoka wskawawacha watoto na maisha haya saivi

    • @janemuthoni723
      @janemuthoni723 Рік тому

      Kweli hawa wapate tu mtaji wa biashara ndogo ndogo lkn sio kuondoka nyumbani,tuhurumie wale wadogo pia

  • @mouzaseif1099
    @mouzaseif1099 Рік тому +2

    Pole sana hepy hongera sana kaka zahir umenenepa mashallah Allah azidi kukupa moyo wakuwasaidia

  • @user-qo8eu1br6f
    @user-qo8eu1br6f Рік тому +1

    Mungu awafanyie wepesi Hawa mabinti nyumba yao iishe na wafungue biashara Ameen

  • @fatmabakar5767
    @fatmabakar5767 Рік тому +11

    Kaka zahir yule mpakistani ameishia wapi?

    • @sifatiiman
      @sifatiiman Рік тому +2

      nenda kwenye chaneli inaitwa home media utaona interview yake kafanya jana a tu sijui juzi utamuona

    • @hamidahamad1905
      @hamidahamad1905 Рік тому

      ​@@sifatiimanmbona siioni

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Рік тому

      ​@@sifatiimanhiyo channel sikuipata. Alikuwa anazungumzia nini

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 11 місяців тому

    Ukiona mume anakupiga ni bora uachane nae ayo siapenzi iko Sikh atakuuwa kwa kukupiga.maisha yapo happy unaweza tafuta mwenyewe na mungu atakusimamia ishallah

  • @maimunadamaris43
    @maimunadamaris43 Рік тому +7

    Siku nyingi nimetafuta kipindi cha sad moment

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 10 місяців тому

    HAPPY MMY SAI FOCUS SAI NA MAISHA MMY ...MWANAUME KAMA HANA MSAADA KWAKO BAKI PEKE TAKO PAMBANA MMY WANGU❤❤❤ MUNGU ATAKUSIMAMIA

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 11 місяців тому +1

    Kaka mazoezi tafadhar ubonge umekuja kwa Kasi Happy pole maskini

  • @salma5187
    @salma5187 Рік тому +12

    Yuko wapi mama mapakistan?

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 Рік тому +4

    Mungu atakusaidia mdogo wangu ila jipeni moyo na msikate tamaa mungu yupo

  • @MozaAly-st8fl
    @MozaAly-st8fl 10 місяців тому

    Pole sana. Ndo utulie ss.

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 Рік тому +4

    Happy amekuwa mweusi jmn pole sana ila jitahidi kufanya kazi mwenyewe

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Рік тому +2

    Polesana happy wanaume wasikuhizi nimtihani nibora ukatafuta maisha uleye mtoto wako nawadogozako

  • @francinenahimana7289
    @francinenahimana7289 Рік тому +2

    Mungu akuwekeye wepesi dada mungu yuko nanyinyi sema mungu angesaidia mkahama kweny nyumba yenu

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py Рік тому +3

    Mie ninamiak 13 toka mama kufalik tumeachwa 4 ila nikajikaz nikaj omani nikiwa na miak 18 ila Zahir mfanyie passport ajee Omanii tupigee kaziii

  • @user-ll7np8td7x
    @user-ll7np8td7x 11 місяців тому

    Mungu akusaidie mdogowangu happy

  • @vincej9275
    @vincej9275 Рік тому +2

    Vizuri, usikubali mtu kukutumia vibaya hasa kupigwa ovyo ovyo, mwisho ni kifo. Spousal abuse is wrong.

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому

    Pole happy umekonda kiasi ila mungu atasimama nawe piya nanyi natamani kuwasaidiya ila na mimi nipo na mitihani mikubwa kufiwa na mke na niko na wtt 7 wananitegemeya ambao 2 ni wadogo wanojititaji msaada mkubwa wengine angalau wamekuwa wanaeza faham kustahamili ninapokosa
    Ila familiya yenu inanigusa piya nawaombeya mungu mfanikiwe chini ya jitihada ya kaka zahir

  • @deborahrehema5819
    @deborahrehema5819 Рік тому

    Oooh happy nafurahi kukuona siku nyingi siwaoni,kwanini umeachika maskini 😢😢😢 pole sana

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому

    Kwa mungu hakuna kubwa yote yanawezekana shikamaneni tuliyeni nyiye wadogo mapenzi wekeni pembeni kwa sasa angaliyeni zaidi maisha yenu watt wenu na ndugu zenu.nawqombeya kwa mungu mfanikiwe kila la kher kwenu

  • @user-zj1yv1ug5v
    @user-zj1yv1ug5v 11 місяців тому

    Pole sana my sister

  • @samahakihange6421
    @samahakihange6421 Рік тому +3

    Ndo wanaume walivyo washenzi kama nini akisha kuchoka tu anakuona kama mavi kikubwa pambana tu hata ikwezekana safiri njoo nje sisi wenzio tunapigika huku ila matunda utayaona baadae

  • @Juliana-fx8tr
    @Juliana-fx8tr Рік тому +4

    Punguzeni makasiriko hiyo nyumba mungu ndo amewapa ridhiki kupitia kwa watu waliojitolea na kaka Zahiri

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 Рік тому +2

    Tumekumiss! Pole Happy

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 Рік тому +1

    Hapya ww una Akili san ila kaka zahir iyo nyumba mbona ten ina Anza utata

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 Рік тому

    Duuu kwnn umpige kama humtaki mtu muache aende, pole happy

  • @janemuthoni723
    @janemuthoni723 Рік тому

    Waaa hadi kamepunguza mwili kweli,hawa wasichana waachane na ndoa wakae kwao walee wadogo zao,Happy kaleta sura ya mama kabisa

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Рік тому +1

    Pole sana happy Mungu ataleta kheri

  • @upendoabraham2010
    @upendoabraham2010 Рік тому

    Pole Sana hepy ila kaka zahir wapeleke tu wakaishi Kwenye nyumba Yao Kule tuchange tuweke milango hata vyumba viwili tuu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому

    Zahir mola akubariki kwa kupambaniya maisha yao

  • @user-mc6um1it1r
    @user-mc6um1it1r Рік тому +2

    Pole sana mdogo wangu

  • @tiaraoscarjuma4522
    @tiaraoscarjuma4522 Рік тому

    Mbona siku hizi mda mrefu hamjarusha vipindi, jamani Zahir tume miss vipindi mpaka nikadhani umefungiwe kumbe upo 😊

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 11 місяців тому

    Happy Anapitia changamoto jamani pole mdogo wangu

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 Рік тому +1

    huyu mtt ni mpambanaji sana akikaza atatoka ila akitaka kufaidi awe single

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 Рік тому

    Daaa mtian jaman daaaa pole sna happy na family kwa ujumla

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 Рік тому +1

    Longtime happy na kaka zair mko poa na dadako happy hajambo

  • @user-xh1ff7zf6p
    @user-xh1ff7zf6p Рік тому +1

    Pole

  • @HappynessJose
    @HappynessJose Рік тому +3

    Pole sana Happy sema tu mlishamga kataa kuja Oman dada ako angekuja wewe happy ukae na family nyumba zipo zinatafuta wafanyakaz wa Tz

    • @janethngowi1058
      @janethngowi1058 Рік тому

      wavivu hawa

    • @masanjaabasi8970
      @masanjaabasi8970 Рік тому

      @@janethngowi1058 unawalisha wewe? Sasa kwahayo mavitu yanawakuta wadada huko to uwarabuni unazani ata mm ningeenda sikakwambia apo anafanya kazi au unatombwa masikio husikiii yani kunamijitu mnakera hio msaada ni zahili kapendekeza lakini mtoto wawatu anafanya kazi kuhudumia watu kumi wekuweza? Komwe lile kama mganga siuende ww uko omani

    • @Goldenbutterfly-hk1hp
      @Goldenbutterfly-hk1hp Рік тому

      ​@@masanjaabasi8970kaka ukanywe soda naja kulipa watu wanaropoka sana aiseee

    • @mariamgodfrey53
      @mariamgodfrey53 Рік тому

      Tatizo uvivu

  • @HidayaKarim-wy9yc
    @HidayaKarim-wy9yc 11 місяців тому

    Tunataka kumuona mama mpakitani na lailati

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому

    Pole sana happy 😢

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 10 місяців тому

    Tulikumisi sana Zahiri👍👍❤❤

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 Рік тому +2

    Unaakili Sana happy

  • @user-kp6lz7zs1w
    @user-kp6lz7zs1w Рік тому +2

    Saudia Akufai uko ht kdg Afadhali ht Omani kdg Alhamdullillah

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому

      Utakapokwenda inategemea na tabia yako, km tabia mbaya huna pa afadhali. Wangapi wapo Saudia na mambo yanawaendea!

    • @tausisaidi2096
      @tausisaidi2096 Рік тому

      Hapana huko Saudia hapafai hata ukiwa na tabianjema ukikutana na wanaokuajiri wabaya lazima watakuua tuu Oman ukiwa nashida afadhali ni vyepesi kusaidiwa

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому

      @@tausisaidi2096. Ppte utakapokutana na watu wabaya wanaweza kukuua. Hapo Tnz si kila siku mnauliwa??? Huko Omani mlikua mnasemaje zamani??? Nyie makafir mnatabia mbaya sana ya kutaka kupaka matope Saudia kwa sbbu mnaona waisilam wengi wanaelekea kule kufanya ibada zao. Na hzo ndizo kasumba zenu. Zamani mliikalia juu Omani na ssa mmeipata Saudia imekua Omani nzuri na Saudia mbaya? Acheni tabia mbovu km mnaona mnauliwa msingerizk roho zenu. Hakuna chenye thamani km roho, mngekaa makwenu. Mnakwenda nchi za watu na tabia mbovu halafu mnasambaza fitna??? Mnafikiri sisi hatuwajui wenye kwenda na kurudi??? Hao waajiri wabaya mnawapata nyie tu au mnakwenda na tabia mbaya???

  • @omanmct135
    @omanmct135 Рік тому +2

    Zahiri ukowapi sikunyingi sijakuona kaka yangu

  • @Imaniamockgmail
    @Imaniamockgmail 6 місяців тому

    Jamani maisha haya nimejiikuta nalia

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому

    Nawapenda nyote wtt wa mama happy

  • @MozaAly-st8fl
    @MozaAly-st8fl 10 місяців тому

    Nyinyi watoto wabara uharak wa dunia mumeufany mwingi. Sjui mukoje. Dunia ina mitihani. Muwe mnatulia tngu udogoni. Kw nn nyinyi mnakuwa ivo.

  • @maimunadamaris43
    @maimunadamaris43 Рік тому +7

    Kaka zahir tuletee story ya Lailaty

  • @fatmasalim8934
    @fatmasalim8934 Рік тому

    Zahir bibi na babu

  • @user-hm4hk5hi1c
    @user-hm4hk5hi1c 11 місяців тому

    Zahir fanya mazoezi umekuwa kibonge Sana 😅

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Рік тому

    Jmn munirs Yuko wapi,nimemic saan hbr zakee

  • @muhammadhussain449
    @muhammadhussain449 Рік тому

    Aje omani tumchangie paspoti aje uku

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj Рік тому +1

    Maskini😭Namkuumbuk mamayao jamani

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +1

    Dah nimtihani kabisa pole sana kabisa

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 11 місяців тому

    I zao wamekuja kuwatia dhiki hao watto chumba kimoja wanakaa vip au roho mbaya tu zimewajaa

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 Рік тому

    Kwa Sasa wataishi tuu mungu atawasaidia maana nyumba IPO ya kuishi

  • @user-hm4hk5hi1c
    @user-hm4hk5hi1c 11 місяців тому

    Pole Sana jamani😢

  • @bonifaceibunga9443
    @bonifaceibunga9443 5 місяців тому

    Nyumba ya mama yao iko wapi au ulikuwa ni UTAPELI ?
    Au imeuzwa ?

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому

    Mtafanikiwa inshaalla

  • @khadhratkhan-ue8fu
    @khadhratkhan-ue8fu Рік тому +1

    Cristina atafte viaz mbatata mida ya jion afanye makabaisa atapata sana

  • @mwaminindayishimiye3149
    @mwaminindayishimiye3149 Рік тому

    Kaka zahir tuliku miss❤❤ sana

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 Рік тому +2

    Yaani mpaka huzuni 😢😢😢😢 yaani misichana na afya bado inataka sadaka 😅😅😅😅😅 alafu mambo ya kuachwa kwani aliolewa lini????? Alafu hata walioolewa wanaachwa sasa wewe kit-mbi haramu anasema ameachwa????? Alafu hawa watoto wadogo wana baba zao siwapambane na watoto wao watapewa sadaka mpaka lini????? Yaani ukizoea vya bure 😮😮😮😮 alafu hawa sadaka za watu usiku zinaa 😂😂😂😂😂.
    Sitaki povu, walishasaidiwa sana wangetaka kujiendeleza wangekuwa mbali, lakini walikuwa wanakaa barazani wakila kuku kwa mrija 😅😅😅😅 ka happy kalishaanza mkorogo Tina nae nywele kalikiti 😅😅😅 sasa happy mkorogo umeisha.

  • @naaalovee3910
    @naaalovee3910 Рік тому

    Happy ameanza kua na rafudh kama mumewe

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Рік тому +2

    Jmn Yan hakunaga mubaya hepi kapendeza

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 11 місяців тому

    Happy amepungua mdogo wangu nini tatizo

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Рік тому +1

    Ila happy bora ungfanya maarifa zahir akakutaftiya kazi nje ya nchi mtt wako umwachiye Kristin
    Wewe wende ukahangaike angalau miaka miwili upate msingi

  • @sabraomar6604
    @sabraomar6604 Рік тому +4

    Kwan jmni hawafany kazi mbon munaongea ovyooo naon uyo happy anajitahd kufany kazi eti

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 Рік тому +1

    Allah kareem

  • @user-ik2bb2rm2q
    @user-ik2bb2rm2q Рік тому

    Zahir jamani umerudi tena mashallah

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 11 місяців тому

    Maskin happy 💔

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 6 місяців тому

    Pamban happy usikate tamaa oiga kaxi hapo ulipo pata

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 Рік тому +1

    Mama batuli mpakistani anaendeleaje?

  • @muhammadhussain449
    @muhammadhussain449 Рік тому

    Epi amesha beba mimba anaonekana kabisa kwasisi tuliyo zaa anamimba uyo

  • @tatotato506
    @tatotato506 Рік тому +8

    Kuna mtu humu anakazana tuu happy aende saudia sio kuzurioabisa wakenya wengi wamikufa huko

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho Рік тому +2

      Wakenya wanauwana wenyewe kwa wenyewe.

    • @husnathabiti4114
      @husnathabiti4114 Рік тому

      😂😂😂

    • @husnathabiti4114
      @husnathabiti4114 Рік тому

      😂😂😂

    • @rahemahassan3015
      @rahemahassan3015 Рік тому

      Nchi sio saudia tu dada zipo Oman Dubai Qatar na pia hao wakenya huko saudia wana uwana wenyewe kwa wenyewe 😂😂😂na ukiranga wao

    • @masanjaabasi8970
      @masanjaabasi8970 Рік тому

      Wachukuwe ukoo wao wapeleke

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 Рік тому

    Nakosa cha kusema kwa hawa watoto jamani MUNGU tu azidi kuwatetea. Na mtoto akiunyea mkono usiukate.

  • @neemamkambwahamisi4718
    @neemamkambwahamisi4718 Рік тому +3

    Mbona kama anamimba

    • @MawaddaKhamis-zh3kc
      @MawaddaKhamis-zh3kc Рік тому

      Mm mwenyewe nimehisi hivyo jamani kama mjamzito huyu happy 😢😢😅

  • @khayratmhina3735
    @khayratmhina3735 Рік тому

    Watoto we2mpaka yawakute ndoa wana2lia.. oky Mungu atakusimamia mdogowangu

    • @mariamgodfrey53
      @mariamgodfrey53 Рік тому

      Umeona eee likimkuta jambo basi anatuliza kiranga

  • @muhammadhussain449
    @muhammadhussain449 Рік тому

    Aje omani kaka uyo apambane uku

  • @Ramadhan-to2ie
    @Ramadhan-to2ie Рік тому

    Zahir ulikua wapi

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому +1

    Hii ni mtihani munazaa ovyoo tulieni musifanye zina mm nipo oman mika yafika 6 naenda na kurudi zanzibar sina habar na mwaname yoyote sijaolewa nipo tu nimetuliya wala sina mtoto hata sijawahi kujifunguwa wala kutowa mimba nipo tu kama mm nina mika mingi tu alhadulilah nafanya kazi zangu huku

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho Рік тому

      Lakini usisahu kuolewa upate mtoto Mungu akujaalie kwasababu vizuri ukifanya kazi ujuwe unamfanyia nani na watoto watakusaidia uzeeni Mungu akiwapa Imani.

    • @kadijahajali3918
      @kadijahajali3918 Рік тому

      @@Rose-ue2ho kuolewa kwani rahisi kuna wanaume wawili nishawahi kuwasaidia wamepoteya moja amefariki kwa umalaya wake alipata ukimwi moja yupo tu sina masiliyano nae tena

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho Рік тому

      @@kadijahajali3918 sijakusudia rahisi sister lakini nimekushauri tuu usisahau kuolewa ukipata mtu sahihi. Omba Mungu atakupa wako.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому

      @@kadijahajali3918. Tulia na muombe Allah akupe m’me alokua shhi. Unadhani kutafuta m’me mwenyewe kutakupatia m’me sahhi???

    • @masanjaabasi8970
      @masanjaabasi8970 Рік тому

      Hujaulizwa😂😂😂😂😂mezani ni happy

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 Рік тому

    Nakumbuka alimkopesha boyfriend wake hela ya michango sijui alirudisha? Kuna watoto wadogo watatu waliachwa na wazazi wao walikuwa wanajituma kila siku walikuwa wanaenda kufanya kazi za usafi ili kupata hela ya kula mtoto wa kwanza alikuwa na miaka saba

  • @Thebaddest255
    @Thebaddest255 Рік тому +1

    Hawawezi biashara umewapa kila saa biashara inakufa

  • @teddyaloyce8218
    @teddyaloyce8218 Рік тому +1

    Nilijuia tu atatelekezwa

  • @rosemaryfrancis9577
    @rosemaryfrancis9577 Рік тому +1

    kaka zahir munila tuleteee

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 Рік тому +1

    Kaka Zahir ulipotea

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 Рік тому +1

    Jamani kakonda hepi

  • @MozaAly-st8fl
    @MozaAly-st8fl 10 місяців тому

    Ss unaona unavokuwa unabadilika ivo umekuwa km bibi wa miaka 60.

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Рік тому +1

    Lamsingi piga kazi na usije danganyika ukatanua k ukazalishwa tena. Ikiwasha ipotezee itatulia yenyewe.

  • @MozaAly-st8fl
    @MozaAly-st8fl 10 місяців тому

    Umri wako ni mdogo sn.