WENGI WANAUMIA MIMI KUPEWA UDAKTARI WA HESHIMA| NAPITIA WAKATI MGUMU, SIPO SINGLE ILA NINA MPENZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лип 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 16

  • @gagedamoursarusaru8079
    @gagedamoursarusaru8079 14 днів тому +3

    Handsome and smart TALE❤❤❤

  • @Sisopotashiumz
    @Sisopotashiumz 11 днів тому +1

    Leo tarehe 7 July 2024,tale MH.nimekuona mawasiliano kwenye bodaboda na bahasha mkononi?

  • @mariamdaniel-hg2cn
    @mariamdaniel-hg2cn 9 днів тому

    Babu tale nakuelewa sana maana ninapitia hizo changamoto.nikiwazaga hicho cha kufananisha niliekuwa nae na nitakae kuwa nae uwa naona naweza kumkosea maana hatafanya vile alivokuwa ananifanya mwenzake kwa hy lzm patatokea maumivu.so najikuta najipa muda.lbd badae ntasahau.miaka 11 tangu afariki lkn uwa naona nikama jana tu. kufiwa na mtu uliemuelewa ni sawa na donda ndugu.mungu atusaidie

  • @erickmrema6850
    @erickmrema6850 13 днів тому

    kinĝ tale anajua talk kulingana na wakati...big up

  • @mariamdaniel-hg2cn
    @mariamdaniel-hg2cn 9 днів тому

    Acha kabisa kufiwa sikia kwa mtu babu tale nakuelewa unachokisema.maumiv ya kufiwa hayaeleweki kwa yule ambae hajapitia huu mtiti..kikubwa uzima mengine mungu ataleta kheri

  • @StoneEmanuele-yy3pv
    @StoneEmanuele-yy3pv 14 днів тому +2

    King tale

  • @EmmanuelKasumuru-c7j
    @EmmanuelKasumuru-c7j 10 днів тому

    Good

  • @user-cr4th9lr6b
    @user-cr4th9lr6b 12 днів тому

    It’s time babu Tale ukubali qadar Kama muislam layman u move on hi Tena kila make wangu wooote tutakufa. Dini ni nyepesi na uoe update mwenza wa kukupaka hata Vicks watoto watakua na wataanza maisha Yao na acha kumpa shemeji yako kazi ya kukulelea watoto kwani ukioa utaambiwa ulikuwa humpendi Mkeo.

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 13 днів тому

    Nawadei kila kitu napokea kwa positive😅

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 14 днів тому

    Hata msukuma ati nae dakitari 🤗🤗😛😛😛mnashangaza nyie

  • @zahormohammed4476
    @zahormohammed4476 9 днів тому

    Babu tale inatutia wasi wasi na uislamu wako inajiita alhaji wakati bado unamenege musicians na unatuthibitishia hauna mke bali una mpenzi sasa haufungi ndoa au ndio tuseme ni wapenzi wa namna gani au unakwepa kununua gari kwa vile yupo anaekupa lift

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 13 днів тому +1

    Tale nakuelewa sana hapo ktk mke mana niliishi na mke miaka 19 akafa hafla na kaniacha na wtt sasa nashindwa kumuv on hadi sasa huu mwaka wa 2 na mienzi kadhaa😢😢😢ila mungu muweza atupe sbra na awalaze pema marehem zetu

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 13 днів тому

    Magu hayupo uchaguz unakuja ngoja tuone

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 14 днів тому +1

    Alie anzisha hii hana akili ni mpuuzi tu, mnataka kutupa udakitari kwa kipi? Tena bila ufahamu mtu akiamka tu anapewa udaktari 😂😂