ITAKUUMIZA ALIYEKUWA MKE WA ABDULRAZACK ASIMULIA MAZITO|ALINIOA NA MIMBA AKANIACHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 2,2 тис.

  • @maximumtvonline
    @maximumtvonline  2 роки тому +56

    chat.whatsapp.com/HN3h2cmMUucGq6438nYZGj
    JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP KWAAJILI YA TEAM MAXIMUM TV

    • @queenhuu2852
      @queenhuu2852 2 роки тому +4

      Makubwa ,,eti atakupa dunia ivi yake iyoo dunia

    • @queenhuu2852
      @queenhuu2852 2 роки тому +5

      Sasa mulifunga ndoa na ww ukiwa mjamziito Sasa hii ndoa gn jaaman alau hii mimba ingekua yake ,ila sijui lkn ktk uislaam nahisi hili sio sahihii

    • @mosaleh9577
      @mosaleh9577 2 роки тому +1

      @@queenhuu2852 sio sahihi ndoo mashekh wa bongo hao kisheri ya kidini hauruhusiwi

    • @ashangalawa9492
      @ashangalawa9492 2 роки тому +2

      @@mosaleh9577 labda Shekhe alifichwa

    • @radgabbelege7234
      @radgabbelege7234 2 роки тому +1

      Mimba haizuii ndoa baada tu ya kuwa ishajulikana wahusika wanawezá kuoana na sio kosa wala tatizo shida ni hiyo mimba ikiwa haijajulikana muhusika ni nani ikishajulikana tu hakuna kikwazo

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 2 роки тому +18

    The Best interview ever 🙌 Pole sana Dada Nimekupenda bure ❤️ Dada mpole sn 🌹Allah akuwekee wepesi, Bado lipo tumaini nzuri mbeleni 🤲 Mtangazaji Nakubali 👌 Nimejifunza kitu Ahsanteni 🙏

  • @salmasudi8901
    @salmasudi8901 Рік тому +40

    Nimerudi kucheki intervw baada ya sekeseke la diva… nani mwingine agonge like

  • @hawahamisihamisi6038
    @hawahamisihamisi6038 2 роки тому +15

    Subhanallah jaman wadada tumueke Allah mbele tutafute pesa hata kuuza maji au maandazi kiukweli wanaume ni waalimu Wa Dunia Allah atunusuru na atuongoze pia Allah atufanyie wepes hawa wanaume ni mtihan hata sis wanaake pia wakat mwingine ni mtihan

  • @hajramiraji4678
    @hajramiraji4678 2 роки тому +2

    As salamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuh
    Kwa ushauri wangu dada wewe ni mzuri sana masha Allah, anza kumuabudu Allah ki kweli kweli na jitunze jiepushe na zinaa yaani kuwa karibu na Allah, wallah atakupa mume mwema kwanza kuwa wewe mwema alafu Allah atakupa mume mwema,tafuta kazi jitume usiwategemee wanaume watakutumia watakuchakaza na kukuacha, kuwa karibu na Allah hatakuacha patupu ninakuambia hivyo kwa kuwa mimi nilifanya hivyo na sasa ninafuraha sana na mume wangu alio nioa sasa vitu vizuri na vya kudumu vyote hutoka kwa Allah, Allah akufanyie wepesi Amiin

    • @hamidakeissy3235
      @hamidakeissy3235 2 роки тому

      Pia aachane na mambo ya ushirkina hakuna wakumfanyia dua bal ajiombee dua mwenyew

  • @othmanothman4665
    @othmanothman4665 2 роки тому +1

    Fatma mussa na abuu shaymaa mungu awazidshie. Moyo wa hekima na busara maana maneno yenu na ushaur wenu meulewa sana.mungu awabariki

  • @sabonsabon6779
    @sabonsabon6779 2 роки тому +15

    Pele sana dada yangu mungu iko tu2 inshaa-allah dada yangu. Utapata ambae anakupenda sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Bongo1Media
    @Bongo1Media 2 роки тому +30

    Wanaume wote hawawezi kufanana... Tatizo wanawake wanapenda kuolewa na wanaume matajiri bila ya kujua nawao wanayo nafasi ya kufanya kazi nakuwa matajiri... Wanawakataa wapambanaji kisa hawana hela wanafata watu wenye muonekano wa hela kumbe sio ila ni matapeli... Umaskini haudumu milele tupige kazi ⚡

  • @jokhaaadawi5972
    @jokhaaadawi5972 2 роки тому +4

    Subhanallah mtihani pole habibty wangu mungu atakusaidia malipo hapa hapa

  • @suhaylatwahteiyah9621
    @suhaylatwahteiyah9621 2 роки тому +1

    Allah Kareem atuhifadhi kwa sote Inshaallah na vizazi vyetu na mabint zetu wa kike
    Allah akujaalie subira Inshaallah jitahid Sana kuswali swala za usiku Allah atakujaalia mmbora Zaid na Zaid ya huyo kubwa Subira, Uvumilivu, Busara, Maarifa, hekma , na Ihsani utavuka mitihani,,, you so beautiful Allah akuhifadhi kuwa na msimamo

  • @JRN2612
    @JRN2612 2 роки тому +2

    Huyu dada mzuri sana maashallah. Sijui alikubalije kuolewa na yule muhuni. Allah akupe rizki inayofanana na hadhi yako.

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 2 роки тому

      Moyo wa MTU ni msitu hakuna anayependa kuishi n'a MTU asiye mwema.

  • @mruppercut7985
    @mruppercut7985 2 роки тому +5

    Mnawapenda wanganga tatizo lenu.. waganga wengi siku hizi kutapeli watu na kujidai mashekh.

  • @zahramohammed8322
    @zahramohammed8322 2 роки тому +37

    This is heartbreaking 😭😭😭 Allah atakupa yule wako alokuandikia dadangu usijali Allah yupo usichoke kumuomba atakulipia😭😭

  • @nurusaidi3481
    @nurusaidi3481 2 роки тому +3

    Pole sana sablina mungu yupo atakujalia mwanaume sahihi zidi kufanya ibada Allah atakujalia chaguo sahihi baadae,wanaume waongo sana wanatuumiza sn kwa kutuongopea mungu anawaona tujitaid wanawak tumtangulize mungu sana atujalie wanaume wakwel wenye mapenz ya kwel Kwetu pole sana sablina Allah akupe nguvu.

  • @mudrikali3675
    @mudrikali3675 2 роки тому

    A/alaikum pole sana na mtihani uliokupata Allah ndo hakimu wa mahakimu atakulipia kwa yaliyokukuta

  • @samkandamasanula7548
    @samkandamasanula7548 2 роки тому +1

    Pole Sana......muombe Allah akupe macho ya rohoni upate mume mwema....Asante.

  • @rahmarajab3688
    @rahmarajab3688 2 роки тому +20

    Mwanamke mzuri, MaashaAllah,,
    Jamani, Jamani , Jamanii,!!!
    Nawe kishanshuda yatarajie hayaa!
    Tabia Ni rangi,haibadiliki,,,,

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 роки тому +18

    Penye miti hapana wajenzi.
    Mashaa الله mashaa الله mashaa الله. My ww mzuri, الله atakupa mume mwema inshaa الله.

  • @sakinakwela3342
    @sakinakwela3342 2 роки тому +8

    Duu nilikuwa namsifiyaga sana yule kaka duu pole dada yangu ALLAH atatufanyia wepes in shaaAllah

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 2 роки тому

    Dah pole my dear MUNGU aliyekuumba atakupa mume mzurii utadumu nae na utakuwa na furahaa cha msingi we pambna tu ufungue biashara yako uwe bize na maisha yako.mmaaa! Wala utawaza Tena mapenzi mama angu faby ikibidi uwe unatoa no zao mwsho tutawashaur nn Cha kufanya Wala huwezi kuteseka Tena mama angu.nakupendaaa buree Sabrina mdada msataarabu mpole mwenye UPENDo wa kweli.ndo Mana unaumia pole uyo n tapeli achana nae uyooo mmaaaa kimbiaaaa fanya biashara yako.utakuwa sawa mama

  • @mwanakombobakari2451
    @mwanakombobakari2451 2 роки тому

    Pole Allah atakufanyia wepes, mambo kama hayo yanaweza kumfika mwanamke yyt , ivyo hainahaja ya kumlaumu tumuombee tu . Mwanamke mwenzetu.

  • @malak-lz6kx
    @malak-lz6kx 2 роки тому +14

    Sie tunamjua vzr Abdul razak amekaa bububu ajifanya anatoa watu mashetani kumbe muongo na anajifanya handsome alafu anavovaa utasema mashaallah hyu mtu kumbe hna lolote choka mbaya.

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому +1

      Nilimuona kwenye show flani hivi nilidhani wa maana kumbe loh

    • @mwantumuhassani5086
      @mwantumuhassani5086 2 роки тому +1

      Wanaume mtafika mbinguni mmelegea tena mnatambaa

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 роки тому

      @@mwantumuhassani5086 kabisa

    • @OmbeniMwalupindi
      @OmbeniMwalupindi 2 місяці тому

      Nawew Sasa bwana wa kwanza.kakuchulia rafiki yako.wapili ndohuyo abdurazak taper.tulia ukitak kupata mtu sahh Kuna subla.utakua unatapeliwa nawanaume kila siku

  • @hannansdeliciousfood4261
    @hannansdeliciousfood4261 2 роки тому +61

    Tuswali istighara kabla ya kukubali mume au mke......ili Allah atuchagulie mwenza mwema...wa maisha...tusisahau mafunzo ya dini.....tusikurupuke...hili funzo kubwa....

    • @raniakhan5463
      @raniakhan5463 2 роки тому +3

      Halafu aliolewa na mimba means ndoa haikuswihi kisharia

    • @bintmuhammad4913
      @bintmuhammad4913 2 роки тому +1

      Alafu kasema nipe talaka zangu! Akapewa talaka zake 3! Mtihani kwa kweli Allah atufanyie wepesi. Baadhi ya wanaume wanaowa kwa matamanio ya nafsi zao tu wakati ndoa ni ibada kama ibada nyengine.
      Pole sana habibty Allah akujaalie mume mwenye kheri nawe...amiin

    • @abuushaymaatz
      @abuushaymaatz 2 роки тому

      @@raniakhan5463 Kisheria walikuwa wanazini Hapo

    • @hannansdeliciousfood4261
      @hannansdeliciousfood4261 2 роки тому

      @@raniakhan5463 kabisaaa

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 роки тому +40

    Innalillah wainnah illah raajiuun huu msiba mzito mno pole sna mwanamke mwenzangu

    • @ashatemba9689
      @ashatemba9689 2 роки тому

      Yani achatuu ndgu dah tunapitia mitihani sanaaa wanawake 🙌😱😥

  • @SaliminSwalehe
    @SaliminSwalehe Місяць тому

    Pole dada ang inshaallah Allah atakulipa kipenzi, pia wewe ni mzur sanaaa

  • @omarmwanaharusi6831
    @omarmwanaharusi6831 2 роки тому +2

    Pole sana dadangu Allah akufanyie wepesi.....sina cha kukusaidia ila dua nakuombea nakupenda

  • @sabrinahamisi7544
    @sabrinahamisi7544 2 роки тому +6

    Pole Sana wajina wangu , kilajambo linasababu, umepitishwa Apo ilikujifunza, mshkuru mungu kwa kill Jambo, na sikuzote malipo hua Ni hapa hapa. Mwenyeezimungu kakuandalia pengine palipo pema zaidi....

  • @amidabukuru
    @amidabukuru 2 роки тому +11

    Pole sana dada insha'allah mwenyezi mungu atakulipia punguza kuliq yote nimipango ya mungu uko mnzuri insha'allah utampata wa kwako tena utatulianae natakuvutaa machozi insha'allah

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 2 роки тому +9

    Kweli lilia bahati usililie Uzuri,Wee msichana ni mzuri sanaaaa hongera na pole na changamoto kubwa hingali mdogo sanaaa, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi Inshallah Upate mume wa kweli

    • @mamags8828
      @mamags8828 2 роки тому

      Mbona kama ametumwa huyu dada story yake mhhh .

  • @ramsodavidson6011
    @ramsodavidson6011 2 роки тому

    Dah!pole sn sister nimeisikiliza hii history nimeumia sn pole Mungu atakufungulia kilicho chako rasmi, Huyo Mbwa malipo hapa hapa

  • @shakirasalum4344
    @shakirasalum4344 2 роки тому

    Daah pole na adul mungu ambadilishe awe ni mwanaume mwema na aheshimu wanawake

  • @kadigatanzaniya4792
    @kadigatanzaniya4792 2 роки тому +32

    Mashaallah dada mzur kweli kweli❤❤

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 2 роки тому

      Haya Huyo diva anauzuri gani nihiyo miwigi🤣🤣🤣

    • @aymanabushiri516
      @aymanabushiri516 2 роки тому +1

      Mzuri lkn akili hana sasa mume mtoto c wake unakaa unalialia mtandaoni unajieleza wee ya siri na dhahiri kitu gani khaswa

  • @fauziasalim9646
    @fauziasalim9646 2 роки тому +10

    MashaAllah huyu mwanamke wallahi amepitia alot haki,,,pole dadangu,,,yunaeza kuwa wake wenza,dini yaruhusu

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 2 роки тому +18

    Mimi naona hii haitakusaidia kitu wee dada. Tumekubaliana mwanaume akizingua piga chini omba Allah akujaalie aliye sahihi kwako

  • @alisoud6691
    @alisoud6691 2 роки тому +1

    Sabrina Masha Allah umejaaliwa suraa Ila upeoo wa kufikiria ni mdog sjui ni kutokan na penzii kuzamaa

    • @nassor777
      @nassor777 2 роки тому

      Hamna kitu . Banda hamna hapo ndio sababu
      Angelikua na Banda (shule) angelijua kupambanua Mambo ya kuyaingiza akilini .

    • @alisoud6691
      @alisoud6691 2 роки тому

      Sawa kaka

  • @chibandamwende3676
    @chibandamwende3676 2 роки тому +11

    Ila Diva atakuja Lia muweke hii comment na Diamond kuwa makini hii imenkumbusha Msizwa 🇰🇪🇩🇪💯❤️ Dada kaza kamba Mungu atakubariki!

  • @ramseyking7694
    @ramseyking7694 2 роки тому +3

    Daah,namhurumia sana huyo binti ila kiukwel ni mzur sana
    Mashallah!!

  • @mohamedsalum8933
    @mohamedsalum8933 2 роки тому +12

    This woman is Soo beautiful.

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV 2 роки тому

      Kwanza huyo dada Hana akiri kabisa Mambo ya kuongea kwenye familia unayaweka mtandaoni hata Kama mumeachana Haina haja kutangaza aibu za mzazi mwenzio huna akiri binti hata dini hujui kabisa

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV 2 роки тому

      Tena musimuamini huyo dada mtafuteni na mwanaume nae aseme ndio mtajua ukweli hayo ni mavazi tuu huyo dada dini Hana kabisa muongo

    • @missmannydxb
      @missmannydxb 2 роки тому

      Sema mashallah!

  • @rayanaabdallah6580
    @rayanaabdallah6580 2 роки тому +122

    Jamaniii walioko nje ya ndoa watamani kuingia kwenye ndoa, walioko kwenye ndoa wataka kutoka.
    Niko kwenye ndoa Alhamdulillah. Yaa Allah, tufanyie wepesi sote tuliotangulia kwenye ndoa na watakaokuja nyuma yetu In Shaa Allah.

  • @nassirkhamis62
    @nassirkhamis62 2 роки тому +1

    Pole sana Dada nimekupenda sana kwa upole wako Allah atakua pamoja na ww kikubwa muombe yy

  • @aydahahmedy6070
    @aydahahmedy6070 2 роки тому

    Pole sana habbity
    Allah atakujaalie mwenye kher na wewe ameen thuma ameen

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 2 роки тому +66

    Mwanamke mzuri MashaAllah pole sana Allah atakusaidia inshaAllah kila jambo lina khair yake

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 2 роки тому +4

      Hiv Huyo diva anauzuri gani

    • @sabahiali6021
      @sabahiali6021 2 роки тому +1

      Baya diva zeee

    • @mwanamwantumazizi1869
      @mwanamwantumazizi1869 2 роки тому +5

      yaani wewe nimzuri sana hapo hujajipodoa kiukweli diva haoni ndanikwako ula usikate tamaa mungu yupo utapata mume bora kabisa ebdelea kumuomba mungu atajibu maombi yako

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +4

      Mashallah, mzur sana uyu Dada.

    • @maryandason1815
      @maryandason1815 2 роки тому +2

      @@زيتونتنزانيا ety ebu nisaidiee n hayo mavitu ya bandiaa au?? Makope manywele kma malkia yezebeli makuchaaa.wanaume jmn

  • @monahjsamine7069
    @monahjsamine7069 2 роки тому +10

    Ghaaiiii!!!!pole sana mdogo wangu kwasasa tulia kwanza angalia maisha yako na mwanao

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 2 роки тому +25

    Mashallah 🥰🥰 mdada mzuri MUNGU atakupa Mume Mwema.wanaume mbinguni mtapasikia

    • @lolojunior5808
      @lolojunior5808 2 роки тому

      Wanawake ndio wakwanza

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 роки тому

      Basi mbinguni itakuwa hakuna mtu zaidi ya malaika na mitume na maswahaba na wake na watoto wao

    • @oyay2821
      @oyay2821 2 роки тому

      Hao wanaume huwa wanafanya makosa na nani mpaka wasione mbinguni? Matendo hufanya na wanawake kwa hivyo wote hawatakua mbinguni.

  • @MonicaAgapitiBruno
    @MonicaAgapitiBruno Рік тому +2

    Mmmh pole Sana mdogo wangu na sizani kama utapata mwanaume asaivi waname wadanganyifu jamani kama mimi nimenyanyasika mapenzi haya mmmmh siyataki Kabisa nipo busy Oman kutafuta pesa naonyeka na kazi kwa waharabu lkn Sina stress ya mapenzi. Nipo naho mbali Sana awa viumbe wanatutesa Sana tunakaa

  • @mwajumamkwaya2408
    @mwajumamkwaya2408 2 роки тому +1

    Nimempenda huyu msichana ni kama mjukuu tu. Laiti mjukuu wangu angempata mashaallah

  • @ruqayyahmohammed3188
    @ruqayyahmohammed3188 2 роки тому +14

    Subhanallah!! Pole kwayote ndugu mungu akutie nguvu lakin laziada jaribu kutulia nakumuomba mungu akujalie kher upate kibarua uangalie maisha yako na mtoto
    Nakuombea kheer mungu hamtupi mjawake InshaAllah kher

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 2 роки тому +8

    Polesana sana dada subhanallah 😥 Kuna baadhi ya wanaume ni mtihani 🤔 pol San Allah atakupa mwengine mwema 🙏 Insh'Allah Allah atunusuru wanawake twakutan na changamoto nyingi 🥲

  • @faridadondo2103
    @faridadondo2103 2 роки тому +16

    Daah pole saan ila kiukweli wanawak tunapitia mambo mengi saan Kwa hawa wanaume mdogo wangu muombe mungu ndy Kila kitu

  • @esnathhezron5507
    @esnathhezron5507 2 роки тому +2

    Pole Sana dada hayo ndiyo maisha ya wanawake tunayo pitia mungu akutie nguvu

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 2 роки тому +2

    Pole mama usilie yanamwishoo MUNGU atakufanyia njia nzurii utafanikiwaaa Sana Tena Sana bdo mrembo Sana Sana Tena bint mdgo utapata mwanaume mzuriii Sana utakuwa na furahaa kubwa kulko hi.usijali my dear fanya kazi yko kaa na mama ako tu.ndo mwenye UPENDo wa kweli

  • @abdhuliddie296
    @abdhuliddie296 2 роки тому +16

    Tafuteni pesa please plan your own things and your future
    Your love is there waiting for you just wait for the right time

  • @afsarazia831
    @afsarazia831 2 роки тому +8

    Allah atakupa anaye kufaa wewe nimzuri na unasawuti yawupole sanaa mama Masha Allah

  • @ornellazamila7983
    @ornellazamila7983 2 роки тому +11

    Namukubali uyu Kaka anajuwa kuhojimutu mashallah Ila na uyu dada amepitia matatizo mengi mungu amusaidiye

  • @cmellengotila1803
    @cmellengotila1803 2 роки тому

    Very beautiful sister, pole Sana dada kwa hizo changamoto ulizopitia. Bora urudi tu Iringa uolewe na wanyalukolo

  • @mohamedsaid8906
    @mohamedsaid8906 2 роки тому +1

    Nashanga sana unaolewa na mimba yarabi rabi tunusuru ..
    Sijawahi sikiya....

  • @beatricemartin474
    @beatricemartin474 2 роки тому +3

    Wanawake kama una opportunity ya kusoma basi soma kweli, tafuta kazi upate kipato chako before going in to marriage. Kama ni biashara fanya tu ilimradi uwe unasehemu ya kupata kipato chako. Maisha ya tegemezi ni mabaya sana atleast ukiwa na hela yako mambo kama haya yakitokea you know where to begin from.
    Pole sana Sabrina! May the good Lord heal your pain and gives you the right man

  • @saimarmuhsin9578
    @saimarmuhsin9578 2 роки тому +8

    Ushauri wangu ndugu yangu mwanangu sabrina kwasasa usiingie kwenye ndoa kwasasa kwanza ponya maumivu yako kisha mtu sahihi atakuja kwako usiingie tena kwenye ndoa hali ya kuwa unanaumivu ponya kwanza ukiingia ktk mahusiano na maumivu utaishia kuangukia kwa mtu asie sahihi kwako Allah akusmamie na akutie nguvu

  • @nancyjohnson6620
    @nancyjohnson6620 2 роки тому +10

    Naona watu wengi mmekaza Kumwambia mi mdogo atulie lkn mkumbuke kwa sasa maisha yamebadilika sana ...hakutegemea itakua hvo na ni katika harakat tu za kujistir na mtu mmoja cyo Kama ata anahangaika

  • @hannansdeliciousfood4261
    @hannansdeliciousfood4261 2 роки тому +2

    Naww hukuweza kustahmili ukaolewa na mimba....tulia mama....utapata riski nyengine ya khayr Amiin....

  • @leiyaayoub9564
    @leiyaayoub9564 2 роки тому

    Pole sana mdogo wangu wanawake sote yanatufika alhamdulilah

  • @vairasiv4228
    @vairasiv4228 2 роки тому +7

    she's gorgeous...mtangazaji nipatie namba yake....natafuta mchumba kanyoooka mashallah

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 роки тому +20

    Yule mume Wa diva Anna maneno furani hivi razima uingie mkenge 😂😂subilia diva atakuja kusema tu kua na yeye katapeliwa ss tupo hapa tuta yasikia tu pole sana mpenzi Hao ndio wanaume wasikuhizi

    • @monicahovda5890
      @monicahovda5890 2 роки тому +1

      Ni Maneno tu. Vitendo ni Ziro hata huyo Diva ameangukia pua is just about time Sio Mume huyo Loooh. ikiwa Mwanamke Mwenzako au wanawake wenzako wanafanyia hivyo. wewe ni Nani si Mwanamke hawa hawa wenzake. au la Diva labda kama ana helaa za Kumtunza husband material na akishiwa tu naye atafanyiwa hivyo hivyo. Alafu anajita Dr Love loooh!!! Binadam kumbe ni kinyume chake

  • @faridadondo2103
    @faridadondo2103 2 роки тому +28

    😭😭😭😭😭😭 subhanallah jamn eeemungu tutetee wanawak tuliopitia changamoto km hiz kiukweli nimelia nilijua mm tuu ndy nimepitia changamoto km hiz kumbe tupo wengi mungu tusimamie😭😭😭😭😭😭

    • @maisarah6819
      @maisarah6819 2 роки тому +3

      Twalia wengi majumbani Kwa kweli😥

    • @qrrrqtqt9976
      @qrrrqtqt9976 2 роки тому +1

      AMEEN THUMA AMEEN

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 роки тому +1

      @@maisarah6819 Pole sana , Mungu atawafanyia wepesi .

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 роки тому +1

      Poleni sanaa ingawa mie sijaoa pia

    • @mishikitendo4441
      @mishikitendo4441 2 роки тому

      @@binhussain3445 mbona wachelewa

  • @essserleem3254
    @essserleem3254 2 роки тому +1

    Pole mama innaAllah maa swabirina. Hiyo ni mitihani itapita tu. Na huyo bwana mtangazaji anaonekana ni mtu mwenye utu kweli...ubarikiwe sana baba

  • @sabraabdilnasir8826
    @sabraabdilnasir8826 2 роки тому +2

    Weye mdogo wangu mbona hujielewi mtoto mzuri mashaallah hebu tulia futa kurasa zote hizo allah atakusogezeya alo mzuri zaidi nakukujali jiongeze kila kitu kitakaa sawa usijikere wala usisikitike hizo ni changa moto zitaisha utasahau

  • @salmatuleteesehem71jmnmahm59
    @salmatuleteesehem71jmnmahm59 2 роки тому +8

    Yn uyo Diva akufikii ht robo kwa uzuri Ma Sha Allah yn wanaume nyie mtihani kweli asa uyo diva ana uzuri gn kazi mawigi tu

    • @salmacazzy1915
      @salmacazzy1915 2 роки тому +2

      Kabisa wajina 😂

    • @kadijahajali3918
      @kadijahajali3918 2 роки тому +1

      Mtihani mungu anisuru na maisha hayo nipo oman nafanya kazi sina habari na mwaname sahivi ni matapeli wa mapenzi na pesa bass nimetapeliwa na wanaume wawili pesa sina iman na wanaume nipo na maisha yangu bass yatosha

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho 2 роки тому

      @@kadijahajali3918 piga kazi sister,, angalia usije akatapeliwa tena pesa za jasho lako.

    • @kadijahajali3918
      @kadijahajali3918 2 роки тому

      @@Rose-ue2ho shukuru asante

    • @kadijahajali3918
      @kadijahajali3918 2 роки тому

      Wapo wanaotaka pesa zangu siwapii nimeshawajuwa mimi sahivi

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 2 роки тому +3

    Pole my dear mungu atakufanyia wepesi inshallah wanaume hawana utu

  • @navyatz5021
    @navyatz5021 2 роки тому +9

    Mungu abariki wanawake wote Ambao ufaham wetu ni mdogo.....ameen

    • @adammartin4139
      @adammartin4139 2 роки тому +1

      Umeandika kitu cha maana sana NAVYA TZ,safi sana,Mungu awaongoze kwa kweli.Tatizo kubwa ni ufahamu lazima wanawake wajue kwamba hata usifiwe vipi na mwanaume akishafunua K tu basi wewe unakuwa wa kawaida sana,hakuna mwanamke mzuri kama hujishughulishi na chochote.K ni ile ile hakuna mwanamke mzuri.

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 2 місяці тому

    My God bless you,sabra na jifunza kitu hapa,pongezi kwenu diva sabra kuachana na huyo, mkaka ,diva umeongea kweri diva,

  • @Samsumah
    @Samsumah 2 роки тому

    Pole sana dada sabrina mola atakusimamia kwa sas jipe nafas yakupona vidonda vyako jifunze kujipenda mwenyew kwanza kabla yakumpenda mtu mwingine hili ndio funzo nmejifunza kwenye hya maisha mtegemee mungu na na ww mwenyew kabla hujaweka utegemezi wa maisha yko kwa mtu mwingine

  • @fatmarashidmusafatma5218
    @fatmarashidmusafatma5218 2 роки тому +15

    SubhanaAllah huyu abdulrazak anawaaribia mashekh jina tu mpuuzi

  • @zuhurakhasimu969
    @zuhurakhasimu969 2 роки тому +5

    Subhana Allah 😭 Pole sana dada huyo abdulazack popote ulipo aibu sijui sura yako utaweka wapi Kila mtu kajua Siri zako,daha nimechoka niko hoi kuhusu abdulazack,

  • @jsabood
    @jsabood 2 роки тому +3

    Hasbiallahu wa naamatul wakeel. Abdul razak hatoipata rehma za mungu na wala kuona pepo. Kumshirikisha mungu
    ni kitendo kina uzito mkubwa katika uislam. Hata kitendo cha kumdhalilisha
    mke wake na kubadilisha na mke mwingine imekatazwa katika quran na uislam. Huyu kamkufuru mungu.

    • @kinogekimbeho3781
      @kinogekimbeho3781 2 роки тому

      Wewe sio Mungu kazi ya kuhukum ni ya Allah tu.kwann wewe unamuhukumu kwa kitu ambacho hujui ukweli wee unaamini maneno ya huyo mwanamke upande mmoja bila kusikia upande wapili?Hao wanawake shombeshombe wanamatatizo yao sn mie yalishanikuta hayo nawajua vzr

  • @aminajuma1215
    @aminajuma1215 2 роки тому

    Assalam alaykum, pole sanah. Allah atakujaalia kher zaid maishn ..keep in touch with prayers, work hard you shall win .

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 2 роки тому

    I wish ningekuwa na chochote ningekupa ila nakuombea kwa mola upate mtaji uweze kuendesha maisha yako bila kutegemea mume na mola akupe mume mwenye kheri inshaalah, utapata msaada kwa watu usiumie yapo mengi yanayowapata kina dada, wala usijutie kuyasema haya.

  • @hagarbills4023
    @hagarbills4023 2 роки тому +10

    Mungu atusaidie jmn mtihani wallah pole dada

  • @shamsajahagandhi3800
    @shamsajahagandhi3800 2 роки тому +5

    Pole sana dear. Ushauri tu wewe ni binti mdogo sana tafuta shughuli yakufanya achana kwanza namabo yandoa tafuta hata biashara.

  • @lolojunior5808
    @lolojunior5808 2 роки тому +6

    Huyo abdu razaki, alikua anasafiria nyota ya huyu dada, pole sana kwa yaliyo kukuta

  • @swabrinnahally8747
    @swabrinnahally8747 2 роки тому

    Pole somo Allah atakupa wepesi kwa mazito yalikukuta inshaAllah🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻

  • @ashrafrashid4677
    @ashrafrashid4677 2 роки тому

    Daaa pole sn mmnipo tayar kumuowa oyo binti kwajili yakumstir najuwa ameshapitia mengi in shalla mungu anifanyie wepesi

  • @shekhaabdalla307
    @shekhaabdalla307 2 роки тому +13

    Ni mzuri sna,Ma Shaa Allah

  • @HotDramasOfficially
    @HotDramasOfficially 2 роки тому +6

    Mwanamke mzuri mno mashallah utapata mtu wa kukustiri inshaallah we mwenyewe utasahau yote hayo

    • @alicekisanga8004
      @alicekisanga8004 2 роки тому

      She can be beautiful but maybe she doesn't know how make money. Beauty alone is not enough 😂

  • @zahramohammed8322
    @zahramohammed8322 2 роки тому +5

    Ushauri wangu kwako dear bora utafute kazi jishugulishe pia itakusaidia kufunguka na kukuondelea mawazo na pia utajitambua na kuona kua una thamani sana

  • @nasrihamza3129
    @nasrihamza3129 2 роки тому

    Pole sana dadangu mungu hatakulipia malipo ni hapa hapa duniani

  • @selmezahor4696
    @selmezahor4696 2 роки тому +1

    Pole sana mwaya.napia nakupenda Sanaa.🥰💞

  • @aishaomarry6996
    @aishaomarry6996 2 роки тому +9

    Pole Dadangu ningekua wakiume ningekuowa Mungu atakupa mwenye kheri na wewe

  • @faizaally347
    @faizaally347 2 роки тому +3

    Duuuu wanawake tunapitia wakati mungumu kwa Hawa viumbe Allah atufanyie wepesi tupati wanaume walowema maisha yako hayanatafauti na yangu umenikumbusha nimelia sana pole sana

  • @jojolicious_1445
    @jojolicious_1445 2 роки тому +37

    Hebu usiolewe tena kwasasa sabrina..jitahidi kulea mtoto wako na Mungu atakusaidia mwanao atakua..una umri mdogo sana na ushapitia ndoa mbili na zote mwisho wake ni mateso…Lea mtoto wako na Mungu ni mwema atakuwa tu huyo sio jiwe 💕

    • @hajrahhamisi7934
      @hajrahhamisi7934 2 роки тому

      Jamani sijawahi kukaa kuangalia interview lakin imenikuta tü namuangalia huyu na matatizo aliyopitia....Ndoa ya Kwanza kakaa Mwez 1 Ndoa ya pili hata Mwez haujafika jaman pole sana utapata alokua na khery na wewe na utafurahia na utasahau YOTE yaliyokukuta(BAADA YA DHIKI FARAJA)

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 2 роки тому

      @@hajrahhamisi7934 DIVA alisema alipoulizwa na baba yake mzazi eti ataolewa lini DIVA aliomba mungu wiki moja ndo mchumba akajitokeza mchumba mwenyewe nani ABDULRAZAK

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 роки тому

      @@rubenprince8990 🤣

    • @NeemaMushi-wj1zn
      @NeemaMushi-wj1zn 2 місяці тому

      😅😅😅

  • @rayasaeed176
    @rayasaeed176 2 роки тому

    kuolewa sio suluhisho tafuta kazi cc pia tulipitia hayo tukiwa wadogo na tuna watt pia na hatuna msaada ya mtu tunaendesha maisha yetu bila y yyt.mungu tu

  • @abdulhalimaboud6229
    @abdulhalimaboud6229 2 роки тому

    nawapongeza sanaa kwa interview yenu ya uhalisia..nmehuzunishwa na mdadaa Mungu amlipe memaa na ambarikii...

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +7

    Mwana mke mzur mwenyew khaaaaaaa!!!! Mungu tupe ujasir wana wake tushinde hii mitihann

  • @fatmaabdi8813
    @fatmaabdi8813 2 роки тому +3

    Chakujifunza unapotoka kwenye ndoa jipe mda wakutengeneza maisha yako kabla hujaingia kwenye ndoa nyingine ili uweze kujisimamia mwenyewe bila mtu mwingine

  • @tifaomy527
    @tifaomy527 2 роки тому +7

    Mzur haswaa MashaALLAH

  • @fatmareshed9975
    @fatmareshed9975 2 роки тому +1

    Mzuri mashallah allah akuhifadhi

  • @nassirkhamis62
    @nassirkhamis62 2 роки тому

    Mashaallah kwa uvumilivu wote Allah atakujalia mwenye mapezi ya kweli na ww na mwenye kher na ww

  • @shumbanahafidh4304
    @shumbanahafidh4304 2 роки тому +31

    Assalam alaykum pole ukishamaliza kulia be strong tafuta kazi unajua kupika anza kuuza chakula pesa unayopewa ifanyie badget ujitegemee shangazi wa UK kama atakutumia pesa kachukue course utakayoiweza kushona mackup yeyote ujitegemee usitafute mwanamme mwengine ukajatena hapa na story ya kuumizwa tena jitegemee ikisha akija mwanmme kakupenda Ahlan wasahlan kaondoka masaa lama hakuna kulia Kwa ajili ya mwanamme your beautiful young usiwe mmnyonge ukaonewa kilasiku anaetupenda tumpende anaetutesa maasalama hatumtaki

  • @fatmarashidmusafatma5218
    @fatmarashidmusafatma5218 2 роки тому +3

    mashaAllah mdada mpole🥺mpaka nahurumika

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 2 роки тому +6

    Pole xna dadangu Allah yupo nawe utapata mwanaume sahihi kwako

  • @jacklinemushi6723
    @jacklinemushi6723 2 роки тому +1

    WEWE BINT UNAONEKANA UNAPENDA SANA NDOA NA MAISHA MAZURI BADO MDGO MIAKA 22 BADO MDGO TULIA TAFUTA MAISHA YAKO KWANZA MAISHA MAZURI LASIVYO UTAPATA MATAPELI MPKA UKOME ACHA TAMAA YA NDOA TAMAA YA PESA TULIA KWANZA KHA JAMANI 🙌🙌🙌