MREJESHO BINTI WA MIAKA 15 MWENYE MTOTO MCHANGA |MISAADA NA HOSPITAL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 406

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 3 роки тому +3

    Ubarikiwe sana kaka zahir kwa kazi kubwa unayoendelea kuifanya ya kuokoa maisha ya wagonjwa kama hawa maana bila wewe hata sisi tusingejua kama kuna waginjwa wamekosa pesa ya kujitibia hakika Mungu atakulipa mazuri kwa mema unayowatendea viumbe wake.Na pia napenda kuwashukuru watu wote wenye mapenzi mema waliojitoa kumchangia binti huyu waliotoa pesa na aliyetoa kitanda cha mtoto huyu Mungu azidi kuwaongezea maradufu🙏

  • @tamashaharuna1833
    @tamashaharuna1833 3 роки тому +1

    Allah atamfanyia wepesi inshaaalla utapona mwanangu na mjukuu wetu atakua poa zaidu

  • @aliceemmanuel1892
    @aliceemmanuel1892 3 роки тому +14

    Hongera sana kaka Zahir, kwa maana bila ww watu wasingemfahamu huyo binti .mungu azid kukubariki na wote mliotoa msaada kwake

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 3 роки тому +76

    Hongera kwa alie ujali usalama wa mtoto, Allah amzidishie imani malipo ni kwa Allah🙏🙏🙏🇰🇪

  • @reemiiomar9386
    @reemiiomar9386 3 роки тому +4

    Rizik Yatoka Kw mola na iko mikononi mwamja Alhamdulillah ..

  • @Taindy
    @Taindy 3 роки тому +12

    Sifa na utukufu ni zako Mungu wetu. Asanti kwa hii familia na ulicho watendea na utakacho watendea. Tunakusifu, pokea sifa zote kwani wastahili. Amina. Maximum TV pia... Asanteni.

  • @sittikibonge8066
    @sittikibonge8066 3 роки тому +10

    Maa Shaa Allah... Shukran za dhati kwa wale wote waliochangia... Allah atawalipa kheir.Aameen

  • @zahraahmes7419
    @zahraahmes7419 3 роки тому +3

    Mungu ata msaidia inshaallah hata mimi hayo matatizo ya miguu niliyapataga nilipo jifungua ila nashkuru mungu alileta heri

  • @ladysalimkabora9952
    @ladysalimkabora9952 3 роки тому +2

    Mungu awabariki mliochangia na awakumbuke katika uhitaji wenu! Amen🙏🙏🙏

  • @katibatanzania3089
    @katibatanzania3089 3 роки тому +2

    Maashaallwaa maashaallwaa mungu ibariki maximum tv na watu mbalimbali waliyokuwa ndani ya Tanzania na njee ya Tanzania Inshaallwaa mungu atazidi kuleta faraja

  • @katibatanzania3089
    @katibatanzania3089 3 роки тому +2

    Ongera sana Mpndw Wangu uliyeleta kitanda cha mtoto na nguo amependeza sana maashaallwaa mungu wabariki wote waliyo towa msada aallwaa atazidi kuwajaziya zaidi na zaidi

  • @saraphinajoely7047
    @saraphinajoely7047 3 роки тому +2

    Mungu awabariki sana wrote mliochangia mungu awaongezee

  • @asianfadhil4282
    @asianfadhil4282 3 роки тому +7

    Mashaallah mtoto mzuri hongera kwa walio mchangia hongera na mama yake na bibi yake kwa kumtunza mtoto I ngekuwa mamamwengine angemtupa

  • @amnewarji1707
    @amnewarji1707 3 роки тому +2

    Mungu ambariki kaka zahri na maximum TV.kwa kuwaibua na kuwajali wenye shida.mungu endelea kuwagusa watu wazidi kuwasaidia.

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому +2

    Asante Mungu kwa kumfungulia lidhiki mja wako,Mungu awabariki nyote mliomchangia

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +24

    Zahir unaipenda kz yk, Mungu akupe uhai mrefu uzid kutuwekea watu weny shda

  • @sapnaabdallah1084
    @sapnaabdallah1084 3 роки тому +1

    Kaka Zahir ahsante sana kwa kuwasaidia watu wenye matatizo naww Mungu atakulipa kwa wema wako Insha Allah

  • @scorahkuyava1061
    @scorahkuyava1061 3 роки тому +5

    Yaan kaka zahir ww ipo sku mungu atakuonyesha ukuu wake mungu anijaalie cku moja nifanye jambo kwako asante kwa niaba ya wote unaowasaidia

  • @dalianakerefu490
    @dalianakerefu490 3 роки тому +7

    Mungu awabariki wote waliotoa na zahr mungu akubariki Sana

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 роки тому +1

      Ameen yarrabil alamin insha'Allah Khair 🤲

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  3 роки тому +1

      Amen..Asante sana

    • @magecosta4449
      @magecosta4449 3 роки тому

      Bima ya Afya ni muhimu sana, kabla ya matumizi mengine.

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 3 роки тому +1

    Pole sanadogo wangu utapona tu na mwanao atakua kwa uwezo wa mungu. Ubarikiwe pia kaka zahill kwa moyo wako wa kujitoa kwa kweli na mbarikiwe nyote mlochangia.

  • @simphoslyvia2570
    @simphoslyvia2570 3 роки тому +4

    Mungu awabariki Sana wote mlichangia pia namuombea huyu binti Mungu akuponye.

  • @katibatanzania3089
    @katibatanzania3089 3 роки тому +3

    Shukran sana kaka zahir kwa kusimamiya aziyako kwa zaidi mungu yupo pamoja nww Inshaallwaa

  • @abubakarramadhani6414
    @abubakarramadhani6414 3 роки тому +1

    Zahir kaz unayofanya haitoishia dunian inshaallah allah atakulipa siku y hesab umesaidia wengi umebdlshia wengi maisha

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 3 роки тому +5

    Asaalam alykum waramatulah wabarakatul. Alhamdulillah hongerani sana kwa wote waliochangia. Mungu atawalipa Insha Allah . Kaka ZAHIR Insha Allah mungu atakulipa na mamangu utapata nyumba yako Insha Allah .

  • @mamanaifa6178
    @mamanaifa6178 3 роки тому +3

    Mungu azindishiye huyo aliye jitoleya na kk yetu zahir mungu akubariki

  • @rashidkalimbo2451
    @rashidkalimbo2451 3 роки тому +1

    Kaka MWENYEZI MUNGU Atakulipa kwa hii kazi unayofanya, vilevile nawaombea wote kwa Allah Awazidishie maradufu waliojitolea kuwasaidia huyu bibi, mjukuu na kitukuu...Ni historia na hali inayohuzunisha lakini Allah Atawapa mwongozo Ishallah,...Halafu nimemsikia akisema huyu dada anataka tu kushughulika na malezi ya mtoto wake mbali na kurudi shule....Mimi kwa maoni yangu ningependa tu akirudia afya yake na akiwa salama arudi tu SHULE kwasababu dunia hii bila ELIMU ni sawa na kujiroga,...Mimi nilikuwa mwalimu na ninashuhudia wanafunzi wangu niliowafundisha darasani wakiteseka saana na watoto bila kupata mahitaji hitajika kwa watoto wao na hata hao wenyewe kwa kuwa hawana QUALIFICATIONS zozote, na huku[kwetu] ni KENYA, hata kazi ya kufagia choo lazima uwe na CERTIFICATE sijui sheria za Tz zasemaje lakini USHAURI wangu mkubwa ni ARUDI SHULE coz bado ni mdogo saana [15years] , Wasamaria wa TANZANIA nawaomba, mumushauri zaidi ARUDI SHULENI,,,, ELIMU NI MUHIMU DUNIA HII.

  • @alhasanalharthy7043
    @alhasanalharthy7043 3 роки тому +2

    Kaka Zahir unafanya kaz nzuri sana mungu akupe mema ww na kizazi chako🙏🙏hongera pia maximum Tv kwa kupaza sauti za wanyonge

  • @marianakapeller4699
    @marianakapeller4699 3 роки тому +2

    Safi aisee, Mungu mkubwa mno, hongera kaka Zahir na team nzima ya maximum tv watz wote mnaojitoa kwa hali na mali Mungu akarudishe pale mlipopungukiwa.

  • @angelazizi4831
    @angelazizi4831 3 роки тому +2

    Mashallah mungu awabarik sana kaka zahir mungu akubarik pia kwa kaz unazofanya....

  • @mamounmamoun7877
    @mamounmamoun7877 3 роки тому +5

    Alihamdulillah nimefarijika sana kwa kumuona tu hata mtazamo tu najisikia raha sana mm nahitaji kutoa nitakacho jaaliwa na Allah naomba namba zao tafadhari

  • @lovvy854
    @lovvy854 3 роки тому +7

    Mwenyezimngu azidi kuwahifadhi pamoja na wote walio wachangiya insha'Allah Khair 🤲

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 роки тому

    Zahir sina la kukwambia zaidi kukuombea Allah anajua Cha kukulipia binty leo tu mashallah tabasam limeonekana tunapenda Sana kuona mrejesho Kama hivyo jamon tuwe na moyo wa kusaidia hata kidogo kinasogeza hatua leo kwa nwenzie kesho kwako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @laurentwambua184
    @laurentwambua184 3 роки тому

    Mungu awabariki Maxmum Tv.

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 3 роки тому

    Zahir mungu akupe maisha marefu kwa kazi unayofanya mungu atakupa haja ya moyo wako

  • @memoryngambi3758
    @memoryngambi3758 3 роки тому +1

    Mtangazaji mungu akupe siku nyingi zakuishi,maana unabadilisha historia ya watu wengi.binti mungu atakuimatisha.

  • @mariamselemani5208
    @mariamselemani5208 3 роки тому +2

    Hongera sana dada mwenyezi mungu azid kuwajaalia

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 3 роки тому

    Mungu ampe afya njema dada yetu na zahir mungu akulipe kher zako yarab

  • @barakapaulo9783
    @barakapaulo9783 3 роки тому +2

    Bnafsi ckuwa na uwezo ila co mbaya nikaombea ndugu zng wote miliojtokeza kumsaidi amina m/mungu awajarie kheri awajaze iman mana ad 😭 kwa fraha tupenda kwajli ya m/mungu lnshaallah🙏

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 3 роки тому

    Alhamdullillah malaika wa mungu kaja na bakhti yake Allah atazidi kukufanyieni wepesi yarrab

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 роки тому +5

    penda sana wee mkaka kwa ajili ya kuwasaidia wasiojiweza 🙏🙏

  • @asianfadhil4282
    @asianfadhil4282 3 роки тому +1

    Yarabi wazidishie Baraka ndugu zetu wa omani kwakweli wa najitahidi kusaidia Sana

    • @faudhiajuma7340
      @faudhiajuma7340 3 роки тому

      Amina kazizetu ngumu ilatunajitaidi tulenawenzetu

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 3 роки тому +6

    Mungu hawabariki wale wote mliomchangia hii familia

  • @hamzakangale8957
    @hamzakangale8957 3 роки тому

    Pole mwaya mungu atakufanyia wepesi

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 роки тому +1

    Masha Allah mungu azidi kukupa nguvu na walochangia Allah atujaalie zaid tuwe na Iman hii hii

  • @gpp9667
    @gpp9667 3 роки тому +1

    Hongera bibi Mungu akubariki

  • @magrethkerengo3566
    @magrethkerengo3566 3 роки тому +1

    hongera xana kwa walio toa mchango mwenyez mungu atawarip

  • @munadlebobo5234
    @munadlebobo5234 3 роки тому +2

    Kwa mirejesho ndipo mnanikoshaga ...big up bro zahir

  • @munirachangawa2776
    @munirachangawa2776 3 роки тому +18

    Mashallah jamani hadi raha.kutoa ni moyo sio utajiri.tujikaze tutafika....

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 роки тому +4

    Swala zima la dam mimi jamn niliumwa nilibak na 4 tu subhannallah lakin nilijitaidi kula matunda yanaitwa roman,TARO SHABANDAR juisi ya tende ,tendezenyewe ,alhamdellah zimenisaidiA USHAHULI WANGU HUU

  • @winnermariah
    @winnermariah 3 роки тому

    Ooooh LORD, MUNGU Akubariki sana KAKA ZAHIR

  • @simonitaagesti3657
    @simonitaagesti3657 3 роки тому +1

    Asante mungu wew ndo kimbilio letu akika umeonesha utukufu wako amina

  • @jestinamagembe2125
    @jestinamagembe2125 3 роки тому +1

    Mungu ni mwema hakika...utapona mdg wangu

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 3 роки тому +1

    Kwanza hongera kaka Allah akupe maisha marefu na moyo wa subra kwa kazi yako inshallah 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @tumakassim6286
    @tumakassim6286 3 роки тому +2

    Mashallah MwenyeziMungu awajaalie kipato cha halali wote kila anae toa Inshaallah

  • @shakirachautundu7553
    @shakirachautundu7553 3 роки тому

    Mwenyezi Mungu azidi kuwasimamia katika kila jambo na awahepushe na mabaya yote,hongereni sana mlioweza kuonyesha mioyo yenu yenye huruma na utu Mungu awazidishie mlipopunguza

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 3 роки тому +1

    Kiukweli ubarikiwe sana kaka zahiri

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 роки тому +1

    Mungu awabariki Sana walio msaidia jamanii

  • @zainabmkomwa2064
    @zainabmkomwa2064 3 роки тому +21

    Mwenyezimungu azidi kukufanyia wepesi kwarehma zake In Shaa Allah

  • @bintimrope
    @bintimrope 3 роки тому +6

    Mashaallah wajina wangu mrembo sana. Allah azidi kuwafangulia kheri👏

  • @khadijagundumu6210
    @khadijagundumu6210 3 роки тому +2

    Ongera kwa waliomchangia🙏🙏🙏👍👍💕💕 allah awabariki

    • @taturajabu5977
      @taturajabu5977 3 роки тому

      Ata tunae muombea tuu,bila kumchangia mtupe hongera zetu!hatuna pesa ila maombi

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 3 роки тому +11

    MashaAllah, Mungu hamtupi mja wake, hata a naweza nunu kiwanja wa kapata kwao kabisa.

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 3 роки тому +3

    masha ALLAH mama nurat Leo amechangamka.

  • @vero57
    @vero57 3 роки тому

    Pole sana, neda kwa mwaposa , au maombi ya saa tatu sikiliza, pia kula sana matembele na vitamin, za kuongeza damu , kidanda kizuri sana hongera sana alietoa mungu amuzidishie, nawaliotoa michango

  • @rehemamapande4680
    @rehemamapande4680 3 роки тому +1

    Mashallah mwenyezi mungu awabariki wote walichangia hii familia

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому

    Utapona dadangu Mungu anakuona na anakuwazia mema

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 3 роки тому

    Mungu awabariki sna wote na Zahir pamoja na team yako Mungu awaweke awalinde kazi yenu ni ngumu na nzur tunaiona (tuzid kusaidiana wapendwa dini iliyosafi ni kusaidia maskini na kuwa na upendo)

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  3 роки тому

      Kweli kabisa..Asante sana

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      Sio kweli kua dini safi ni kusaidiana na upendo. Wapo wengi wanaosaidia na hawana upendo. Dini safi ni kumjua Mola wako aliyekuumba, kumuabudu, kumshukuru na kufuata maamrisho yake.

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 3 роки тому +7

    Mubarikiwe wote mliomchangia🙏

  • @shahamustafa5276
    @shahamustafa5276 3 роки тому +1

    Pole sana mdogo wangu yote mitihani ya maisha mungu atakusaidia

  • @maryambarayan7599
    @maryambarayan7599 3 роки тому +12

    Mungu hamtupi mja wake kwa kweli Usijali kila kitu kitakua sawa

  • @evakomba7068
    @evakomba7068 3 роки тому +13

    Leo mimi ndo wa kwanza ku comment

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 роки тому +1

    Mungu mponeshe huyu dada jamanii

  • @saeedsaedi2475
    @saeedsaedi2475 3 роки тому

    Hongera Sana kijana kwafatilia matatizo ya watu unasaidia Sana fika mpk zanzibar

  • @fahadfahadmaabadmzee7437
    @fahadfahadmaabadmzee7437 3 роки тому +1

    Mashaallah Kafurah Sana Amina

  • @jojokweka1902
    @jojokweka1902 3 роки тому

    Mungu akubariki kaka

  • @zaynabuchimpele7606
    @zaynabuchimpele7606 3 роки тому

    mshallah bibi kwa huruma yako na wengine mliojitolea

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 роки тому +2

    maashaallah maashaallah mschana mzuri

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 3 роки тому

    M.mungu awajaalie wote mliojitolea kumsaidia binti huyu

  • @aybkham5795
    @aybkham5795 3 роки тому

    Shukrani

  • @khadijakhalfan8275
    @khadijakhalfan8275 3 роки тому

    mashallah allah amzidishiye afya nchema jitahid kula matember na juis ya tente inarudisha dam haraka

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 3 роки тому +2

    Zahir Shukran jaza kwa Allah

  • @abumoyo5341
    @abumoyo5341 3 роки тому +1

    Mungu azidi kukusimamiaa dadanguu

  • @kuruthumusaidi1645
    @kuruthumusaidi1645 3 роки тому +21

    Allah azidi kukusimamia inshaallah 🤲

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 3 роки тому +1

    Alhamdhulillah shukran zote kwa Allah pili kwako ww Zahir tatu nawote waliojaaliwa kutoa..

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 3 роки тому +7

    Inshallah Allah atawafanyia wepi

  • @shamzone388
    @shamzone388 3 роки тому +2

    Alhamdulilah baada dhiki faraja
    Kama alivyotuambia Allah katika quraan
    In sha allah mtafajirika karibu
    Tupo pamoja mpaka peponi ....

  • @fidelyabrown2574
    @fidelyabrown2574 3 роки тому

    Mashalaaaah!

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 3 роки тому

    Kaka Zahir. M. Mungu atakulipa inshaallah

  • @haskao77
    @haskao77 3 роки тому

    Aisee mungu awabariki wote mnaojitolea

  • @veronicamtweve7814
    @veronicamtweve7814 3 роки тому

    Mashaaalaah binti mzuri Sana uyooo

  • @linetgreen1861
    @linetgreen1861 3 роки тому

    She look happy bless her

  • @asianfadhil4282
    @asianfadhil4282 3 роки тому +1

    Alhamdulilah Allah awalipe kilalakheri walio msaidia uyo binti kwakweli nilikua namfikiria ila Mungu mkubwa

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 3 роки тому

    Mashallah jmn mungu mkubwa 😢😢choz la Faraha jmn tujipen hongera woote waliochangia na ht ambao hawajachangia ht kwa huruma zenu dua zenu pia mungu mkubwa aende hsptl yy na mwanae wote apimwe mwili wote apate dawa ht km kupanga apange chumba kimoja chatosha

  • @hadija846
    @hadija846 3 роки тому +4

    shukrani kwenu wote wapendwa wengine tupo mbali tusamehiane tunaendelea na maombi kila siku🙏🏼

  • @faridaessa7844
    @faridaessa7844 3 роки тому +9

    Amina mrembo jamani

  • @hadijahamisi7769
    @hadijahamisi7769 3 роки тому +1

    Mashallaah mungu yuko pamj na ww

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 3 роки тому +2

    Mungu akupe afya mtoto mzuri, usikate tamaa

    • @umfarid247
      @umfarid247 3 роки тому

      Mungu atakupa afya inshallah wewe na mwanao na bibi yako anae kutunza pia zahir mtangazati malipo utapata inshallah shukraan

  • @marryg4235
    @marryg4235 3 роки тому

    Zahir mungu akutunze ,pia mungu awabarik wote mlioguswa kuichangia familia hii.

  • @vanisavani1055
    @vanisavani1055 3 роки тому +1

    Amen

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 3 роки тому +2

    Mungu awabaliki wote walio jitolea malipo kwa Allah Inshallah utapona amina

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 роки тому

    Bado kweli nim gonjwa alikaa utasema kapoa akitembea nim gonjwa haswaaa pole Sana Allah atakuafu