Biblia si Maneno ya Mungu na Wala Si Maneno ya Yesu/Mwana wa Maryam Bali Waliamuwa Kupoteza Watu/ Kupotezav Wakristo. wanawapoteza Mfano Luka (Luka 1 : 1) SHERIA/Hukmu za Uislamu zimetoka/zinatoka Kwa Mungu. Uislamu unaepuka Kusababisha Madhara ya Maumivu zaidi Kwa Wanawake ndomana Wanawake hawaruhusiwi Kusindikiza Jeneza kwenda Kuzika Makaburini sababu Wanawake wengi baadhi yao ni Waoga hivyo wanaweza Kuumia zaidi Kisaikolojia kw Huzuni ya Kuondokewa, huweza Kulia sana, Kuzimia, Kupata Presha na hata Kupoteza Uhai na ndoma Wanawake wa Kiislamu hawaendi Makaburini Kuzika. Uislamu ni Dini/Imaan inayokubalika na Sayansi ya Maumbile, ni Imaan/Dini ilopangwa na Mungu na Mungu ni Mjuzi hupanga/huamua mambo Kwa Hekma na Kwa Faida ya Waja /Watu na si Kwa Faida ya Mungu , iwe Makatazo au Maamrisho huwa ni Kwa Faida ya Waja/Watu wenyewe ila baadhi ya Watu/Viumbe (Waasi/Waovu- Makafiri Wakiweko Wakristo) humfanyia Kibri Mwenyezi Mungu, hufuata ya Uzushi/ ya Kutungwa na Watu .!!?
Mtumishi wa Mungu umemuelezea vizuri sana Mungu akubariki sana❤wakirsto wanazikwa na saduku kumupa heshima mtumishi ama mtu yoyote yule ambaye ameanga,kama mko na uwezo munanunua saduku, na nguo za mwendazake,kama hamuna uwezo unachukua mukeka anazikwa nao lakini hatuwezi zika mtu bila saduku, kweli yesu aliwekwa juujuu ya jiwe alafu kulikuwa na mlango na mlango ulikua ni jiwe,na kulikuwa na wakina mama walikuwa wakienda kumupaka marashi hapo ndani, nailipo fika sikuya 3 do akafufuka, ww kama unataka ukifa usizikwe na saduku hilo ni changuo lako na Mungu wako
Mkuu tulitegemea utaongea maneno ya bustani kwani ikizikwa.bila sanduku tutapungukiwa nini? Na inaelekea siyo mkristo bali anajiita.mkristo kumbuka unatakiwa.matendo.mema tu ndiyo tiketi ya mbinguni
Matendo yako ndiyo muhimu ukifa, Mungu ndo anajua wewe ni mwema au mdhambi, hata uzikweje hata wakuache uoze hapo, kuzikwa vyovyote hakuwezi kukufanya uende peponi au jehanamu. Yesu kazikwa na sanda ni kweli lakini hakufukiwa kwenye mchanga.
Mimi nashukuru umejibu vizuri mtumishi wa Mungu na Mungu akutie nguvu uzidi kufafanua mambo Kama haya Mimi Nina swali kwaiyo mkubwa uliemjibu swali mbona kipindi mwalimu nyerere anaanza kuwa raisi asikari walikua wanavaa mavazi gani na Sasa wanavaje atupatie jibu kwanini hawakuendelea kuvaa vile?
Chalamila kama huupendi ukristo nenda kawe muislam na ukristo ni huru uchague mwenyewe wala hakuna atakae kutoa roho, si kama huko wanawazuia watu kuingia kwenye imani waitakayo tena kwa vitisho😢😢
Ww ndimbo hata maandiko hujui yapasa tujifunze vizuri yusufu ameekwe kwenye sanduku hata waislam wanawekwa kwenye sanduku ila atuoneshe wapi yusufu au yesu umezikwa kwenye sanduku
@VailethBugali-sr8gx huyu abdalasuleiman wala haina haja ya kumjibu..atajibiwa cku ile ya hukumu ikifika akiwa amecmama pekeake haoni mama baba yake wa ndg..mbele yake atamuona YESU aliyepigwa kwaajili yake na huyu ndio atakuwa mtoa hukumu; wala mcbishane nae swal dogo tu muulizeni nani atakayekuja kuhukumu dunia cku ya mwisho? anamjua alafu ndio anayekataa kumkili mpaka hapo huoni tu kwamba ufahamu wa wengi umefungwa sana na adui, na wenzao wakipata NEEMA ya kumpokea YESU wanaanza kumwandama kwa matusi na VITISHO tele...ila niwaambie ndg zangu cku inakuja ambayo kutakuwa na VILIO na kusaga MENO
Kafir ni wewe kwa sababu hakuna mtu mpumbavu kujibizana na wapumbavu,watu wengi wanazikwa bila masanduku na niwakristo,kwanza wewenyau,yesu hakuzikwa kwenye hizo mwana ndan wenu mngekua mnafuata sheria za yesu mngechonga mapango,mlaaniwe kwa kuropokwa
@Furahinikatkabwana ni UKAFIRI unaokusumbua, ukisoma ukielimika utakuja gundua ht huyo yesu hajafa isipokua ni propaganda za wazungu zmewazunguka mnaojiita wakristo
Tukiwa hai tunatembea na kukanyaga viumbe wadogo wadogo wakiwemo sisimizi, mchwa, germs n.k bila kujali. Tukifa tunakuwa chakula murua kwa sisimizi, mchwa na germs wa aina mbali mbali n.k +wapo wanaowarahishia viumbe hao kupata mlo wao siku hiyo hiyo +wapo wanawasaidia viumbe hao kuwa na uhakika wa chakula (food security) kwa miaka mingi ijayo kwa kuhifadhi miili kwenye masanduku imara na kupaka madawa (chemicals) zinazochelewesha miili na masanduku kuharibika mapema +Mafarao (Pharaohs) wa Misri enzi hizo walipaka dawa ambapo miili haijaharibika hadi leo +Mao Dze Dong pale China na Jomo Kenyatta wa Kenya miili yao pia ilikaushwa na sura bado ziko vile vile +wapo wanaofikiri viumbe hivyo (germs et.al) watatoka kapa endapo watachoma miili ya wafu wao na kutupa majivu baharini !
Yes Mkuu wa Mkoa is right, too much is being wasted on funerals, sanda inatosha kabisa. Haya Mabox ya nini? Better ukizikwa uchi, for the benefit of the environment!
Hamna jibu kwa mwenye akili,sababu Yesu alitutaka tuishi kwa mfano wake,sasa huyu bwana anataka kutuaminisha kwamba familia ya Yesu haikuwa na uwezo wa kutafuta sanduku.
Hoja kwa mkuu wetu wa mkoa siyo sanduku. Hoja ni wokovu wako. Hivi utafia wapi na kifo chako kitakuwaje kinastahili sanduku au kaburi hilo la kiislamu? Maiti yako itaonekana au la? Acha kucheza na imani hii ya Kikristo.
Kipindi hicho hapakua na kanisa bali kulikua na misikiti ya wayahudi mpaka Leo yapo,yaani Kuna Dini ya kiyahudi,sio misikiti yenu,,na aliingia Mahali popote ili aihubiri njema kwa watu wote,sasa Ulitaka aingie wapi na asiingie wapi na amekuja kw watu wote.
Hayo maagizo ya atazikwaje awaagize watoto na ndugu zake inatosha asituagize sisi kuzikwaje hakuna maana yoyote hata ukiliwa mamba hujazikwa haijalishi kinachomata umeishije duniani ulimpokea yesu au ni uchawa unamsumbua
Chalamila ajue kwamba kuzikwa Kwa waislam Kuna kukamuliwa mavi. Asiangalie sabda tu. Upoo hapo tayari kukamuliwa maviii? Yesu hakukamuliwa mavi. Yusufu alienda kwa mfalme kuomba mwili ya Yesu Kristo na ajauzika kwenye kaburi la mwamba alilolichonga. Yusufu Tajiri, mwenye mamlaka hata kuingia Kwa mfalme alienda kwa mfalme kuomba mwili wa Yesu Kristo na kuuzika.
Chalamila asamehewe hajui atendalo hawezi kufia Imani yake Mazingira ya Pwani yanamsumbua sana Umempa Shule inayotosheleza kwani amediliki kujiita Abubakar kwaajili ya kuhofia kuzikwa kikristo,Chalamila aache mzaha kwenye imani za watu
Kama tukifa tunarejea kwake muumba kwanini tuzikwe kulingana na hali. kama tunakufa tunaenda kwa muumba wetu sote hivyo tukifa tuzikwe kwa kufanana kwa sanda tu coz uchumi wote tunauacha
Yesu alizikwa na sanda ila watu hawakuwa na ufundi ndio maana hakuna mtume alie panda gar wala kwenda shule,wala hospitali,na hawakuvaa suti lakin nyinyi mnatumia vyote ila mlichoona ni kuzikwa huon niupumbavu mko nao
Chalamila acha ushamba kumzika mtu haipo kimaandiko hili linafanyika kwa mtazamo wa wakati yaani tuonavyo sisi kwa wakati huu,jeneza linamstiri marehemu vzr na sisi waombolezaji tunajizikia vizuri ishu sio jeneza ishu ni kuingia mbinguni, usitufundishe ujinga wewe kama unataka kuzikwa hata na ngozi sawa sio TU unaropoka
Acha imani ya hovyo km yesu ni muislam mbona amyashiki mafundisho yake unasema.tunafata.mila.za.kizungu kwani muhamad alikuwa.mndengeleko wote tumepokea dini kwa watu.weupe
Si Kila tamko la kiongozi litese akili, wengi Si viongozi ila ni wajibembelezao bila kujua athari zake. Mkuu wa mkoa Ili asaidiwe angeitwa mahali anapoabudu achungwe kuliko kumjibu hivyo
Hapa ni mahali pa kuchunga kundi la Bwana na kulijaza maarifa. Angeitwa peke yake vipi kuhusu kundi kubwa la waamini waliosikia hoja zake na kuziamini?
Yeye ametaka kujua ktk Biblia kuna andiko gani lilifundisha kuzikana kwa kutumia sanduku? Ametaka andiko tu, sababu kila tunachokifanya kinatoka au ni maelekezo kutoka ndani ya vitabu vyetu vitakatifu
Mtumishi Hongera sana sana
MUNGU akubariki mtumishi ❤
Somo zuri hongera mwlm ndimbo
Excellent!
Many thanks!
Many thanks!
kuzikwa si hoja ila ina thamani machoni pa Mungu mauti ya wacha Mungu. kuna maisha baada ya kufa andaa maisha yako ya milele
Umenena vyema mtumishi. MUNGU azidi kukubariki. Kazi yako ni nzuri. Ubarikiwe.
Karibuni sana darasani 🙏🙏🙏
Biblia si Maneno ya Mungu na Wala Si Maneno ya Yesu/Mwana wa Maryam Bali Waliamuwa Kupoteza Watu/ Kupotezav Wakristo.
wanawapoteza
Mfano Luka (Luka 1 : 1)
SHERIA/Hukmu za Uislamu zimetoka/zinatoka Kwa Mungu.
Uislamu unaepuka Kusababisha Madhara ya Maumivu zaidi Kwa Wanawake ndomana Wanawake hawaruhusiwi Kusindikiza Jeneza kwenda Kuzika Makaburini sababu Wanawake wengi baadhi yao ni Waoga hivyo wanaweza Kuumia zaidi Kisaikolojia kw Huzuni ya Kuondokewa, huweza Kulia sana, Kuzimia, Kupata Presha na hata Kupoteza Uhai na ndoma Wanawake wa Kiislamu hawaendi Makaburini Kuzika.
Uislamu ni Dini/Imaan inayokubalika na Sayansi ya Maumbile, ni Imaan/Dini ilopangwa na Mungu na Mungu ni Mjuzi hupanga/huamua mambo Kwa Hekma na Kwa Faida ya Waja /Watu na si Kwa Faida ya Mungu , iwe Makatazo au Maamrisho huwa ni Kwa Faida ya Waja/Watu wenyewe ila baadhi ya Watu/Viumbe (Waasi/Waovu- Makafiri Wakiweko Wakristo) humfanyia Kibri Mwenyezi Mungu, hufuata ya Uzushi/ ya Kutungwa na Watu .!!?
Barikiwa sana mtumishi
Aksante mzee umejibu vizuri sana juu ya yusuf kuzikwa kwenye sanduku huko misri
Mtumishi uko vizuri sana kwa kutufahamisha, nadhani hata mh RC analijua hilo ndio maana akasema vile wala hakuwa na nia ya kubadili imani yake.
Naungana nawe kabisa
Kiongozi amefundisha vizuri sana ubarikiwe sana
Amen
Hakuna mkristo aliyezikwa bila sanduku hata kama hana hela atachangiwa ili apate sanduku
Mtumishi wa Mungu umemuelezea vizuri sana Mungu akubariki sana❤wakirsto wanazikwa na saduku kumupa heshima mtumishi ama mtu yoyote yule ambaye ameanga,kama mko na uwezo munanunua saduku, na nguo za mwendazake,kama hamuna uwezo unachukua mukeka anazikwa nao lakini hatuwezi zika mtu bila saduku, kweli yesu aliwekwa juujuu ya jiwe alafu kulikuwa na mlango na mlango ulikua ni jiwe,na kulikuwa na wakina mama walikuwa wakienda kumupaka marashi hapo ndani, nailipo fika sikuya 3 do akafufuka, ww kama unataka ukifa usizikwe na saduku hilo ni changuo lako na Mungu wako
@@PatriciaSidi-c4w umenena vyema
Mkuu tulitegemea utaongea maneno ya bustani kwani ikizikwa.bila sanduku tutapungukiwa nini? Na inaelekea siyo mkristo bali anajiita.mkristo kumbuka unatakiwa.matendo.mema tu ndiyo tiketi ya mbinguni
Kwani yeye mkuu wa mkoa akizikwa bila sanduku inatuhusu nini? Wosia huo auache kwa familia yake,siyo mbwe za namna hiyo .
Upo vizuri sana mtumishi
Asante saana!
Amen
🎉🎉Somo zuri sana
Tunashukuru Umeelezea vzr sana.. tatzo uelewa Tumsamehe sio kosa lake
Amina 🙏🙏🙏
Amen
Hiyo.ikuonyeshe ni kiongoxi mwenye akili ya aina gani.
DAMIAN UNA PAMBANA SANA KUJIBU MASHUTUMU YA WATU WANAOJIPENDEKEZA KWA WAISLAMU
Benjamin mnakasirika tuu lakini hiyo sio dini
Asante mchumgaji kwa kumjibu mwendaellwaazimu hiyo
Asante sn Pst.
Chalamila ni njaa ya kumbebeleza rais sababu muislam aendelee kumpa ukuu wa mkoa ni upumbavu tena soma meanzo 50:23
Unavyosema ni njaaa kwa Waislam kuna chakula?
Matendo yako ndiyo muhimu ukifa, Mungu ndo anajua wewe ni mwema au mdhambi, hata uzikweje hata wakuache uoze hapo, kuzikwa vyovyote hakuwezi kukufanya uende peponi au jehanamu. Yesu kazikwa na sanda ni kweli lakini hakufukiwa kwenye mchanga.
Mimi nashukuru umejibu vizuri mtumishi wa Mungu na Mungu akutie nguvu uzidi kufafanua mambo Kama haya Mimi Nina swali kwaiyo mkubwa uliemjibu swali mbona kipindi mwalimu nyerere anaanza kuwa raisi asikari walikua wanavaa mavazi gani na Sasa wanavaje atupatie jibu kwanini hawakuendelea kuvaa vile?
Elimu pana sana
Chalamila kama huupendi ukristo nenda kawe muislam na ukristo ni huru uchague mwenyewe wala hakuna atakae kutoa roho, si kama huko wanawazuia watu kuingia kwenye imani waitakayo tena kwa vitisho😢😢
Anashinda sana huyo mkuu wa mkoa anatabia ya kutopoka
Tumuombee
Yeye alisema yesu
Tena baba wa yesu alikuwa fundi seremala
KIMSINGI NIMEFUNDISHA NA KUJIBU HOJA WENYE AKILI WAMENIELEWA..WALIOBAKI NI WABWEKAJI TU
Ww ndimbo hata maandiko hujui yapasa tujifunze vizuri yusufu ameekwe kwenye sanduku hata waislam wanawekwa kwenye sanduku ila atuoneshe wapi yusufu au yesu umezikwa kwenye sanduku
Jamani kila mtu anauhuru wa kuchagua wapi aende yawezekana ameuelewa uislaam mwacheni ni chaguo lake mwenyewe
Hujui kitu
😮😮😮😮😮😮??????????????
Kuzikwa kwa waislam ndiyo mazishi ya haki ya kikristo ni mila za kizungu ndiyo maana YESU ni muislamu nyinyi dini yenu ni kizungu
Kwani Muhammad alikamuliwa kabla ya kuzikwa?
wewe jidanganye hivyo hivyo kwamba YESU ni muislam
Upo sahh ndg
Mpuuuziiii ww hujitambui
@VailethBugali-sr8gx huyu abdalasuleiman wala haina haja ya kumjibu..atajibiwa cku ile ya hukumu ikifika akiwa amecmama pekeake haoni mama baba yake wa ndg..mbele yake atamuona YESU aliyepigwa kwaajili yake na huyu ndio atakuwa mtoa hukumu; wala mcbishane nae swal dogo tu muulizeni nani atakayekuja kuhukumu dunia cku ya mwisho? anamjua alafu ndio anayekataa kumkili mpaka hapo huoni tu kwamba ufahamu wa wengi umefungwa sana na adui, na wenzao wakipata NEEMA ya kumpokea YESU wanaanza kumwandama kwa matusi na VITISHO tele...ila niwaambie ndg zangu cku inakuja ambayo kutakuwa na VILIO na kusaga MENO
Ndimbo uko vizuri
Eti yesu muisilam mjinga wew hujielewe kaabuduni huyu kibudu mwenzenu sisi yesu yupo hai
UKAFIRI unakusumbua, soma kwnza uelewe acha ushabik
Kafir ni wewe kwa sababu hakuna mtu mpumbavu kujibizana na wapumbavu,watu wengi wanazikwa bila masanduku na niwakristo,kwanza wewenyau,yesu hakuzikwa kwenye hizo mwana ndan wenu mngekua mnafuata sheria za yesu mngechonga mapango,mlaaniwe kwa kuropokwa
@Furahinikatkabwana ni UKAFIRI unaokusumbua, ukisoma ukielimika utakuja gundua ht huyo yesu hajafa isipokua ni propaganda za wazungu zmewazunguka mnaojiita wakristo
Ukafiri ndio mliobaki nao kwa mdomo mm nitoke leo nirudie matapishi,YESU NI NJIA YA KWELI,
Tukiwa hai tunatembea na kukanyaga viumbe wadogo wadogo wakiwemo sisimizi, mchwa, germs n.k bila kujali.
Tukifa tunakuwa chakula murua kwa sisimizi, mchwa na germs wa aina mbali mbali n.k
+wapo wanaowarahishia viumbe hao kupata mlo wao siku hiyo hiyo
+wapo wanawasaidia viumbe hao kuwa na uhakika wa chakula (food security) kwa miaka mingi ijayo kwa kuhifadhi miili kwenye masanduku imara na kupaka madawa (chemicals) zinazochelewesha miili na masanduku kuharibika mapema
+Mafarao (Pharaohs) wa Misri enzi hizo walipaka dawa ambapo miili haijaharibika hadi leo
+Mao Dze Dong pale China na Jomo Kenyatta wa Kenya miili yao pia ilikaushwa na sura bado ziko vile vile
+wapo wanaofikiri viumbe hivyo (germs et.al) watatoka kapa endapo watachoma miili ya wafu wao na kutupa majivu baharini !
Umeonge vizuri kikubwa roho yko iende mbinguni
Hakika mtumishi sanduku sio lazima wapo wengi wakristo wanazikwa bila sanduku inategemea hali
Kwa hiyo imekuuma sio
Kwani kakosea wapiii? mbona kaeleweka tuu
Chalamila amesema hivi akifa azikwe kama waisilamu wanavyo zikwa fullu stop.Hayo mengine ni yakwenu nyinyi wachungaji.
Yeye achague dini imupendezayo mapema maamuzi bd anayo asizalilishe dini yetu au arudi aanze mafundisho upya
Wewe mchingaji kwani mambo ya mungu yana siri.
Yes Mkuu wa Mkoa is right, too much is being wasted on funerals, sanda inatosha kabisa. Haya Mabox ya nini? Better ukizikwa uchi, for the benefit of the environment!
Wew kuzikwa na viatu nimila umeshiba sadaka zawizi
Mimi naona waislamu wapo sahihi. He is right.
Ukiona ni sawa na wewe silim hatukuzuii
Hamna jibu kwa mwenye akili,sababu Yesu alitutaka tuishi kwa mfano wake,sasa huyu bwana anataka kutuaminisha kwamba familia ya Yesu haikuwa na uwezo wa kutafuta sanduku.
we muongo hatujawah kuon wakristo wanazika na sanda
Mimi naona kuna mkristo wa jina na Mkristo anayemjua Kristo
Wapi imeandikwa mkuu wa mkoa anatakiwa avae suti
Chalamila anajua kuzikwa kwa waislamu . Kuna kukafiniwa kwa aliyekufa? Au anapotoka bila kujua anachosema
Hoja kwa mkuu wetu wa mkoa siyo sanduku. Hoja ni wokovu wako. Hivi utafia wapi na kifo chako kitakuwaje kinastahili sanduku au kaburi hilo la kiislamu? Maiti yako itaonekana au la? Acha kucheza na imani hii ya Kikristo.
Hakuzikwa na sandu yusufu ila alisafilishwa ndani ya sanduku akapakwa asali mwili mzima ili asioze maiti ilipofika akatolewa akazikwa.
Sanduku lake lilihifadhiwa wapi😂😂
Yusufu ni wa kabla ya yesu. Umeulizwa yesu alizikwa kwenye sanduku? Jibu!!!
Damian ndimbo hujaacha tuu kupotosha wenzio 😂😂😂
Karibu ujifunze uokoke haleluyaaa
Ina kuuma kwaza ukristo nidini au ww una dini bola yesu aliingia kanisa lawap
Kipindi hicho hapakua na kanisa bali kulikua na misikiti ya wayahudi mpaka Leo yapo,yaani Kuna Dini ya kiyahudi,sio misikiti yenu,,na aliingia Mahali popote ili aihubiri njema kwa watu wote,sasa Ulitaka aingie wapi na asiingie wapi na amekuja kw watu wote.
Hayo maagizo ya atazikwaje awaagize watoto na ndugu zake inatosha asituagize sisi kuzikwaje hakuna maana yoyote hata ukiliwa mamba hujazikwa haijalishi kinachomata umeishije duniani ulimpokea yesu au ni uchawa unamsumbua
Chalamila ajue kwamba kuzikwa Kwa waislam Kuna kukamuliwa mavi. Asiangalie sabda tu. Upoo hapo tayari kukamuliwa maviii? Yesu hakukamuliwa mavi. Yusufu alienda kwa mfalme kuomba mwili ya Yesu Kristo na ajauzika kwenye kaburi la mwamba alilolichonga. Yusufu Tajiri, mwenye mamlaka hata kuingia Kwa mfalme alienda kwa mfalme kuomba mwili wa Yesu Kristo na kuuzika.
Ubarikiwe umeeleza vyema sana.
Huyo nitapeli wa kisiasa.
Kumbe sio andiko tulikua twatafuta andiko kama halipo basi kila mtu anaamua vile atakavyo maadam hakuna andiko
@@yusuphibrahim-yq9mv andiko si umepewa hapo au unataka nini tena
Kwani yesu alikufaje na alizikwaje ?
Mbona nyie waislam mnazuia wanawake kwenda makaburin kiubabe tu wakati hakuna andiko kwenye Quran linalokataza wanawake kwenda makaburini
Sasa kwani waislam wana aya gani kama wazikwe vile kule ni kuta sifa mbele za watu kwa lugha nyengine msanii Sanaa ile😊
Hatufanyi kitu bila ushahidi waisilamu pia hatuna haja ya kukuelimisha haitakubadilisha chochote
Chalamila asamehewe hajui atendalo hawezi kufia Imani yake Mazingira ya Pwani yanamsumbua sana Umempa Shule inayotosheleza kwani amediliki kujiita Abubakar kwaajili ya kuhofia kuzikwa kikristo,Chalamila aache mzaha kwenye imani za watu
Hakika ujumbe umefika
Mh.mambo ya imani ni Sri kubwa,kuzkwa ni kuzikwa tu,cha maana ni kutubu dhambi Na kuziacha ili upokelewe mbingun
@@jakoboamon9402 umenena vyema sana
Kama tukifa tunarejea kwake muumba kwanini tuzikwe kulingana na hali. kama tunakufa tunaenda kwa muumba wetu sote hivyo tukifa tuzikwe kwa kufanana kwa sanda tu coz uchumi wote tunauacha
Hiki kimkuu cha MKOA HALINAGA AKILI
Hata uchumi usiporuhus MKRISTO jeneza ni lazimaa
Mtume wetu hatumwombei apunguziwe adhabu ya kaburi😂 Wetu yu hai tuna mwomba na kumtumainia
Changamoto ya madaraka
Chalamila bhana. Anasema anataka kuzikwa bila sanduku au anataka kuzikwa Kiislamu? Huyu jamaa msomi mjinga kabisa😂😂😂
Sio ishu
Mzee hubiri mambo ya wokovu na toba acha kuhubiri mambo ya wafu ambayo hamna faida.
Poti hongera sana
KATIWA KATIKA SANDUKU SIO KUZIKWA
Punguza ubwabwa
@@faiditv5535 baada ya kutiwa kwenye sanduku walimvundika au una maana gani
Kuna watu au makabila Wana zikwa na ngozi ya ngombe
Umesema kweli
Watu wanatafuta ukubwa mpaka wanadiliki kukana dini zao 😂😂
Ni kweli yoooote uliyosema
Mwanasiasa ni mtu anaependa SIFA na kusifiwa an kupigiwa makofi na kundi linalomtazama kwa Wakat huo.😅
Umekalia kumlaum chalamila kwani akihoji kwenye hafla ya waislaam kuna ubaya gani andiko huna unaropoka tuh
Wapi mahali imeandikwa mzikwe hivyo,hakuna dini iliyoandikwa uzikwe bila sanduku ni uamuz wa mtu kutaka kuzikwa kiislam,
Tatizo una pepo
Sasa ww ukizikwa na malumalu ndo nn
Kwani Muhammad alikamuliwa?
Huyo mbwa actusumbue,milikuwa namuonaga mtu wa maana kumbe ni boya.
Mchungaji andiko la yesu alizikwa Kwa sanduku
Yesu alizikwa na sanda ila watu hawakuwa na ufundi ndio maana hakuna mtume alie panda gar wala kwenda shule,wala hospitali,na hawakuvaa suti lakin nyinyi mnatumia vyote ila mlichoona ni kuzikwa huon niupumbavu mko nao
Hanuwi
Hajui kuwa Waislam wanakamuliwa mavi?
Ni somo ambalo litaletwa siku za usoni jinsi waislam wanavyofanya mazishi ya marehemu wao
Sisi twauliza yesu kazikwa na sanduku sio kuwekwa katika saduku hao huna jibu wewe
Chalamila acha ushamba kumzika mtu haipo kimaandiko hili linafanyika kwa mtazamo wa wakati yaani tuonavyo sisi kwa wakati huu,jeneza linamstiri marehemu vzr na sisi waombolezaji tunajizikia vizuri ishu sio jeneza ishu ni kuingia mbinguni, usitufundishe ujinga wewe kama unataka kuzikwa hata na ngozi sawa sio TU unaropoka
Bible wapi ilipisema mzikwe na nguo?
Haina shida tutakuzika kiislam, tuna andaa udi, maji, kitanda cha kamba na tunachimba kishimo chumbani mwako, tunaanza kukukafini tutakukamua mavi yote tumboni, yani tutakuchezea matako kiufupi mpaka utoe ngama😅😅😅😅ili uende mbinguni😅😅😅😅😅
Yeye kama anataka kwenda uislamuni aende salama siyo kutoa lugha kama hiyo hata hivyo tumsamehe Bure adui Yuko kazini anaweza kumtumia Mtu yeyote
Tena chakuongezea badara ya jiwe ndio sanduku
Damian acha ubishi UISLAMU NDIO DINI PEKEE YA ALLAH
@@CapteinChongwe mpokee Yesu awe mkombozi wako 🙏
Acha imani ya hovyo km yesu ni muislam mbona amyashiki mafundisho yake unasema.tunafata.mila.za.kizungu kwani muhamad alikuwa.mndengeleko wote tumepokea dini kwa watu.weupe
Usikalie ubishi akuna unachokijua imeandikwa wapi kwenye bibilia usitoe kichwani mwako wewe ni njaa tu
Hacha uongo nani mkrst aliekufa na akazikwa bila sanduku kama nguo ukridto ni ujinga mtupu.
Toamajibu acha kuraramika mimcvi imekutoka bado ujitambui
@@MkungutuMandanda njooo kwa Yesu ufunguliwe ufahamu
Alikuwa anawafulaisha wa isilam msamehe tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Si Kila tamko la kiongozi litese akili, wengi Si viongozi ila ni wajibembelezao bila kujua athari zake. Mkuu wa mkoa Ili asaidiwe angeitwa mahali anapoabudu achungwe kuliko kumjibu hivyo
Hapa ni mahali pa kuchunga kundi la Bwana na kulijaza maarifa. Angeitwa peke yake vipi kuhusu kundi kubwa la waamini waliosikia hoja zake na kuziamini?
Towa andiko watu wakuelewe
MNAPATA TABU YA NINI? HUYO CHALAMILA NI MIHEMUKO YAKE NDIO INAYO MUONGOZA KILA SEHEMU HATUMSHANGAI
Huyu bado ni mkrisho sema ,akitaka azikwe kislaam.aende kwa waislam,,asilim kama wenzake atuachie ukristo wetu,hatutaki chawa hapa,cheo utapata tu
Mbona mwawavalisha suti mmepata wapi
Karewa madaraka inabidi asaidiwe madaraka
Yeye ametaka kujua ktk Biblia kuna andiko gani lilifundisha kuzikana kwa kutumia sanduku? Ametaka andiko tu, sababu kila tunachokifanya kinatoka au ni maelekezo kutoka ndani ya vitabu vyetu vitakatifu
Tatizo unatia maji masikioni mala tatu,ndiyo maana haujanielewa,futa maji masikioni,kisha nisikilize tena
porojo tupu hakuna swali ulojib, mkuu wa mkoa kataka andiko wapi wakristo meambiwa muzikwe kwnye masanduku na suti badala ya sanda???
Mkuu wa mkoa amekosea hilo