- 89
- 52 584
HARADALI MEDIA
Приєднався 15 тра 2024
Welcome to learn the word of God. Christians believe that God sent his Son to earth to save humanity from the consequences of its sins.
🔴KONDE BOY! HARMONISE KUINGIA KANISANI SIYO KOSA, WAISLAMU ACHENI KUMWANDAMA/ANA UHURU WA KUABUDU...
Msanii wa bongo fleva Harmonise tangu aingie kanisani kwa pastor Tony mzee wa OSBORN kumekuwa na mengi yakisemwa na wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini. Baadhi ya Mashehe na waumini wa dini ya Kiislamu wameonekana kumlaumu Harmonise kwa kwenda kanisani. Karibu kutazama video inayoelezea uhalali wa Harmonise kuingia kanisani kwani kwa kufanya hivyo hajavunja sheria ya nchi na kumkataza ni kumnyima haki yake kikatiba. Usiache ku subscribe channel hii ili uwe wa kwanza kupata mafundisho mbalimbali ya neno la MUNGU na burudani za Kikristo.
Переглядів: 104
Відео
🔴 MABOMU YA GONGOLAMBOTO YAMPA MAHUBIRI MCHUNGAJI HUYU......
Переглядів 14614 днів тому
Karibu kutazama filamu fupi inayoelezea namna ya kumjuwa Mungu ndani ya Haradali tv. Nikuombe usiache ku subscribe channel yetu.
🔴MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ALBERT CHALAMILA AJIBIWA KWANINI WAKRISTO WANAZIKWA NA SANDUKU....!!
Переглядів 13 тис.21 день тому
Karibu kutazama majibu kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kwanini wakristo wanazikwa na sanduku.? Usiache ku subscribe channel hii ili kupata elimu zaidi kuhusu Imani ya kumjua Mungu
🔴IJUE SABABU YA WAKRISTO KUABUDU SIKU YA JUMAPILI....
Переглядів 14028 днів тому
Hii ndiyo sababu kwanini wakristo wanaabudu siku ya jumapili makanisani na Mwalimu Damian Ndimbo usiache ku subscribe channel hii 🙏🙏🙏🙏
🔴MTUME MUHAMAD (S.A.W) ALIVYOMUOA BINTI WA MIAKA 6 NA KUMUINGILIA AKIWA NA MIAKA 9 ..🙄
Переглядів 7828 днів тому
Karibu tujifunze kisa cha mtume Mohamad (S .A.W) kumuona mtoto wa miaka 6 Bi Aisha na Mwalimu Damian Ndimbo usiache ku subscribe channel hii kwa masomo mbalimbali ya Imani...
DAMIAN NDIMBO:-ZIJUE SIFA TISA ZA WATOAJI MBELE ZA MUNGU
Переглядів 225Місяць тому
Karibu mtu wa MUNGU leo tunajifunza sifa tisa za watoaji mbele za Mungu wetu. Usiache ku subscribe chanel hii kwa updates mbalimbali za mafunzo kuhusu neno la Mungu. #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini #biblianijibu #yesunimu...
GOSPEL SONG:-MBONA SASA BY NORBERT
Переглядів 153Місяць тому
Karibu kutazama wimbo wa Gospel kutoka kwa mtumishi wa Mungu Norbert wenye ujumbe unaohamasisha upendo katika jamii zetu. #nenolamungu #gospelmusic #biblianijibu #biblianijibu #mzeewaupako #mwamposa #mwamposalive #damianndimbo #haradalimedia #haradalitv
Damian Ndimbo:-Misingi 8 ya utoaji mbele za Mungu....
Переглядів 386Місяць тому
Mtazamaji wetu wa Haradali Media karibu leo tuweze kujifunza kuhusu misingi 8 ya utoaji. #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini #biblianijibu #yesunimungu #mafunzoyandoa #haradalimedia #jugomedia #kazinjemamtuwamungu #mzeewaupak...
DAMIAN NDIMBO:WAISLAMU NJOONI MJIBU HOJA YA SHEKHE SALEHE ZAGHALI KUHUSU KUPIGA ADHANA KIMAKOSA....
Переглядів 510Місяць тому
Karibu mtazamaji wetu Haradali Media leo tunajifunza kupitia Waislamu ambao wamekuwa wakikosea kufanya Adhana asubuhi. Mwalimu Damian Ndimbo atatupitisha hatua kwa hatua kupitia somo hili. #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini ...
Askofu Gwajima aeleza magumu aliyopitia- sikiliza mpaka mwisho
Переглядів 7102 місяці тому
Karibu kusikiliza mahubiri ya Askofu Gwajima utaimarika zaidi kiroho.
DAMIAN NBIMBO:- SEHEMU YA PILI/ AINA SITA (6) ZA MATOLEO MBELE ZA MUNGU WA MAJESHI🔥🔥🔥......
Переглядів 3662 місяці тому
Leo katika UTAIJUA KWELI NAYO ITAKUWEKA HURU tunajifunza aina 6 za matoleo. #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini #biblianijibu #yesunimungu #mafunzoyandoa #haradalimedia #jugomedia #kazinjemamtuwamungu #mzeewaupako #suguye #ga...
DAMIAN NDIMBO:-NJIA TISA ZA KUJIPATIA KIPATO SEHEMU YA PILI.....
Переглядів 1652 місяці тому
Hizi ndiyo njia tisa za kujipatia kipato halali katka kulijenga kanisa na mwalimu Damian Ndimbo. #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini #biblianijibu #yesunimungu #mafunzoyandoa #haradalimedia #jugomedia #kazinjemamtuwamungu #mz...
DAMIAN NDIMBO:-HIZI NDIYO NJIA SAHIHI KANISA KUKUA KIUCHUMI NA WAAMINI WAKE.........
Переглядів 4762 місяці тому
Karibu tujifunze njia sahihi za wakristo kukua kiuchumi ili tuweze kulijenga kanisa. #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini #biblianijibu #yesunimungu #mafunzoyandoa #haradalimedia #jugomedia #kazinjemamtuwamungu #mzeewaupako #s...
DAMIAN NDIMBO:-KATI YA BWANA YESU NA MTUME MUHAMAD(S.A.W) NANI HAJUI KUSOMA NA KUANDIKA?
Переглядів 1832 місяці тому
Haradali tv leo hii tunaenda kuanalia maandiko yanatuambia nini kuhusu Yesu Kristo na Mtume Mohamad mtume wa waislam nani anajua kusoma na kuandika? #mwakasege #damianndimbo #simbaulanga #mchungajikimaro #askofugwajima #nenolamungu #mafunzoyaukristo #kanisakatoliki #kanisaanglikani #kkkt #askofupengo #askofuruwaichi #jimbokatolikidsm #tvupendo #tvtumaini #biblianijibu #yesunimungu #mafunzoyando...
KIJIWE CHA MAARIFA:-KISA CHA TAJIRI KUFUNDISHWA MAANA YA UPENDO NA MASIKINI.....
Переглядів 1292 місяці тому
KIJIWE CHA MAARIFA:-KISA CHA TAJIRI KUFUNDISHWA MAANA YA UPENDO NA MASIKINI.....
KIJIWE CHA HEKIMA ;MWANADAMU NA UVUMILIVU KATIKA MAISHA YAKE
Переглядів 1902 місяці тому
KIJIWE CHA HEKIMA ;MWANADAMU NA UVUMILIVU KATIKA MAISHA YAKE
MTOTO ALIYEJIUA SIKU YA BIRTHDAY YA MAMA YAKE MZAZI....
Переглядів 3702 місяці тому
MTOTO ALIYEJIUA SIKU YA BIRTHDAY YA MAMA YAKE MZAZI....
HITMA KATIKA UISLAM NI JAMBO LA KIJITUNGIA TU/HAKUNA POPOTE IMEELEKEZWA WALA KITABU CHA HADITHI...
Переглядів 1723 місяці тому
HITMA KATIKA UISLAM NI JAMBO LA KIJITUNGIA TU/HAKUNA POPOTE IMEELEKEZWA WALA KITABU CHA HADITHI...
SHEIKH SALEH ZAGAR/KUPIGA ADHANA NI KELELE/ TENA NI KUBWEKA ALFAJIRI YAPASWA KUACHWA MARA MOJA....
Переглядів 3593 місяці тому
SHEIKH SALEH ZAGAR/KUPIGA ADHANA NI KELELE/ TENA NI KUBWEKA ALFAJIRI YAPASWA KUACHWA MARA MOJA....
IRINE MINJA:-TUMKUMBUKE MUNGU BABA KATIKA KILA NYAKATI TUNAZOPITIA MAISHANI.......
Переглядів 2203 місяці тому
IRINE MINJA:-TUMKUMBUKE MUNGU BABA KATIKA KILA NYAKATI TUNAZOPITIA MAISHANI.......
UMUHIMU WA JUMUIYA NDOGO NDOGO ZA KIKRISTO...🙏🙏
Переглядів 1183 місяці тому
UMUHIMU WA JUMUIYA NDOGO NDOGO ZA KIKRISTO...🙏🙏
KATI YA YESU KRISTO NA MTUME MOHAMAD S.A.W NANI TUMFUATE?
Переглядів 3843 місяці тому
KATI YA YESU KRISTO NA MTUME MOHAMAD S.A.W NANI TUMFUATE?
YOHANA OMARY KIBAVU:-MWISLAMU WA KWANZA NI MWANAMKE/OSTADHI MAZINGE APEWA ELIMU....
Переглядів 7063 місяці тому
YOHANA OMARY KIBAVU:-MWISLAMU WA KWANZA NI MWANAMKE/OSTADHI MAZINGE APEWA ELIMU....
DAMIAN NDIMBO :-UJUE UMUHIMU WA SADAKA YA SHUKRANI....
Переглядів 2733 місяці тому
DAMIAN NDIMBO :-UJUE UMUHIMU WA SADAKA YA SHUKRANI....
DAMIAN NDIMBO :-NJIA 9 ZA KUJIPATIA KIPATO
Переглядів 3543 місяці тому
DAMIAN NDIMBO :-NJIA 9 ZA KUJIPATIA KIPATO
DAMIAN NBIMBO :-ZIJUE SIFA NANE ZA WATOAJI MBELE ZA BWANA MUNGU...........
Переглядів 4273 місяці тому
DAMIAN NBIMBO :-ZIJUE SIFA NANE ZA WATOAJI MBELE ZA BWANA MUNGU...........
DAMIAN NDIMBO:-SABABU 24 KWANINI BAADHI YETU TUNATOA LAKINI HATUBARIKIWI ZAIDI...?
Переглядів 4363 місяці тому
DAMIAN NDIMBO:-SABABU 24 KWANINI BAADHI YETU TUNATOA LAKINI HATUBARIKIWI ZAIDI...?
🟥DAMIAN NDIMBO:-MISINGI 7 YA UTOAJI MBELE ZA BWANA MUNGU WETU..
Переглядів 6033 місяці тому
🟥DAMIAN NDIMBO:-MISINGI 7 YA UTOAJI MBELE ZA BWANA MUNGU WETU..
🟥SHUHUDA YA MAMA ALIYETAPELIWA NA NABII KIBOKO YA WACHAWI SIKILIZA HADI MWISHO.....😭
Переглядів 6 тис.4 місяці тому
🟥SHUHUDA YA MAMA ALIYETAPELIWA NA NABII KIBOKO YA WACHAWI SIKILIZA HADI MWISHO.....😭
🟥DAMIAN NDIMBO:AJIBU UPOTOSHAJI WA USTADHI SULE KUHUSU WAARABU NI WANA WA ISMAIL.....
Переглядів 7354 місяці тому
🟥DAMIAN NDIMBO:AJIBU UPOTOSHAJI WA USTADHI SULE KUHUSU WAARABU NI WANA WA ISMAIL.....
Wawekezaji ni waislamu ndlmana kuna hitma Usiwalaumu mwalimu .. Timu ni zao.. Ila IPO siku tutazichukua hzo timu..
Umeongea jambo mtambuka sana...🤣
Yesu anapatikana kanisan
Amina
Asante mwl Ndimbo kwa kuilisemea hili
Yusufu ni wa kabla ya yesu. Umeulizwa yesu alizikwa kwenye sanduku? Jibu!!!
Somo zuri hongera mwlm ndimbo
Hoja kwa mkuu wetu wa mkoa siyo sanduku. Hoja ni wokovu wako. Hivi utafia wapi na kifo chako kitakuwaje kinastahili sanduku au kaburi hilo la kiislamu? Maiti yako itaonekana au la? Acha kucheza na imani hii ya Kikristo.
Tukiwa hai tunatembea na kukanyaga viumbe wadogo wadogo wakiwemo sisimizi, mchwa, germs n.k bila kujali. Tukifa tunakuwa chakula murua kwa sisimizi, mchwa na germs wa aina mbali mbali n.k +wapo wanaowarahishia viumbe hao kupata mlo wao siku hiyo hiyo +wapo wanawasaidia viumbe hao kuwa na uhakika wa chakula (food security) kwa miaka mingi ijayo kwa kuhifadhi miili kwenye masanduku imara na kupaka madawa (chemicals) zinazochelewesha miili na masanduku kuharibika mapema +Mafarao (Pharaohs) wa Misri enzi hizo walipaka dawa ambapo miili haijaharibika hadi leo +Mao Dze Dong pale China na Jomo Kenyatta wa Kenya miili yao pia ilikaushwa na sura bado ziko vile vile +wapo wanaofikiri viumbe hivyo (germs et.al) watatoka kapa endapo watachoma miili ya wafu wao na kutupa majivu baharini !
Umeonge vizuri kikubwa roho yko iende mbinguni
Kwa hiyo imekuuma sio
Hacha uongo nani mkrst aliekufa na akazikwa bila sanduku kama nguo ukridto ni ujinga mtupu.
Hacha uongo nani mkrst aliekufa na akazikwa bila sanduku kama nguo ukridto ni ujinga mtupu.
Mzee hubiri mambo ya wokovu na toba acha kuhubiri mambo ya wafu ambayo hamna faida.
Yeye achague dini imupendezayo mapema maamuzi bd anayo asizalilishe dini yetu au arudi aanze mafundisho upya
Kama tukifa tunarejea kwake muumba kwanini tuzikwe kulingana na hali. kama tunakufa tunaenda kwa muumba wetu sote hivyo tukifa tuzikwe kwa kufanana kwa sanda tu coz uchumi wote tunauacha
🎉
Hanuwi
Majibu gani? Jibu wewe
Mimi navyo juwa ya Waislamu waachie Waislaam. Naomba kuhoji kwa nini pale Misiri watu walihifadhiwa kwenye Masanduku,???? Hiyo ndiyo sababu tunazikwa kwenye masanduku. L Lengo ni kuhifadhi mwili kusubiri ile siku Bwana atakapo rudi tena hoja ni kutunza mwili. hiyo ndiyo Jadi yetu sisi Wakristo Waislamu watuache na tabia yetu pls.
🔥🔥
Lete hoja maandiko yametaja sanda au sanduku?
Sanda ama sanduku havikupeleki mbinguni mpokee Yesu awe mkombozi wako 🙏
Toa maandiko wap imeandikwa mzikwe na sanduku
Leteandiko kua alivana nguo achauongo ww mlevi
Apoulipo umekunywa gongo mlevi ww
Achakutetea ukafili ww kafili subili kufauka chomwe mshamba ww
Kafiri Mohamad aliyebaka bi Aisha akiwa na miaka 9
Toamajibu acha kuraramika mimcvi imekutoka bado ujitambui
@@MkungutuMandanda njooo kwa Yesu ufunguliwe ufahamu
MUNGU akubariki mtumishi ❤
Damian acha ubishi UISLAMU NDIO DINI PEKEE YA ALLAH
@@CapteinChongwe mpokee Yesu awe mkombozi wako 🙏
Chalamila amesema hivi akifa azikwe kama waisilamu wanavyo zikwa fullu stop.Hayo mengine ni yakwenu nyinyi wachungaji.
Wewe mchingaji kwani mambo ya mungu yana siri.
Chalamila ajue kwamba kuzikwa Kwa waislam Kuna kukamuliwa mavi. Asiangalie sabda tu. Upoo hapo tayari kukamuliwa maviii? Yesu hakukamuliwa mavi. Yusufu alienda kwa mfalme kuomba mwili ya Yesu Kristo na ajauzika kwenye kaburi la mwamba alilolichonga. Yusufu Tajiri, mwenye mamlaka hata kuingia Kwa mfalme alienda kwa mfalme kuomba mwili wa Yesu Kristo na kuuzika.
Ubarikiwe umeeleza vyema sana.
Chalamila si jisi tu hana akili sajui samia alitoa hawa wapi alifu wewe kumuita chalamila kuwa mheshimiwa ni kosa la jinai sana maana mheshimu ni Mungu tu na maaskofu na wachungaj mbali si chalamila ana akili ndogo sana.
😮😮😮😮😮😮??????????????
Alikuwa anawafulaisha wa isilam msamehe tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Elimu pana sana
Wakirst msicho kijua ni sawa sawa na usiku wa Giza Mimi najua unatoa ushahidi wewe unatoa porojo bwag wewe
Bible wapi ilipisema mzikwe na nguo?
Mh.mambo ya imani ni Sri kubwa,kuzkwa ni kuzikwa tu,cha maana ni kutubu dhambi Na kuziacha ili upokelewe mbingun
@@jakoboamon9402 umenena vyema sana
Kuna watu au makabila Wana zikwa na ngozi ya ngombe
Umesema kweli
Poti hongera sana
Karewa madaraka inabidi asaidiwe madaraka
Chalamila asamehewe hajui atendalo hawezi kufia Imani yake Mazingira ya Pwani yanamsumbua sana Umempa Shule inayotosheleza kwani amediliki kujiita Abubakar kwaajili ya kuhofia kuzikwa kikristo,Chalamila aache mzaha kwenye imani za watu
Hakika ujumbe umefika
Mtumishi uko vizuri sana kwa kutufahamisha, nadhani hata mh RC analijua hilo ndio maana akasema vile wala hakuwa na nia ya kubadili imani yake.
Naungana nawe kabisa
Mimi nashukuru umejibu vizuri mtumishi wa Mungu na Mungu akutie nguvu uzidi kufafanua mambo Kama haya Mimi Nina swali kwaiyo mkubwa uliemjibu swali mbona kipindi mwalimu nyerere anaanza kuwa raisi asikari walikua wanavaa mavazi gani na Sasa wanavaje atupatie jibu kwanini hawakuendelea kuvaa vile?
Wapi imeandikwa mkuu wa mkoa anatakiwa avae suti
Upo vizuri sana mtumishi
Huyu bado ni mkrisho sema ,akitaka azikwe kislaam.aende kwa waislam,,asilim kama wenzake atuachie ukristo wetu,hatutaki chawa hapa,cheo utapata tu
Hujui kitu
we muongo hatujawah kuon wakristo wanazika na sanda
Excellent!
Many thanks!
Many thanks!
Kwani kakosea wapiii? mbona kaeleweka tuu
Jamani kila mtu anauhuru wa kuchagua wapi aende yawezekana ameuelewa uislaam mwacheni ni chaguo lake mwenyewe