TAZAMA MCHOME MAPOVU AVAMIWA NA MASHABIKI/APAKWA MAFUTA KISA AHADI HII/AOMBA MSAMAHA SIMBA KUBWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024
  • #azizki #hersisaid #live_ #mayele #msuva #yanga #yangaleo #yangasc #alikamwe #yangatv

КОМЕНТАРІ • 112

  • @Izzoh2021
    @Izzoh2021 4 місяці тому +1

    Wamemfunga au wamepewa tu simba kwa sasa hana uwezo wa kumfunga azam labda kwa kupewa kama vile,kimchongo mchongo dunduka nyie hamna team kilichobaki ni siasa na ujanja ujanja tu

  • @deodatangereza960
    @deodatangereza960 4 місяці тому

    Uvumilivu na ukweli wa mchome umeleta jibu la ubingwa,
    Kwani wao wanasemaje tena????

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 4 місяці тому +5

    Kwa vile mmemfanyia kwa chuki na sio kwa upendo mmejiloga wenyewe na kule Kagera mnaenda kudondosha point 3 na kuipa Yanga ubingwa wa 30. Hukohuko Kagera.

    • @ThePlants-zc3rp
      @ThePlants-zc3rp 4 місяці тому

      Acha asira kenge ww

    • @gracendumbaro5196
      @gracendumbaro5196 4 місяці тому

      Nenda nawe upakwe naona unaingilia hadi mechi ya kesho chunga hilo domo

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 4 місяці тому

      @@gracendumbaro5196 Heeeeee !!!!!!

    • @neemamwijage
      @neemamwijage 4 місяці тому

      Jidanganye na bado tutampaka sana mafuta hasipojirekebisha tena ya taa

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 4 місяці тому

      @@neemamwijage Hata mkimpaka petroli Bado haitafuta point 6, magoli 7 ,na kufukuzisha makocha 2 na bado timu ni bovu.

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 4 місяці тому +5

    Haya mambo mnayoanza sasa yatatupeleka pabaya. Watu watafanya kweli. Kwani watu wasiongee?? Ndio mnawafunga midomo??

  • @othumanally4529
    @othumanally4529 4 місяці тому

    Kitendo mlichokifanya makolo kwa makolo mwenzenu ni kosa kubwa kisheria, eti tu kwa sababu ya kusema ukweli. Video hiyo watu wote wameonekana Mchome peleka polisi wote hao.

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 4 місяці тому +1

    Wana Simba acheni Unyama na Mungu anawaona mpila ni furaha,Mungu akulinde Mchome

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 4 місяці тому +4

    Daaah uyo MWAMBA mmemkosea sana Kwa ushindi wenu Wa mchongoo mmezinguuuwa mchome mtu wetu sanaaaa na ndiyo mmejiloga washabiki Wa simba amshindi Tena ushindi wenu labda droo nipo hapa

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v 4 місяці тому

      We uto kutu

    • @sakinasakina1286
      @sakinasakina1286 4 місяці тому

      katafute bwana kama umekosa nikuletee bwana wew na mshome si sawa tu akome na wew ukome

    • @Josamjosam8
      @Josamjosam8 4 місяці тому

      Sasa sini uto mwenzenu anaejificha kwenye kivuri cha mnyama

    • @Ibbz-sk3vv
      @Ibbz-sk3vv 4 місяці тому

      We kum nn

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt 4 місяці тому

      Ata akiwa Yanga lakini wote si Watanzania,Simba mna Roho mbaya kweli nimeamini ndiyo mana mnasema unyama mwingi mala mnaweka watu ndani

  • @aminaomari2312
    @aminaomari2312 4 місяці тому +1

    Kweli mashabiki wa simba hovyo sana.Hii laana itawatafuna hamtaamini.

    • @gracendumbaro5196
      @gracendumbaro5196 4 місяці тому

      Toa nawe ahadi basi,hakuna kujiloga labda majini

    • @MussaRasul
      @MussaRasul 4 місяці тому

      Kuna mwingine aliahidi kukatwa mkono

    • @ringstone5388
      @ringstone5388 4 місяці тому

      Sa kama mtu umeweka ahadi si mpaka iyo ahadi utimize ko ametimiza ahadi yake tayari na ukizungumuzia laana hamuna laana hapo mdomo wa mpumbavu humponza mwenyewe.

  • @fitinakisamuhagakisamuhaga693
    @fitinakisamuhagakisamuhaga693 4 місяці тому

    Mimi sijaona kosa hapo sasa siwametekeleza ahadi alafu situnaelewa hiyo timu mashabiki wao tangu wamepigwa 5G wameparalaizi akili sasa wamemsulubisha ndugu yao sisi wana yanga mbona hatuna tabu😂😂😂😂

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 4 місяці тому

    Mwangia petrol washa na kiberiti mthibitishe ushabiki wa kihistoria majivu yapelekwe kwenye makumbusho ya simba au ya Taifa

  • @anithqpaul3923
    @anithqpaul3923 4 місяці тому

    Kwakweli huu sioutani bali mnaroho mbaya

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 місяці тому

    Mbona hili igizo limepangwa

  • @AshuraChamwana
    @AshuraChamwana 4 місяці тому

    Safisana

  • @denisshimela169
    @denisshimela169 4 місяці тому +1

    As zam haina malengo yeyote koo sio ya kuiwekea Zaman nitim nzr lkn haina mipango kuanzia wachezaji mpaka viongoz

  • @SaidiSaidi-o6r
    @SaidiSaidi-o6r 4 місяці тому +1

    bado yule shetani wafanga yule ipo cku tutamfila

  • @AbdallahIssaShekhan
    @AbdallahIssaShekhan 4 місяці тому +1

    Huu ni ushamba kisugu alisema Yanga ikimfunga tena Simba afanywe naniiiiiiiii.
    Mbona wapenzi wa Yanga hawajamkata.
    Hayu yule aliwewapa Yanga jina Utopolo linaudhi sana mbona Yanga wako naye nyinyo washamba mnamdhalilisha kwa mambo ya kipuuzi wallah kama nakuwa mm natoka nikirudi mtu anapelekwa Muhimbili.

  • @Malack-p7j
    @Malack-p7j 4 місяці тому

    Hongeraaaaa

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 4 місяці тому +2

    Ni mambo ya hasira za ubovu wa timu yao. Hawa Simba mkifanya mchezo wanaweza kukuua. Wanahasira na mchome kwa kusema ukweli. Kwani hapo mmempaka mafuta au mmemwagia? Inaonekana anawakera kweli. Hata hivo bado hamna furaha kabisa pamoja na kupata ushindi mnono.

  • @Luiz6-h6i
    @Luiz6-h6i 4 місяці тому

    Mashabik wayanga ndio wanatoa ahad kama hizi mm nitafrah xn siku wakifanya kwel katika ahad zao

  • @stevenemwakasimba-pt8er
    @stevenemwakasimba-pt8er 4 місяці тому

    Mbona alisema kwa mara yakwanza simba inawafunga Azam kwakua mgunda yupo serious sasa kosa lake nini?

  • @MajidiAyubu
    @MajidiAyubu 4 місяці тому

    Kwani nambamoja huwainashikwa nawatuwangap kwenye ligi

  • @allytwalib7787
    @allytwalib7787 4 місяці тому

    hiki ndicho makolo walichobakiza kupambana mtu mmoja mmoja .. timu hawana , ndo maana mechi yao na azam ilikuwa mechi ya maigizo

  • @abiaslimadyanse1842
    @abiaslimadyanse1842 4 місяці тому

    Uzalilishaji jamani huu 😂🤣😂 sio utani tena kwa MADUNDUKA 😊

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 4 місяці тому

      Ni mpumbavu huwa anawatukana washabiki wwnzake wa Simba kuwa timu ni mbovu na wao vichwa ni vibovu. Alisema Simba hawezi kumfunga Azam na akifungwa apakwe mafuta ya Samaki.

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 4 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mcome kibeliti Sasa awake moto🔥🔥

  • @AliAbdul-ve5ve
    @AliAbdul-ve5ve 4 місяці тому

    Mushasahau kama timu yenu mbovu sai mwashinda mwaiyona nzuri msimu ujao bado yanga itashida thu sai jisahulishene museme muko vizuri twawangojea tena msimu ujao huu tushamalizana na nyinyi

  • @asiarashidi1520
    @asiarashidi1520 4 місяці тому

    Hlf mbn kwenye hii mechi alitabili km simba kwa mara ya kwanza anashinda

  • @WisemanRebile
    @WisemanRebile 4 місяці тому

    mngempa petlory au mafuta ya kondoo au ngulue

  • @DamarisOsward
    @DamarisOsward 4 місяці тому +2

    Yaani wana simba huwa akili zao haziko sawa. Ndo maana siwezi kuitamani simba hata kidogo

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 4 місяці тому

    Mnaosema mashabiki wasimba wa senge ndiyo mnamtuma

  • @gilbertmaganga9370
    @gilbertmaganga9370 4 місяці тому

    Safi sana anaongeaga mambo ya hovyo

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 місяці тому

      that is football;yeye hana shida wewe ndo una shida;ts just fun

  • @ZaniaMohammed
    @ZaniaMohammed 4 місяці тому

    Na kwa upuuzi wenu mtafungwa kila siku mana wasema kweli hamuwapendi

    • @austorb.nyondo2708
      @austorb.nyondo2708 4 місяці тому

      Hata hujui aliahidi nini! Huyu ni msema kweli amepewa ukweli alioomba ikiwa simba itashinda sasa hapo kosa liko wapi

  • @mathiasmichael9132
    @mathiasmichael9132 4 місяці тому

    Mashabiki wasimba niwasenge

  • @MajidiAyubu
    @MajidiAyubu 4 місяці тому

    Najuawanao umianimashabiki wayanga

  • @OthnoShezume
    @OthnoShezume 4 місяці тому +2

    Lile jamaa msenge Tu lina mzalilisha mwanaume mwenzake kwa ujinga

  • @tanzaniabusesupdates5311
    @tanzaniabusesupdates5311 4 місяці тому +2

    Aliomba mwenyewe hahahaaaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @ThePlants-zc3rp
    @ThePlants-zc3rp 4 місяці тому

    ilibak sekunde tu auchezee😅😅😅😅😅😅

  • @MwazambaMicrofinance
    @MwazambaMicrofinance 4 місяці тому +1

    Nyie ni wasenge tu jamaa mnamzalilisha kisa timu mbovu nyoko shukuruni sikuwepo apo mngekula za vichwA

    • @Josamjosam8
      @Josamjosam8 4 місяці тому

      Utopolo mnalalamika nini sasa

  • @omarymuya142
    @omarymuya142 4 місяці тому

    Wala hamjakoseya mana kazidi kuizalilisha timuyetu ya simba nauko mungempakatu huyo

  • @PhilipoLeonard-q5w
    @PhilipoLeonard-q5w 4 місяці тому +1

    Mpakeni DIZELI au ya kula

  • @MussaRasul
    @MussaRasul 4 місяці тому +1

    Ilitakiwa wampake mafuta mpk kwenye kijambio

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 4 місяці тому +3

    Madunduka wafungwe ili amani iwepo...hata shetani wa yanga naye kafanyiwa vurugu na mashabiki wa simba

    • @awetumtengera1147
      @awetumtengera1147 4 місяці тому +1

      Ni kweli wakamatwe makolo hawajui utani hii ni hatari sana.

    • @Yohanalubinza-t6r
      @Yohanalubinza-t6r 4 місяці тому +1

      Hatali gani mbwa nyinyi nyinyi kweli kuma kwel😅😅😅😅😅😂😂😂

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 4 місяці тому

      @@Yohanalubinza-t6r dunduka mwenye busara wewe kuliko wote

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v 4 місяці тому +2

      Si wanatoa ahadi zao wenyewe?

    • @Mufti-g3x
      @Mufti-g3x 4 місяці тому

      Sasa hapo tatizo lako Nini na wamempaka mafuta mshabik mwenzao wewe jee?

  • @ObedMwankina
    @ObedMwankina 4 місяці тому

    Mmmh,aombaye hupewa

  • @DamarisOsward
    @DamarisOsward 4 місяці тому

    Yaani hizo ni mechi tatu tu tena za kawaida, je wangekuwa kama Yanga wangekanyaga watu sana.

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 4 місяці тому

    Mlicho mfanyia mchome Allah anawaona

  • @JumaaHussein-ut6fc
    @JumaaHussein-ut6fc 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Mirajiji-w2x
    @Mirajiji-w2x 4 місяці тому

    Dahhh hii imeniuma sana kiukweli huu niuzalilishaji Simba na yangu tunautani ambao hauna madhara tunajifurahisha Sasa kwanini wamzalilishe mtu kiasi hiki hii sio sawa kabisa tuwe wakweli hii haijakaa sawa kabisa hamasa anayoifanya mchome nikubwa sana na inaisaidia Simba Sasa kwanini mashabiki wengine wanakuwa namaamuzi km haya hii sio sawa wanamzalilisha mtu kwaujinga hii sio sawa

  • @maryfides591
    @maryfides591 4 місяці тому

    Nyie mungu hanawzona wote nyie ni mashetani wa yusufeli😮😮😮 muacheni mtoto wa watu

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 4 місяці тому

    Akome.mdomo umemponza

  • @ShukranKawind
    @ShukranKawind 4 місяці тому

    Du pole ndugu yakujitakia Haina lawama

  • @neemamwijage
    @neemamwijage 4 місяці тому +1

    Mnaoumia mchome kupakwa mafuta mtaumia sana atapakwa mafuta mpaka aache mdomo wake mchafu

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 4 місяці тому

    Uyo ni msenge tu achen kukoment ukuma mnafkwa nni wasenge nyie tunataka awe anavaa jez ya utopolo huyu sio shbk wasimba Kuma nyie

  • @farajibaswaten7507
    @farajibaswaten7507 4 місяці тому

    Mnataka kumfanya nini mwenzenu mbona mnampaka mafuta simba mwenzenu

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 4 місяці тому

    Ahadi ni deni😂😂😂😂

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 4 місяці тому

    Siku mpigeni hajidai sana mbwa huyu

  • @ThePlants-zc3rp
    @ThePlants-zc3rp 4 місяці тому

    iwe fundisho kwa utopol wote🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ndoladizo
    @ndoladizo 4 місяці тому

    nabado mgemweka kabisa nameno yaovo sasa akome kutowadi zakijiga

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 4 місяці тому

    Azam wameuxa mchezo tumegundua

  • @Faridagongo
    @Faridagongo 4 місяці тому

    Watu wangapi wanaongea mbona hamuwafanyii hayo mambo au mna bifu zenu km mpira tu watu wengi huweka ahadi na ndio burudani acheni visa mwishoe kuishiana pabaya

  • @omaraonasir4361
    @omaraonasir4361 4 місяці тому

    Mchome mpakwa mafuta😂😂😂😂😂😂😂

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 4 місяці тому

    Ataacha ubishi sasa

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 4 місяці тому

    Shetani wa Yanga atizamiye apo

  • @JoharManasse
    @JoharManasse 4 місяці тому

    Yan sf sn ma n anajikuta anajua kuongea

  • @AbdallahKitimla-sq1kz
    @AbdallahKitimla-sq1kz 4 місяці тому

    Sawasawa ahadini deni

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 4 місяці тому

    Huyo jamaa aliyemkaba mwenye pensi yuko Konk.

  • @gilbertmaganga9370
    @gilbertmaganga9370 4 місяці тому

    Mpaka aibu du 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Shaha-d1i
    @Shaha-d1i 4 місяці тому

    Bongo bana 😂😂

  • @hamisisalimu6908
    @hamisisalimu6908 4 місяці тому

    Sio poa, kueni wastaarabu, kolozlodi hovyo kabisa

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 4 місяці тому

      Wewe hamfahamu. Hana ustaarabu anamatusi sana ya kukera wakati yeye anajiita ni Simba pia.

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 4 місяці тому

    Bd kiberiti

  • @ramshetmlawa6995
    @ramshetmlawa6995 4 місяці тому

    Mbn amja mpaka matakoni

  • @FrankMtamu
    @FrankMtamu 4 місяці тому

    Mnge mzibua tu huyo msenge ana lopoka sana

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 4 місяці тому

    Kwanz wamemkosea alitakiwa aflwe huyo ni msenge wa gsm

  • @MwazambaMicrofinance
    @MwazambaMicrofinance 4 місяці тому

    Nawamaindi kinyama nyie wachumba

  • @DinoOneTouch7626
    @DinoOneTouch7626 4 місяці тому

    Yani kolozidad bana mnacheksha mechi moja tu mmeshinda mnafuraha kama yote