MASHABIKI SIMBA TUMEMSAJILI FEISAL MSIMU UJAO/FEISAL NDIYO MFUNGAJI BORA/ANATAKA KUCHEZA SIMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 41

  • @esmondleo3617
    @esmondleo3617 4 місяці тому +1

    Mmeanza porojo kweli mashabiki njaaa

  • @gadisonmichael7805
    @gadisonmichael7805 4 місяці тому +3

    uto wanaumia jamaa akimwaga inge.nge.😊

  • @esmondleo3617
    @esmondleo3617 4 місяці тому +1

    Miraji tusiaajili kwa mdomo

  • @drallan6879
    @drallan6879 4 місяці тому +2

    Acha hizo

  • @mdheewatz1745
    @mdheewatz1745 4 місяці тому +1

    Huyu jamaa apimwe akili

  • @safiliMuhammad
    @safiliMuhammad 4 місяці тому

    Kulala kwako kunaihusu nini Simba kesho. Utasema umelalaje na mkeo. Chagua yakusema yenye maana

  • @esmondleo3617
    @esmondleo3617 4 місяці тому

    Porojo😊😊

  • @methodpeter1323
    @methodpeter1323 4 місяці тому +1

    anasumbuliwa Sana Na njaaa rofa huyo

  • @AlbertNshunju
    @AlbertNshunju 3 місяці тому

    Huyu daktari wa kienyeji

  • @methodpeter1323
    @methodpeter1323 4 місяці тому +1

    Sasa unatoa Siri za Nin we muache aendeee

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 4 місяці тому

    Mtakufa vibaya Paccome Chama ? Pembeni Mpanzu pembeni Aziz Ki nyie mtaikimbia hyo timu

  • @SabangaOnline-uf3rl
    @SabangaOnline-uf3rl 4 місяці тому

    Amekua kama mzazi Anaeumwa uchungu usie changanya

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 4 місяці тому

    Chama aende anatuhujumu na inonga wanatuhujumu waende na hao ndiyo anguko la simba

  • @jumaali9243
    @jumaali9243 4 місяці тому +1

    Lakini mo asimamie mwenyewe

  • @husseinmillinga
    @husseinmillinga 4 місяці тому +1

    Aka kajamaa nako kanahujumu team ni kanafiki eti Dr mo wawapi chawa Wa try again na mangungu

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 4 місяці тому +1

    Ulikuwa ukitoa maneno mazuri lakini toka ulivoanza kuwa chawa ndipo ulipo anza kuharibu interview zako

  • @SalminMayila
    @SalminMayila 4 місяці тому

    Cyo kweli huwezi kumleta fesal simba usimamizi wa viongozi wako hao try again, nitakunya hapa mpaka moro

  • @SabangaOnline-uf3rl
    @SabangaOnline-uf3rl 4 місяці тому

    daah ila uyo jamaa ni mnafki sana amekua kigeu geu sana

  • @IbrahimHassan-ex7sn
    @IbrahimHassan-ex7sn 4 місяці тому

    Bado akili zao hazijakaa sawa nawahulumia wanasimba 😔😔😔 makolo poleni

  • @bernardkabakama
    @bernardkabakama 4 місяці тому

    Mo nilikuheshimu mwanzoni kumbe chawa wa kutupwa hivi unamjua mo bahiri sana na taperi mashamba ya mkonge na viwanda vya chai alivyochukua serkalini vyote vimekufa

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 4 місяці тому

    Jifariji tu waishi kwa Ugali wa uchawa ulisoma lini na wapi mpka uwe Doctr kwahyo ww sio Simba n chawa wa Viongozi wa Simba na Yanga

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 4 місяці тому

    We mwanaume kweli unajisia kwa hela za mwsnaume mwenzio?

  • @juniorjoshua2452
    @juniorjoshua2452 4 місяці тому

    Ibenge simuafiki ibenge

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 4 місяці тому

    Unayemwambia muuza magodoro wanatumia jina tu, wakubwa ndio wanatoa hiyo pesa

  • @danielkajiru6017
    @danielkajiru6017 4 місяці тому

    Huyu jamaa nilikuwa namuelewa sana ila nimegundua ana asili ya uchawa

  • @kasongoIDDi-mx7gz
    @kasongoIDDi-mx7gz 4 місяці тому

    Asiwape pesa Hao wazushi wakina mangungu

  • @SylasJacobo
    @SylasJacobo 4 місяці тому

    Aende ameshatusaidia sana

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 4 місяці тому

    Fuledi maiko wa nini Hana uwezo wa kuchezea simba

  • @elochoyakobo7809
    @elochoyakobo7809 4 місяці тому +2

    Huyu Jamaa ni mgonjwa wa akili

    • @harrychuwa3180
      @harrychuwa3180 4 місяці тому

      Acha ujinga Dr na wewe nani ana ugonjwa wa akili?? Hata form four hujafika. Funga mdomo mjinga mkubwa wewe.

    • @elochoyakobo7809
      @elochoyakobo7809 4 місяці тому

      @@harrychuwa3180 😂😂

    • @jonamnyone8014
      @jonamnyone8014 4 місяці тому

      Mchezaji mpaka anazingue ujue kuna matatizo kwenye uongozi. Kwanini wachezaji wa Yanga hawajivunji,? Viongozi Simba badilikeni. Kuweni katibu na wachezaji. Inakuwaje wachezaji wetu wawe karibu na Yanga warubuniwe mnakuwa wapi???? Mbona sisi Simba haturubuno wachezaji wa Yanga??

    • @jamilachikupa96
      @jamilachikupa96 4 місяці тому

      Pumbavu wewe angekua mgonjwa wa Akili asinge ongea na wahandi wa habari, ebu kakojowe ukalale kesho shule

    • @harrychuwa3180
      @harrychuwa3180 4 місяці тому

      @@jamilachikupa96 😂😂😂😂

  • @jumaMohammedi-rt2ys
    @jumaMohammedi-rt2ys 4 місяці тому

    Fij bov accha zak ww

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 4 місяці тому

    Ww n Dr wa wpi unayeishi kimakalio hivyo yani umeanzisha kombe la usajili kwan vp ligi imeisha