FR KAMUGISHA BADILI HABARI MBAYA KUWA HABARI NJEMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 гру 2019

КОМЕНТАРІ • 31

  • @faustinkamugisha8747
    @faustinkamugisha8747  4 роки тому +10

    Nawashukuru watazamaji kwa maneno yenu ya kutia moyo, shukrani na ushauri wenu. Nawaomba mwendelee "ku-subscribe."

    • @silvandrutha8778
      @silvandrutha8778 4 роки тому +1

      Wewe sipadri tu kunakitu kikondani mwako jitaidi utengeneze CD kwa muda mchache utaona mafanyikio Amina

    • @silvandrutha8778
      @silvandrutha8778 4 роки тому

      Wewe sipadri tu kunakitu kikondani mwako jitaidi utengeneze CD kwa muda mchache utaona mafanyikio Amina

    • @remmypaul70
      @remmypaul70 4 роки тому

      Asante baba kamugisha

    • @bernardinaa7565
      @bernardinaa7565 4 роки тому +1

      Wakola waitu. Kutulisa akakulya komwoyo. Pia tunashukru kuweka mafundisho yako youtube...tunakupata kila kona ya dunia🙏🙏👏👏👏

    • @lucyasantenikwawimbomzurid3684
      @lucyasantenikwawimbomzurid3684 3 роки тому

      Mungu azidi kukufanya chombo chema kufundisha kondoo. Naomba kama naweza kupata kitabu cha Tafsiri ya ndoto

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 4 роки тому +10

    Binafsi naona Huyu Baba Ni Mhubiri wa KIMATAIFA, sasa sijui kama kuna Wengine wanaliona hilo, hongera Father Kamugisha kwa Kuelimisha Umma, Mungu akulinde, Aamina.

  • @annakulanga5415
    @annakulanga5415 4 роки тому +2

    Jina la bwana lihimidiwe kwa ajili ya mapadri wetu barikiwa sana baba Faustine Mwikila Kamugisha 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @neybenson7881
    @neybenson7881 4 роки тому +2

    Amen amen

  • @paulmsape163
    @paulmsape163 8 місяців тому

    Asante fr kwa kutupa neno la faraja

  • @dicksonsamwel4358
    @dicksonsamwel4358 Рік тому

    MUNGU akubariki Sana fr

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 4 роки тому +1

    Amen Fr

  • @rwezaularaphael3173
    @rwezaularaphael3173 4 роки тому +1

    Amina, ubarikiwe sana Fr Kamugisha

  • @adelambeikya8363
    @adelambeikya8363 3 роки тому

    Amen

  • @yoramtango2470
    @yoramtango2470 3 роки тому

    Mungu akubariki Sana Padre, nimefarijika kwa mafundisho yako haya asante 🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋 ubarikiwe.

  • @felisterligwa
    @felisterligwa 4 роки тому +2

    Amina baba

    • @claraalphonce8393
      @claraalphonce8393 3 роки тому

      Nakuombea kwa MUNGU injili uihubirio iendane na matendo na taji ukavalishwe

  • @joycemagessa350
    @joycemagessa350 3 роки тому

    🙏🙏🙏

  • @faustinemalala4427
    @faustinemalala4427 3 роки тому

    AMEEEN AMEEEN

  • @stayinnhotel4695
    @stayinnhotel4695 4 роки тому +3

    Fr Kwa uongo wa shetani kweli inahitaji kuwa na Roho mtakatifu ili ushinde uonge wake.

  • @cecilialucas7655
    @cecilialucas7655 4 роки тому

    Mungu akutunze

  • @silvandrutha8778
    @silvandrutha8778 4 роки тому +2

    Wewe ni mwalimu mzuri sana

  • @davicedavid9771
    @davicedavid9771 4 роки тому +1

    Amina baba Mungu akuzidishie

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 роки тому +1

    Lakini watanzania Wanapenda Habari mbaya

  • @valemichael3187
    @valemichael3187 4 роки тому +1

    Baba nilikua nataka icho kitabu cha matatizo bei gani?