PADRE DKT KAMUGISHA ''ACHA MTUNGI''/ WANAOKUHUKU WANAIHUKUMU SAKRAMENTI YA KITUBIO / MSHANGAE MUNGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 бер 2020
  • Ni katika homilia ya Dominika ya tatu ya Kwaresma katika Parokia ya Mt. Yohana Maria Muzeeyi Jimbo Katoliki la Bukoba amewataka waamini kuacha kuhukumiana na kuzidharau sakramenti mbali mbali za Kanis

КОМЕНТАРІ • 38

  • @faustinkamugisha8747
    @faustinkamugisha8747  4 роки тому +20

    Nawashukuru watazamaji kwa maneno yenu ya kutia moyo, shukrani na ushauri wenu. Nawaomba mwendelee "ku-subscribe."

  • @cecilialucas7655
    @cecilialucas7655 4 роки тому +4

    Baba niko Oman nafuatilia mafundisho yako najiona kama nipo na kanisa ubarikiwe hatua zako zote

  • @magretpeter9924
    @magretpeter9924 4 роки тому +1

    Najivunia kuwa mkatoliki Asante baba kwa mafundisho yako hakika tunabarikiwa mapadri wetu mnavitu vikubwa sana na kanisa katoliki linautajiri mkubwa sana wa Imani

  • @annestasiarioba4826
    @annestasiarioba4826 3 роки тому +1

    Nakufuatilia kutoka iraq....kushangaa ni hatua ya kwanza ya kuondoa mazingara...

  • @richardkafuku963
    @richardkafuku963 3 роки тому

    Kushangaa ni mwanzo wa kuabuduku"kamugisha we unamaono haswaa,kila kukicha nabarikiwa na mafundisho yako,siku nikifika bukoba lazima nikuone live niondoke na baraka zako!!👋

  • @duncankipkurui6380
    @duncankipkurui6380 3 роки тому

    Nimekua nikifwatilia mafunzo yako padre niya kutia moyo na kujenga ubarikia

  • @MarysianaPeter

    Mungu ongeza watumishi kama huyu watu tupone

  • @renaldangeze747
    @renaldangeze747 2 роки тому

    Asante padre kuwa mahubir natamani kuendelea kukusiiliza ila bando zinaisha haraka Mungu akubariki

  • @tinnahagustinolyelu4247

    Mungu akutunze baba wewe ni tunu katika kanisa

  • @modesterkatabi
    @modesterkatabi Рік тому

    Ninakuombea BABA uendelee na kutuelimisha tunakuelewa

  • @emmanuelmtunda1668
    @emmanuelmtunda1668 4 роки тому +4

    Be blessed father Kamugisha nakufuatilia vizuri kabisa.Mungu awe nawe Katika

  • @amosifransi3742
    @amosifransi3742 4 роки тому +3

    Asante sana Fr kwa utume ulio tukuka barikiwa

  • @mitaocamilliusthegreatest9068
    @mitaocamilliusthegreatest9068 3 роки тому +2

    Barikiwa sana padre Kamughisha

  • @kelvinosward7079

    Ameen ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu

  • @eliasinvio1966
    @eliasinvio1966 4 роки тому +1

    Napenda sana homilia ya Fr Kamugisha. Nimepata mahubili kama haya nilipokutana nawe chuo cha SAUT Bukoba.

  • @tukimjila6673
    @tukimjila6673 3 роки тому

    Barikiwa saaana baba padre mungu akupe siku nyingi za kuishi iriuhubiri nenola mungu

  • @pasilisajerono7409
    @pasilisajerono7409 3 роки тому

    God strengthen faith of Padre kamugisha to countiue in is mission.

  • @sylviaaleuya8195
    @sylviaaleuya8195 4 роки тому +1

    Kushangaa ni Mwanzo wa Kuabudu. Mungu anatuamsha tumwabudu. Amina

  • @asinthagervas2751
    @asinthagervas2751 4 роки тому +2

    Wanadamu tutengeze mazingira tuache mazingara,Mungu ni mwema asante sana father

  • @frolenziaandrea7822
    @frolenziaandrea7822 2 роки тому

    Amina 🙏