Kwa mfumo wa simba mo dewji ni mwekezaji, Kusajili ni jukumu lake. Sisi sio wala mihogo try gain alikosa uongozi ili mafanikio wachezaji lazima wawe kitu kimoja. Tuondoe ufadha ili tuweze kuwa na uwezo wa kushinda kila mechi.Tunahitaji uongozi na utawala wa wachezaji ili kushinda makombe.
Mc pett ni 🔥

Mc yuko wapi Isa Azam tunammiss sana 8:24
Sisi tunajua ni Mangungu na sisi mashabiki
Mo ndo anafanya usajili,Mangungu alileta sawadogo,Jobe na wengine wapuuzi wenzake.