Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

AZAM TV EXPOSE -UZINDUZI WA VIFAA VIPYA VYA KISASA VYA KURUSHA MATANGAZO YA TELEVISHENI 15/07/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 лип 2024
  • Shuhudia uzinduzi wa vifaa vipya na vya kisasa kabisa vya kurusha matangazo ya televisheni pamoja na uzinduzi wa VAR kwa ajili ya msimu ujao wa SOKA.
    Pia unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii ya;
    ►INSTAGRAM:
    / azamtvtz
    ►INSTAGRAM:
    / azamtvburudani
    ►INSTAGRAM:
    / azamtvsports
    ►X:
    / azamtvtz
    ►FACEBOOK:
    / azamtvtz
    ►FACEBOOK:
    / azamtvburudani
    ►FACEBOOK:
    / azamtvsports
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
    ►AZAM TV MAX WEB: web.azamtvmax.com

КОМЕНТАРІ • 16

  • @Mindadykk-f9r
    @Mindadykk-f9r Місяць тому +8

    Mimi ndo wakwanza dondosha like yako hapa kama unawakubali azam Media.

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 Місяць тому

      Umechelewa unajisifia w kwanza kwa zaidi ya masaa manne

    • @peterlujuo1640
      @peterlujuo1640 Місяць тому

      Sasa kua wakwanza ndonini? 😅😅

  • @joycesamweli1219
    @joycesamweli1219 Місяць тому

    Hongera sana Mh waziri Mkui wewe mtu akifanya vizuri hiwa unaapreciation sana Mungu akubariki sana mwanamichezo

  • @peterlujuo1640
    @peterlujuo1640 Місяць тому +2

    Nadhani mh kasim majaliwa anafaa zaidi kua rais 👏🏻👏🏻🙌🏼

  • @BoniMuyama
    @BoniMuyama Місяць тому +1

    Like kama zote

  • @joycesamweli1219
    @joycesamweli1219 Місяць тому

    Hao wataalam wa VAR hawana ushabiki wa timu za mpira ili kuondoa tatizo

  • @KhamisShaur-wt3fk
    @KhamisShaur-wt3fk Місяць тому

    Ikiwezeka mama yetu akija kumaliza muda wake amkabidhi kiji hicho

  • @JmkJmk-i8k
    @JmkJmk-i8k Місяць тому

    🎉🎉

  • @musajulius3364
    @musajulius3364 Місяць тому

    Kazi nzuri ila pia wajaribu kuangalia walau kupunguza bei za vifurushi ili kuangalia mechi za ligi kuu tafadhali

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 Місяць тому

    Kaz inaendlea

  • @joycesamweli1219
    @joycesamweli1219 Місяць тому

    Hso mafumdi mitambo wametia aibu sana shame on you

  • @Ijuhally1
    @Ijuhally1 Місяць тому

    Mimi sbanduki

  • @JmkJmk-i8k
    @JmkJmk-i8k Місяць тому

    😂😂😂