Professor Jay ft Victoria Kimani - WOMAN (Official Video) Sms 8669158 to 15577 Vodacom Tz
Вставка
- Опубліковано 23 січ 2019
- #WOMAN #ProfessorJay #VICTORIAKIMANI
WOMAN by Professor Jay Feat Victoria Kimani (C) 2019
WOMAN OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
BoomPlay: www.boomplaymusic.com/share/m...
MKITO: mkito.com/artist/1111
iTunes: itunes.apple.com/us/artist/pr...
Spotify: open.spotify.com/artist/1Q5oC...
Dezeer: www.deezer.com/us/artist/4096310
Written & Performed by: Professor Jay & Victoria Kimani
For Bookings: ProfessorJaytz@gmail.com | mxcartertz@gmail.com
Follow Professor Jay on:
/ professorjaytz
/ professorjaytz
/ professorjaytz
Kenya our own Kimani ,prof always killing... Wakenya acha like
Good speaking
Nakuaminia Sana proffesa, me mkenya na nimekuskiza tangu utotoni enzi Za Nikusaidiaje, zali LA mentali.. Salute to you sir.
Kama umeikubali hiiii nyimbo gonga like hapa ili tujuane well done prof j
Jaman Victoria wetu ana sauti tamu😘😘😘😘😘😘😘🇰🇪
Hakika
Liza De_licious1 tena sana
Sana
Na ni mrembo saana
😆 😆 huyu hakuna kitu anaimba... Sauti ni ya akina nandy
From 254... likes apa kama unamkubali professor jay and our home artist Victoria kimani
Wauwe babaaa hataleeee kama umesikia KWENYEJUA WENDO KIVULICHANGU gonga like twendesawaa
Kama kuna rapper huyu na mzimia sana in east africa ni Prof Jay thumbs up Legend
@@ningahalifa770 Prof. Jay his a legend mistari yake ya kiutu uzima his dope.
Really
C utani, ww c tajiri wao lakin ndo mkali wao
bonge la ngoma
AFTER GOD another is WOMAN who is mom to every ONE in the world
Much love Kimani & professor J
Proffesor nakutambua kwa mistari yenye maadili....254
Nipe likes za *EastAfrica!* mara hio hio...💣💥💢🍹🍾
Proffesor Jay the only GOAT 🐐 I saw when growing up hii jamaa mnyama kwanza akitema ni 🔥🔥🔥🔥bonyeza kidude cha likey kama unamkubali mwanadada Victoria na jay 🇰🇪 🇹🇿 👌🏾
Nampenda Proffesor Jay kwa kuwa he is the only rapper in East africa anarap kmafunzo kwa jamii.
Hiiiii ndo bongo flavour respect mzee baba mbunge mwenye kutunza asiliyako
Resepect woman, protect woman, Love woman oooh! Mama ooooh! Sister eeeeh!
huyu ndio sababu ya mimi kupenda mziki wa tanzania,the true meaning of legend.
SALUTE
Respect the woman| Protect the woman | Love your woman.....Hats off East Africa!
Usicho kijua kuhusu #jay Ni kuwa mbali mziki ana tufundisha na kutukia moyo **songs** zake zina make sense Kwa watoto vijana na wakubwa #respect
#vikii kim is kenyan''Tiwa savage''kip te fire burning ooh.
Kama unamkubali the legend professor Jay gonga like twende
Hayaa Pumbuu iloo Ma fundi wamekutanaa ahayaaaa 😀😁☝✌👊👏👏👏👏👊
Wa mitulinga ... Nyimbo nzur ina ujumbe kwa mama ...
Prof Jay wamituringa
Tangu chemsha bongo mpk woman
International heat song
My role model
me nasema yeeebabaaaaah nakubali mheshimiwa endelea kutukonga nyoyo
respect nyingi to you our legend our captain #Mwana lizombe #Professor Jay #Tarictz@Next member of parliament
Nipeni like mbili tu jmn nanjaa sana
hahah
@@boningassa4302 bado njaa
Kwa hyo like ni ugali et
Umeshiba sasa zipo like 42 sasa ? Hahaha
@@maryammarym4437 bado sijashiba vizur mpk zifike 100
professor Jay there can never be another like you East Africa loves you #RESPECT,,,,Our Kenyan girl Victoria coming through strong on that verse,,nice jam!!!!
Wimbo mzuri sanaa
Nakuelewa sana mbunge wetu jaman mikumi stand up
Ann tutafutane 😍😍😍
Hii iko poa pia producer kaweza pamoja na collable nzuri kama umeelewa kama mm ginfa like
Aiseh huyu Victoria kimani ni mzuri sana aiseh,mashairi makali lakini kila dakika macho yangu yameganda kwa kimani 😍😍
Dope song perfessor jay bless up Kenya 🇰🇪one Africa from Sierra Leone 🇸🇱🇸🇱 i love you VK
Nakukubali sana mzee baba hauja wahi kufeli hata cku moja kamanda wangu...
Dah bonge moja la ujumbe toka mfalme wa binadamu na wanyama
Kenya 🇰🇪 tumewakishwa poa.... Ngoma nzuri
Indeed women deserve more than respect .....🇰🇪
Maalim Ali
Exctly
Protect women respect women
Bonge la ujumbe
jay ni vicky, vicky ni jay mustarehee,
tafadhali jay, naomba usitamke maneno hayo. click like if you still feel #zarizamenthali
255 ft 254 wapi like
New song by #Dm right #number one kuisikiliza music mzuri. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥uyu jamaa anajuwa balaa fanyeni kumcheki wana
ooh mama protect nice 1 bingwa wa mikumi
Ndanezewe kuku bonakandi mr jey vunjamifupa✌✌✌✌🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kuwa Professa sio lazima sana upitie darasani, bigup sana professa wa muziki
nljua ukiwa MP labda utasahau haya mambo ngoma kali sana daah
Legend #MtiMkavu hujawahi kupoa tangu nimeisikia Chemsha Bongo. Much respect to you, Sir.
Prof Jay ,you are one of the rapper in world, respect as burundian tell u:Ndagukunda excellently!!!
wenye kipaji dhuuuuu I love it congratulations
Came here for my gurl Kimani😍😍 and I'm glad she snapped🇰🇪🇹🇿
Huyu jama nikoboko kabisa.Kama wewe unaamini kua huyu ndo rupper katika wasani wote basi gonga like hapa.
Hi mbunge wa mikumi na wanyama 🔥🔥🔥🔥👏👏🎸🎸🎸🎸🎤🎤🎤🎤🎤🎧🎧🎧✌✌✌✌
Respect your woman
Love your woman
Protect your woman
Hawa ndio wasanii haswa wasiopotea sana kwenye game huyu mkongwe ni balaha profesa jay "jizee"
Nimekukubali kwa ujio wako mpya
You have been charged your music well 🎵🎵
Victoria nakupendaaaa...umefanyaa poaaa piiiiaa
Katika ma legendary wa hip hop TZ ambao bado wako kwny game huez taja ukamuacha profesa
Aisee haujawahi kutuangusha jay tunakupenda sana mtu wetu
Protect woman ,
I like this song
Respect to all women who still believe in true love and family values. Prof uko juu kama anga. Victoria you're ever blazing
Best Rapper!best member of parliament,heavy weight Mc anaeongoza binadamu na wanyama!unastahili heshima ya mizinga21.
Unastahili heshima ya mizinga 21 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
mbunge wa binadam na wanyama pale mologolo safi sana
Siku zote line zake natumia kama husia kwenye maisha yang#pro
Cna mengi..leo coz unajuwa unachokifanya na nini mashabiki tunaitaji ... Bg4u
Since day one ulituaminisha kuwa wewe in King of hip hop na no kweli bro, nyimbo nzuri massage nzuri, tuna shukuru kwa kuendelea kuilinda misingi ya hip hop
regendary mwenye ulegendary wake weka like nyingi kwe
Niga jey
Au mheshi miwa
Makini sana
Swa j hii ngoma kali atari naipenda sana hujawai kukosea
In from Nigeria..but o love the Song. Respect woman..I love all'the women..mother of Word
Aiseeeeee Mheshimiwa Umetisha sana,Unavuruga mpaka Kenya
Salut sana Professor Jay
nakukubali kinoma noma profesa jay bonge la nyimbo
Fundi wangu hujawahi niangusha
Kama unaamini hakuna Kama Jay like twende sawa
East Africa No.1 living Legend proff,salute mheshimiwa
Nimeielewa mzee baba hiyo big up xana
Kama unamkubali huyu ndie Mbunge anaelewa nn anafanya kwa jamii kuwalimisha kwa kupitia music like Zak ap
We Victoria mi nataka nifanye naww kaz Nina ngoma naitaji nikuxhilikishe
Mbunge anayeongoza Watu na Wanyama
Nyingine tena from the King.... Kama unakubari kuwa Prof J hajawahi kosea Ngonga Like.
Pamoja profess
prof ndio mwenye mziki wake,Afande Sele soma iyo
........Nimepita kote kwako najikita........
Duuuu kiman amenenepa jaman du kawa mmama
waliona prof kapwaya humu ndani likes hapa
Ujawai niangusha profesa j ngoma imetulia
Ndo maana ukaitwa PROFESSOR kwa kuwa ujawahi tuangusha hata siku moja
Hujawahi kukosea...big up prof J
Prof ngoma kali hadi watazamaji tunaumwa mioyo
Kazi nzuri sana Tz kenya tuko pamoja
Bado upo fit kwa nyimbo zenye maana na tamu kusikiliza
✌💯 kenya x tz
Kimani ...anaweza sana ...kaibeba ngoma,,,
Pro jay is amongst artists,that I love their song too, I salute for you mheshimiwa
Oooohhh mama noma father
Professor Jay Huu ni mwaka wako sio kwa ngoma Nzuri kama hii.
Weee professor jay ni mkali mazee Salute mzee kwako. Mikumi yakufaa bro
Fundi wa hip hop east Africa #proffesor j
Ngoma iko pw sema huyu dem kanenepa so yule niliekua namjua mm
Kama umeangalia hii ngoma zaidi ya mara 10 gonga like
kama unaamini profesa jey yuko juu weka like ,
Ooooh Mamaaa
ooooh Sister
like hapa
Kazi kubwa Sana big up bruv proff
Mheshhh umeweza Victoria kimani 👍👍👍💝🇰🇪
Nice song japo sipewagi like
🤣🤣🤣🤣
Mwanamke anastahili heshima ya mizinga 21, J bwana haya baba wewe ni professional professor