Ndugu mwaitege wimbo mzuri sana lkn kilichoshida ni wanawake na mapambo,,,biblia inakataa mapambo ,,,ni heri uyakashifu adharani,,,ni vyema kusema tu ukweli uchukiwe duniani lkn taji Yako mbinguni ing'ae,,,nafurahi sana ninapoona waimbaji wakisimamia ukweli huu ,,, though ndugu paschal pia hakuwa anakemea lkn kwa Sasa alipogundua ni dhambi anakemea,,, ndugu tuko katika mtumbwi mmoja kuelekea mbinguni,,,tunarekebishana kwa upendo,,,Mungu atusaidie sote kweli
wakenya tuko kabisa mtumishi sisi waimbaji wa nyimbo za injili kutoka kenya mimi ni Mr Nick Musician naomba search Mr Nick Musician mtabarikiwa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏
Papa Bonny Mwaitenge mungu wa mbinguni akubariki sana kumwe uwewe umefanyika baraka kwa sisi waimbaji wachanga umefanyika daraja huu ufunuuo sio wote superstar wapo nao ila nakuombea sana hii issue ikawe baraka double double na family yako
Pure greatness,class! This is a marvelous composition...perfect voice matching and dance I particularly liked the lady in black, she killed the vocal. You all are great singers and dancers, thank you so much for wonderful gospel entertainment. God bless you Bony, and the Safina choir. 🙏
Asante sana kwa safari njema 🎉❤
Wakenya leteni likes hapa hata Mia Tu Leo nifuraiye my role model in music
Safisana💃💃💃tamusana. Mungu,wakuwabudiwa
Mm hp napenda hy mzee bana
Mbarikiwe kwa Kazi safi nduguzanguni
@@millicentakinyi5504 tam sana
this song is wonderful
Wakenya kujeeni tumuonyeshe Bony mwaitege tunampenda,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪kongole baba, 🙏🙏🙏
Ndugu mwaitege wimbo mzuri sana lkn kilichoshida ni wanawake na mapambo,,,biblia inakataa mapambo ,,,ni heri uyakashifu adharani,,,ni vyema kusema tu ukweli uchukiwe duniani lkn taji Yako mbinguni ing'ae,,,nafurahi sana ninapoona waimbaji wakisimamia ukweli huu ,,, though ndugu paschal pia hakuwa anakemea lkn kwa Sasa alipogundua ni dhambi anakemea,,, ndugu tuko katika mtumbwi mmoja kuelekea mbinguni,,,tunarekebishana kwa upendo,,,Mungu atusaidie sote kweli
Unafanya vyema kueneza injili kali na 🔥 moto moto kutoka Kenya 🇰🇪 Mwaitege umebarikiwa ukiwa Tz🇹🇿
Watanzania hio wimbo ni nzuri inajenga🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏💯
Hata wachukue nyundo watupige bado tutaendelea kumsifu Mungu wetu👏👏👏.kazi yenu ni njema Mungu awabariki. Sisi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunawapenda sana
Lit my best artist among all🥰👀🙏🙏🙏🙏🙏🤏
Much love from congo 🇨🇩
Ndivio hivio tu tuta endelea nakusifu Yesutu.Nduku mbongo Mungu akubariki hiyi ni wimbo wa ulamuko
Hakika mungu awabaliki sana Wana wanasafina wote
Kazi njema, glory be to God
Tuinukeni tumsifu messiah regardless of the pharisees arising to stop us👏
Hata watukandamize na life kubwa tukitoka injili ni nyundo tutapasua mawe Bony mwaisa weeeeeeeeeee
Amen Man of God nakukubali sana tulikuta Nairobi Kwa musili naomba colobow Mimi na wewe plz
My daddy put some respect on his name. Thank you for this song papa ❤teaches me a lot 🙏🏽 God bless you
AMEN glory to Jesus be blessed man of GOD
Wa CONGOMANI leteni likes hapa hata Mia Tu Leo nifuraiye my role model in music
Kazi Safi Mwaitege👏👏
Naipenda Hii🔥🔥🔥
Am blessed congratulations 🎉 to JRC I thank God for the victory
Nice song 🙏🏾🇰🇪🇰🇪
Barikiwa sana kazi nzuri sana
Nisha penda sana nyimbo zako , na zineni fraisha sana kabisa, na disha penda Kijiji ya Tanzanie...
🎉🎉🎉🎉🎉beauty in this email 📧
Brother hapa umetoa kazi nzuri ubarikiwe sana itakufanikisha kazi hii.
Powerful song daddy you've been my role model since 2010 I really love your song ninabarikiwa sana nikiwa hapa Nairobi Kenya
Nilikupenda ndugu since wakati wa njoo uombewe
Safata muziki wako hapo Congo goma 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪
One of my favorite songs about to get up early today it's been so good morning my beloved son
I love the song thank you brother bony God bless you,,listening from kenya
Hallelujah tumsifu bwana 🙏🙏good massage 🙏
Nice song🥰🥰🥰 from🇧🇮 tuko pamoja🤝🤝🤝
Karibu Kenya tunapenda Sana utunzi wako was nyimbo mungu akubari sana
Wow the great servants of God
May God bless you great man of God bonny am yur number fan 🙏
wakenya tuko kabisa mtumishi sisi waimbaji wa nyimbo za injili kutoka kenya mimi ni Mr Nick Musician naomba search Mr Nick Musician mtabarikiwa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏
Great music ministering to my soul...thank you and God bless
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu kazi yenu ni njema💞💞💞
What a wonderful song!!! Congratulations Bonny mwaitege.inukaaaaa More Grace 💕
God protect bonny, he is really doing God's work with his all strength
Good music from Kenya we love you so much brother
Thank you so much
Welcome my dream one day is to meet you before I die
@@BonyMwaitegeOfficial nice song from 🇳🇴🇳🇴
Papa Bonny Mwaitenge mungu wa mbinguni akubariki sana kumwe uwewe umefanyika baraka kwa sisi waimbaji wachanga umefanyika daraja huu ufunuuo sio wote superstar wapo nao ila nakuombea sana hii issue ikawe baraka double double na family yako
ASANTE SANA NDUGU YANGU
Wow congratulations 👏👏👏 nice song 👌 world 🌍 SHUJAA WA IMANI from Kenya 🇰🇪🎤💃💃🔥🔥 really voice indeed 🌟🧎🏼♀️🙏💪
Mungu Aendelee Kuwainua Viwango na Viwango Safina kwaya
Mungu awbariki mno, mmenibariki asubuhi ya leo,..endeleeni kufanyika baraka kwa wengine,..👍👍👍Yega yega ft mwaitege,..watu wa baraka 🤝🤝
Good music...... Much love from kenya
Mbarikiwe watumishi wa Mungu. Haleluya
asante kwa kazi🎹🎷🎤🎵
Pure greatness,class!
This is a marvelous composition...perfect voice matching and dance
I particularly liked the lady in black, she killed the vocal.
You all are great singers and dancers, thank you so much for wonderful gospel entertainment.
God bless you Bony, and the Safina choir. 🙏
Amina sana baba juma piri razima tuje kuku tembelea
Good job you,r song blessed me all day my God 🙏🙏🙏🙏 blessed you so much
Good music,much love from 🇰🇪🇰🇪
Kabiisa mkenya mwenzangu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pokesi kutoka Kenya mungu wa mbinguni tena akubariki sana bro
🔥🔥🔥 keep going my mentor..mob love from Kenya
I'm touch by your gospel music man of God
I don't know why Bonny is so underated....i just love what he does
He's powerfully anointed, one of the Ministers I've always loved his ministration
Safii sana ndugu zangu nyimbo nzuri sana
Ubarikiwe mtumishi wa mungu mungu akuzidishie
Pele wa nyimbo za dini much love anko
Nice song 🔥
Muçh love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💃💃💃💃
Wow Bonnie mwaitenge hongera wimbo safi sana
Mchungaji Asante Sana tutakutafuta siku moja utufunze hiyo kazi njema unayoifanya
Mtumishi umebarikiwa na kipaji nakuskiza nikiwa kenya
Kazi njema Sana 🇰🇪🔥🇹🇿🔥
Great men and women of God be blessed abundantly
Ninayo omba mungu musada, ya ela juu ya kufika kule tanzania , na muke wangu ni pale Kijiji la tanzania...
Ameen
May the name that is above than any other names be uplifted up for ever
Thank you so much
Keep it up my favorite musician pst Bonny
Wa kwanza
Bonny we miss you here in Kenya. The last conference we had with you last was blessing(Eldoret)wait to see you soon
Congratulations🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bonny go go higher ,we love your music you never dissapoint
Powerfully and wounderfully song
Wow that's amazing barikiwa sana ndugu mwaitege and the team
Waoh!
Amazing song.
Mafarisayo.
Mafarisayo WA Leo wanataka sifa kweli
Yani hii imetubariki hakika
ASANTE
Pia Asante Mtumishi wa Mungu 🥰
Bonny ubarikiwe Kwa kazi nzuri
kazi mzuri sana iyo densi nmeipenda sana
Wimbo mzuri kuliko nyimbo zako zote
Wimbo ni🔥🔥🔥🔥
These people are really moving my spirit may God bless them
Haleluyah🤸🤸🤸🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Woooh nice song also good sound my god bless this song .Live from Kenya 🇰🇪.
Powerful song 🙏🙏🙏
Kazi safi sana baba
Blessed by this song. Nice song
powerful 🙏🙏🙏from Kenya
Baba na watoto wake
Gospel ni 🔥 🔥 🔥
Barikia saaana kaka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Congratulations smart song.
Great job ilike it,,
Ingilio nzuri kbs kk mwaitege
Waoooo nice song 🔥🔥🔥🔥
Wimbo ya baraka , ubarikiwe
the people of christ, all is all only lord.
Great song🇰🇪🇰🇪
There's something about Tanzania gospel industry.. God bless them abundantly
Be blessed man of God
Hii iko juu,wakenya mpo
Mbonye nakupenda sanaaa .
King of gospel
Barikiwa sana Pst bony
Amina saaana BArikiwaaa saana
Bony plz,anza kuimba gospel kizazi kipya plz,my opinion plz