ALIYEWAHI KUWA MKE WA SAID APATIKANA ASIMULIA ALICHOWAHI KUFANYIWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 923

  • @danielmtanda1223
    @danielmtanda1223 2 роки тому +14

    Ila dada kwa miaka umetupiga chenga😅😀

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 роки тому +13

    Wote wanawake zake warembo lazima awe na wivu

  • @soberkaleya5148
    @soberkaleya5148 2 роки тому

    Yakobo 4a:
    6 Lakini hutujalia sisi neema iliyozidi;....."
    *TUNAPOKEA SASA TOKA KWA MUNGU NEEMA ZAIDI NA KUONGEZEKA KWA UTENDAJI WA NGUVU ZAKE MAISHANI MWETU. UJUZI WA NENO LAKE UNATUFANYA TUTEMBEE KATIKA WINGI WA NEEMA AMBAYO HUZAA UPENDELEO, UZURI, NIA NJEMA, MAPENZI MEMA, UKAMILIFU, UTUKUFU NA UWEZO KATIKA MAISHA YETU, HALELUYA!!!*

  • @angelyahya418
    @angelyahya418 2 роки тому +46

    i see watu wanalazimisha swalha kuonekana alikua na tatizo lkn huyo saidi hiyo ilikua ndoa ya ngap kwake? and besides ndoa still alikua na wanawake wa pembeni mpk mama yake mzazi alisema alikua na wanawame wengi sana hamuoni hiyo ni shida?? Shida ya wabongo mwanamke akiwa na muonekano mzur huyo ni malaya na hiki kitu kinapoteza wengi.... ingekua swalha ana sura ya mjomba wake kusengekuepo na comment za namna hiyo .... Tubadili Mtazamo ktk mahusiano if not kila siku kutakua na matukio na wanawake msikingie vifua wanaume wana mambo mengi sana na wao wanaona ni vzr kuwa na wanawake wengi pasipo kujua wanaharibu afya ya akili kwa mke au mpnz wake All in All RIP

  • @fatumakassim3793
    @fatumakassim3793 2 роки тому +3

    Wanawake mnaomhukum swallher mnaniumiza Sana,,aisee,,,hivi imeandikwa wapi ,mwanamke ndio anatakiwa kutulia kwenye ndoa tyu,,?jukumu la kutulia nilawanandoa wote mwanamke na mwanamme,,nasi mwanamke tyu,,,,,

  • @emmanuelmwesongo7177
    @emmanuelmwesongo7177 2 роки тому +7

    Mbona uyo dada mwingine kiherehere ivo kwan anaulizwa yeye khaa🤣

    • @victoriamajeni3474
      @victoriamajeni3474 2 роки тому

      Na alisema alikua rafiki wa swalher uyu alihojiwa Hadi msiban kwa swalher kumbe mnafikii tu

    • @gracejonh4022
      @gracejonh4022 2 роки тому

      Anafanana na mke wa hamorapa

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga 4 місяці тому

      ​@@gracejonh4022Ni yy

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 2 роки тому +37

    Ila huyu dada kafanana na Masha love kama unakubaliana na Mimi gonga like hapa👇

  • @esthershaban6103
    @esthershaban6103 2 роки тому +14

    Mmmh huyu dada kafanana na Masha love

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 роки тому +49

    Somo kubwa hapa ni Kwamba ndoa ilfanywa kwa desturi za Ki islamu. Makosa ya vijana wengi TZ wakusoma Dini vyema kiasi cha kufahamu elimu ya Tawhid. Kuna habari kwamba mganga au wanganga waliruhusiwa kuingilia mambo ya ndoa hiyo. Ikiwa ni hivyo, viumbe hao huwa ni hatari, hugombanisha watu na kuharibia mtu Dini kabisa. Ni jukumu la Ulamaa nchini wawaonye watu wasiangamie. Wawaelimishe vijana na hata wazazi na Waislamu wapya. Njia sahihi ni ile ya Allah.

    • @freduallughano2301
      @freduallughano2301 2 роки тому

      Njia sahihi ni ile ya asili yako kama ni mwafrika.

    • @ramadhanimtetu7246
      @ramadhanimtetu7246 2 роки тому

      @@freduallughano2301
      Afrika ni pana ina Dini nyingi
      ikiwepo Uislam
      Ukienda Misri , Moroco , Algeria au Tunisia au Sudani kote Huko ni Afrika
      Na Imani zao Za Asili ni Islam
      Hivyo Acha Maneno Maneno
      yenye Viashiria vya Chuki

    • @عبدالملكالغماوي
      @عبدالملكالغماوي 2 роки тому

      shida kubwa ni ujinga wa wengi katika baadhi ya waislamu kutokuijua dini yao na misingi yake mtu huwezi kuidhulmu nafsi ya mwenzako na bado ukaongeza na yako mwenyewe pia.. ni sawa upitie shida au migogoro kiasi gani , pia ni wazi khofu ya Mungu haikuwepo vyote chanzo ni ujinga maana angejua alichokitenda matokeo yake kwa Mujibu wa dini yake ingemfanya apate khofu ya Mungu

    • @SMG109L
      @SMG109L 2 роки тому

      @@freduallughano2301 Dini ya asili ni uislamu.

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 2 роки тому +2

    Mwanza Uyuu Dada Ni Muongoo Na Umrii Amedanganya pili Amesema Aliondoka kwenye Ndoa Yke na Said Mwanzo mwa Mwaka 2022 mpka hpo ni Muongoo Akiwa Saidi Alimuoa Swalha December mwaka 2021 Uyuu Danga ni Muhungo Jmn

  • @ismailmatari916
    @ismailmatari916 2 роки тому +13

    Unakimiss wakati ulisha achika kitambo na nyie waandishi ulizeni naswali ya msingi yanayoendana na wakati bush it: R I P wapendwa mungu awafanyie wepesi huko muendapo🤦

  • @phelgonaamondi7251
    @phelgonaamondi7251 2 роки тому +20

    Atleast amesema mabaya ma mazuri...wengine wanasema mazuri tu

  • @felexulomi7793
    @felexulomi7793 2 роки тому +14

    Ukiona ela yako yako inakupeleka kwenye umalay maisha yako yatakua mafupi san

  • @MsMayna-ih6uq
    @MsMayna-ih6uq 2 роки тому +14

    Kuna wanaume hawafai au hawajaumbiwa ndoa kbsa... na baahdi ya wanawake vilevile!

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 2 роки тому +8

    Ila said alikuwaga anachukua vyuma kwelikweli wake zake wote warembo😘

  • @hidayakisensi2747
    @hidayakisensi2747 2 роки тому +4

    Ila mama iyo miaka 23 hapo kwa umri wako uwenda tumepigwaa🤣🤣

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 2 роки тому +6

    Kwa maelezo ya huyu, Said alikuwa na msongo wa mawazo pia.

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 2 роки тому +2

      Nachokiona,ni huyu jamaa baada ya kufilisiwa hakukutana na watu wa kumkansel.Naalitembea na vidonda moyoni na akili mwake.Hivyo alijikaza kiume.Na ikapelekea kuwa nahofu na kila mtu ama niadui wa maisha yake.Kiukweli alilaumiwe kama aafufuka saizi kisha aelezee maswaiba yaliyo ndani ya moyo wake,yawezekana watu wengi watatoa machozi.

  • @mwitaagness455
    @mwitaagness455 2 роки тому +8

    Huyu alimkuta hana kazi na kuna mwingine anasema pia alimkuta hana kwa kifupi wanataka kusema mali ni halali yao Marehem ndo alimkuta akiwa vzr, hata wafanye nini haez pewa chochote hao, mama anakir said qlikuwa na wake wengi, swalleher ndo mke nhie wengine simliondoka swalleher kavumilia mpk kifo😭😭

    • @samwelpaul6944
      @samwelpaul6944 2 роки тому

      je watoto wanatambulikaaa ?

    • @priscarkasitu8101
      @priscarkasitu8101 2 роки тому +1

      @@dorahwillson1807 Swalha angekuwa hai angepewa mali.sasa atapewa shemeji,mama mkwe, au Baba mkwe?Kwa hapo watoto walivyo wengi Yule Mama naa anaweza pewa.au huyo mama Saidi

  • @mohamedally6390
    @mohamedally6390 2 роки тому +21

    Sema mwamba alikuwa anapenda kuchukuwa pisi kaliii

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 роки тому +2

    Huyo Dada nyuma si ndio alisema ni rafiki yake salha kabisa kumbe ni rafiki yake pia huyu, inaelekea pia alikua mke wake

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 роки тому

      sishangai kusikia hata huyo dada wanyuma keshaliwa na saidi

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 2 роки тому

      😂😂😂

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 роки тому +32

    Mama alisema mwanawe alikuwa na wake wengi sana

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 2 роки тому

      Yes alisema

    • @sarahomary3615
      @sarahomary3615 2 роки тому +1

      Yani aliropoka yule mama jamani

    • @aishachambo8663
      @aishachambo8663 2 роки тому

      @@sarahomary3615 kasema kweli

    • @happnessjoseph7191
      @happnessjoseph7191 2 роки тому

      @@sarahomary3615 hajaropoka alisema kwa Nini amefanya tukio la hivi mbona hakuwahi kufanya kwa wake zake wengine.

  • @anthonikabuye8210
    @anthonikabuye8210 2 роки тому +3

    Hasira kupitiliza,wivu kupitiliza,madeni ya mamilioni na anamiliki chuma ya moto😂😂😂😂 kaa mbali hapo ni hatar sana

  • @ms_caramel2688
    @ms_caramel2688 2 роки тому +61

    Hio nyumba ya huyo kaka wamepita wanawake wengi jmn 🤲🙌

  • @nickodemsimchimba594
    @nickodemsimchimba594 2 роки тому +2

    Naona pembeni Kuna danga lingne linataman kuongea au kuchomekea maneno 🤣🤣🤣🤣

  • @chrissmichaelmashouda1726
    @chrissmichaelmashouda1726 2 роки тому +5

    Yaaani Kusikia ajali imetokea hakukufanyi uache kusafiri...tusikiapo haya ya ndoa hakukufanyi kuacha kuamini bado kuna waume na wake Bora wanaishi it's matter of selection tuu🤞

  • @mlapikauma7660
    @mlapikauma7660 2 роки тому

    Punguzeni uongo. Usi uwo miaka 23 loooh wabongo taireni. Hupungui. 38

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 2 роки тому +247

    Tangu nimeanza kufatilia interview huyu mwanamke wa5 niliyowaona wakihojiwa mama Ashraf mke wa kwanza watoto 2
    Kuna mama Naa mke wa pili ndy aliyechuma nae kuanzia kiwanja hd nyumba miaka 6 wameishi wamepata mtoto 1
    Kuna yule asiyemuoa kazaa nae watoto 2
    kuna huyu hajazaa nae kakaa nae miaka 2
    Mwisho Marehem Swalha wameishi ndy baadae ndoa miezi 5 wamependana ndy wakafa hawakubahatika kupata mtoto
    Hapo sasa asisemwe Swalha hajatulia wenyewe mnaona maneno ya ma x wanavyotoa ushuhuda 2022 ndy wameachana na huyu Swalha kaishi nae hd mwaka jana 2021 wamefunga ndoa sasa huyu wameishi wapi hd kufika mwaka huu na Swalha yupo humo ndani yaani Ma x hawaeleweki interview zao wanajikanyaga familia nayo vile vile dah. Tukubali Saidi alikuwa kivuruge hapo kuna watoto wengine hawajaonyeshwa wala kuhojiwa wazazi wao jaman ifike kusema tusihukumu mkamilifu hakuna

    • @wardw3022
      @wardw3022 2 роки тому +8

      umeona kumbe

    • @khamisdaima1455
      @khamisdaima1455 2 роки тому +29

      Na hapo Huyo said asingelikua na Mali usinge muona mtu kujitokeza hapo

    • @judithcha-mushala8852
      @judithcha-mushala8852 2 роки тому +21

      Huyu jamaa kwa shuhuda hizi anaonekana alikuwa na matatizo ya ugonjwa wa akili, shuhuda inaonyesha alishawai kumeza vidoge na pombe ili ajiue

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 2 роки тому +6

      Washafika 7

    • @mo_hustler9099
      @mo_hustler9099 2 роки тому +19

      Sema huyu mwamba kazingua Bora angejiua akiwa hana watoto sasa amejiua huku ameacha watoto Unafikiri watoto wataishi kwenye mazingira gani? Cjapenda jamaa alichokifanya Bora angeachana na huyu mwanamke

  • @zalkiabendera7238
    @zalkiabendera7238 2 роки тому +1

    Kaulizwa mwingine atikisa kichwa mwingine

  • @issayasosolo6033
    @issayasosolo6033 2 роки тому +48

    Marehemu kapuzika hawezi kuyajibu haya yote, Msimpe njia ngumu huko aliko nyinyi wanadamu kwani ninyi niwakamilifu, jibu litakuwa hapana si wamilifu Basi acheni apumzike, Tafakari ya kwako Kwanza marehemu kamaliza kazi yake hapa duniani!

    • @dorisonesmo8814
      @dorisonesmo8814 2 роки тому +2

      Ibaki kuwa fundisho kwa wengine kuua na kujiua ni dhambi kuliko yasemwayo

    • @yasinrasheed5743
      @yasinrasheed5743 2 роки тому +2

      Mungu amekataza kujiua ama kuua nafsi yoyote tayari Hilo Nikosa, mwenyezi Mungu anaahidi ukifanya kitendo cha kujiua utaishi motoni milele

    • @thedon8048
      @thedon8048 2 роки тому

      💪💪

    • @silyvesterrichard758
      @silyvesterrichard758 2 роки тому

      Ni kweli Kaka maana huyo aliyekuwa mke wake anakuambia alikuwa na upendo Sana sasa kwa sababu hawezi kujibu wamwache apumzike

    • @maximillianmagesa2758
      @maximillianmagesa2758 2 роки тому

      Kabisa wamwache apumzike kwa amani.

  • @jacklinegideon8074
    @jacklinegideon8074 2 роки тому +1

    Masikini alikuwa na shida jamani 😭😭 ni vile watu hawakuona hilo

  • @fatmaqhta8528
    @fatmaqhta8528 2 роки тому +8

    Poleni Wafiwa Innalilah wa Innalilah Rajiun pepo iwe makaazi yake 😭😭😭🇰🇪🇰🇪

  • @darlinmamawatatu6411
    @darlinmamawatatu6411 2 роки тому

    Huo sio upendo ni control ufanye anachotaka yeye ndio rewards anakutoa shopping he was not mental stable

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 2 роки тому +7

    Kuna vitu majumbani tunavichukulia poa utaona mtu ana tabia za ajabu ukali mwingi kumbe ana tatizo la akili bl kujua matokeo yke hasara na misiba

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 2 роки тому +1

    Kwa iyo ww ndo umemfanya apate fedha? Wanawake bana. Miaka 23 umedanganya ww.

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 роки тому +5

    Subhanaallah hasira hasara Mama yake Anamtetea mwanae kumbe mwanae ndie mkorofi upendo bila kuona wazazi bila wazazi mngepatikana? Mbona mama yake anakuja kutembelea ukimpenda uwa penda na boga lake matatizo kweli

  • @ngoshachaula172
    @ngoshachaula172 2 роки тому +2

    Muongo uyu dada miaka 23 khaaaaaaa😆😆😆😆😆👏

  • @anithanithaa2651
    @anithanithaa2651 2 роки тому +46

    Afadhali tuskie na upande wa Pili maan Hiyo familia ya Said wanajitahid Sana kumtetea Ndugu Yao 😪😪😪

  • @Ledinapaschal
    @Ledinapaschal 2 роки тому

    Mnapost pumba siku izi. ... yani mtu anameishi na Saidi miaka miwili amezaa nae watoto watatu!! How Come?

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 2 роки тому +4

    Una miaka 23🤣🤣🤣

  • @aminasuleiman8120
    @aminasuleiman8120 2 роки тому +1

    Huyo dada hapo pembeni anatamani ahojiwe yy au nayy x maana anavyosaidia kujibu maswali yasiomuhusu🤣🤣🤣💃💃💃

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +12

    Kumbe kakaang alikuwa mtu wa hivyo, mtihani kwakweli.

  • @marryeliasmarryelias9289
    @marryeliasmarryelias9289 2 роки тому +1

    Mimi Dada huyu dada kanipiga na kitu kizito, alikaa na saidi miaka 2 afu Ana watoto3, inaana alikua akijifungua na kubeba mimba au Mimi ndio sijaelewa🙇🙇🙇

  • @olivajoseph1697
    @olivajoseph1697 2 роки тому +19

    Said ulikuwa ukioa kilasiku. Hongera mama mzaa chema. pesa zinamfanya mtu afanye anacho weza

  • @isaacmwaseba9972
    @isaacmwaseba9972 2 роки тому +1

    KUNA WATANZANIA AKILI KICHWANI HATUNA MMEAMBIWA NI KAZIKWA WAPI MOJA KWA MOJA TAFAKARI WANAUME WA HUKO KABLA YA KUMLAUMU MTU TAMBUA ASILI YAKE KUPIGA NI KAWAIDA TU. HUYO MWAMBA KWAO HUKO MARA NI SHUJAA ILA KIBINADAMU SIO KABISA.

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 2 роки тому +9

    Huyu marehemu alikuwa na mitihani mingi yote pombe

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 2 роки тому

    Huyo kumbe alikuwa mwehu mlikuwa mnakimbikia vijisent

  • @delphinkakudji
    @delphinkakudji 2 роки тому +21

    😢he needed someone to help him ,he was stressed and he didn’t know what to do.
    Stress nyingi uzaa hasira 🙏🏾. So sad 😞

  • @1000Brain
    @1000Brain 2 роки тому +1

    Huyu Dada Wa pembeni mbea kuliko kawaida

  • @nengabablizer333
    @nengabablizer333 2 роки тому +18

    Sema uyo said anajua kuchagua kweli yaaan 😂😂😂

  • @julianamasato5655
    @julianamasato5655 2 роки тому +1

    Sasa dada hebu turudi nyuma wewe umeishi nae miaka miwili 2021 mpaka 2022 ukaondaka .sasa hapo swalha alianza mahusiano na said mwaka gani mpaka kufikia ndoa na swalha amefunga ndoa 30/12/2021.naona kama kaka yangu mnampiga na vitu vizito tu .yupo arosema ameachana walijenga nae nyumba Kisha wakaachana Ndio kumuoa swalha .kwa kabira la kina saidi habari yawake wengi kwao sio swara hiro watoto wengi sio shida zao .hata watoto 80 na zaidi usimuulize tu .ss hapo mama saidi ndie watutajie wakwe zake maana hata michepuko nayo ina wanasema walikuwa wake.

  • @BM_Smart2-6
    @BM_Smart2-6 2 роки тому +15

    Kwa hiyo interview tu ya huyo mwanamke. Ni wazi kuwa jamaa alikuwa na wivu kupitiliza na hasira. Kosa kubwa hapo ni kumiliki chuma! Na kukosea maamuzi ya wapi kuitumia, hatujui ukweli ni upi na uongo ni upi ila ndiyo hivyo tena chuma kimeshatema shaba!!!

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 роки тому

    Sasa imebakia kutoleana aibu zenu wapumbavu wakubwa kisha kufa na ameenda na makorokoro yake nanyie jipangeni na kukutana na mola wenu nahakuna faida yoyote mtakayopata kwa kutoleana aibu zenu.

  • @olivajoseph1697
    @olivajoseph1697 2 роки тому +18

    Huyu Said nae alikuwa na Majanga na mama ake alikuwa anakaa kimya tu

  • @humayduwe1762
    @humayduwe1762 2 роки тому +1

    Dah jamaa alihitaji matibabu ya mental health,

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 2 роки тому +15

    Basi hapa nimeamini huyu Said alikuwa ana wivu sana na alikuwa mkorofi sana maana kwa maelezo tu ya huyu dada wanawake wote hao walikimbia said alikuwa na matatizo .Wivu ukizidi sana matokeo yake ndio Kama haya ni mauti.R.I.P Swallher & Said.

  • @yonathemonitor6633
    @yonathemonitor6633 2 роки тому

    Pesa bwana hkosi vyuma lkn yote wapumzike kwa aman

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 2 роки тому

    Mwandishi mbona umemtolea mbavuni huyo mpambe wa mjane hahahahahahaha

  • @Idafa
    @Idafa 2 роки тому +24

    Alikuwa ana wivu kwa vile alikuwa anajua anachokifanya huko nje na wanawake wengine. Mwizi always anahisi na yeye anaibiwa hivyo anachunga mali yake kwa uangalifu sana ila alikuwa na matatizo ya akili.

  • @mayombotz
    @mayombotz 2 роки тому

    Umejifunza nini kutokana na hilii, pumbavu kabisaa

  • @goodhelpnolland6792
    @goodhelpnolland6792 2 роки тому +3

    Sasa huyo mwingine mbona anadakia maada wakati hajahojiwa yeye

  • @marwakitaro2075
    @marwakitaro2075 2 роки тому

    Huyu wa pembeni ana kielele si alishahojiwa kwny msiba wa swalha

  • @athumanibakari5656
    @athumanibakari5656 2 роки тому +9

    Alimuachia watoto 3 alaf hajawah kuzaa nae apo sijaelewa😂😂😂

  • @ashamohamed9374
    @ashamohamed9374 2 роки тому

    Nimejaribu kufatilia lakin asilimia kubwa ya ss wanawake tunatak kushindan na mwanaume ww ukisha olewa kubali kuwa chin mumeo akikukataz jambo usifany pia kuna kuomba ruhusa na kuaga asilimia kubwa ss wanawake hatujui kuomba ruhusa tunaaga pia pale tunapoag tukikataziwa bc usiende lakin mtu umekataziw ila ww unaenda mwish wa siku utatokea tu ugomv wanawak wote walio ojiwa wote hawakubali kushindwa nao wanatak wafany kama mwanaume anavyo fany

  • @hawasaid7151
    @hawasaid7151 2 роки тому +5

    Amefanana na mashalove

  • @ednajeremiah928
    @ednajeremiah928 2 роки тому +2

    Mimi naona hayo yote ni kumdhalilisha marehemu said kafakufa wakujibu hayo yote ni nani????????😭😭😭😭😭😭

    • @happymhuli725
      @happymhuli725 2 роки тому

      Kajidhalilisha mwenyewe kwa alichofanua

  • @eliamaruma7846
    @eliamaruma7846 2 роки тому +8

    Uwiiii kumbe alikuwa na wanawake wengi uwiii

  • @omaryjuma8002
    @omaryjuma8002 2 роки тому

    Uyo demu alikua ni malaya tena uyo aliopo apo nyumba ndo kiboko aswa anaitwa khadja ziota nikwambie tu wadada mnapoamua kuolewa mtulie muache umalaya

  • @fizomedia5112
    @fizomedia5112 2 роки тому +4

    Shida siijui mi nadhan hayo maden aliyolipa yalimchanganya huyu jamaa

    • @fizomedia5112
      @fizomedia5112 2 роки тому +1

      Mi wala simsemi huyo jamaa mpaka kuamua kujiua sio jambo dogo

    • @fizomedia5112
      @fizomedia5112 2 роки тому +3

      Maisha yangekua bila mawazo yoyote makubwa wala sio sababu kusema mwanamke bali kachanganywa tu na maisha aisee🤮😓dah haya maisha yana siri nyingi

    • @catherinemuhagama7338
      @catherinemuhagama7338 2 роки тому +2

      Namm nlsema hvyo huyu jamaa maisha ndo yalmchanganya tu swalher imekua njia ya yy kujiua tu basii,ila kama alyachoka si angejiua mwenyew tu kulko kuua dada wawatu yan binadamu bhana

    • @fizomedia5112
      @fizomedia5112 2 роки тому +1

      @@catherinemuhagama7338 kweli kabisa yani

    • @sarahomary3615
      @sarahomary3615 2 роки тому

      ​@@catherinemuhagama7338 kwakweli yani dah mdada WA watu ndiyo tegemezi kubwa kwao maskini

  • @alextz5877
    @alextz5877 5 місяців тому

    Ndo muache kukimbilia wanaume wenye pesa hamjui wanapata je hzo money but mapenz ya kweli siyo pesa ni upendo na amani ndani ya nyumba

  • @timelessdaddy.2542
    @timelessdaddy.2542 2 роки тому +5

    Sura imevimba iyo ati miaka 23 kenge ww

  • @raphaeljerry6356
    @raphaeljerry6356 2 роки тому

    Yote kwa yote braza side pisi kali alikua anazijua

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 2 роки тому +6

    Huyu mwanamke wa 6 sasa🙌🙌🙌

  • @johasaeed391
    @johasaeed391 2 роки тому

    Ila wanawake tuna mambo sana cheki huyu dada eti mwanamumewake alikuwa mkali hehehe huku anatamaa yakuwa na saidi pumbavu kabisa ndo maana mnafyatuliwa

  • @lifeofyuri4020
    @lifeofyuri4020 2 роки тому +8

    Kwa maelezo ya make said alikua na shida kwenye mental health (he was depressed,he had an obsetion with perfection Yani watu wenye hii tunasema ni Alpha,what he says goes.. he had anxiety and he was late in it mpk akawa suicidal when things don't go the way he wanted)

  • @totosheretone7356
    @totosheretone7356 2 роки тому +1

    Eti Yuko na miaka 23😂😂😂😂😂

    • @annieemmanuel4148
      @annieemmanuel4148 2 роки тому

      Muongo huyo mtu mzima kabisa 30na uchafu huko 😂😂😂

    • @totosheretone7356
      @totosheretone7356 2 роки тому

      @@annieemmanuel4148 umeona eeeh😂😂😂

  • @gtgmediaproduction764
    @gtgmediaproduction764 2 роки тому +4

    Alikuwa maraya tu pesa bira Yesu

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      🤣🤣🤣Yesu kafanyaje tena jmn

  • @hamadiseleman2204
    @hamadiseleman2204 2 роки тому

    Unajua mtu Malaya akiona mke wake analiwa roho yake huwa inauma Sana,mtenda akitendewa huzan kaonewa

  • @vesitinarevocatus7333
    @vesitinarevocatus7333 2 роки тому +3

    Kwani saidi alikuwa nawakewangapi

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому +1

      Saidi wa kumuombea tu Mungu amsamehe alikuwa na matatizo. Swallha kawa victim tu Mungu ampumzishe kwa amani Swallha watu wamemzomea sana bora ukweli uwekwe hadharani hakuwa malaika

  • @salomefedrik9704
    @salomefedrik9704 Рік тому

    ili jidada jingine jimbea ata halijaulizwa lishajibu

  • @neemamathew7465
    @neemamathew7465 2 роки тому +3

    Haya mambo ya uke wenza sass jamn,, kumbe alikuwa na wanawake weng

    • @amirmbuyu5733
      @amirmbuyu5733 2 роки тому

      Huo sio ukewenza,wakewenza huishi kwenye ndoa ya mume mmoja kwa wakati mmoja,hao wanawake wa Said Kila mmoja ameishi nae kwa wakati tofauti, acha upotoshaji kama hauelewi waulize wanaojua

    • @neemamathew7465
      @neemamathew7465 2 роки тому

      Ndyo ni sawa,,, rakn hayo ndo madhara ya kuolewa na mwanamme ambae alishawahi kuwa na wanawake weng wengne amezaaanao🙄🙄

  • @sophiadavid1263
    @sophiadavid1263 2 роки тому

    Ashraff kaishi na mama wengi jamani

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 роки тому +4

    Wapo wengi hao wake utahoji wangapi

  • @omaryjuma8002
    @omaryjuma8002 2 роки тому

    Mazauli yake wapi mnapenda pesa kuliko utu

  • @virginiamutisya6216
    @virginiamutisya6216 2 роки тому +3

    Said alitaka makuu. Said wa mapepo congratulations gal u left him

    • @mathewdyzymaleyafrica9128
      @mathewdyzymaleyafrica9128 2 роки тому +1

      apepoulimpa hii ni mitihani amabayo hakufanikiwa kushinda wivu ulizaliwa na upendo wakupitiliza kwa wake zake hata kujiua na kuchanganyikiwa uchumi ulikua unamsumbua kuhusu ushirikina mke a mwisho ndio alikutwa na hivyo vijimambo mpaka babayake kuitwa na kuja na mganga kitulize

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 3 місяці тому

    Pole anamabaya yake mazuri yake

  • @nataliakenny9499
    @nataliakenny9499 2 роки тому +15

    Nyoote mlikua wake zake akini nahisi mtu aliempenda Sana alikua swallher,,maana hi inaitwa kufa na kuziana jmn duh

    • @bettynkunga2321
      @bettynkunga2321 2 роки тому +2

      Angekuwa anampenda angempiga na kumuua, angejiua mwenyewe kuthibitisha anampenda

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 2 роки тому

      Upo sahih kwan ameshindwa kuwaua wote hao.aliopita nao kaamua kumuua swallher ili asibaki akapendwa na mwingine ameona bora wote waende tu

    • @emmysfitnessandforex9403
      @emmysfitnessandforex9403 2 роки тому +1

      Nyoko nyie ndo mkinyanyaswa mnahisi mnapendwa...jua kutofautisha...huenda kafanya hayo kwasababu ya aibu...huwez kumuua unayempenda

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 роки тому

      @@emmysfitnessandforex9403 waambie hao hawajitambui

  • @haurahawari5828
    @haurahawari5828 2 роки тому

    Khadija ziota tulia na wewee..huojiwi wewee

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 2 роки тому +4

    Said alikuwa kivuruge Ila sasa dada kwel una miaka 23 mmmmh uwongo huo mbona hufananii kuwa na miaka hyo

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 2 роки тому

      Kwahiyo ulitaka akuambie miaka 30 Ni miaka yake kwani inakuuma nini kwanza humfaham hebu tuachie ndugu yetu

    • @mariyamgharib940
      @mariyamgharib940 2 роки тому

      😁😁😁

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 2 роки тому

      Hata mimi pia nina 40 lkn ukiniuliza nitakwambia Nina 25 😂😂😂sijali Wala nn 😂😂

  • @adelaphilip8089
    @adelaphilip8089 2 роки тому

    Huyo kaka anaomekana mapenz yalikua yakimtesa

  • @rosefredy5398
    @rosefredy5398 2 роки тому +3

    Miaka 23 jaman hahaha mbon mkubwa usoni au macho angu

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 2 роки тому

      Ngono za mapema. Miaka 23 ashaolewa na kuachika?

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 2 роки тому +1

      Mambo mengi mjini mtu akifka miaka 20 utasema anamiaka 40 🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦jua kali

    • @rosefredy5398
      @rosefredy5398 2 роки тому

      kwakweli tunazeeka mapema uwii

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому

      Wabongo kwa kujifanya watoto hawakuwii bs mastaa wamezidi kabisa.

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 2 роки тому

      @@malak-lz6kx Mi mwenyewe Nina 40 lkn ukiniuliza nitakwambia 25😂😂😂 sijali Wala nn 😂 😂

  • @rozzymossesshayo6844
    @rozzymossesshayo6844 2 роки тому

    Una kihere here we mdada wa pembeni sikupendi mnafki ww

  • @teddyoscar6876
    @teddyoscar6876 2 роки тому +15

    Na yule mtoto wake Ashrafu anaonekana atakua kama baba yake daah maskini Mungu amnusuru huyo Ashrafu, Said hakuwa mtu mzuri naona alikua na madudu kichwani

    • @rinaldaoman7892
      @rinaldaoman7892 2 роки тому

      KWELI kabisa yuke ashrafunanaonekana ana roho.mbaya sana

  • @masaimollel2525
    @masaimollel2525 2 роки тому

    Huyo mwingine anatamani aojiwe yeye

  • @mrpresident3620
    @mrpresident3620 2 роки тому +4

    Huyu saliha ilikuwa hapendeki na wazee wake wanasema uongo leo ukalale mkoa siku 3 unatoka unaenda mpirani bila ya izini ya mumeo

  • @pierinamduda3552
    @pierinamduda3552 2 роки тому

    Hadi katoto kadogo hako kalimshinda. Afu mnamzingizia mdada wa watu.

  • @shukranichomolla4977
    @shukranichomolla4977 2 роки тому +4

    Mmmh dada eti tuangalie na wanaume wenyewe utamjuaje si mpaka uingie uyaone

  • @asha.mwambamwamba1774
    @asha.mwambamwamba1774 2 роки тому

    23 haaaaaaa jamanii ivi ukisema38 SHIDA nn

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 2 роки тому +124

    SIFA ZA AKINA SAIDI:
    1)Wana midudu (mibolo) mikubwaaa.
    2)Wana hasira Sana
    3)Wana roho za kwa Nini.
    4)Wana sumbuliwaga Sana na maradhi ya tumbo.
    5)Wana penda utani ila Wana wahi kukasirika.
    6)Wana desturi ya kuperekesha wanawake (wapenzi wao).
    7)Wana mapenzi Sana na mama zao wazazi.
    8)wanapenda Sana ndugu zao.
    9) asilimia kubwa wanapenda Sana michezo ya kubahatisha (kamari), Hawa jamaa huwaambii kitu Katika issues za kubeti.
    10) wasafi kwa nje, ila siyo nguo za ndani.
    11)Wana kuwaga na viarufu kama vya beberu la mbuzi lililo komaa.
    12)Wana wivu Sana wa mapenzi ,ila ni wazinzi Sana, wanapenda Sana kuhisi vibaya wanawake wao.
    Ahsante!.

    • @noonelike6382
      @noonelike6382 2 роки тому +3

      😆

    • @harousaissa7235
      @harousaissa7235 2 роки тому +5

      Iyo kwel my wala hujakosea

    • @teehassan4731
      @teehassan4731 2 роки тому +3

      Ni kweli hujakosea ngumi mkononi

    • @luciamashauri5723
      @luciamashauri5723 2 роки тому +6

      Inabid nicheke2 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @deusdedit789
      @deusdedit789 2 роки тому +6

      @No one like 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌nimecheka jaman 😂😂😂😂😂😆😆😆

  • @T.B.JOSHUALEGACYLIVESON30yrs
    @T.B.JOSHUALEGACYLIVESON30yrs 2 роки тому

    Mshkaj alikuwa mnyanyasaji aise. 😬

  • @ahmedrageahmedrage9134
    @ahmedrageahmedrage9134 2 роки тому +6

    Wanaume tuwavumiliee hawa wanawake Wana mambo mengi