HALI ILIVYOMSIBA WA MKE WA BABUTALE MENEJA WA DIAMOND/ESMA NATAMANI KULIA/QUEENDARLEN/AMEACHA WATOTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • CARRYMASTORY tumepata nafasi ya kufika kwenye msiba mke wa Babu Tale, Shamsa Tale, ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo na kuacha mume na watoto wanne, mastaa mbalimbali waliohudhuria, akiwemo Diamond platnumz na Wcb nzima kwa ujumla, Rest In .Peace SHAMSHA.

КОМЕНТАРІ • 315

  • @sultannassor9756
    @sultannassor9756 4 роки тому +22

    Tutafakar tuchukue hatua.dunia dunia dunia dunia dunia dunia,,tuwache maringo.

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 4 роки тому

    Jamani acheni kumsema Madee mtu ana huzuni na msongo wa mawazo sababu ya msiba na mtu ukiwa na msongo wa mawazo unaweza ukacheka au ukalia sababu madee ni mtu wa karibu sana na babu Tale hawezi kucheka sababu amefurahi

  • @janetjane6330
    @janetjane6330 4 роки тому

    Am sorry for your loss praying for u and family,,,kenya

  • @mikidadihussein5152
    @mikidadihussein5152 4 роки тому

    Swali moja kila mmoja wenu anauliza hivyo

  • @ab3ab313
    @ab3ab313 4 роки тому +1

    mung amuraze mahari pemaaa

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 4 роки тому

    Bila mecup jmn watu wabayaaaa

  • @fatmakhamis7876
    @fatmakhamis7876 4 роки тому +51

    Waandishi wa Bongo acheni ujinga na masuali ya kijinga kama msibani mnahoji nini hivi kunamtu anapokea taarifa za msiba kwa fuha jamani? Allah awape ufaham ila mnayo fanya yanakera kiasi

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 4 роки тому +1

    KINACHOSIKITISHA ZAIDI Kuliko hata kifo chenyewe ni jinsi vijana wa kiislam walivyobebwa na IBILISI shetani wa miziki. Mpaka katika mazishi wanakwenda na miziki tizama kanzu zao na hijabu zao zinavyowasuta. Ewe Allah wewe ndie MUQALIBALQULUBI. QALIBU QULUBUHUM FIY DINIKA.(Ewe Allah wewe ndie mgeuza nyoyo za waja wegeuze nyoyo zao warudi katika dini ya haki)
    SHETANI KAWATAGIA MAYAI VICHWANI MWAO WAOKOE.

  • @salumabdul9760
    @salumabdul9760 4 роки тому +15

    Pigeni miziki tuu af mkae mkisema ooh mungu tusaidie. Ipo siku mtu anondka na hutakwenda kuulizwa zaiidi ya ulichotumwa kukifanya..

    • @halimaathman8220
      @halimaathman8220 4 роки тому

      Hakika

    • @sarahyvonne4580
      @sarahyvonne4580 4 роки тому

      Kweli ata mm sikuhizi nimeanza kuogopa dhambi walai maana nikifa nita mwambia nn mungu,,navile watu wanaenda wengi kila.siku,mpaka naogopa

    • @sarahyvonne4580
      @sarahyvonne4580 4 роки тому

      Hizi miziki nidhambi lkn watu huchukulia poa tu

  • @freshiamwangi2820
    @freshiamwangi2820 4 роки тому +7

    Waaa mavazi ya anawake waislamu Leo imenoga, imedamshi kweli kweli hongera Leo mumejistili vyema Pole babutale,let her RIP

  • @alphaboy0130
    @alphaboy0130 4 роки тому +8

    Yaani nmependa jinsi mlivovaa umu ndan, nawashauri ayo yawe mavaz yenu ya kawaida na co ya kidhrura

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 роки тому +1

    Endekezeni dunia to ndio munaona kama maisha ya dunia ni kama kivuli cha mti .

  • @zubedahassan409
    @zubedahassan409 4 роки тому

    Maswali ya kijinga mno waandishi .....wauliza kila mmoja taarifa wamezipata wakiwa wap ...kwa n wew ulizipata taarifa ukiwa wap ? Ebu tupunguzie uchu wa kazi yako mngesubir kwanza bana

  • @nancyandrew9273
    @nancyandrew9273 4 роки тому +5

    Yaani we mtangazaji umeshindwa kumzaba madee kofii chap chap hapo😕 anachonengua meno ni nini na anatafuna hovyo hovyo hata mbele ya camera, shenzi taipuuuuu

  • @zabronnkoy4908
    @zabronnkoy4908 4 роки тому +2

    Hilo swali la taarifa hizi ulizipata ukiwa wapi lina umhimu gani ?

  • @mfaumemuki865
    @mfaumemuki865 4 роки тому +17

    Kiukweli tale moyo wake unavyojisikia saiv ni Mungu ndo anajua,usiombe ukose machoz uchungu uliopo moyon hauondokagi😭😭😭😭😭 ni bora anaelia kwa sauti kuliko anaelilia moyon.May her soul rest in peace

  • @maryamomary9596
    @maryamomary9596 4 роки тому +7

    Kila nafsi itaonja umaut polen sana

  • @julietnamboozo5088
    @julietnamboozo5088 4 роки тому +9

    Poleni kabisa!
    May Allah grand you strength & courage during this difficult times!
    No. One fan of WCB from ug.

  • @kulwahausi2406
    @kulwahausi2406 4 роки тому +5

    😭😭😭hakuna kipindi kigumu kwa mwanaume kama kufiwa na mkewe inauma sana

  • @hadijaangura6572
    @hadijaangura6572 4 роки тому +6

    poleni jamani yani nasikia uchungu nasikuwa na ukaribu nahuyu marehemu yarabi mfanyie wepesi mja wako kwenye nyumba yake ya milele😢😢

  • @johnchazy4654
    @johnchazy4654 4 роки тому +14

    Mtu unahojiwa unatafunatafuna ovyo km sio msanii mala anacheka

    • @saladaniel9274
      @saladaniel9274 4 роки тому

      Wanatafutaga kick za kijinga

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 4 роки тому +1

      Bange izo

    • @ballycox1852
      @ballycox1852 4 роки тому +1

      😀😀😀😀 yani mwenyew bado namshangaa huyu madee

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 4 роки тому +1

      @@ballycox1852 kaniboa balaa namimi

    • @msuyaothman9591
      @msuyaothman9591 4 роки тому +2

      Ndo maana wanaitwa wasanii mambo yao Yote ni ya kisanii sanii tu, Hata kwenye mambo mazito Kama hili la msiba,, maana Hata hawana Habari na maneno ya Mtukufu wa darja mtumi Muhammad s a w yasemayo yatosha mauti kua ni mawaaidhwa. yeye analeta usanii. Namuomba ALLAH atunusuru na usanii na atuongoze katika kheri zake Aaamin Thumma Aamin yaa Rabbal Aalamin

  • @josephstephen2047
    @josephstephen2047 4 роки тому +1

    Watu wanamlaumu Madee eti anahojiwa huku anatafuna mara anacheka jamani msameheni ni mibangi tuu.....

  • @fatmakhamis7876
    @fatmakhamis7876 4 роки тому +1

    Hakika mpende umpendae ila tutambue ipo siku utatengana nae na tusisahau mauti hakika ya mauti hayaja tusahau hatuna budi kusema inna lilah wainna ilaihi raajiuun Allah ampe kauli thabit na awape subra wafiwa wote katika kipindi hichi kigumu كلي من عليها فان

  • @madamboss348
    @madamboss348 4 роки тому +14

    Rest with Angelz Mrs Tale
    My condolences from kenya

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 4 роки тому +28

    Sasa madee kinachokufurahisha nini? Kwann unatafuna ovyo hv huyu kaka yukoje? Lkn afadhali umefunga kilemba

    • @mrs2918
      @mrs2918 4 роки тому +8

      anavyotafuna ovyo nimemkumbuka mamaangu maana alikuwa anatulapua mkofi mpaka tukajua hasi na chanya

    • @albs1448
      @albs1448 4 роки тому +3

      @@mrs2918 🤣🤣🤣

    • @saidahj2543
      @saidahj2543 4 роки тому +3

      😂😂😂😂😂

    • @ahz6907
      @ahz6907 4 роки тому +3

      @@mrs2918 😂😂😂😂

    • @rachelmbeyu4385
      @rachelmbeyu4385 4 роки тому +5

      Walimpata akila labda

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 роки тому +13

    Maskn ukifa sio kwamba watu hawatakula,hawatakunywa,hawataongea na wala hatacheka.yte watayafanya.amali yko tu ndo itakayokusaidia na sivingne.tuishi kama tutakufa kesho.

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 роки тому +1

      Alhmdllh ahstum kwa kutukumbusha ss binaadamu n wpes wa kusahau jaman

    • @salmajuma4015
      @salmajuma4015 4 роки тому +1

      Kweli kabisa mm nilikuwaga najua msibani watu hawacheki wala hawali nilivo kua ndo nimejioneaa

    • @ashayussuf8844
      @ashayussuf8844 4 роки тому

      Q

    • @maryamomary9596
      @maryamomary9596 4 роки тому +1

      Ni kwel jmn😭😭

    • @amenaafrica7046
      @amenaafrica7046 4 роки тому

      yaani umeongea kweli

  • @RioIpo
    @RioIpo 4 роки тому +1

    Innahlilahi wainah ileyhi rajiuun Allahumma ighfirlaha warhamha waskiniha fil jannah.Allahumma Ameen. Ya Rabb amjalie kabri lake liwe minariyadh liwe bustan katika mabustan. Ya Rabb nasi atujalie khusnul khatimah na shahada katika mauti yetu. Lailaha illah Allah Muhammad rasulu Allah tufe hali yakuwa yu radhi nasi . Allahumma Ameen. In sha Allah biidhnilahi karim Mwenyezi Mungu atawapa subra.

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 4 роки тому +4

    Inalilahi wainailah rajiun 😭😭polen sn amsiba

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 роки тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @happylaban1564
    @happylaban1564 4 роки тому

    Sasa apo Madee kinachokufanya utafune tafune mbele ya camera kitu gan nakinachokuchekesha apo kitu gan ata simuelewag uyuu kaka mim

  • @happylaban1564
    @happylaban1564 4 роки тому

    Sasa apo Madee kinachokufanya utafune tafune mbele ya camera kitu gan nakinachokuchekesha apo kitu gan ata simuelewag uyuu kaka mim

  • @shahamzanda1937
    @shahamzanda1937 4 роки тому

    Allah subhanna wataala ndiye aliyewaumba hao watoto msimfundishe majukumu. nani amesema watu wote wenye shida duniani wamefiwa na mama zao. mtangazaji waulize hivi; wamejiandaaje na safari hiyo kwani hata wao muda wowote itawafika.

  • @rosemarymunyi5035
    @rosemarymunyi5035 4 роки тому +8

    Am sorry for your loss praying for you and family.

  • @najmalatiffah936
    @najmalatiffah936 4 роки тому +1

    Wanahabari wa bongo mnatabu pia kwenye misiba wenyewe Wana majonzi nayie mupo matangazo yenu makali iseeeee

  • @evarnyoni6535
    @evarnyoni6535 4 роки тому +1

    Daaaaah mweeee me watoto tuu wananiuma wanapat tabu san mama asipo kuwepo

  • @abbyvanny
    @abbyvanny 4 роки тому

    Huyu mtangazaji unaweza mzabua Kofi mshenz hata km n habari hutakiw kuuliza watu wamepokeaje taarifa ya msiba....msiba haupokelew kwa furaha shenz type sipendi muwe na mipaka haya Mambo makubwa kiukwel nafikil hata madee hakupendezwa na huyo mtangazaji kamjibu Basi tu..

  • @idrissamatangalociza2011
    @idrissamatangalociza2011 4 роки тому +13

    Innalillah wa innaillaihi raji'un 😭😭😭

  • @aishahassan9812
    @aishahassan9812 4 роки тому +3

    Inalillah waina ilaih rajihhun
    Allah amlaze mahal pema😭😭😭😭

  • @masoudzanzibarali9994
    @masoudzanzibarali9994 4 роки тому

    Huyu Hasima sijui ndo nani ana Attitude ya hajabu kweli kwa mlivyo na Tale almost like family si ungesema kama mwenzeo tu Qeen kama mpo family kuliko kujiweka juu sijui hatupo ukaribu kiivyo kwa lipo kubwa ata usiseme tupo family, mana family sio lazima mzaliwe Tumbo moja mkiishi vizuri tu imetosha Kuunga Udugu, duh binadamu tunajisaau tukipata kidogo tu, Zarau sote za nini wakati sote njia ni Moja, Allah amlaze pema peponi 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @najmanajma-4765
    @najmanajma-4765 4 роки тому +1

    Hawa waandishi wanamaswali ya kijinga sana,poleni wafiwa Mungu awape subra

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 4 роки тому +1

    Daaah,kila kiumbe kitaonza mauti,masuali ya nini msibani???ndugu zangu

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 4 роки тому

    Hakuna kilio kibaya km kulia moyon babu tale analia moyo msishangae akaja kuanguka ghafla na yy

  • @jacobmasyaga1293
    @jacobmasyaga1293 4 роки тому +1

    Innallillahi lllaihi, Wainna llillaihi Rajioun! Pole Boss!

  • @alicekatabalo2102
    @alicekatabalo2102 4 роки тому +6

    Waandishi wanapenda swali la taarifa umezipata wapi hivi hii inasaidia ..jifunzeni maswali ya kuuliza khaaa mnaboa

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 4 роки тому +2

      Sijui walitaka taarifa mtu apate akiwa wapi hata siwaelewi, na akishakuwa uko wao sijui inawasaidia nini, mi ningekuwa mwanaume ningesema taarifa nimeipata nikiwa juu ya kiuno cha mkeo

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 роки тому +1

      @@vanessalaizer4363 kkkkk hatariii uko mlipo mnke tunaona mengi duuuuuh

  • @kelvinmichae728
    @kelvinmichae728 4 роки тому +1

    Mbona babu tale kama vle ana furaha? Yaan mke wangu afe niwe na furaha! Saizi nafikiri ningekua muhimbili. Kwa jinsi navyo mpenda mke wangu

  • @happynesskibona2679
    @happynesskibona2679 4 роки тому

    Pole Babu Tale jipe moyo Mungu akupe wepesiii uweze kupokea Msiba huo mzintoo

  • @habibasallah8139
    @habibasallah8139 4 роки тому +2

    Inna lillah wa inna illahim rajiun

  • @perrygeorges
    @perrygeorges 4 роки тому

    Wacha maswali za kiujinga, unauliza kila mtu the same question, Yaaani unatafuta Kiki kwa msiba, tafuta kazi ufanye na uwache kuharibia watu Data nkt

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 4 роки тому

    Innalilahi wa innailaihi rajiuun hayo ni maisha yetu subira tuitangulize masikitiko ni kuzidhulumu nafsi. Kifo ni ukumvusho na mafunzo tukumbuke kifo katika mambo yetu yote.

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 4 роки тому

    Yaani hakuna swali ngine zaidi ya Taarifa hii umeipata ukiwa wapi? Na ulichukuliaje? Jamani hii ni taarifa ya msiba huwezi kusikia uanze kucheka ni lazima usikitike tu Mtangazaji unakwama wapi leo?

  • @zahorhaidi4525
    @zahorhaidi4525 4 роки тому +2

    Inallillah wainalillah rajiunna pole sana family ya baba tale

  • @Elidandeb
    @Elidandeb 4 роки тому

    Huyu fala anahojiwa na bado anatafuna tu kama mbuzi. Reporter naye maswali ya kipuzi tuu wakati wa msiba nkt.

  • @khadijaoman4085
    @khadijaoman4085 4 роки тому +1

    Innalillah wainnailaih rajiun😢😢😢

  • @Mwarobaini
    @Mwarobaini 4 роки тому

    Jifunze kuseti Internet ktk simu za android bofya hapa ua-cam.com/video/Z7m_cJm0Nh4/v-deo.html
    10 Easy Fixes for Mobile Data & Internet Issues, Crick here ua-cam.com/video/G2Yh0mwD6NU/v-deo.html

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 4 роки тому +5

    Inna Lillah wa Inna Ilaihi rajiun
    Allah amrehemu
    Na awape subira wafiwa

  • @AmCool_
    @AmCool_ 4 роки тому

    Na tujiulize, mtu akifa huwa vipi? Yeye hujihisi vipi? Na huko anakokwenda atakuta nini? Na kitaendelea nini?
    Basi tusijisahau 🙏🏽🙏🏽

  • @fauziakitenge8061
    @fauziakitenge8061 4 роки тому

    Nanyinyi waandishi wa habar huwa mnafata nini msibani shenzy type watu wanalia nyie mko busy kuhoji watu

  • @abdulahihassankadir9770
    @abdulahihassankadir9770 4 роки тому

    Korona will kill u guys wacheni ujinga

  • @charlesmateso6571
    @charlesmateso6571 4 роки тому +1

    Babu tale pole sana kwa musiba

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 4 роки тому +5

    Hivi waandishi wa habari mna nini, habari ya gari ya Diamond na msiba wapi na wapi
    Alafu unauliza ameacha watoto sasa mnataka wawaambieje ebu waacheni kwanza

    • @awinojuju8522
      @awinojuju8522 4 роки тому +1

      Banaaaaee

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 4 роки тому

      @@awinojuju8522 wanakwaza sana eti ulipataje habari za msiba kha kuna mtu anapata habari za msiba kwa furaha sisi tusiomjua tumeuzunika wao wanaoshinda nae si zaidi yaani waandishi wasikuizi sijui hawasikilizagi walimu wao.

  • @nadiahussein5892
    @nadiahussein5892 4 роки тому +4

    Poleni na msiba Ila mtangazaji unakera na maswali yako

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 роки тому +3

    Innalillah wainaillah rajiun 🙏

  • @nattiemargie5663
    @nattiemargie5663 4 роки тому

    Eti kila mtu ningetamani kujua😡😡😡 wtf kwani lazima jamani??? Mfyuuuuuu

  • @hadijasalimu1808
    @hadijasalimu1808 4 роки тому

    Innalilah wa Innalilah rajiun pole ni sana ndugu zetu watanzania 😭😭😭😭😭😭😭😭😭+257

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 4 роки тому +4

    Umeona umuweke diamond ili tufungue sio

  • @RoseRose-qj5pw
    @RoseRose-qj5pw 4 роки тому

    Mbona wa tanzania munapenda mahojiano msibani si muache watu wazike ndio murudi muulize maswali

  • @hamisikalulumbe6857
    @hamisikalulumbe6857 4 роки тому

    Rip shammy mwenyezi Mungu akufanyie wepesi huko uwe ndako hakufanyie wepesi

  • @mariumpeter6147
    @mariumpeter6147 4 роки тому +1

    Pole sana Babutale Allah akupe nguvu

  • @aishafk5563
    @aishafk5563 4 роки тому +4

    Inna lillah waina ileyh Rajiun Allah Amlaze pema kwenye wema pamoja na walotangulia Aamin Allah akupe subra na nguvu Babu Tale na watoto

  • @zaitunishee4431
    @zaitunishee4431 4 роки тому +2

    Maskini poleni sana

  • @greatiq4649
    @greatiq4649 4 роки тому

    Madee umevaa tabasam si la kitoto!

  • @ramadhaniibrahim7456
    @ramadhaniibrahim7456 4 роки тому

    Poreni wasanii na uwongozi wcb

  • @rukiabari9431
    @rukiabari9431 4 роки тому

    Innalilah waina illah rajiun

  • @annastaziaflorian3770
    @annastaziaflorian3770 4 роки тому

    Jaman mngewaacha wazike kwanza
    Watu wanauchungu mnauliza maswali ya kijinga

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 4 роки тому

    Babutale am deeply so so sorry it’s too painfully really l can’t believe that really 😭😭😭😳😳💔💔💔

  • @mariamsuleiman1638
    @mariamsuleiman1638 4 роки тому

    Watu WA karibu hamu a Habari za kifo Ata hospital hamu kwenda inamaana huyu Dada hamukua nae karibu kwa maana ameolewa kwenu ndio maana hata hamuhuzuni

  • @editakivuti5887
    @editakivuti5887 4 роки тому

    Am very sorry,,, kwanini Niko na mafeelings zingine

  • @estasage5506
    @estasage5506 4 роки тому

    Huyo kapelekwa msukule tayari. Dah, dunia haina uruma.

  • @givennyenza9268
    @givennyenza9268 4 роки тому

    Pole sana bro kwakuondkewa na mke mungu ampunguzie adhabu ya kaburi

  • @franceyaraby4342
    @franceyaraby4342 4 роки тому

    R.I.P shamsa na mungu mbariki sana na mpe moyo wa busara sana babu tale

  • @hgdplatz6339
    @hgdplatz6339 4 роки тому

    Kuitazama video click
    💪💪
    ua-cam.com/video/EmGkqCwcPfI/v-deo.html

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 4 роки тому +1

    R.I.P Shamsa pumzika kwa amani tupo nyuma 😭😭😭

  • @jinaanhkareem3650
    @jinaanhkareem3650 4 роки тому

    Innalillah wainnaillah rajiun Polen Sana Mungu awatie nguvu ktk kipind hiki kigumu kwenu

  • @michaelmdoe9368
    @michaelmdoe9368 4 роки тому

    Waandishi wengine uchwara kinoma tena pumbavu nanusu

  • @bertywiththepeach3782
    @bertywiththepeach3782 4 роки тому +3

    Pole Sana’ 😥😥

  • @zahararajabu2714
    @zahararajabu2714 4 роки тому

    Simba abatuliwa na tembo

  • @yusufumbwene6845
    @yusufumbwene6845 4 роки тому

    Madee kazingua .....innah lil'llahi waiiiinnah illahi raaajiun

  • @setholivier4862
    @setholivier4862 4 роки тому +12

    Why are you asking too many questions bro

  • @janenguru6723
    @janenguru6723 4 роки тому

    Ooh I didn't know Babutale lost his wife..so sad May God strengthen the family and may her soul rest in eternal peace

  • @mwanaidinusra4248
    @mwanaidinusra4248 4 роки тому

    Innalillah wainnalillah rajiun poleni kwa msiba Allah ampe kauli thabiti uko alipo amiin

  • @zassyhushy4640
    @zassyhushy4640 4 роки тому

    Inna lillahi waina rajiun. Tumrudie Allah

  • @kulwahausi2406
    @kulwahausi2406 4 роки тому

    😭😭😭hakuna kipindi kigumu kwa mwanaume kama kufiwa na mkewe inauma sana

  • @beatricemapembe2595
    @beatricemapembe2595 4 роки тому

    Kwa kweli ni pengo kubwa kwa Tale. Mungu akupe faraja ya kweli

  • @ashuuyusuf3978
    @ashuuyusuf3978 4 роки тому

    Kifo hakina huruma...sote njia moja polen

  • @umranim5854
    @umranim5854 4 роки тому

    Inna Lilla wa Inahi rajuun sasa kaswida ya nini wakati wa mazishi mungu awahid yarab

  • @SJ-jf5qf
    @SJ-jf5qf 4 роки тому

    May God give you strength and the understanding you need through such a difficult time B. Tale,the children and family as a whole, it is well.
    Rest with the Angles Shammy.
    From +254.

  • @benedictionshabani7730
    @benedictionshabani7730 4 роки тому

    Mungu amulaze Mari peponi 😭😭

  • @sweetmelody9927
    @sweetmelody9927 4 роки тому

    Poleni sana

  • @martalositotiktok6590
    @martalositotiktok6590 4 роки тому

    Poleni wote

  • @masharubundevu3765
    @masharubundevu3765 4 роки тому

    Watangazaji masuala ndohayohayo chuo gn mmesoma nyie?