Mchungaji HANANJA Amfunika MASANJA Kuchekesha Mbele Ya WAZIRI Watu Hoi Kama Cheka Tu...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 159

  • @Iamwinningspirit27
    @Iamwinningspirit27 Рік тому +21

    Hananja real meaning of pastor anakutia moyo anakufanya unasahau stress 😅😅😅😅😅😅😅😅 nabarikiw sana na huyu mchungaji

    • @benernest5125
      @benernest5125 5 місяців тому

      Kweli kabisaa sio kama yale mahuni maongo na magaidi ya roho za watu!!
      HANANJA NAMPENDA SANA!!

  • @stephanomoses7694
    @stephanomoses7694 Рік тому +15

    Kwa mchungaj Huyu nisingekosa kanisan maana nikitoka nakuwa nime refresh sana

    • @Auntybetty_tz
      @Auntybetty_tz Рік тому

      Unajua wachungaji wengine wanang'ang'ania mahubili ya sadaka muda wote,,Ila huyu mzee anagusa Maisha yetu ya kila siku na changamoto tunazopitia,,ukweli ukimsikiliza lazima ufarike.

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 Рік тому

      Hata mimi

  • @daffagunda-rm3hj
    @daffagunda-rm3hj Рік тому +19

    Wapinga kristo poleni.mtaumia sana,ukristo una TAASISI nyingi sana,hebu njoo huku wewe mpinzani uonje raha hii.amen

    • @francofrederick972
      @francofrederick972 Рік тому

      Kila aliehai hai bado neema inamuhusu, injili zakuhukumiana zaweza kuwa tanzi Kwa muhusika zikiendekezwa

    • @Khamisbuda-oy3ow
      @Khamisbuda-oy3ow Рік тому

      Subuhanallah unapotea ndugu yang ila had siku yako ya mwisho ndy utakuja kujuta baada mauti

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 Рік тому +1

      anavichekesho vya kurudia rudia, na kukashifu waislam

    • @MomadeMohammed
      @MomadeMohammed Рік тому

      Ukafiri

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 9 місяців тому +1

      Ameeeen ❤❤❤kuna raha kabisa

  • @thomasjohn7176
    @thomasjohn7176 Рік тому +16

    Una madini sana MCHUNGAJI. Mungu akubariki sana

    • @williamkavuta8066
      @williamkavuta8066 Рік тому +1

      Anatuchekesha ila ana ongea point nyingi kwa muda mchache

  • @WillamChonya
    @WillamChonya 6 місяців тому +1

    Mchungaji hananja we moto mungu akubariki mnoo

  • @PaschalChowe
    @PaschalChowe 4 місяці тому

    Mungu akubarikie kazi yako amina

  • @OmarryRashid
    @OmarryRashid Рік тому +13

    Kiukweli hatamm omari bakari nakupenda Sana lakini huyumzee anakichwa chenye maneno yamoto yenyefuraha mzee hananja no hazina kubwa kwa wakiristo mkimpoteza mtamkuka Sana mungu tutunzie huyu baba

  • @akberyuda5950
    @akberyuda5950 Рік тому +1

    BWANA YESU KRISTO ANATISHA ANAVIFAA KWELIKWELI❤❤❤

  • @rittaaziz4470
    @rittaaziz4470 Рік тому +7

    WOOOW MMESHAANZA CHURCH ON FIRE!!! CONGRATULATIONS SN MAY THE LORD N GOD BLESS IT ABUNDANTLY WELL. I HAD HEARD THIS LIKE 6DAYS AGO AND I WAS REALLY LOOKING FOR THIS.
    IAM SOOO HAPPY TO SEE YOU LILIAN N MASABJA WITH PST RICHY. GOD BLESS U SANAAAA
    MUNGU ATENDE MAMBO MAPYAA MAZURIII KWENYE HII PROGRAM AMEN❤

  • @shizoshop2469
    @shizoshop2469 6 місяців тому

    Hananja ni comedian pure 😂😂😂😂

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 Рік тому +3

    Masanja humuwez hananja hata kidogo.. namkubal hananja mbaka bas😅😅😅😅

  • @Rai_online_tv
    @Rai_online_tv Рік тому +10

    Best of all time

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 Рік тому +24

    Huyu mchungaji afungue UA-cam channel yake, Mzee anafurahisha sana

  • @DoreenLembriss-xd1bz
    @DoreenLembriss-xd1bz Рік тому +5

    Jaman mchungaji alivyo simama sasa 🤣🤣🤣

  • @PendoFelix-mn8lg
    @PendoFelix-mn8lg 4 місяці тому

    Hadi raha

  • @magdalenamynusic5831
    @magdalenamynusic5831 Рік тому +1

    Baba Mungu akutunze. Mistari ya biblical umeiweka kichwani. Wewe ni jembe baba

  • @barakakomondawa2767
    @barakakomondawa2767 Рік тому +4

    Mm napenda huyu mchungaji sana

  • @venfreysand8835
    @venfreysand8835 Рік тому +10

    Huyu mzee anakuwag na madini sanaa

  • @MartineSulle
    @MartineSulle 6 місяців тому

    Nawakubali watu WA mungu awabariki

  • @GIDEONMWANGI-cn7ul
    @GIDEONMWANGI-cn7ul 8 місяців тому

    Nice one

  • @deblacktz2981
    @deblacktz2981 8 місяців тому

    Pastor Hananja shikamoo

  • @BarakaPaulotzsiria-
    @BarakaPaulotzsiria- 7 місяців тому +2

    Hananja oyeee😂😂😂😂😂

  • @JastiniJastinlobati-dk2br
    @JastiniJastinlobati-dk2br 7 місяців тому

    Mungu akubaliki

  • @DeborahMwakibete
    @DeborahMwakibete Рік тому +3

    Huyu mchungaji namuelewa sana

  • @AbdulJoseph-m9o
    @AbdulJoseph-m9o Рік тому +1

    Nakubali m2mishi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @waltersesuru43
    @waltersesuru43 Рік тому +5

    Amina mtumishi

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Рік тому +4

    Naomba mwenye namba ya Mchungaji Hananja pls

  • @calistusmahombo-ty8ni
    @calistusmahombo-ty8ni Рік тому +2

    Adhabu zimetolewa tayari Kwa Wenye Mizaha. Mithali 24:1, 19:29 au?

    • @joubaplay
      @joubaplay Рік тому

      Kuna tofaut kat ya mizaha na utani 😅

  • @gideonivenusi
    @gideonivenusi Рік тому +1

    ❤ safi sana

  • @TumainiENgasa
    @TumainiENgasa 7 місяців тому

    Amen pastor masanja

  • @WilliamPeter-ky7sx
    @WilliamPeter-ky7sx Рік тому +6

    Mchungaji Ananja ana kipawa kweli.. mistari ya Biblia inatoka kichwani dah!!!

  • @neemajackson7756
    @neemajackson7756 4 місяці тому

    Tulia😊😊

  • @msafirijaffary7089
    @msafirijaffary7089 Рік тому +2

    Hapa mwisho umezingua mzee na kuthubutusha kuwa kweli ulikuwa Teja, unapoongelea mambo yanayohusu Imani Yako usikebehi wala kudhihaki Imani za wengine kwa maana siku unaowakebehi watakuja kukebehi Imani Yako na huenda isiwe nzuri kwako au kwa unao waongoza 🤐

    • @jojosky337
      @jojosky337 Рік тому +1

      Mbona hajakebehi acha kudadavua tofauti

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd Рік тому

    Amen mtumishi wa Mungu

  • @RoseDaud-e5n
    @RoseDaud-e5n 7 місяців тому +1

    Vizur

  • @FaresHabel
    @FaresHabel Рік тому +2

    Kweli

  • @justusngonyani165
    @justusngonyani165 7 місяців тому

    Yesu ni njia.

  • @wizlonoug
    @wizlonoug Рік тому +1

    Hananja na masanja mmetofautiana hn...ms...2

  • @Dunia129
    @Dunia129 Рік тому +7

    wanadam wengi wanapenda mizaha kuliko ukwel

  • @dicksonNyaulingo-zr8dn
    @dicksonNyaulingo-zr8dn 8 місяців тому

    Hananja nakukubali from r mbuyuni iringa

  • @mwandisimfukwe326
    @mwandisimfukwe326 Рік тому +6

    mmh! mzee Mungu akutetee

  • @joely22
    @joely22 6 місяців тому

    Uyu senga kweli

  • @listerlugisho52
    @listerlugisho52 Рік тому

    Noma

  • @fredanunda7719
    @fredanunda7719 Рік тому

    Huyu mchungaji ni kakaye mzee majuto???😂😂😂😂😂😂ah!! Maneno jamani yatiririka kama maji ya mfereji😂😂😂 anachangamsha

  • @sebastiannyenza9140
    @sebastiannyenza9140 Рік тому +3

    Hongera Sana mtumishi wa Mungu naomba namba yako mi Nipo kibamba

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Рік тому +16

    Abraham angesubiri, asimparamie Hajiri tusingepata Boko Haram na Alshabab 😂😂😂😂😂😂

  • @jojosky337
    @jojosky337 Рік тому

    Ameeeeen Mchungaji🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @nassjr6566
    @nassjr6566 Рік тому +5

    Ila waha wanapg pesa za wezao

  • @changarawemichael5556
    @changarawemichael5556 Рік тому +8

    Mchungaj wa kweli

  • @kelvinwilliam8136
    @kelvinwilliam8136 11 місяців тому

    Sema usikivu hauko vizuri ila naamini audience hawakujuta uwepo wa mchungaji hananja katika jukwaa

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 Рік тому +8

    comedian aliyekosea barabara, inawezekana wazazi wake walimlazimisha

  • @Twisokahebo-sr9ic
    @Twisokahebo-sr9ic 7 місяців тому

    Ubalikiwe baba

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 Рік тому +10

    Yani kwanini asiwe anapewa scenes za mzee majuto 😂😂😂

    • @prophetzakayomkemwa5154
      @prophetzakayomkemwa5154 Рік тому

      Kwakweli hapo umenena akaigize ila kwa UPANDE kazi ya MUNGU akapumnzike

    • @victorbugobola2276
      @victorbugobola2276 Рік тому

      Et kwl na kufanana wanafanana na KingMajuto nayo point sema tu

    • @emmanuelerasti2405
      @emmanuelerasti2405 Рік тому +1

      @@prophetzakayomkemwa5154 kwan wewe unataka apumzike kama nani? Kwan wewe ndo umemkitimia hicho kipawa? Tujiulize Kabla ya kunena

  • @IbrahimMwaipaja-v9h
    @IbrahimMwaipaja-v9h 5 місяців тому

    ❤❤❤

  • @williamkavuta8066
    @williamkavuta8066 Рік тому +27

    Uwezo mkubwa kwa kakariri mistari ni ajabu mnooo huyu ni hazina tunamchukulia powa

    • @amouralshabiby7543
      @amouralshabiby7543 Рік тому

      Waislamu huwa wanahifadhi quran nzima ( msaafu wote) !!! Sio kukariri hapana !! Ni kuhifadhi

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Рік тому +2

    Sasa apo ndio kanisani au wapi

  • @TheresiaZimlinda-x4f
    @TheresiaZimlinda-x4f Рік тому

    Mzee Hananja apewe mauwa yake,
    Na mwisho wa siku achongewe sanamu lake

  • @KonzoOraphy
    @KonzoOraphy 11 місяців тому

    Amen

  • @VeryniceSumayan-r7w
    @VeryniceSumayan-r7w Рік тому

    Yaani hawa wanatosha kuwa wasanii wa Tz jamn

  • @twahamdoe5730
    @twahamdoe5730 Рік тому +5

    Mnatumalizia mb zetu uyu mchungaji mpeni ulinzi ila nawaambia kitu uislam ndio dini ya haki

    • @alenialex6941
      @alenialex6941 Рік тому

      #twahamdoe5730 si nyie mnaofilana Zanzibar na nchi nyingi za kiarabu au

    • @peninanyaki1639
      @peninanyaki1639 Рік тому +1

      Yahaki kwa nafasi yake...din yakwelnikumjua mungu

    • @361NEWS
      @361NEWS Рік тому

      Imani ni bora kuliko Dini.

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 Рік тому

      Sasa kweli nyoko kweli kwani hapa limekujaje hilo la uislam?

    • @lucasthomas188
      @lucasthomas188 Рік тому

      ​@@peninanyaki1639 swadakta

  • @NikawaidaYetu
    @NikawaidaYetu Рік тому +1

    🙏🙏🙏✍️

  • @Alphakadege-m2j
    @Alphakadege-m2j Рік тому +1

    Sioni Kama ni sawa

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 6 місяців тому

    Usaniiii tuuuu

  • @halimazahoro8467
    @halimazahoro8467 Рік тому +4

    Amen 🙏❤

  • @ernestmshanabakari1352
    @ernestmshanabakari1352 Рік тому +12

    Mzee wamadini

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 Рік тому +7

    Huyu baba kiboko kwakweli

  • @lambickmanda9125
    @lambickmanda9125 Рік тому +5

    Iyo hospitali ni MLOGANZILA

  • @sashaskasha483
    @sashaskasha483 Рік тому +3

    Huyu ni comedian asiyetumia nguvu😂

    • @OmarryRashid
      @OmarryRashid Рік тому

      Shasaskasha hatajina lakolenyewe bovu lazima hata Lili ya nimbovu kwasababu hunaheshima kwa wakubwa hivyoóo nilaana kwako

  • @davidmisiwa4622
    @davidmisiwa4622 Рік тому +6

    Ahahahaaaaaaaaaaaa 😂😂😂😂

  • @DigonzaKeimbe-uq1bx
    @DigonzaKeimbe-uq1bx Рік тому +2

    🙏🙏🙏

  • @jacksonkaale.
    @jacksonkaale. Рік тому +1

    Huyu ananja aende Cheka tuu.

  • @isayalemberua9195
    @isayalemberua9195 Рік тому +1

    hahahahahahahaha jaman ndugu zangu kajukuweni mboga kwenu jaman

  • @DeborahJaphethLaiser-is2ps
    @DeborahJaphethLaiser-is2ps Рік тому +2

    Ila kumbukeni mbingu haina mizaa kueni makin hapa.. Mungu hayupo kwenye mizaa.. hapo siwatii moyo kabisa

    • @GoodLuck-x9i
      @GoodLuck-x9i Рік тому +1

      Hapo mzaha uko wapi?

    • @DeborahJaphethLaiser-is2ps
      @DeborahJaphethLaiser-is2ps Рік тому

      @@GoodLuck-x9i Wala Mungu hafurahi hata kidogo

    • @DeborahJaphethLaiser-is2ps
      @DeborahJaphethLaiser-is2ps Рік тому

      @@GoodLuck-x9i mizaa mingii watu kucheka sio ndo tusema Mbingu zinafurahia... Ngoja wakati wa unyakuo ndo utaelewa vema sai Bado hamjatambua... Karibu Kristo Yesu anarudi tengenezeni mapito yangu na njia zenu ziwe sawa kwa Bwana.. vaeni viatu muwe tayari.... Wokovu wa kweli ni toba

    • @DeborahJaphethLaiser-is2ps
      @DeborahJaphethLaiser-is2ps Рік тому

      @@GoodLuck-x9i mwanadam kukusifia sio sifa.. wacha mbingu zikufurahie wanadam wasifurahi sio mbaya

    • @DeborahJaphethLaiser-is2ps
      @DeborahJaphethLaiser-is2ps Рік тому

      Maana wanadam hawana mbingu za kukupeleka

  • @gracemlihano3971
    @gracemlihano3971 Рік тому +4

    Anakitu atafika mbali

  • @saidissa8273
    @saidissa8273 Рік тому +2

    NASHANGAA HAPA NI KANISANI AU VICHEKESHO?

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 Рік тому +5

    Masanja ushampata katibu mwingine? Kama hujampata nije kuwa katibu.

  • @EliasGervas-jb6rd
    @EliasGervas-jb6rd Рік тому

    😢

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 Рік тому +1

    Msipo slimu kuwa waislam mtakwenda kulia hamtaamini macho yenu

    • @AnnoyedCobra-lq7fb
      @AnnoyedCobra-lq7fb Рік тому

      😂😂😂

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому

      Kwani uislamu Nini wewe Mungu anaangalia moyo matendo yakumpendeza na kutii Sheria zake hizo Dini Ni mipango WA mwanadamu watu kumtafuta Mungu na Mungu Ni Roho

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 Рік тому +1

    Mchungaji Hananja anastahili kuitwa Profesa wa Bible.

    • @samsonhamery3809
      @samsonhamery3809 Рік тому

      Hakika alistahili Sana lakini hizi za Taasisi za Kikristo zinawamwagia wachingaji na mManabii shahada za U-Dokta hata sala wanasoma kwenye karatasi hawewezi hata kumdu sala ya rohoni hivi huyi Mchungaji Hananja ambaye Biblia imejaa kichwani mwake,anaweza kuhubiri kwa kusoma mistaho ya Bibli toka kichwani mnamnyima hata shahada ya Doctar of Doctrine (DD) au Doctor of Bible Knowledge (DB)

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 Рік тому +1

    Hananja karibu njombe tunakupenda in njombe

  • @Lyro6390
    @Lyro6390 Рік тому +1

    ,🙏🙏

  • @haongaaloyce7207
    @haongaaloyce7207 Рік тому +3

    😅😅😅😅😅

  • @OmarryRashid
    @OmarryRashid Рік тому +2

    Ww manage libelatus unamatatizo ya akili nenda kwenye dini yako ya sheta kamaulivyo na maneno yakishetani kwamaana huna adabu kwa wakubwa hivyoóo no laana kubwa kwako

  • @chulelubella2819
    @chulelubella2819 Рік тому

    Huyu mzee ni mhuni watu wanadai ana busara gani mvuta bangu no1 KKKT

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому

      Hujui utendaro Mungu akusanehe umefungwa ufahamu

    • @chulelubella2819
      @chulelubella2819 Рік тому

      @@tinnahagustinolyelu4247 mpuuzi eti nimefungwa fahamu wewe ndio umefungwa fahamu hauoni kati ya mtumishi wa kweli na wa uongo

  • @muhammednassor690
    @muhammednassor690 Рік тому

    Piga hela zako masanja

  • @ErickRichard-nw9ry
    @ErickRichard-nw9ry Рік тому

    😂 😂

  • @abelbilia4450
    @abelbilia4450 Рік тому +2

    Kiukweli masanja ww ni tapeli kbs ludisha pesa yangu

  • @mustaphamudhihiri-im7sg
    @mustaphamudhihiri-im7sg Рік тому +1

    😂

  • @ErnestinaKisinga
    @ErnestinaKisinga Рік тому

    Uislamu nini!mbona dhambi anatenda kama Kawa,hao hawajaokoka kama wewe

  • @Didah-x2f
    @Didah-x2f Рік тому +4

    😂😂😂😂😂😂

  • @safarimallya4536
    @safarimallya4536 Рік тому +3

    Yaaan wewe aisee

  • @mcarbonic0rg211
    @mcarbonic0rg211 Рік тому +1

    Ni stand up comedy
    Kwa mukhtadha wa Church hakuna dini inayo kubali mzaha mzaha
    Hapo mwisho umeyumba mzee dhihaka sio njema hasa kwa imani isio kuhusu
    Nakumbusha imani sio kitu cha kuchezea
    Hukupaswa kusema hayo.
    Ingefaa utuombe radhi

  • @JamesMawinda
    @JamesMawinda 5 місяців тому +1

    Kibokoya wachawi

  • @andrew29468
    @andrew29468 Рік тому +3

    Uwezo mkubwa wa kushika mistari kwenye bible ni jambo kubwa mnoo na naamini ni kipaji kikubwa

  • @annaemidi8049
    @annaemidi8049 Рік тому +2

    👨🏻‍🎨😁😅😄😂😂🔥🙏

  • @mariakabesha3718
    @mariakabesha3718 11 місяців тому

    Pale Comedian wanapokutana kukusanya sadaka

  • @meshack3266
    @meshack3266 Рік тому +3

    Masanja nimekumaind mnafiki wewe eneo dog alijenga babako

  • @GoodAilon
    @GoodAilon 8 місяців тому

    😂

  • @josephkahindi1713
    @josephkahindi1713 Рік тому +2

    😂😂😂