Haleluya. Mimi siyo msabato lakini ninapenda sana kumfuatilka Mch. Mbaga na mafundisho mbalimbali anayotupa wana wa Mungu. Mungu aqabariki sana kqa kipindi kizuei cha maswali na majibu.
Kupenda Ni mpaka ujue kupenda lakini kama hujui kupenda hata kama unapenda hutajua kupenda..🤔 kumbe kupenda Ni mpaka ujue..HIVI WATU WANAPENDWAJE..????👌👍
Pastor i wish i knew this before, a man married me for only 3 years and he left me with 2 sons, i have been struggling to raise them alone, pastor please niombee napenda kuolewa tena 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Haleluya. Mimi siyo msabato lakini ninapenda sana kumfuatilka Mch. Mbaga na mafundisho mbalimbali anayotupa wana wa Mungu. Mungu aqabariki sana kqa kipindi kizuei cha maswali na majibu.
Nabarikiwa sana PASTOR na namna ya ufundishaji wako BWANA akuzidishie maisha marefu
Amina kabisa na Mungu atukuzwe milele asante mchungaji nimejifunza sana
Amen..... Nabarikiwa sana na mafundisho yako yananikuza sana kiroho.....ubarikiwe Mch Mmbaga
Hv mbaga ni mtu wawapi
Amen Pastor we are blessed with this preaching...Thanks.
Amen
Bwashe Kuna Vito kichwani mwako mungu amekubariki
Ninazidi kubarikiwa na mahubiri yako niombee nilipende neno la Mungu ubarikiwe sana kwa mafundisho hayo
Amina. Pastor nimepata kitu hapa.ubarikiwe sana kutuelimisha.
Nimepata point maalum Mchungaji.
Asante sana maana nimeelewa kitu
Nduu hatar
asante mtumishi kwa elimu nzuri ya kuishi vizur na ndoa zetu nimebarikiwa sana
Pastor Mbaga Mungu akutunze
Mtumishi Mungu Akubariki sana yani mfudisho yako yako sawa kabisa Asante Mungu kwa mtumishi wako.
Muku akutunze pastor Mbaga.Karibu Wilaya ya Songwe
Ubarikiwe sana pastor mafundisho yako yana baraka sana
Pastor,,, we fundi sana yani.... Kusoma psychology kuna saidia sana, huwezi kuchoka kusikiliza mafundisho yako,,, nabarikiwa sana
ubarkiwe sana mtumishi
Mungu akubariki mtumishi nabarikiwa na mafundisho yako sana
ee mwenyezi mungu nipe hekima na busara👏
Mungu akubariki mchungaji kwa somo zuri sana.
Hii hekima uliyonayo sio ya dunia hii Bali ulipewa na mungu mwenyewe mungu akubark Sana umenifungua macho
Eeee Mungu nisaidie mimi kwakweli
Nimebarikiwa sana Mungu akubarik sana. Sijui unapatikana wap mm mgen hum
Asnte
Ubarikiwe sana,Nina changamoto kali,nikupateje unishauli
Safi sana mungu akupe uzima ili uzidi kutoa elim...
barikiwa sana mchungaji kwa mafundisho mazuri mungu azidi kukutumia
Nimeipenda Mkuu
Tafuta hekima.
Tafuta busara,
Tafuta akili.
Hekima INA nguvu,
Hekima itakuketisha na wakuu..
Hekima itakupa Mali(itakutajirisha)👏👏👏👍👌🙌🙏
Amen
Asante Sana
MUNGU atukuzwe kwa somo zuri sana
Download App inayoitwa Maombi kwenye play store yako
Thanks pastor With the lesson that build people spiritually (wisdom and knowledge)
Paster nakushukuru kwa mafundisho yako yanabariki
Ubarikiwe Sana pastor, ujumbe mzuri..
Paster kuniombea ninavutiwa sana mahubiri yako
Ahsante Mchungaji Mungu akubariki sana tupo pamoja
Mungu akubariki sana pastor
Barikiwa sana mchungaji nimejifunza kitu
Ahsantee mchungaji nimejifunza kitu leo
ubarikiwe sana pastor nimeyapenda mahubiri yako
Mungu wetu alie hai azidi kukupanguvu ktk kaz yake njema mtumish mbaga
Mungu nipe nguvu ya ufamu
Asante baba unanibariki nataman hata ningefaham unako patikana unipe ushaur
Umekwama au
Amina pastor
Nakuelewaga sana PR mbaga ubarikiwe sana
Be blessed man of God
Hekima na maarifa 👍👍 points taken
Asante mchungaji..amina
Kupenda Ni mpaka ujue kupenda lakini kama hujui kupenda hata kama unapenda hutajua kupenda..🤔 kumbe kupenda Ni mpaka ujue..HIVI WATU WANAPENDWAJE..????👌👍
Mungu yu mwema,tupati busara baba
Hakika Mungu ni mwema naomba Mungu anipe hekima
Mungu hakubariki mtumishi
Ubarikiwe san pastor
Asante pastor
Mungu asifiwe, umeisaidia sana ku suluisha tatizo yangu.kwa anzia sasa ivi nimepata solution. Mungu akubariki.
Amen
mungu anipe loho mtakatifu aniongoze katika jiya yakweli
Mungu akubariki mchungaji wangu.
Kwa kwl nimebarikia🙏
MUNGU ni upendo, yeye asiye na upendo hamjui MUNGU
Lekasi
Ubarkiwe pastor
Barikiwa pasta nimekupata
Ubalikiwe
Mchungaji mm napenda Sana kuwa mwana saikolojia
Mafundisho yako mazuri sana nimeyapenda
Mungu akubariki sana
LINA MATAGI a
Barkiwa pasta
Baba nimepokea hilo. nabalikiwa
Blessed
Iko powa
Mungu akunariki sana mbaga
Uko vzr
Napenda sana mafundisho yako kwa sbabu nimejifunza mambo mengi katk ndoa yang
Roz Adada amen
Pst unajenga Sana maisha yangu
Amen, in god I believe
Mafunzo mazuri sana asande
AMEN AMEN AMEN AMEN thanks 👍
asante sana nimejifuza mengi sana
AMINA
Kwakwelimchasante🎉😊🎉🎉🎉🎉😊😅
ubarikiwe sana MTUMISHI
Asante kwa kufungua ufahamu wangu
Thanks you sir
Sabato ni kwaajili ya mwanadamu na Si mwanadamu kwajili ya sabato inamaa gani muchungaji nashidwa kuwelewa nifafanuli tafadhali
Dr Myles Munroe speak all about this
Exactly, He is his student!
Hatari Sanaa
Kwani mpira wa miguu Una ubaya gani Mchungaji?
Mungu aniongoze kuwa na akili ameeen
Asante sana pr
In fact mtumish
Mungu akubariki
Nice lesson
Asante sana mchungaji
Kweli nimejifunda namuomba Mungu aniadae kuwa mke mwema kwa mme wangu simufahamu ila najua yupo Mungu anamwanda nisaidie Mungu
Roseline John Mungu akupe haja ya moyo wako
Ameni
Roseline kwa hayo maneno inamaanisha tayari una hekima Mungu akubarki nataman nami pia nipate mke mwenye busara kama ww
Amina kubwa❤❤❤
Hakika Mungu nijalie nije kuwa mke mwema , na mwenye hekima ya Ki-Mungu kwa Mume wangu mtarajiwa.
2021 💝
Ee Mungu tujalie maarifa,hekima akili na busara..
Mungu akubariki umeniponya
Pastor i wish i knew this before, a man married me for only 3 years and he left me with 2 sons, i have been struggling to raise them alone, pastor please niombee napenda kuolewa tena 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akupe haja ya moyo wako
@@MahubiriPrMmbaga amen
Pastor, kwa nini tusicheze mpira wa miguu?
Ameni
Very true AMEN
Hallelujah! 🤲
Mungu akubariki sana pr..! Somo limenibariki mno.
Esther Sylivester Amen
Ubarikiwe mchungaji somo lako nimelierewa
Ubarikiwe
Asante Sana
AMEN
nakuelewaga sana pastor
Yaan nilivyoanza sikiliza hili somo nime confused ila kidogo nikamwelewa sanaaa aisee huyu pastor kaenda shule mbali na karama yake
Amen
Amen mutumishi wa Mungu