Amen, nimebarikiwa na somo hili na nimeamua kubadilisha mtasamo wangu ki imani kilamala nikisiliza fundisho lako pastor ninaskia kuna nguvu mpya inaingia nafsini mwangu barikiwa sana umeokoa maisha yangu
Brethren akili za Mungu hazichunguziki. Huenda jinsi ulivyo ndivyo Mungu ashakuweka sawa ila hutaki kuamini kua uko sawa ndio maana bado unahangaika kutafuta muujiza. .
Bana asifiwe Mimi Nina shida yakuijua luga ya kireno nimemaliza miezi 8 Niko msumbiji sijaijua bado luga ya kireno naombeni msaada nifanyeje au kama kunadawa naombeni mnielekeze pia naomba uniombee mtumishi wamungu mbaga
Mchungaji mi nataka niulize swari binadamu wa kwanza kuhumbwa na MUNGU wa kweli alikuwa wa rangi gani? Na kama alikuwa mweupe weusi walitokea wapi? Na kama alikuwa mweusi weupe walitokea wapi? Naomba unijibu kwa mujibu wa mafungu biblia
Bwana Yesu asifiwe. Mungu ni mtamu kuliko asali, hallelujah. Nimeona mkono wake wa ajabu katika maisha yangu
Amina
Ameeen ubarikiwe mwokozi
Mm sio mfatiliaji mzuri wa wahubiri ila kila nikiona picha za huyu pastor youtube lazma ni click niangalie mahubiri yake
Barikiwa
Aminaa pastor barikiwa Sana.
Naomba uweke SoMo linalohusu kujipamba
Nabarikiwa sana na mafundisho yako pastor Mbaga
Nakushukuru Mungu nilikuwa katika jaribio Fulani nimepata faraja na amani na Niko imra ktk wew Mungu niwezeshe
Amen, nimebarikiwa na somo hili na nimeamua kubadilisha mtasamo wangu ki imani kilamala nikisiliza fundisho lako pastor ninaskia kuna nguvu mpya inaingia nafsini mwangu barikiwa sana umeokoa maisha yangu
Ubarikiwe sana
Powerful sermon, Pr Mmbaga.
Nabarikiwa na mafundisho yako,maanaa haya ni zaidi ya mahubiri🙏🙏🙏🙏🙏 Mungu azidi kukuweka tu kipenzi Cha waumini wengi
Amina, barikiwa pastor Mmbaga na mahubiritv
Asante mtumishi ww ni mwalimu na mchungaji mwema Mungu aendelee kukutunza Amen 🙏
Amina, Hakika Bwana ni mwema kila wakati, anisaidie kuishi kwa lmani nyakati na majira yote.
Amina somo nitamu sana limenibariki,Pr David Mmbaga Mungu akubariki sana.
Asante sna mtumishi Mungu atutangulie kwa kila jambo
Nimebarikiwa na somo, be blessed pastor Mmbaga
Hakika pastor Mmbaga imani yangu imekuwa
Mapenzi ya Mungu na yatendeke katika maisha yetu. Amina🙏
Asante kwa Somo zuri,kuanzia Sasa nimebadilika kiimani....sitaki kumtumia akili yangu mwenyewe...ubarikiwe mchungaji
Nakuelewa Sana mwalimu wangu,Mungu akubariki
Mungu wetu anatuwazia mema. Amina mchungaji.
Mchungaji nimeiona nikushirikishe katika kumwombea kaka yangu anasumbuliwa na presha ! Naamini kuwa ukimwomba MUNGU unaemtumikia atatenda
Mungu wa Mbinguni amponye. Japo mimi sio mhusika nimeguswa kumwombea. MUNGU ASIYESHINDWA AMGUSE AKAWE MZIMA KWA JINA LA YESU
@@namsifumaduhumwita2495 Amina dada Namsifu nakupenda bure na nyimbo zako na unavyoimba! Barikiwa na familia yako!
Mungu amponye na kwa imani atapona usijali
Hakika mungu ni muweza wa yote amin tu naye atatenda barikiwa pastor David mbaga
Aminaa barikiwa sana pastor Mmbaga
Napenda hekima yako mchungaji.
God bless you
Mchungaji naomba uniombee nasumbulia na maumivu tumbon yana nitesa sana pia ninauvimbe shingon naaiman ukiniomba mungu atatenda
Pastor mungu akuzidishie hekima uzid kuwabariki wengi
AMINA🙏🙏🙏🙏nimebarikiwa sana na hili somo kabla nilale siku ya leo.barikiwa sana mchungaji🙏🙏💞🙏💞🙏
God is a promising father. He has good plans His time is the best.
Nimebarikiwa sana ....Barikiwa sana Pastor
Ni kweli kabisaa ukimsamehe mtu moyo wako unakua na amani asante pst
Like your sermons pr ,endelea hivyo tu mungu awe nawe daima
Nazidi kubarikiwa kwa neno la Mungu
Amina pasta
Somo Zur
Asante mchungaji Mmbaga,udumu milele,
Amen love you pastor mmbaga
Waaah aki vitu umeongea hyo n mm kbx lkn nmeamini kwsnzia sahii mungu anisaidie
Baba nazid kubalikiwa kwa maombezi yako
Nimebarikiwa sana na hubiri hili..Amen 🙏🏽🙏🏽
Amen
Bwana akubariki mchungaji
Amina, na asante kunifumbua pr, ubarikiwe
Hallelujah Amen be blessed
Namshukuru Mungu maana amenipa ushujaa. Miungu aendelee kunisimamia. Unajipa self love ndio manage mzimaxwa kumshinda adui🙏🤲🙌
jÀbBNn N bNbnb
Napenda mahubiri yako mchungaji nipo kenya
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Amen amen
Mungu akubariki sana
Umenibariki Sana pastor Mmbaga
Ubarikiwe sana basta mjungaji mbanga
AMEN AMEN
Ujshi miaka mingi mchungaji mmbaga nabarikiwa moyoni mwangu
Asante kwa mafunzo🙏
Amina mchungaj nimekuwa nikikufuatilia mahubili yoko
Mungu ni mwema wakati wote.
Amina mchungaji nabalikiwa Sana na mahubili
Asante mchungaji
Brethren akili za Mungu hazichunguziki. Huenda jinsi ulivyo ndivyo Mungu ashakuweka sawa ila hutaki kuamini kua uko sawa ndio maana bado unahangaika kutafuta muujiza. .
Hakika bwana ni mwema wakati wote!
Ameni
Amen
Amina. 🙏
Ubarikiwe Mtumishi 🙏🙏
AMEN
Ameen
❤❤❤❤ amina
Ubarikiwe Pr
Natiwanguvu kwa mafundisho halisi Mch. Mmbaga
Amina amina
Nabarikiwa
Na Mimi pia naomba somo hilohilo lakujipamba yaani kujiremba
Busu la take 2 limeniacha hoi😂😂😂
Amen 🙏 🙏
Hakika mungu akuledi always
MUNGU atusaidie kweli
Baraka tele mtumishi
🔥🔥
Amina
🔥🙏🙏
Amen amen be blessed
Pastar nipatie no zako nahitaji maombi yako pastar
Indeed God knows the plans for everyone of us.
Vjjb
Umenipa ujasiri tena baba
🙋🏽♂️🙋🏽♀️🙋🏽♀️🙋🏽♂️🙋🏽♂️🙏🙏
Somo limenichelewaa nilishaharibu
Bwana awe nawe PR.
Ok
Bana asifiwe Mimi Nina shida yakuijua luga ya kireno nimemaliza miezi 8 Niko msumbiji sijaijua bado luga ya kireno naombeni msaada nifanyeje au kama kunadawa naombeni mnielekeze pia naomba uniombee mtumishi wamungu mbaga
Mungu akupe haja ya moyo wako
No I'm
Mtumishi mbaga nisaidie number yk plz,
Mchungaji ubalikiwe
Sawa mchungaji
Mchungaji mi nataka niulize swari binadamu wa kwanza kuhumbwa na MUNGU wa kweli alikuwa wa rangi gani? Na kama alikuwa mweupe weusi walitokea wapi? Na kama alikuwa mweusi weupe walitokea wapi? Naomba unijibu kwa mujibu wa mafungu biblia
Walitoka Kwa Mungu soma kitabu cha mwanzo kuanzia sura ya kumi yote
Mtumishi naomba maombi katika mapito yangu nabarikiwa sana
@@backlinemgongolwa568 Nina shida na no ya mchungaji
Ameen
Amen amen
Ubarikiwe Mtumishi 🙏🙏
Amen🙏
AMEN
Amina
Amen
Namushuru mungu aliyekupa kipawa hiki kwakweli usinisahau unapo ombea wagonjwa.
Amen Amen
Amen
Amina