naomba kutoa shukurani zangu za dhati kwenu ndugu na marafiki ktk Bwana kwa upendo mkubwa mnaonionesha hii si kitu kidogo kwangu. Inanipa nguvu sana ya kukaa miguuni mwa Mungu kumwomba usiku na mchani anipe neno kwa ajili yenu wana wa Mungu. NATAMANI KILA NENO LITOKALO KWENYE KINYWA CHANGU LIKA MHUDUMIE MTU POPOTE ALIPO.Asante sana wadau wangu
Hongera sana mtumishi wa Mungu kwa tunga nyimbo nzuri zenye ujumbe mzuri sana nimezisikiriza nyimbo zako zote nimezipenda sana zinaujumbe unaingia kinywani na moyoni uendelehe kubarikiwa 1:49
Usinyamaze daddie... Woooh dada ume barikiwa nyimbo zako zanitia moyo.. Woooh I love the song, I. Love the voice, utaenda mbali, kwa nyimbo zako Mungu akupe kibali
Come on Jehova say a word i am waiting for you . Listen to my prayer God , why are you silent why are you silent come on open doors and windows for me love I am at the door I won't stop knocking , talk to me , talk to me I am here
Naomba mungu wangu unifungilie mlango wa mafanikio mwaka huu naomba ukaonekani Kwa Kila jambo na ukaonekani ww tu maishani Bali unifuche umavyni mwako nisionekane
naomba kutoa shukurani zangu za dhati kwenu ndugu na marafiki ktk Bwana kwa upendo mkubwa mnaonionesha hii si kitu kidogo kwangu. Inanipa nguvu sana ya kukaa miguuni mwa Mungu kumwomba usiku na mchani anipe neno kwa ajili yenu wana wa Mungu. NATAMANI KILA NENO LITOKALO KWENYE KINYWA CHANGU LIKA MHUDUMIE MTU POPOTE ALIPO.Asante sana wadau wangu
Tuko pamoja dada angu sema uko vizur mnooo me najikuta naponywa kupitia nyimbo zako
I'm here,I'm touched infact changed.ur a blessing to me
Nabarikiwa sana na Kila neno katika wimbo huu...wakati huu mgumu kwangu namwita Mungu asinyamaze
Yesu akubariki sana Amen
202e still here
HUSINYAMAZE JEHOVAH MWAKA HUU 2020...KAMA OMBI LAKO NI HASINYAMAZE GONGA LIKE
Apostle Jackson Mutinda Amen sana
Unajua sana Sarah Magesa
Wow nice powerful song,akuna kunyamasa♥️👏
This has been my song all through,,,mungu usinyamaze
Hongera sana mtumishi wa Mungu kwa tunga nyimbo nzuri zenye ujumbe mzuri sana nimezisikiriza nyimbo zako zote nimezipenda sana zinaujumbe unaingia kinywani na moyoni uendelehe kubarikiwa 1:49
Sarah wimbo huu umevuviwa na roho mtakatifu; endelea kuimarika big love from me
Barikiwa sana sarah kwa ujumbe wako kupitia nyimbo zako nzuri nzinanifanyaga nisichoke na kumgoja mungu:Amina.
Sarah napenda nyimbo zako sana wacha mungu apanue mipaka zako
Usinyamaze Mungu wang uliyehai,,nakutegemea ww
Nzuri sana, kama umeipenda like hapa
Joshua Kimario Asante
This song is powerful.. Nmereplay mara kadhaa..congrats sarah magesa
@@SarahMagesaOfficial ameeen
Mwaka huu 2024 usinyamaze maishani mwangu Baba
😭😭😭😭😭🙌 usinyamaze Yesu wangu, usitulie Babangu, waangalie watesi wetu leo hii kutana nao leo hii baba, Amina
Usinyamaze YESU maishani mwangu. Mimi mwanao nakutegemea. Bariki dada #SarahMagesa. Nabarikiwa nikiwa huku Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nachukuru sana kupata neema ya neno zuri sana ila nakusii sana. Dada punguza mapambo
Usinyamaze yesu uniponye Baba nimeteseka Kwa muda
Bwana Yesu si kiziwi hatomyamaza
Usinyamanze kwa watoto wangu baba
Mungu akubariki mtumishi usinyamaze unanigusa sana ubarikiwe kwa huduma
Usinyamaze daddie... Woooh dada ume barikiwa nyimbo zako zanitia moyo.. Woooh I love the song, I. Love the voice, utaenda mbali, kwa nyimbo zako Mungu akupe kibali
2024 and i will still be here , wakenya tueke likes za 2024
Amen
Usinyamaze mungu wangu ..Kwa Yale yanapangwa kwa Siri juu ya maisha yangu🙏254
Aki mungu wangu usinyamaze pia upande wangu
This song talks about my really story but God is their with me ❤
Nimebalikiwa sana na wimbo huuu
Yesu usinyamaze katika maisha yetu maana ni wewe tu Mungu
Nipinganie baba usinyamaze😭😭😭
Huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako mum God bless you
Hakika usinyamaze Yesu, Mungu akubariki mtumishi wake
Uko vizuri sana dada Sarah,Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu zaidi...Utukufu kwenda utukufu
Usinyamaze baba barikiwa sana mama nimeipenda sana mungu akuzidishie zaidi yahapo
Wengi wanapenda kuharibia wengine but mungu no Nani atuaji hats kidoko.
Yesu.hawezi.kunyamaza.palipo.na.kusudi.lake
Lakini Mungu akukaa kimnyaa,,,,usinyamze yesu mwaka huu😭🙏🙏
Mama wewe ni wa baraka.. oooo napenda kazi zako
stephen kasolo Asante
stephen kasolo Amen
Nakuona happy injerona ktk ubora wako big up my mate mwana wa gwisu barikiwa sana injilisha bila mwisho
Dada huu wimbo mzuri Ubarikiwe sana
Nia yao waolewe wao eeeh mungu asante kwa kunipigia
Usinyamaze mungu wangu, nakutegemea wewe dady.....barikiwa sana dada
Huu umekuwa wimbo wa taifa kwangu. Mungu akupe nguvu
Usinyamaze Yesu, wameniekea mitengo mingi Mungu wa Modecai Usinyamaze.
Dada angu Sara me cna neno ila mungu azidi kukuinua wimbo wako umenifungua sana ule walizani wananimalza nakupenda sana dada angu nl
Usinyamaze yesu,....... Baba.. Na hii janga la coronavirus
Usinyamaze Dad tunaponyanyazwa😭😭
powrful
Usinyamanze Yesu wangu baba yangu.❤❤
Ubarikiwe dada ,huu wimbo wanitia moyo kila kuchao
Grace to grace,you bless n encourage many may you b blessed
With God everything is possible
Mungu aendelee kukubariki mtumishi wa Mungu. 2025 I am here
Usinyamaze yesu.....Sina mwingine
Amen mungu usinyamaze kwa mipango yangu ya kazi.
Come on Jehova say a word i am waiting for you . Listen to my prayer God , why are you silent why are you silent come on open doors and windows for me love I am at the door I won't stop knocking , talk to me , talk to me I am here
Hakika MUNGU wetu usinyamaze umenibariki na huu wimbo
Mtumishi wa Mungu nyimbo zako hunifariji moyo ubarikiwe .
Usinyamaze Yesu.. Am blessed
Mm sio msemaji sana ila uko vizuli dada ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Ni kweli usinyamaze Yesu... Barikiwa Sarah
Amen barikiwa zaidi dada unatujenga kwa neno.
Nabarikiwa sana na wimbo huu
daaa,nafarijika sana
Such a blessing and nice song. Mungu azidi kukutia nguvu na kukupa kibali cha kuhuburi neno lake kwa nyimbo
Wow nice
Usinyamaze ewe Yesu wangu
Ameren🙏🙏🙏🙏 nimebarikiwa
Vusinyamaze Baba tukuombapo, wonderful song God bless you 🙏🏽
Napenda nyimbo zako sana,huu wimbo hunitia moyo sana,.
Always my best Artist.....nyimbo inajenga imani
Wimbo huu unabariki zaidi🙏👏mungu akupandishe kiwango na kingine
Amen good song
Nyimbo zako za niinua moyo sana...ubarikiwe sana...kazi nzuri
Usinyamaze bwana Mungu 2020...This song is of a great blessing to me this 2020. Kindly drop a like to this lady if we are in same page.
Much love mama,,,u always makes me going,,,wish i could be your gal
Mungu akubariki kwa wimbo mzuri
Naomba mungu wangu unifungilie mlango wa mafanikio mwaka huu naomba ukaonekani Kwa Kila jambo na ukaonekani ww tu maishani Bali unifuche umavyni mwako nisionekane
Usinyamaze MUNGU nice song I'm Blessed congratulations, barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
Amen amen dadangu barikiwa
Usinyamaze Yesu nakuhitaji katika maisha yangu
Wimbo nzuri tena yenye kuguza moyo, barikiwa Sana
it's the best I have bn playing it every time it motivates me in any challenges I may encounter in life. ❤❤❤ God bless you.
Waaah! wimbo huu umenibariki sana, ujumbe mzito sana, melody tamu mpaka sichoki kuusikiliza. Ubarikiwe sana mtumishi wa Yehova!!!!!!!
BUANA YESU AKUBARIKI SANA NDUKU WANGU SARAH MAGESA.
Yesu hawezi kunyamazia watu wake
I like this song so much❤️❤️❤️
Usinyamaze Yesu a very touching song nyimbo zako zina upako be blessed.
Mama unajua kuimba nakufutalia nyimba zako Mungu azidi kukuinua
amen
You are a blessing to Kenya too
Wimbo mzuri kweli..254
Usinyamaze yesu nakuita baba 🙏🙏🙏
Usinyamaze baba nakuhitaji sana🙏
Yesu husinyamaze nakuitaji katika maisha yngu adui ni wengi ur song blesses me very much.I salute u
Usinyamaze baba
God you know my current situation, usinyamaze baba😢
Usinnyamazee YESU
Nabalikiwa sana dada na nyimbo zako ziko na massage
Usininyamazie baba,very touching song
Wimbo mzuri sana God bless u Mumy unatia moyo sana🙏🙏🙏
Isaiah 62:1 usinyamaze mungu jinsi umeniahidi Kwa neno lako🙏🏻
Barikiwa
Huu mwaka mungu wangu usinyamaze
mungu akubariki sana kwa ujumbe mzuri 🙏🙏
And you're very beautiful.. I love your song.
Ubalikiwe sana