"Kwa ajili ya kukaguliwa mwili wake wote....". Meli ina nafsi na mwili? "Mwili wa ndugu meli" unakaguliwa! Tujihadhari, tuache kubananga lugha yetu adhimu ya kiswahili!
Uzembe mkubwa mno,Pia huyo ni muongo ukague meli baada ya siku tatu,maji yaingie, utobokaji huu tundu lake Lina ukubwa Gani kiasi Cha kuingiza maji haraka na kujaza maji Ndani ya meli.wewe unayeongea una jua unene wa chuma kinachojengewa meli (thickness)mnapokuja mbele ya watanzania kuongea madudu yenu.mkumbuke wapo vizuri.😅😊😊
Uzembe mkubwa sana huu. Meli miaka tisa imeegeshwa bila kufanyiwa chochote😢 ukosefu wa uwajibikaji
Si useme tu ambazo hazifanyi kazi😅😅😅
Kingereza nehi kiswahili kwishneh huyu mkurugenzi kasomea wapi?🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️😂😂😂😂
Maoni yangu meli iyo ifanyiwe matengenezo makubwa kifmo wa meli ya kijeshi alafu ikabiziwe jesh kwaajili ya ulizi na usalama zawa victoria
Umesema huwa mnakagua Kila baada ya muda je huwa mnakagua Nini?Acha kuzungusha maneno huo ni uzembe
Huyu jamaa kasomea wapi haikulala imezama
"Kwa ajili ya kukaguliwa mwili wake wote....". Meli ina nafsi na mwili? "Mwili wa ndugu meli" unakaguliwa! Tujihadhari, tuache kubananga lugha yetu adhimu ya kiswahili!
Uzembe mkubwa mno,Pia huyo ni muongo ukague meli baada ya siku tatu,maji yaingie, utobokaji huu tundu lake Lina ukubwa Gani kiasi Cha kuingiza maji haraka na kujaza maji Ndani ya meli.wewe unayeongea una jua unene wa chuma kinachojengewa meli (thickness)mnapokuja mbele ya watanzania kuongea madudu yenu.mkumbuke wapo vizuri.😅😊😊
Hutoshi hyo cyo changamoto ni uzembe
Jamaa anaumauma maneno
Magufuli uko wapi wamerudia Tena kuhujumu meli zetu
Uendeshaja
Ilitakiwa ufukuzwe kazi mara tu baada ya kumaliza interview.
Mjinga sana wewe.
Mchunguzwe wote hapo mmezoea