UKHTY AISHA AJA NA UTENZI MAALUM KIFO CHA RAIS MAGUFULI -CHOZI LINAMTOKA AKIISOMA HUU UTENZI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • Ni tenzi maalum iliotungwa na kusomwa na Ukhty Aysha kuokea kifo cha Aliekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa TANZANIA Mh JOHN POMBE MAGUFULI.
    Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia...
    Whatsapp. +255772285543
    Call. +255772285543
    Usisahau ku SUBSCRIBE | LIKE | KU COMMENTS , ili upate taarifa zote zinazohusiana na Tasnia ya QASDA | MAWAIDHA | NASHEED | TENZI | MATUKIO MBALI MBALI YA KIJAMII , kupitia hapa channel yako pendwa ya IBRAHIM ZANCOM.

КОМЕНТАРІ • 183

  • @shadyaadam8919
    @shadyaadam8919 3 роки тому +3

    Dah inasikitisha sana, tumuombe mungu amlipe kile kinachomstahiki, kwa kazi aliyoifanya Tanzania.
    Sote tumetoka kwa mungu, na kwake tutarejea.
    Tumuombee kwa Allah rais mpya mamaetu samia Allah amtie nguvu, na amtangulie ktk kila hatua ktk uongozi wake. Allah ibariki Tanzania Allah wabariki watanzania na utupe subra ktk msiba huu.
    Amina.
    Shukran sana ukhty Aisha kwa shairi hakika limegonga mioyo yetu.

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 роки тому +2

    INNA'LLILLAHI WAINNA ILLAHI RAJIUN😭Allah ampokee na amtangulie huko aliko,amlaze roho yake pema peponi amen,ampe makazi mema,ampe kauli thabiti,atie Nuru kaburi lake,amen,maashaallah,UTENZI wenye kutikisa mioyo yatu,ubarikiwe sana🙏

  • @fatumamuiya6089
    @fatumamuiya6089 3 роки тому +8

    Poleni ndugu zetu watanzania na afrika kwa ujumra inauma ila mungu amempenda zaidi na tunamuombea Mungu amuweke mahari pema .mnisamehe jamani kiswahili changu sio kizuri from🇺🇸😭😭😭😭

    • @shikuassi4876
      @shikuassi4876 3 роки тому +1

      MashaaAllah, mbona kinaeleweka habity, Shukran sana.

    • @fahamymswaki268
      @fahamymswaki268 3 роки тому +1

      Tushapoa

    • @fatumamuiya6089
      @fatumamuiya6089 3 роки тому +1

      @@shikuassi4876 shida ni kutojiamini dada. Mimi ni mtanzania pia ni msomalia mama ni mtu wa tanga baba ni msomali walipoachana baba akatuchukua nikiwa namiaka sita tukaishi kenya .ulipofika 2012 mwezi wa3 nikaolewa mwezi wa nane tarehe 25nikaja marekani mimi na mume wangu hadi hivi sasa.

    • @nadhirasaid3820
      @nadhirasaid3820 3 роки тому

      Tushapowaaa

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 роки тому +7

    Zanzibar sasa nyinyi mnaongoza bara na visiwani haya kazi kwenu kuijenga zanzibar vizuri tusije tukasikia baadae tunanyonywa tunanyoa kazi kwenu kujiweka huru

  • @kassimhaidary5827
    @kassimhaidary5827 3 роки тому +8

    Masha-Allah daima tutakukumbuka raisi wetu Allah akulaze mahala pema peponi ammina

  • @fatmahally422
    @fatmahally422 3 роки тому +3

    Innalillah wainna ilayh raji'un... 😭😭😭 Wallah twalia kwa uchungu,. Nimapem sana kuamin hili... Oooh ya Rabby mpe nuru baba yety, shujaa wety,... Hakik haitasahaulik wallah.... Tutakukumbuk kwa meng jmn..😭😭😭😭😭..... Tutaonan baadae

  • @chantalharakandi2576
    @chantalharakandi2576 3 роки тому +2

    Twalia kwa kweli Mwenyezi Mungu amuwekeye wepesi In shaa Allah kwenye safari yake ya mwisho

  • @nusranasser6549
    @nusranasser6549 3 роки тому +22

    Inna lilla hi wainna illaihi raajiun😭😭 Nipo nawe dadangu simalizi kulia . kifo cha Baba Magufuli kimenigusa pabaya😭 Natamani nngeweza kujumuika nanyi mazishini.
    Nawapa makiwa nkiwa Kenya🇰🇪
    Mola ailaze roho yake pahala pema palipo na wema🤲🤲🤲
    Amiiiin

    • @rasykizanjbari4996
      @rasykizanjbari4996 3 роки тому

      Amiin

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      mm nipo oman nataman ningekuwa Tanzania nami nijumuike ni msiba ambao kamwe hautosahaulika

    • @husnahassan2124
      @husnahassan2124 3 роки тому

      @@heyumi2340 mimi piah ndugu 😭😭😭😭🙏🙏🙏🇴🇲🇹🇿

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      @@husnahassan2124 dah nipo oman nataman ningekuwepo Tanzania jaman rais wetu magufuli

    • @naymaomary1745
      @naymaomary1745 3 роки тому

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭yarabbi naomba mwisho ulomwema

  • @fatmahassan4790
    @fatmahassan4790 3 роки тому +4

    Inna LiLlahi Wainna Ilayhi Rajiun. Amiin Ya Rabbi. Poleni nduguzetu, Wa Tanzania. Kwa kuondokewa na Rais Mpendwa wa Kila Pembe Ya Dunia. Tunahuzni nyingi, twawaombea Subra on the behaves of all Kenya's tuliko mbali🇱🇷🇱🇷🇱🇷. Niletu sote. Mungu Ampe mazuri kama alivokua mzuri.

  • @motowakuoteambali5290
    @motowakuoteambali5290 3 роки тому +13

    Mungu marehemu mzee wetu magufuli 😭😭😭

  • @rehsanhassan8141
    @rehsanhassan8141 3 роки тому

    Innalillah wa inna ileyh rajiun Allah awape subra na faraja wakati juu mgumu, pigo kubwa kwa Afrika na haswa kwa nduguzetu wa Tanzania much love from Kenya I can't stop crying may Allah accept him pema peponi

  • @furahanandy5790
    @furahanandy5790 3 роки тому +9

    Rest in peace that will pray for you for all the best that you do in this world and nobody who can make people to forget you for the thing that you did for us your sacrifice your life is just for Tanzania Maguful rest in peace😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @fatmahally422
    @fatmahally422 3 роки тому +6

    😭😭😭😭😭😭😭.... Wallah nasikitik machoz yananitok,.. Allah ampe stara huko aendap

  • @shameemathman27
    @shameemathman27 3 роки тому +5

    Rest in peace magufuli 😭😭😭mungu awape subra na Imani ndugi zetu watanzania

  • @mimyshamy9850
    @mimyshamy9850 3 роки тому +4

    Rest in peace Rais Magufuli Allah akulaze pema InshaaAllah...poleni sana Allah awape subra Tanzania🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @abuzaki1781
    @abuzaki1781 3 роки тому +8

    Inna Lillah Wa Ilaihi Rajiun. Poleni sana kwa msiba huu.

  • @suhelaomar1777
    @suhelaomar1777 3 роки тому +9

    Masha’allah 😭❤️ mungu amlaze mahali pema

  • @teampunisher9446
    @teampunisher9446 3 роки тому +5

    Tuko pamoja dada yetu tuwe na subra in sha Allah 🇰🇪🇰🇪

  • @bigsmoth1285
    @bigsmoth1285 3 роки тому +3

    Wallah twauzunika sana lakini hatuna la kufanya. Ila tumuombe mungu amlaze pahala pema peponi

  • @jamilaokello2340
    @jamilaokello2340 3 роки тому +3

    Insha Allah Amiin 🙏🙏🙏 Yaarab mpe makao mema Magufuli

  • @abuialmarjibi979
    @abuialmarjibi979 3 роки тому +5

    Sote ni Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 3 роки тому +3

    Innalilai wainnarajiun njia yetu moja Allah awasamehe walio tangulia mbele ya haki amiin yarrab 🤲😭💔

  • @shufaaahmed4618
    @shufaaahmed4618 3 роки тому +8

    Innalillahi Waina Ilehi Rajiun...Poleni watanzania😭😭💔💔💔

  • @makeroabdi3671
    @makeroabdi3671 3 роки тому +2

    Inna lillahi wainna ilayhi.naomba mawasiliano na huyu mtunzimwe kumjua

  • @salmasaif7820
    @salmasaif7820 3 роки тому +1

    Nenda baba mungu akulipe mema yako ulotufanyia baba tunashindwa kujizuia watanzani kwa hili pigo litabaki kuwa ndoto kwetu. 😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu tupe subra watanzania

  • @zahrashariff3035
    @zahrashariff3035 3 роки тому +8

    Poleni sana ndugu zetu wa Tanzania kwa kuondokewa na kiongozi aliyokuwa shupavu😭

  • @shufaaahmed4618
    @shufaaahmed4618 3 роки тому +8

    Ameeeen🤲🤲🤲

  • @masmuhahassan6710
    @masmuhahassan6710 3 роки тому +8

    Innalillah wainna ileyhi rajiun 🤲💔

  • @rahmaiddy5017
    @rahmaiddy5017 3 роки тому +1

    Mashaallah m/mungu azidi kukp upeo

  • @mudriqhamidu6031
    @mudriqhamidu6031 3 роки тому +2

    😪😪😪😪🙏🙏🙏 Yarab mlipe kwa mema yke kwani aliyafanya yte yalio bora kwa wanyonge na wajane maskini wte😭😭😭

  • @rahmaiddy5017
    @rahmaiddy5017 3 роки тому +2

    Innalillah wainnalillah rajrun m/mungu amlaz mahl pema amin

  • @ashfainasalum3394
    @ashfainasalum3394 3 роки тому +5

    Innalilahi wainnailayhi rajiun

  • @zeynabalwy45
    @zeynabalwy45 3 роки тому +7

    Mungu ailaze roho yake pema peponi inshaallah

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 3 роки тому

      Ww kafiri haombewi pepo usijisahau

    • @bintsalimalbimany5340
      @bintsalimalbimany5340 3 роки тому

      Hatutakiw kumuombea Allah amlaze mahal pema pepon😩😩Huyo Si muislam🙄

  • @almashaaribububu1214
    @almashaaribububu1214 3 роки тому +2

    Ukhty Aisha utenzi mzuriiii sanaa

  • @dotonjilinghanya1873
    @dotonjilinghanya1873 3 роки тому +3

    Mbele yako Yuma yetu tangulia baba ss tuko nyuma yako tunalia sana baba tuta kukumbuka daima

  • @fatumahatibu9682
    @fatumahatibu9682 3 роки тому +6

    Innalllah wainnaillah rajiun

  • @zahraalhabsi7931
    @zahraalhabsi7931 3 роки тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲😭😭Polen Sanaa Tanzania m/mungu awape subra lnshaallah ndugu zng wa Tanzania 😭😭😭😭😭😭utenzi mashallah unaliza 😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @dotonjilinghanya1873
    @dotonjilinghanya1873 3 роки тому +2

    Inalilah waina Lilah rajiun tuta kukumbuka daima baba pumzika kwa amani huna baya kwetu watanzani

  • @AhmedKhalaf-nr4gi
    @AhmedKhalaf-nr4gi 3 роки тому +2

    pole sana kwa watanzania wote, samahani nataka maneno ya utenzi huu kama maandishi? ili kunifasiria kwa lugha ya kiarabu!!! kwa lugha ya kishairi pia

  • @ashaawaro8155
    @ashaawaro8155 3 роки тому +1

    innallillah waina ilayhi rajioun 😰😰😰 in shaa Allah Allah Amlaze pema penye wema yarrabbi Ameen🇰🇪🇬🇧

  • @lamynlogan9599
    @lamynlogan9599 3 роки тому

    Mungu amlaze pema. Sijawahi ona Rais mwenye kujali, kuthamini, kupenda raia wake, mwenye busara na hekima, mpenda amani kama Magufuli. Ameliza wengi sana sio kwa watanzania tu, bali kwa dunia nzima, Alikuwa kielelezo chema na ingekuwa marais wote wa kiafrika wangekuwa kama yeye, wallahi tungekuwa matajiri kisha wakuogopewa. Twakupenda sana na daima utakuwa moyoni mwetu. Lala salama baba.

  • @salamasalim1536
    @salamasalim1536 3 роки тому +1

    Poleni watanzani kwa msiba uliowafika...mungu amlaze mahala pema peponi Inshallah

  • @bintybweta9604
    @bintybweta9604 3 роки тому +2

    Inalilah wainna ilah rajiun poleni watanzania will belong to Allah and him will return tuko pamja from kenya

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 3 роки тому +1

    Ah ah Aisha mashallah poleni mama Sisi wakenya twalia

  • @ziadasleiman876
    @ziadasleiman876 3 роки тому +3

    Amiin

  • @aishaabubakar4099
    @aishaabubakar4099 3 роки тому +6

    Poleni wa Tanzania kwa msiba ulowapata😭😭😭

  • @aminaissa9709
    @aminaissa9709 3 роки тому +6

    Inna lilah waina ilaim jariun We belongs to Allah and to him we will return R.I.P JPM😭😭😭😭😭

  • @abdallakutunza4754
    @abdallakutunza4754 3 роки тому +3

    .............Allah amjaaliye mema yake,yawe ni yenye kumxaidia😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @fatmafatmahassan5648
    @fatmafatmahassan5648 3 роки тому +1

    Innaa lillahi wainnaa Ilayhi rajiun Allah Amjalie Makazi mema Aamiin ya Rabb

  • @hawahabibu1379
    @hawahabibu1379 3 роки тому +2

    Eee Mungu baba🙏kwann uliamua kumchukua mapema mtetez wetu sisi wanyonge nani atatuangalia tumebak yatima😥😥

    • @tamemahmad9902
      @tamemahmad9902 3 роки тому +1

      Mungu haondoi km hajaweka naamini yupo ambae atafanya zaidi yake. Tumuombeni Allah kwa Sana kwani yy ndio kila kitu.

  • @alzainaalaghbary5560
    @alzainaalaghbary5560 3 роки тому +1

    Inalillahi waina ilayhi rajiun. Alhamdulillah

  • @azizasaidi6362
    @azizasaidi6362 3 роки тому +9

    Ningumu kumeza jamani nawaza nani atavaaa viatu vya magufuli sioni😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @oman7710
    @oman7710 3 роки тому +2

    Mungu tupe subra Watanzania.

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 роки тому +4

    😭innallilah wainailaih rajiun.

  • @jumasaid8260
    @jumasaid8260 3 роки тому +5

    Inna lillah wainna illayh rajuun

  • @fatumamaiga8496
    @fatumamaiga8496 3 роки тому +1

    Eeee Mungu Mrehemu Mtumwa wako. Mpokee Mungu wetu Mwema mpokee Mtumwa wako mwema

  • @maimunamwinyi4589
    @maimunamwinyi4589 3 роки тому +1

    Inauma sn mungu amlaze Mahal pema pepon

  • @InnocentMountainVolcano-zq9sl
    @InnocentMountainVolcano-zq9sl 7 місяців тому

    😢😢😢 hongera Sana dada angu

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 3 роки тому +2

    🙏🙏🙏

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 3 роки тому +2

    Innalillah wainallah rajuun👏👏👏👏

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 роки тому +2

    Al, ladhina izaa aswabatuhum muswiba kaalu inna lilahi wainna ilayhi raajiun Qulu nafsin dhaykatul mauti

  • @muhsinibrahim7187
    @muhsinibrahim7187 3 роки тому +8

    Rest easy daddy😭😭😭😭😭

  • @dumbi1625
    @dumbi1625 Рік тому +1

    Aamen

  • @aminajamil8582
    @aminajamil8582 3 роки тому +1

    Innah lillahi wa Innah ilehi rajiuon Mungu akurehemu akuweke pema palipo n wema peponi in shaa Allah

  • @ahmedrey1188
    @ahmedrey1188 3 роки тому +2

    😢😢😢😢

  • @neemakituga7143
    @neemakituga7143 2 роки тому +1

    Inalillah wainailah rajuun

  • @اسدحديدي
    @اسدحديدي 4 місяці тому

    Ukhty aisha❤ ilov u🎉

  • @mimiadam9156
    @mimiadam9156 3 роки тому +4

    Poleni tanzania africa has lost a great man hugs from kenya

  • @ukhtyanasabintimalikimalik7188
    @ukhtyanasabintimalikimalik7188 3 роки тому +2

    Ishi ulaumiwe
    Kufa usifiwe
    Nyinyi wazanzibari sindo mukio sema kakuuweni kipindi cha uchaguzi au mukimuongopea tu

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      Hayo maneno tuu ndugu ata kwenye kanga yapo

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 2 роки тому

      @@Awatee yahni

    • @Awatee
      @Awatee 2 роки тому

      @@yusufuheri6524 Wanaadam tuna mtihan unafikiri kila mtu alifanya kitu atakupenda Hebu tuangalie ALLAH alie kua na mamlaka yote dunian anaturudhuku asubuhi jion na anapingwa na mtoto kasingiziwa ila binaadam kunyamaza hatuwez

  • @faustinaprosper2308
    @faustinaprosper2308 3 роки тому +1

    Kwakweli inauma sana mungu amlaze mahali pema pepon

  • @shijipillai1996
    @shijipillai1996 3 роки тому +2

    Ameen yarab😪

  • @arafarashid417
    @arafarashid417 3 роки тому +8

    So sad 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @omanimujsa9756
      @omanimujsa9756 3 роки тому

      Bado akili inasema hajafa 😭😭😭😭😭😭😭😭mungu wetu umetenda haki yako sisi atuna nguvu zakukuzuia utakalo nenda dady nenda

  • @mnegaamina6085
    @mnegaamina6085 3 роки тому

    Mashaallah sauti nzuri

  • @fatmafatmahassan5648
    @fatmafatmahassan5648 3 роки тому +4

    Kila Ninapo iona picha Ya JPM nabubujikwa Na Machozi Wallahi

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому +2

    Inalillahi wainailahi rajuun😭😭😭🤲

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +1

    Innalilah wainailah rajioon

  • @hamisasaid3286
    @hamisasaid3286 3 роки тому +1

    Inalilah wa inalillah rajuun

  • @mesajuma4843
    @mesajuma4843 3 роки тому +1

    Amiina ya rabina Allamiin🤲😭

  • @zuwaydasalum4468
    @zuwaydasalum4468 3 роки тому

    Innalillah wainnalillah rajiun tutakukumbuka daima jemedari wetu

  • @fatumahemedsalim2082
    @fatumahemedsalim2082 3 роки тому +1

    Inallillah wainaillahi rajiuni...for him we came and for him we shall return

  • @poposuleman2667
    @poposuleman2667 3 роки тому +1

    Innalillahi wain illahi rajioon 😭 😭 utakumbukwa daima

  • @oman7710
    @oman7710 3 роки тому +1

    Innalillaah wainna ilayh rajiuun

  • @saniyabakari1940
    @saniyabakari1940 3 роки тому +2

    😥😥😥😭

  • @mwajumabakari3730
    @mwajumabakari3730 3 роки тому +1

    Inalilah wainailah laajunn 😭😭😭😭

  • @ZainaB-vt6uv
    @ZainaB-vt6uv 3 роки тому +1

    Nikweli kabisa aisha

  • @ziadasleiman876
    @ziadasleiman876 3 роки тому +2

    Allah ailaze roho yake pahali panapostahiki 😞😞

  • @ashadanga6470
    @ashadanga6470 3 роки тому +1

    Innalillah wainna lillah raajuun 😭😭😭

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 роки тому +1

    Ama hakika maisha yana maswali magumu sana

  • @OverdozClassic
    @OverdozClassic 3 роки тому +1

    Inna lillahi wa Inna ilaihi raaj un 😭😭😭... Utenzi👌👌👌

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 роки тому +2

    Ovoooooo 😁😁😁

  • @mwanachashaban7224
    @mwanachashaban7224 3 роки тому +3

    😭😭😭😭😭

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 3 роки тому

    Aamiiina

  • @yassirhalimamohammedmohamm5913
    @yassirhalimamohammedmohamm5913 3 роки тому +3

    Hakika niuchungu sana

  • @bizabishaksabra1890
    @bizabishaksabra1890 3 роки тому +1

    innalillah wainalillah rajiun😭😭😭

  • @matatomlik1846
    @matatomlik1846 3 роки тому +1

    Innalilah wainna ilayhi rajiun 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @allydaruweshi5983
    @allydaruweshi5983 3 роки тому +1

    Mungu amuweke panapo satahiki

  • @neemakituga7143
    @neemakituga7143 2 роки тому +1

    Khakika machoni aupo nasi...ilamoyoni bado unaishi

  • @mohammeddaudi8556
    @mohammeddaudi8556 3 роки тому +1

    إنا لله وإنا إليه راجعون

    • @bimzahor4505
      @bimzahor4505 3 роки тому

      Innaalilah wainnaailaihi raajuun.Allah Amlaze mahalastahiki.

  • @ommarymgazah6094
    @ommarymgazah6094 3 роки тому +1

    Mungu ampe makazi mema

  • @chiakassim6346
    @chiakassim6346 3 роки тому +4

    🇹🇿🇹🇿Dah😥