Kwa aliyemchunguza huyu jmaa pia ni very smart kiakili,alafu anakitu Cha tofauti sana,ukizingatia huyu mwamba anaijua Miti vizurii ya porini ,ambayo hta God Tza hajaifahamu ,alafu nimemkubali anatumia special number ya sim,big up sana issa
mimi hapa nilichopenda, zaidi ya umahili wake wa sauti za ndege[fantastic],ni pale aliposema,aliamua kujengea familia yake wakae pamoja kwanza!! yeye badae!! Utakua na daladala yako mwenyewe bro..keep fighting..
Kaka hizi viewers huwa zinalipwa na UA-cam. Tafuta wakili hawa watu wanatakiwa kukulipa kwa hii video inayokuhusu.. Very talented. Wishing you all the best 👍
Mm pia umenigusa sana kijana wangu kwa kuwa tofauti sana na wengi wa makondakta tuliowazoea, wakitafuta kwa bidii na kumalizia katika starehe. Wewe umepambana na kumuweka Mama na ndugu zako katika makazi yao! Utafanikiwa kwa kutambua majukumu yako vizuri.
Hizi sauti zinaweza kutumika vizuri kama effects za kwenye film na akipata story nzuri itakayokua na vipengele vya kuweka hiyo milio inaweza kumpatia umaarufu wa kutosha kufungua deals nyingine.
Kuanzia 4:26 hadi 5:27 milio hiyo ni ya ndege mmoja tu anaeitwa "Tetere" au kwa jina lingine "njiwa pori", ambaye ni JAMII moja na njiwa wa kawaida wa mjini. Njiwa wa mijini huwa hawana "sophistication" ya milio mbali mbali kama njiwa wa porini. It's an exceptional talent indeed for this young man 👏👏👏
Masha Allah kijana mungu azidi kkucmamia ameja family akawaweka vzury nashinda wale makonda wengine kutwa wanalalamika hakuna pesa tunayaona mengine kwa macho
Huyo jamaa afaa kufanyakazi hifadhi ya wanyamapori kwa sababu anauwezo mkubwa wa kuelezea aina za ndege. Kwa hiyo ata wanyama pia anaweza kuwaelezea tabia zao!!!!

Kwdr
Mungu akubaliki Kaka angu na akujalie uwe na Daladala yako kaka angu na utafika mbali
Waaao hisaa mpeleke na sele maana mnafana tabia
Kaka hizi viewers huwa zinalipwa na UA-cam. Tafuta wakili hawa watu wanatakiwa kukulipa kwa hii video inayokuhusu.. Very talented. Wishing you all the best 👍
Yuko vizuri huyu kijana, tuko naye hapa Kikatiti
Mm pia umenigusa sana kijana wangu kwa kuwa tofauti sana na wengi wa makondakta tuliowazoea, wakitafuta kwa bidii na kumalizia katika starehe. Wewe umepambana na kumuweka Mama na ndugu zako katika makazi yao! Utafanikiwa kwa kutambua majukumu yako vizuri.
Hizi sauti zinaweza kutumika vizuri kama effects za kwenye film na akipata story nzuri itakayokua na vipengele vya kuweka hiyo milio inaweza kumpatia umaarufu wa kutosha kufungua deals nyingine.
Wazo zuri sana
Saluty babaakooo
Kuanzia 4:26 hadi 5:27 milio hiyo ni ya ndege mmoja tu anaeitwa "Tetere" au kwa jina lingine "njiwa pori", ambaye ni JAMII moja na njiwa wa kawaida wa mjini. Njiwa wa mijini huwa hawana "sophistication" ya milio mbali mbali kama njiwa wa porini. It's an exceptional talent indeed for this young man 👏👏👏
Yah
Ok
Siyo kweli ndgu Kuna tetere na uyo aliyemuiga uyo jamaaa
Maana naye ni kama yako ila yeye amesema wanakia hivyo kwa wakati tofauti
Bro ni mkali
Wawooo 😘 so nice kijana mzuri Yani nimekupenda
Mashaallah pepo ni mama vzr bro
😀😀😀😀 Tuliojua atoa milioni kumi mnipe like maana tulianzakuelewa vibaya
Hahahaa
🤣🤣🤣
Hahahahah kama mm
Hata mm nilijua milion 10
Haha dah
God tz A nakukubali sana ukimuhoji mtu lazima umtambulishe kwa jamii na uonyeshe sapoti yako kwako nakukubali sana ma niga, im suma 4rom mbezi dsm...
🤩🔥Umeweza Congrats 🎉👏
Apo kwneye milio 10 pamenitesa Sana aise ..... Sema jamaa linajielewa Sana 💪💪💪💪
Yuko vizuri sanaaaaa!!! Arusha kuna opportunity ya tourism...na moja ya category ni bird tourism..... fursa hiyo
Umeonaee
Piga kazi kaka angu, safi sana mungu azidi kuku linda
Vizuri Allah atakupa afya zaidi kwa malengo yako mazuri
Hongera chalii yangu umenikumbusha utotoni hiyo milio naipata sana
Hizi documentary zime base sana arusha!! Changanyeni Tz ni kubwa (maoni)!!
Big up bro , Yaani umepita kama wenyewe kabisa, nina wafahamu hao ndege sauti zao ziko hivyo
Nimejiona kwenye video 😎🕺
Wow mzuri Sana kweli
Huyu jamaa ni katika makonda ninaowakubali sana hapa usa-river,,big up sana brother
Mwana Sana huyu Hana Noma sema shabiki la Simba ndo mbaya 😆
@@mnasaeules6857 😀😀
Good umetisha kijana kwasisi turio pita huko uko sawa kabisa
@disneyJunior this guy smashes it on replicating birds' sounds, he is in Tanzania, East Africa
@JurasicPark
Huyo Kijana nomaaaa, safi sana
Jamaaa Yuko vizuri,
Aende kwa africa has got talent
BIG UP 💯💯🔥🔥🔥🔥
Jamaniiiiii nimependaaaa❤
Alosoma kwa haraka akadhani milioni 10 gonga like tujuane😂
Dah mwanangu nlisoms km milion nmekuja kusanuka baada ya kuckiliza maongezi😄😆
@@simonjustin5921 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mm apa pia
Yan nilijua milion 10uwiiii
@@khadijagundumu6210 😂 pole yetu
Kaka hakikisha unashiriki Tanzania got talent. Kama mnayo hiyo show
Hongera sana mungu azidi kukuinua zaidi
kuna makaka yupo znz jamani dah yaani huyo ana kila sauti za wanyama yaani mashaallah
Safi sana School mate
Uuumh!!! 😄😄😄😄So talented xana
Nenda holloword mtjmia chris brown au jazz au kenya wetu wakupe film ubarikiwe sana
Namjua uyo nampenda sana
Ni vizuri blather
Jamaaa anafaa sana kuwa mtafiti.apewe kazi
Awesome..
Masha Allah kijana mungu azidi kkucmamia ameja family akawaweka vzury nashinda wale makonda wengine kutwa wanalalamika hakuna pesa tunayaona mengine kwa macho
Mungu akubaliki kwa kipaji ulicho nacho
Jamaa umetisha
Duh noma sana kaka 😘💃
Ongera sanaaaaa ❤️
Wew ni noma zaidi ya noma
Uko vizuri mkuu
Nice....
Huyu jamaa Noma sana 🔥🔥🔥
Mashaalla unakipaji kizuri kaka
Noma sana
Mashaallaah 🔥🔥🔥🙏🙏
Asomee utalii huyo jamaa ni potential sana
Watoto waliozaliwa mjini hawajui hayo Mambo,wao wanajua sauti za ndege wale wa airport 2
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hhhhhh,
😀😀 Yupo vizuri
❤kaka hatariii
🔥🔥🔥🔥🔥
perfect
Umenikumbusha mbali sana kipindi nipo home nkasi
😂😂😂 sinilisema huu mwaka 2021 tutaona mengi.
Hah hah hah hujakosea
Kwakweli
😂😂😂😬😬😬😬
😀😀😀
Mengi yenyew ndio haya😂😂😂
Best nasso
Usimdharau mtu daah wise man
MASHAALLAH, MASHAALLAH, MASHAALLAH
fire fire 🔥🔥
Very intelligent guy.
Duuuuu amazing sana kitu real tulio toka pori tunaelewa
Jamaa yupo speed anataka kuwahi kazini
Kweli kabisa
Huyo jamaa afaa kufanyakazi hifadhi ya wanyamapori kwa sababu anauwezo mkubwa wa kuelezea aina za ndege. Kwa hiyo ata wanyama pia anaweza kuwaelezea tabia zao!!!!
Jamaa noma sana
Gud
Talented
asante hapa ni noma sana,, ingurukuru ana rangi kama dck blue hapa kuna nanguku
Tanzania kuna vipaji sana ila kuendelezwa sasa ndio shida
Hiyo ni R.chuga banaa
Hongera kwa kuwajali wazazi wako
Kweli kabisasa
Hio milio ya njiwa ynyw kbs mazee!!🤭
Duuuuu noma sana kwetu ndege hao tunawaita madea
Vizuri
Dah we jamaa ni noma🤣🤣🤣nimekumbuka miaka hiyo nalinda mpunga
😂😂wenzako wanalinda ndoa zao we unalinda mpunga
Miaka hiyo nilikuwa mdogo bhana 🤣🤣sasaivi nalinda ndoa
Yupo mwingine wa chuga apo stend kiboko yao
Kah!!! Huyu jamaa awezeshwe apelekwe ata hapo gordito ase akaonyeshe wazungu kipaji chake yawezakuwa akapata chochote kitu
Kanifurahisha kwenye kuijengea family
atari sana
😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤔🚶♀️🚶♀️🚶♀️from Kenya
Jamaa anakipajii sanaaa
Watu wa arusha kuiga sauti za wanyama ndio mchezo wao
Jamaa kipajiii sanaaa
Hii Nchi shida ni CCM tu Ila ina watu wanakipaji sana
Hyo million kumi vepee
Mashaallah
Jamn jamn hadi raha
Jifunze quran kwa hukmu gusa picha yang mara 2 hapo kama hautojli
Mbon umenichanganya kaka sa njiwa s ndege jmn
Tanzania siama daaah
Huyu jamaa anapenda kazi yake
Ametisha mazee
😂😂😂jamaa ni noma sana
Au nayeye ndege
Huyu muongo sana tetere anamilio mitatu wadanganye hao wasio jijua wala hawajui ndege eti huyo sio ndege tetere ndio njiwa pori cc twawajua ndege vzr
Huyo sio ndege ni njiwa 😃😄😁